EXCLUSIVE: UCHEBE - shilole hakuwahi kuolewa amepata ndoa ukubwani/namuachia MUNGU/kumpiga

  Рет қаралды 109,654

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Пікірлер: 984
@ashaomina1136
@ashaomina1136 4 жыл бұрын
Uchebe wewe ni wamaama mbele ya Mwenyezi Mungu even if ur nobody in tha eyes of people,, respect.
@sabrinahlutha3743
@sabrinahlutha3743 4 жыл бұрын
Kiukweli mimi napenda interview za uchebe anependa gonga like
@musakimaya5059
@musakimaya5059 4 жыл бұрын
Mmmh
@anithagodwine7025
@anithagodwine7025 4 жыл бұрын
Uwez kufikia mm yn napnda uchebe jmn MUNGU azid kumsimami 🙏
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 4 жыл бұрын
Mashaallh uchebe mungu akupe mwisho mwema pia na ufe na laailah ailallah Muhammada rasulullah
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Ameen ameen ameen
@salmaadil7122
@salmaadil7122 4 жыл бұрын
Amin amin
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 4 жыл бұрын
Amiin yarab
@mwanaidimzeeonar3252
@mwanaidimzeeonar3252 4 жыл бұрын
Aameen thuma ameen Inshallah
@hitmetyussuf294
@hitmetyussuf294 4 жыл бұрын
Aminn amin thumma aminn
@mariammwidany8445
@mariammwidany8445 4 жыл бұрын
Namkubali uchebe Sanaa interview zake...na dada zama pia uko vzuri kwa interview zako much love from Kenya
@fatmaisihaq539
@fatmaisihaq539 4 жыл бұрын
Nakupenda bure inshaAllah Allah azidi kukujaza Imani
@musariziki1287
@musariziki1287 4 жыл бұрын
Amiin yarabb amiin inshallah 🤲
@nihhadsouleiman7908
@nihhadsouleiman7908 4 жыл бұрын
Amiiyn
@sadaleonard6898
@sadaleonard6898 4 жыл бұрын
Kaka mungu akujalie uwe na msimamo huo huo inshallah
@sofianjau4858
@sofianjau4858 4 жыл бұрын
MashaAllah uchebe ,Mungu azidi kukuongoza subra muhimu...
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 4 жыл бұрын
Jamn uchebe unajua ana busara sana siri ibaki siri msitiri mke wako kesho allah atakulipa jazaa yako na iwe kheri
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukupa subra insha allah' una kifua haswaa. Safi sana.
@fotintz
@fotintz 4 жыл бұрын
Uchebe ata kama ana mapungufu yake jmn lkn nimempenda bure.Anajitambua mno.nimejifunza mengi kupitia uchebe.Mungu akubariki sana sana ww ni wapekee jmn dah
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 жыл бұрын
Woooooooooooooooooooooooooooow 🌹zama. We ni. Noma.. Dah. Japo mkewe. Ana mchafua ila wewe ukujali. Wow 🔥nawependa sna. 😍
@rebornmimi7872
@rebornmimi7872 4 жыл бұрын
shilole kapoteza mume bora kisa usanii. yani so humble
@sirlankagirl6256
@sirlankagirl6256 4 жыл бұрын
Heeee mume wakupiga bibi yake
@ashahussein3247
@ashahussein3247 4 жыл бұрын
Nani hadarwi darwi kwa Ndoa lazima mutake kutiana mangumi au mupigane tusizenguane shilole kapoteza #LULU popote alipo najuwa yuwajuta 😂😂😂😂 Brother Uchebe msamehe bana ndoo ndoa hio.
@ramadhankeya6559
@ramadhankeya6559 4 жыл бұрын
Wanawake wengi wenye hela hupenda huolewa na vijana wadogo wasio na hela kwa lengo eti anaweza kumcontrol mwanamme anavyotaka. Wanasahau nature ya mwanamme hata kama hana hela yeye ni baba na kichwa cha nyumba na mlizi wa. Nyumba. Uchebe ana maadili ya dini na dini hairuhusu kumsema mtu mapungufu yake h mbele za watu. Big up uchebe. Pia nimshauri dada yangu shishi katika maneno yakuzingatia kwenye ndoa huwa tunaambiwa tunaoana kwa wema na ikibidi kuachana basi kuachana iwe kwa wema pia. Hebu ikumbuke hata furaha moja tu aliyokupa uchebe na hiyo ikakufanya nawewe ukamstiri aibu zake. Kama ambavyo nawewe anakusitiri. Hasira ni hasara hasira zikiisha unaweza kummiss sana mumeo ila utashindwa kurudi kwa sababu unaongea mengi sana. Samehe saba mara sabini. Dunia mapito tu. Umaarufu na hela zinapita. Tufikirie kesho yetu.
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ndivyo tulivyo wanawake wengi kasoro mimi
@aminahamisi2837
@aminahamisi2837 4 жыл бұрын
Shilole akiangalia hii interview imejaa password kila swali huwa cijui anajifikiriaje kwa kuropoka Kule inaonekana uchembe ameficha Siri zote lkn mke ni lopo lopo Mungu wangu mpe shilole akili
@raziasuleman208
@raziasuleman208 4 жыл бұрын
Pole uchebe allha akusimame
@rayaali7551
@rayaali7551 4 жыл бұрын
Inshaallaah mmungu atakujaaliaa tuu mke mwemaa usijalii kilaa likuepukalooo ndio kheri yakoo 🙏😘😘😘
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 4 жыл бұрын
Aamin yarab
@mariamjuma3309
@mariamjuma3309 4 жыл бұрын
Honestly I love the way u do ur interview....I saw many interviews for this guy regarding shilole believe me this the only only that is really good.. keep it up zama
@anitamollel5078
@anitamollel5078 4 жыл бұрын
If you think is good go and date uchebe you will know what shilele was passed away
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
@@anitamollel5078 you can have a wine dear👍
@mariamjuma3309
@mariamjuma3309 4 жыл бұрын
If u didn’t understand me better chill I was commenting on the person interviewing not interviewed..let me enlighten u most interviews he’s doesn’t give answers..was congratulating zamaradi for a great but I guess u missed ....
@nyotalaprincess3393
@nyotalaprincess3393 4 жыл бұрын
I was mad at you ila no matter what shishi did sio kwakipigo hicho. Pia i like your interview una busara na umejielewa vzr. I forgive you piga like kama umemusahe Uchecheeechebe
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 жыл бұрын
Namkubali uchebe anakifuwa, mwanaume anapashwa kuwa na kifuwa siyo kila kitu kuweka inje,ni vizuri kumustiri mwenziye. Shilole anaongeya saana, apunguze
@classicvisiononline8334
@classicvisiononline8334 4 жыл бұрын
Hii interview angekuwa mtu ambae sio mzoefu isingeanza wala kuisha...Uchebe sio mtu wa interview wala sio mtu wa kuongelea mtu sana..Allah akulipe na akusamehe ulipokosea kama binadam na hongera Zama..
@rakanmahmud3829
@rakanmahmud3829 4 жыл бұрын
Jamaaa kakubali mwenywe kamaa kampigaa shilole halafu anadharao juuu na watu wana comment eti anabusaraa hana busaraa ilaa unafikii tu salute kwa unafiki wake na. Shilole kamumbuwaa mnafiki anastahili ambuliwee wala asiowee tenaa akiowaa atauwaa tu
@rayaadam3446
@rayaadam3446 4 жыл бұрын
Wewe ni mwanaume ulieenda jandoni, Mwenyezi Mungu akulinde na mabaya na wabaya Uchebe 💪💪
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Ameen ameen ameen
@sajidseleman6641
@sajidseleman6641 4 жыл бұрын
Masha Allah sheikh uchebe umezungumza vyema ndoa ni siri baina ya wewe na mtalaka wako pamoja na Allah (s.w)
@shikugitati3544
@shikugitati3544 4 жыл бұрын
Napenda vile uchebe anarudisha maswali. Huu ni mwanaume kamili na anahesima yake.
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 4 жыл бұрын
Kwanza wanawake tuna mambo mengi haswa Hawa wasanii, uchebe anajaribu kutustiri sisi wanawake wallai
@ashahussein3247
@ashahussein3247 4 жыл бұрын
Sanaaaa 😔
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 4 жыл бұрын
ManshaAllah Ndugu yangu Uchebe Allah atakupa mke mwenye kheri na ww Unaongea maneno mazuri na unamtaja Mungu wako Shilole atakukumbuka Hakutaka kurudi kwa Mola wake humuwezi kwa sababu ww ni mtu una dini yko ManshaAllah 😍😍
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 4 жыл бұрын
Hahaha
@aishaally2730
@aishaally2730 4 жыл бұрын
Mashallah ALLAHUMA BARIK yaani una hekma na busara unamstiri mkeo
@carstuslucas4248
@carstuslucas4248 4 жыл бұрын
Nimekupenda bule uchebe mwenyezi mungu azidi kukutunza na akupe hitaji la moyo wako.
@husseinndevu9438
@husseinndevu9438 4 жыл бұрын
Mashallaah Brother Akujalie kupata Mke Alie kua kher kwako daah mm pia natamani kua Hkma kama wewe Brother
@zalhayahya2413
@zalhayahya2413 4 жыл бұрын
Amiin
@faithklove9419
@faithklove9419 4 жыл бұрын
Napenda vile uchebe anaongea
@clotildachao8975
@clotildachao8975 4 жыл бұрын
Si akuowe ww
@fadiajunjuwithmyfamily580
@fadiajunjuwithmyfamily580 4 жыл бұрын
@@clotildachao8975 ww kinge nn
@ferdausferdaus2055
@ferdausferdaus2055 4 жыл бұрын
Uchebe nakukubali wew nimjasiri mungu akupe maisha mema
@johnnydepp3218
@johnnydepp3218 4 жыл бұрын
@@clotildachao8975, wambeya mtapata tabu sana Uchebe anajielewa huyo si Mwijaku mbeya mwenzenu
@mariamothman7404
@mariamothman7404 4 жыл бұрын
😁😁😁😁
@mbuyutv8271
@mbuyutv8271 4 жыл бұрын
I like the research method you are using in questioning, probing questions, they give answers more tnan you can tell. Congratulations. Goog qualitative analysis, good questioning style
@pattykosse9932
@pattykosse9932 4 жыл бұрын
True
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Anaimani mnoooh nimependa waanza nabimisillah🙏allaah akujaalie kila lakheri😚
@hannylove1716
@hannylove1716 3 жыл бұрын
Daaaah,uchebe I like the way u comversate....more private,more secrecy,but yet with more fear of the supreme.....jirekebishe yaliyomapungufu kwako ili upate maisha mazuri here after,indhaalah
@lightnesselia765
@lightnesselia765 4 жыл бұрын
Nakupenda sana we kaka yaan nakupenda mpaka kesho
@rasmbegu
@rasmbegu 4 жыл бұрын
Mpe saluti zangu nyingi kutoka kwangu namkubali sana uyo mtu kila siku nasema dada yangu uchebe siyo rahisi kumshinda kwa hoja anajua sana kuongea
@veronicacyprian5489
@veronicacyprian5489 4 жыл бұрын
Mungu akuweke uchebe wewe una busara Sana mungu atazidi kukuinua na uo msimamo wako wewe nimwanaume haswa unamsimamo na kifua pia hongera kwa ilo
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 4 жыл бұрын
maasha Allah...mwanaume kalelewa busara nyingi zimetumika katika maneno yake...Allah akujaalie subra kakangu kila lenye shari ndani kuna kheri.
@mwanaidyibrahimu8861
@mwanaidyibrahimu8861 4 жыл бұрын
Amiin Allah amjalie aliye mwema inshaallah
@aminasalum1954
@aminasalum1954 4 жыл бұрын
Ahuwez Amini alikua mkirsto kasilmu kawa Muslim
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 4 жыл бұрын
@@aminasalum1954 maskini
@jamilasaidi1020
@jamilasaidi1020 4 жыл бұрын
We ni mwanaume acha nayule mdangaji hana jipya atajutia ipo siku
@ramlaomar7923
@ramlaomar7923 4 жыл бұрын
Mashaallah ka uchebe mungu amkupa hkma na busaraa mungu atalta kheri inshaallaah
@uwimanacitegetse9926
@uwimanacitegetse9926 4 жыл бұрын
Awi huwondo uwanaume💞💚👌🏽 nimependapale umemstili aliyekuwa mkewe nikweli silazima kilakitu uwekewazi kwenyemtandao🤝🙌najuwawengi walikuwa wanasubilia uyamwageyote 😂inje
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 4 жыл бұрын
Uchebe umefanya niendelee kumpenda mume wangu wallah😭umenigusa wanaume kama nyie mpo wachache mno Allah azidi kuwapa moyo na kustahamili ya dunia awape mema Aamiin😍
@mariamyusuphu5434
@mariamyusuphu5434 4 жыл бұрын
Niwachache kweli aisee namm nampenda wangu aiseee ndoa ni uvumilivu tu Mungu atusaidie wote
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 4 жыл бұрын
@@mariamyusuphu5434 Allahumaa Aaamii uchebe hana ubaya tu kwa shishi bali kuna mema ambayo amefanya wallah najua nakuelewa hayo yote ila naamiin.....Allah atamlipia yote yote shishi hatokaa apate mume kama huyo abadani ataishia kulizwaa😭
@chekeleeismail2294
@chekeleeismail2294 4 жыл бұрын
Jaman uchebe ni mwanaume kamili kbs yani awe na subra mung atampaa mke mzuri mwenye heshima na maadili mema inshaallah
@ZaharadaffaZaharadaff
@ZaharadaffaZaharadaff 4 жыл бұрын
Zama we ni msikivu sana nakupenda sasaiv saut iko vzr big up
@shamimhassanzimzimahuyokij4521
@shamimhassanzimzimahuyokij4521 4 жыл бұрын
Kwaujuzi wangu uchebe anajificha na dini lakini ukorofi anao
@lutfiarashid8770
@lutfiarashid8770 4 жыл бұрын
Kweli hasaaa...lkn kwa mtu ambae hajui atabeba tu hayo maneno yake na kusahau maneno si vitendo
@fatmaalmujhairu1977
@fatmaalmujhairu1977 4 жыл бұрын
Kabisa anaonekana kiundan mkorofi ila anajua maadili yadin hayo ndio yanayo mfichia ukolof wake
@emmanuelzao
@emmanuelzao 4 жыл бұрын
Unaweza kuwa sahihi, ila mm naona ni mtu anaependa kusimamia nafasi yake kama mwanaume. Ukileta usenge lazima akuzingue lakini kama huna mambo mengi ni mtu peace sana.😎
@esthermachangu4970
@esthermachangu4970 4 жыл бұрын
Huyu ni type ya wanaume wakorofi maneno mazuri mengii ila anaonekana mkorofiii mnooo
@joycejohn7650
@joycejohn7650 4 жыл бұрын
Mashalla uchebe amejibu maswali bila kukurupuka na kupaniki kajib ipasavo
@rayaali7551
@rayaali7551 4 жыл бұрын
Daah sijawahii kumuona kijana mwenye nidhamu na uungwana kama huyu MWANANGU UCHEBE KWANZAA ONGERAA SANAA ila zidi kuwa muungwana ilaa mmungu akuzidishie subra na kuwa na moyo wa ujanadume rijaali inshaallaah mmungu atakujaalia mke mwema mwenye kheri na wewee kwakwelii GOMBE LA MJII HALIFUGIKI ZIZINII so liache likazuzukee na mji dunia ipo inamsubirii kiila lenye kupeperukaaa liache liende mwenye kheri mmungu atakuandalia tuu NSKUPENDA SANAA ASHRAFF
@rahimalewe2835
@rahimalewe2835 4 жыл бұрын
Olewa na yy uishi nae ndio usifu😂😂😂
@evelynerwebangira7327
@evelynerwebangira7327 4 жыл бұрын
Mashauri kua mke apigwiiiiii, unaempenda. Mwambie ukweli hata kama viip
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 4 жыл бұрын
Siku atakayo mpiga mwanao ndio utajua huyu ni nyoka mwenye sumu kali Mikono yake iko na evil
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
Raya ww ni mwanamke haifai kusema hayo. Huyo unaemuona ww gombe la mji aliamua kuolewa na alimuheshimu na kumpa mapenzi yote mumewe. Na kama kakosa adhabu yake ni kudundwa? Maana kile sio kipigo ni kudunda na sio mara moja. Ngoja mwanao au mtu wako wa karibu adundww hivyo ndo uje hapa umsifu huyo bwana. Acha kujichetua bibie
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 4 жыл бұрын
Aisee,wanawake sisi. Hivi ni ngumu kiasi gani kuelewa huyu kaka ni ana matatizo? Then uko hapa unamdhalilisha mwanamke mwenzio hivyo. This guy control freak,and very manipulative ndo mana mko hapa mnamtetea na pia ana low self esteem, so ingekua ngumu kuishi na Shishi.
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
Nakupnda zamaeadi jomoni 💃💃unajua kumuhojimtu Uchebe God bless u 👏 Namuona shilole siku akiojiwa ataropoka adibasi 🤣🤣🤣 a to aca atanukta
@christinelihavi7923
@christinelihavi7923 4 жыл бұрын
Big up Zamaradi..Good work,I Love you
@rahmarashid5635
@rahmarashid5635 4 жыл бұрын
Masha Allah Mashallah Ashraf umeonesha utu WA hali ya juu hujamkashifu itakavyokuwa wema na ihsani kubwa mlitendeana alikuwa mkeo juu ya mitihani uliotokra ikumbukwe kuwa shilole alifikia Hadi ya kutamka kupigana pale mumewe alipokuwa anaona anavunjiwa heshima ama dharau na alikuwa anatoa onyo Kali Kwa mumeww shilole pia amebadilika mno tayari alikuwa kishaelwkwa kwenye mapishi hata kuliko mziki sheytwani tu mrudie Ashraf mkeo ukajichumie Pepo yako hata shilole ana Imani kubwa mdomo ndo tulivyo sie wanawake hatujitambui tunaweza kusema niwache lkn mwanamme uwe na subra ndio maana talaka akapewa mwanamme maana sir wanawake hatuna uvumilivu ninwepesi mno usipoteze Pepo yako Ashraf umefanya jihad kumtoa mwanammke kwenye janga na kumtoa njia usimsikilize ya walimwengi sikiliza nafsi yako mlipendeza Sana wwnyenu napenda na Aya unavyozitoa Allah akusimamieni weye na mwenzio zuwena
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Welldone uchebe...usifurahishe walimwengu ...endelea kumstiri huyo hana akili anataka kuwafurahisha instagrammers
@mkiwamkiwa3570
@mkiwamkiwa3570 4 жыл бұрын
Kweri kambis
@haidarymidevu6218
@haidarymidevu6218 4 жыл бұрын
Hakuna kitu kizuri km kuisoma dini yako na kuielewa big up sana uchebe nimekuelewa sana
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 4 жыл бұрын
Asante sana wiki iliopita niliomba utuletee uchebe now umemleta ubarikiwe sana love uuuuu mungu anipe mwanaume kama uchebe anajielewa sana mwanamke ukitaka kushindana na mwanaume utapigwaaa tuuu mwanaumw awe na kipato asiwe nacho atasimama kwenye nafasi yakee nimependa uchebe hatak kusema mapungufu ya mwenzie mm niliachana na mme lkn sijawah kumzungumzia vibaya zaidi zaidi huwa namsifia sana sabab mapunguf yake inabak kuwa siri yangu mpaka nawachanganya watu wanashindwa kujua tuachana kwa sababu ganii
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 4 жыл бұрын
Usimuangalie mtu kwa nje
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 4 жыл бұрын
@@vivianlucas6389 we namjua kwa ndani uyo ndio mwanaume mshazowea kusikia bwawa yure malaya mlevi mpate vya kuandika
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 4 жыл бұрын
Saw,
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 жыл бұрын
Ww ni mwanamke unae jielewa hongera xn
@hawa4968
@hawa4968 4 жыл бұрын
Wewe ndugu muombe tuu Allah subuhanah watallah akupe MUME mweny dinah wahulkah watabiyah
@asteriaslaa5482
@asteriaslaa5482 4 жыл бұрын
Huyu mwanaume anajielewa saana.ni MTU anayejua nn maana ya ndoa na mambo ya ndani.kiukwel ana staha zake.mtaratibu.hayo mengine staki kujua.all in all I love u uchebe.
@neemasumari4711
@neemasumari4711 4 жыл бұрын
Ingekuwa mwijaku angemwaga yote hapa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lisajohns9301
@lisajohns9301 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hii mwisho
@justinelazaro4864
@justinelazaro4864 4 жыл бұрын
mwijaku ni kama bahari haikai na uchafu
@reinerodero2727
@reinerodero2727 4 жыл бұрын
Kabisa
@radhiamussa8803
@radhiamussa8803 4 жыл бұрын
Swadakta uchebe malipo ni hapahapa duniani mungu hajalala utalipwa kheri kaka Inshaallah yatapita maisha yanaendelea
@shadiayunus9859
@shadiayunus9859 4 жыл бұрын
Wallah uchebe sio mjinga, kuna kitu. Kamsitir na ikitokea akasema wallah kuna familia zitavurugana shilole ana mambo meng na ifike hatua amuogpe mungu hipo sku ataulizwa, tyu,. Shishi ana mambo meng san na ajatulia hta kidg. Hta unaona kabisa kwamb hana stara ya mdomo , kwaio mtu wa hivo ugomv auwez kukosa
@benbenedict2720
@benbenedict2720 4 жыл бұрын
Shishi anajulikana na kila mtu makosa yake na mapungufu yake yoote kayaanika nje. Mtu mwenye dini mwenye busara aliwezaje kumtongoza na kumuoa Shilole? mwanaume anayeoa mwanamke mpumbavu ujue yeye ni mpumbavu kuliko huyo mwanamke aliyemuoa. tena hiyo ndoa ya pili inavunjika. Wenye akili wataelewa.
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 4 жыл бұрын
Kabisa
@pillkassimwakike2474
@pillkassimwakike2474 4 жыл бұрын
kabisa Yani siku atakayo funguka ucheb daah watu watakuwa kimnya
@shadiayunus9859
@shadiayunus9859 4 жыл бұрын
@@pillkassimwakike2474 kabisa
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
@@benbenedict2720 nimekupenda bure kwa kweli ubarikiwe. Jibu dogo lkn maana lina maana kubwa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 4 жыл бұрын
ManshaAllah ww ndugu Uchebe Allah atakupa wenye kheri na ww anae jielewa kama ww .mwanaume kama ww niwachache Allah azidi kukuongoza Allah awape janat ferdaus wazazi wako walio kulea vizuri
@wemakalamu3538
@wemakalamu3538 4 жыл бұрын
Wengine mnatoa povu huyo ndie mwanaume rijali mushazoe kuzalilishwa mitandaoni mwenyeezi mungu amtangulie uchebe kwa kumstiri mwanamke
@janeejjs9345
@janeejjs9345 4 жыл бұрын
Ni kweli
@fallymetoo191
@fallymetoo191 4 жыл бұрын
Allahumma Ammin
@hjhj6230
@hjhj6230 4 жыл бұрын
Naam
@sharifusaidi1603
@sharifusaidi1603 4 жыл бұрын
Kuna watu wanajifanya hawajui Kama mtu ata awe na Imani vp inafika wakati mtu anashindwa
@wardaally7644
@wardaally7644 4 жыл бұрын
Amiin
@reinerodero2727
@reinerodero2727 4 жыл бұрын
Asante sana uchebe.
@mukamirubi1015
@mukamirubi1015 4 жыл бұрын
Honestly Zama your questions wow! Gal your pinning the guy down but in a good way 👏👏 This uchebe guy HERI! SHARI! is a punchline he Likes it so much 🤣 lets just not judge matters related to 2 people but all in all violence against WOMEN is wrong PERIOD!
@salmashiraz6456
@salmashiraz6456 4 жыл бұрын
Zama opra wa tz I really like the way she conducts her interviews
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
I thought he was born in maka the way he talks about Islam? Kumbe he was born a Christian he just turned himself 9yrs ago. This guy haaa.
@mukamirubi1015
@mukamirubi1015 4 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 🤣🤣
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
@@mukamirubi1015 He can preach Islam more than those Arabs
@mukamirubi1015
@mukamirubi1015 4 жыл бұрын
@@damariszuckschwert9489 🤣🤣🤣 his punchline is HERI & SHARI so funny all time favourite lazma he uses these 2 words
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 4 жыл бұрын
MaashaAllah Uchebe anajielewa sana...ana amini sana Allah..tumeshajua ukweli hicho hicho kidogo ulichosema wenye akili tumefahamu..Allah atakusitiri
@narizadimasoka1510
@narizadimasoka1510 4 жыл бұрын
Yani mimi na mupenda sana anajieshimu san 💞💞💞💞💞💞💞👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌
@hidayah1295
@hidayah1295 4 жыл бұрын
Yani Uchebe u naongea kwa utulivu sana mungu akuzidishie
@saidhamad533
@saidhamad533 4 жыл бұрын
Watu wamezoea kusikia siri za watu kaa upande wangu nimependa umejibu kisomi na kistara ila coment nyingi zinatak uchimbue yandani kwako
@ferdausferdaus2055
@ferdausferdaus2055 4 жыл бұрын
Kwani alimkuta ni masikini hana ata kandambili nakawaida mke na mme kusaidizana sio makosa
@fatumakassam1492
@fatumakassam1492 4 жыл бұрын
Ulienda kutafuta kiki
@newmuscat1698
@newmuscat1698 4 жыл бұрын
@@fatumakassam1492 ujielewi kiki ya nini wasanii wakike niwatu Wa kupuyanga
@johnnydepp3218
@johnnydepp3218 4 жыл бұрын
@@newmuscat1698, achana na hao wambeya wa Tz roho zina wauma Uchebe kawanyima umbeya Uchebe anajielewa na akiweka mambo yote wazi hao hao wambeya watasema ana dhalilisha wanawake
@newmuscat1698
@newmuscat1698 4 жыл бұрын
@@johnnydepp3218 kabisa bro Yaani wabongo ni shidah mtupu Aisee
@khadijayusuph9316
@khadijayusuph9316 4 жыл бұрын
Mm nimekupenda tu bure uchebe nafuatilia intetview zako sana unajua kujbu ksom na unahof ya mungu naomba mung anijaalie nipate mume kama ww jmn,lve u uchebeeeeèe😘😗
@kingcobra9238
@kingcobra9238 4 жыл бұрын
Uchebe wewe ni mwanaume ktk ya wanaume na wewe unawajua sana kina HAWA maana hawakawii kutoa ulimi kinywani kuupeleka puani safi sana. Uchebe unasifa ya kua mwanaume kati ya wanaume (( UMEJIBU KWA KUTUMIA ELIMU YA TASWAUFU SAFI SANA ))
@tatuathmani883
@tatuathmani883 4 жыл бұрын
uchebe mungu akulinde akupatia mke mwema siwamitandao nakupenda sana kaka angu mungu akusaidie
@ladiyahylton3010
@ladiyahylton3010 4 жыл бұрын
Wow this men said doesn’t want to talk what is you’re problem live him alone please
@ashahussein3247
@ashahussein3247 4 жыл бұрын
Tell them Ooooo...
@hyasintapeter204
@hyasintapeter204 4 жыл бұрын
Wanaume kama hawa wachache sana Mungu akujalie uchebe
@elarifmohamed5681
@elarifmohamed5681 4 жыл бұрын
Ta bien parlé vraiment dieux a vous teprotege inchaalah 🍹🍹🍹
@florahosea6583
@florahosea6583 4 жыл бұрын
Nilimwambia utahojiwatu wote nawatakuropokea Mambo Yao ya ndoa nasio uchebe leo umekutana na nkoki masta wewe unapenda kuongealea yamwenzio yako ukiulizwa unaficha Leo umepambana na kichwa
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 4 жыл бұрын
Zamaradi wew n anchor shupavu ulie bobea,,Uchebe ana busara kujibu maswali kwa zamaradi lakin kwa wengne anakua jeuri....Zamaradi Asante mummy kwa kazi yako nzuri.
@aishamussa2563
@aishamussa2563 4 жыл бұрын
Zamaradi anajua mnooo kuuliza, Kuna namna Leo uchebe amejibu vyenye maana,
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Aisha wajina wa Mama yangu Yaani Zama ni professional reporter kuna vitu uchebe kajibu bila kutaka wakati mwingine hajajibu kabisa
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 4 жыл бұрын
Zamaradi ni brand anajielewa and I think Uchebe kampa heshima hata kufanya interview hivi
@aishamussa2563
@aishamussa2563 4 жыл бұрын
@@mwanajumaomahundumla6504 kabia yaani mwanangu
@aishamussa2563
@aishamussa2563 4 жыл бұрын
@@nellymatalanga5033 she is next levels
@pillyomary6127
@pillyomary6127 4 жыл бұрын
Uyu kaka anaakili nyingi sana na anaufahamu mno mungu akuongoze hapo ndo utajua umuhimu wa kuwa kalibu na allah
@ashaphiliph8084
@ashaphiliph8084 4 жыл бұрын
Kiukweli uchebe kutokea achana na shilole ananawiri keep up bro
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 4 жыл бұрын
Sana anapendezaa anawaka
@fraziamsonge4492
@fraziamsonge4492 4 жыл бұрын
Sana tu Lile shuga mamy lilikua linamnyonya kijana mashallah
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 4 жыл бұрын
Tenaa San yupo vzuri mashaallh
@fatmafaki5665
@fatmafaki5665 4 жыл бұрын
sana tena wallah
@karthala6676
@karthala6676 4 жыл бұрын
This guy is deep mashaAllah. Mungu atakupa mke wa hkeir naweye InshaAllah
@mwoney1
@mwoney1 4 жыл бұрын
Wallahi dada kapoteza Mme..Mungu amnusuru
@neemapaul8559
@neemapaul8559 4 жыл бұрын
Huyu ndomwaname sasa hana koo lakike safi sana mungu akusimamie manake unajitambua nakujielewa. Usijali mungu atakupa mke mwema
@anisiakayombo5851
@anisiakayombo5851 4 жыл бұрын
Dah kiukweli wekaka unabusara japo pengine yawexekana ulikosea lkn unajielewa mno Mungu akupe zaidi busara na uzidi kuwa na uelewa zaidi
@fediliaulomi4969
@fediliaulomi4969 4 жыл бұрын
Kwanza uchebe anaonekana yupo romantik sana kwa mwanamke uyo shilole atamkumbuka tuu
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 4 жыл бұрын
Shilole kaweka dunia mbele hana malezi kabisa wala dini Allah atakupa mke mwema ishallah
@munnawwaryaqub8524
@munnawwaryaqub8524 4 жыл бұрын
Wewe ungekua na dini ungemuombea na shishi Allah amuongoze, na huo ndo uisilamu, na kila mwanadamu anamapugufu yake, hakuna aliye kamilika, ndo maana ikawe kwa Tobba
@KhadijaKhadija-uc2uw
@KhadijaKhadija-uc2uw 4 жыл бұрын
Wewe mwenye dini
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
Umeona ya shishi kwa sababu yuko mitandaoni ebu na ww leta yako tupate kukuhukumu. Nyie ndio mnafanya wasio kua waislam watutukane kwa ufinyu wenu wa elimu ya dini. Sasa hiyo kashfa kwa shishi ndo uislam? Wacha kujichetua
@fatmas7338
@fatmas7338 4 жыл бұрын
@@susanejd7775 labda nisaidie kidogo hapa kweli wa sio waislamu wanatudharau lkn kabla ya wao kutudharau ss wenyewe tyshajudharai kwanini tuweke mambo yetu ya ndoa kwenye mitandao wakati vyombo vya sheria vipo na vinafanya kazi vizuri tujiangalieni sana wanawake wa kiislamu maana Allah alishasema kwenye Qur'an tukufu wanawake ni fitna kubwa katika dunia kwahio hili.halitafutika mpaka tujirekebishe tabia zetu sio lazima kila kitu.kuweka mtandaoni bora kufata sheria iwe za kidini au serekali ni maoni yangu.tu
@susanejd7775
@susanejd7775 4 жыл бұрын
@@fatmas7338 uchebe angetaka stara asingeoa msanii. Wasanii ni kawaida vitu vyao kua hadharani. Kwa hili sijapenda shishi kwenda mitandaoni. Lkn kilichomfanya afike huko. Ameshapigwa sana akisuluhishwa na watu wzke wa karibu mmoja wapo makonda. Lkn uchebe keshapata pancing bag hawezi kuacha. Na shilole kashindwa tena kuvumulia. Mbona mara zote hizo hatukukua? Ina maana shilile alificha
@nickjuma3937
@nickjuma3937 4 жыл бұрын
Hongera Zawadi kwa interview nzuri! naona zile kelele za miziki naona umeiondoa! safi sana!
@nickjuma3937
@nickjuma3937 4 жыл бұрын
am sorry not Zawadi ni Hongera Zamaradi!
@nasranoti08
@nasranoti08 4 жыл бұрын
Amazing interview 🙏💪
@wardambaraka1289
@wardambaraka1289 4 жыл бұрын
Yani uchebe kaaa unanikosha baba Yan napendaga interview zako unajielewa kaka angu mungu atakupa wakufanana nawe brother
@thefarahatlifestyle
@thefarahatlifestyle 4 жыл бұрын
Daaah mie sikejeli, sikuukumu Maana Mi sio Mwenyezi Mungu, Sina dharau. Uchebe fwata moyo wako. Ni Sunah kuoa na pia kumbuka Mwenyezi Mungu ameikashifu Sana Talaka,, hapeendi ndoa inapovunjika. Kaa unahisi shilole ndo Muke anao kufaa basi Mrudiye mkeo. Ila kaa ni chungu kuishi naye Allah Kareem. Mwenyezi Mungu atakujalia Mke InshaAllah. INTERVIEWS Zako zote nimefatilia na za shishi. Ila Ndoa inataka subra aise. Nakupenda bro,, Tena zaidi ya vile unavo jibu maswala moja kwa moja kwa utaratibu. InshaAllah Mwenyezi Mungu akuongozee kila dakika.
@sarahtony3937
@sarahtony3937 4 жыл бұрын
Nakupenda bure uchebe Mungu akupe mke mwema
@husnashaibu6312
@husnashaibu6312 4 жыл бұрын
Mashallah so nice Kikubwa subra, uvumilivu, pia hofu ya Mungu unayo simamia msimamo wako bro penye zito panawepes wake. Mtihn moja ya kipimo cha maisha.
@jescahaule4802
@jescahaule4802 4 жыл бұрын
Uchebe nimwanaume anae jitambua dhahil hongera
@abuubakarsaid9410
@abuubakarsaid9410 4 жыл бұрын
Zama nakukubali Sana upo vizuri Sana Tena Zaid ya Sana sidhani kma uchebe engefunguka hata kidog Kama usingemtafut Ila amefunguk japo kwa asilimia chache Ila kafunguka kiasi
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kafunguka Nimekuelewa Shishi anatakiwa ajitasmini sana
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 4 жыл бұрын
Kama mkiriti kaupata toka utotoni.Ndo maana ana mtoto alipokuwa na umri wa miaka 14...so Mimi nadhani Shilole mtu wa utani sana HASA WANAUME NA KUKATA MAUNO .Uchebe alipaswa alitambue kabla hajamuoa.huwezi kumbadirisha mtu hili na amesha komaa.
@fatmaabdully1425
@fatmaabdully1425 4 жыл бұрын
Zama nakupenda sana ww dada mwz munguvakusimamie na kukufikisha mbali panapokufaa
@tatuathmani883
@tatuathmani883 4 жыл бұрын
zamaladi wajuwa kumuelewa uchebe ningumu sana huyo uchbe nimuisilamu amabae kashiba hofu yamungu hawezi kutowa mamboyote kwenye mitandao
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 4 жыл бұрын
Uchebe mashalllah mashallah
@hawahashim8241
@hawahashim8241 4 жыл бұрын
Shilole Akae kujua Anaistawisha Bastani ya Uchebe yakwakwe inanyauka Cjui Ataenda jibu Nn kwa Allah Naikiwa Allah Amempa kila mjawake Bostani yake Aje kuidumia Na kuitunza Apa Duniani Napale tutakabyo legea kwakwe Atatuuliza Vp ii Bostani yako Mbona imasinyaa Shilole Atamjibu Nn Mungu Mwanamke Mwenzangu Wallah
@solangekubota9487
@solangekubota9487 4 жыл бұрын
Sasa shishi mwanzo mwisho ana makosa tu 100% tuache ku jaji ya ndani
@zenasaidy3168
@zenasaidy3168 4 жыл бұрын
Allah akuzidishie subra inshallah kila lakher mungu atakupa mwanamke bora chagua wenye din achana na watu wadunia
@irenejeremia6483
@irenejeremia6483 4 жыл бұрын
Nimempenda majibu yake,Ukigombana na Mwenzio usiweke yote wazi maana huwezi kujua lbd mtakuja kurudiana,hivyo yuko vzr 👍
@nishawangaiwangai9765
@nishawangaiwangai9765 4 жыл бұрын
Masha Allah uchebe una hekima sana Allah atakupe wako karibu Kenya bona tuko wengi twataka kustirika
@zebusdaughter8158
@zebusdaughter8158 4 жыл бұрын
Pongezi kwa zama! Nice voice , calm interview kisomi zaidi. Mi interview mingine yaani hata hamskilizani minyimbo sjui madebe tu ndo unayoyaskiliza , interview ikiisha kichwa chote kinawaka moto lol. So nextime put natural sound like birds sounds, ocean sound yaani hapo doh! Ni maoni tu mpenzi
@saraharon3053
@saraharon3053 4 жыл бұрын
Nakupenda uchebeee kiswahili chako na unajibu vzr kwa akili ya ndani kabisaaa
@mariahkingu4508
@mariahkingu4508 4 жыл бұрын
Shilole angetuliza kichwa alikuwa amepata mwanaume kwakweli kwa umri wa uchebe angemuanika vibaya Sana mkewe ila maskini kijana anahekima kubwa mno shilole jitafakari Sana kwani ndoa zote zinamisukosuko
@mwanalimagamunda997
@mwanalimagamunda997 4 жыл бұрын
Kweli kabisa,hakuna ndoa iliyo nyooka ila ni kupambambana na kustiriana,na ndio maana uwa tunafunzwa kabla ya kuingia kwenye ndoa sababu lazima makosano yawepo.
@munnawwary757
@munnawwary757 4 жыл бұрын
Mashaallah Kaka Ashraf nakupend Sana Kwa ajil ya Allah pole San subra muhm mung atakup anaestahik
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 4 жыл бұрын
Never trust someone who was divorced before, you must use inner eyes. Kumbe aliingia uislamu miaka 9 iliyopita? Anavyouongeleaga huwa nafikiri amezaliwa maka🤭🤭😁😁😁
@neemakisumo9867
@neemakisumo9867 4 жыл бұрын
Huyu Ni mnafiki halali tu Shilole amuache
@johnnydepp3218
@johnnydepp3218 4 жыл бұрын
@@neemakisumo9867 una muita mtu mnafiki kwa habari za kusikiya mitandaoni? jiongeze wewe acha habari za kusikiya naku judge watu unachuma dhambi za bure, kama humpendi mtu afadhali ukaye kimya
@nurukauzen1721
@nurukauzen1721 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanaidhassan9977
@mwanaidhassan9977 4 жыл бұрын
Acha kukurupuka dada
@mariamissa1974
@mariamissa1974 4 жыл бұрын
Huyu mdada nampenda Sana anahoji mtu ki hikma Sanaa👌❤️
@aslamomaryy2955
@aslamomaryy2955 4 жыл бұрын
Hollaaa 👍 uchebe upaparik ktk kuongea upole na busara ata ivyo kwan kuna ndoa gani ilokua haina matizo mpak shilole amfokee sna uchebe!?
@johnnydepp3218
@johnnydepp3218 4 жыл бұрын
Shilole hajieshim kumbuka kipindi ana pendana na Nuhu Mziwanda wamealikwa kwenye sherehe tatizo ndogo ana mzaba jama makofi mbele za watu amshukuru Ucheba ame jaribu kumbadili leo hiyi watu wana muheshim
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 4 жыл бұрын
wallah ukweli wa uchebe umenifanya nikose comment good 👍 👍👍 👍 sana kaka uchebe 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lighnessmrisho1525
@lighnessmrisho1525 4 жыл бұрын
Uyu kaka ana hofu ya Allah hongera sana.
@rehemamhina2199
@rehemamhina2199 4 жыл бұрын
Mashaallah nimekupenda sana mwz mungu akufanyie wepesi uchebe japo nimeckiliza leo
@mozaummy327
@mozaummy327 4 жыл бұрын
Zama nakupenda upo vizuri sana
@rahmakhalifa9217
@rahmakhalifa9217 4 жыл бұрын
Hii ilikua njia mungu anakukatisha zindi kumcha mungu utafanyikiwa sana kwa imani yako alaa atakupitisha
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 7 МЛН
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 27 МЛН
Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1
32:44
YahStoneTown
Рет қаралды 170 М.
NYUMBA ZA LUGUMI ZAPIGWA MNADA
8:56
FRANCIS DANDE (Habari Mseto)
Рет қаралды 3,9 М.
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MATOLE TV
Рет қаралды 34 М.
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН