Salehe apunguziwe mshahara maana hana ratiba yakununua chakula😂
@chizylove929010 сағат бұрын
Huyu kuimba kuongea mondi mtupu hii inakuaje
@beatricejohn165910 сағат бұрын
No.1❤️look was perfect
@beatricejohn165910 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 eti napanga mito
@user-sn6dc9gh8k12 сағат бұрын
Mama Opah❤ maua yako🎉🎉🎉❤❤
@aminakassim83113 сағат бұрын
Eti kuna mtu anaungwa bando La wiki 😅😅
@rachelmuhehe778915 сағат бұрын
Jamani tuishi kwa amani, jirani ni ndugu.
@zeranchimbi280816 сағат бұрын
Imenitoa machozi😢😢😢😢
@zeranchimbi280816 сағат бұрын
wanasubiri wafe ndio waje wakupe pole na kukemea kinafiki
@sund255320 сағат бұрын
Hii ndoa unadharauliwa hadi na walinzi mi hapana haki uwiiii
@user-tq4kr6tp9j21 сағат бұрын
Ivo ndovitu vya maana ume weza dada wasanii wakubwa hawana ivo
@najmqhamisi563721 сағат бұрын
Nandy usingoje mtu haliye kusaidiya hakuhombe kitu toha shukurani mungu hazidi kukuhogezeya baraka nandy dada yangu heshimu sana silazima pesa hapa mawasiliyano yasimu nimuimu sana aki nandy
@AdomCenter23 сағат бұрын
Mm
@hahmadhabibu2076Күн бұрын
Diva Hana uclass hata kidogo , stupid drama, and no respect to your man at all…. Who raised u😮
@mwavitasimba6647Күн бұрын
pkklml
@taturamadhan5940Күн бұрын
Mume anashida huyu
@spreadlove5300Күн бұрын
Hebu punguzeni ku judge watu 😮😮 hata kama anaongea sanaa it doesn't harm any of you here 😮😮
@charleshotay8229Күн бұрын
Pia Mimi nimejenga nyumba zangu zaidi ya milioni 100, ila sasa namuomba Mungu azidi kuniweshesha nijenge gorofa langu nzurii, na miaka 32 I believe in God I will 🙏
@user-gw5id3kj2mКүн бұрын
GoldBoy. comments
@cessianthony2644Күн бұрын
Mnakosaga vya kuhoji..😂😂😂😂
@nancytuni1206Күн бұрын
Zur babaake mtupu
@sofiasimbasimbasofia2420Күн бұрын
Mumeo mshezi mshez duh siku kitakapo Kutoka mikononi ndio utajuwa diva jifunze kujibu wacha kuropoka
@steveabel5819Күн бұрын
Jamani diva ndo utembee peku bila viatu🙌😂 15:55
@ashaali7154Күн бұрын
Eti Sheikh my foot. Hajijui wala hajitambui. Hovyo tu aache kuchezea dini kwa manufaa yake huyu taahira mtafuta umaarufu kupitia wanawake hayawani asiyeijua hata dini yake ina maana gani. Akiachwa na Diva amekwisha kama alikotokea mpumbavu huyu.
@rehemaomary6631Күн бұрын
Wanawake cc wajinga sana
@upendommbaga7070Күн бұрын
Diva katika kosa aliwahi kufanya duniani ni kuolewa na huyo kaka.. yaani hapo ndo heshima yake ilipopotea kabsa
@user-vz6kk8id2fКүн бұрын
Km nijirani mama samweli umempata Kwenye ulimwengu wasasa majirani watakusema kwenye uovu tu ila kwenye matkio ya hivyo hawapogo Kiukweli mama poo 🎉🎉🎉🎉 upo vzuri
@user-vz6kk8id2fКүн бұрын
Jirani nimekupend❤
@siscarmaguno2044Күн бұрын
Mmmhh hatari sanaa 😪
@awatifalghanim1106Күн бұрын
Jamani Serikali inawapa Wanawake wakati MGUMU sana.
@user-xk7vy4gb6gКүн бұрын
Mama mtoto km upo tayari nikupe namba za siro na waziri gwajima km ipo tayari njoo inbox
@user-xk7vy4gb6gКүн бұрын
Kwakweli Rais Samia tunakuomba upaze sauti kwa Askari police. Police wanapewa rushwa na watuhumiwa. Pole Sana mama. Police wanajua kila kitu nyuma ya panzia
@awatifalghanim1106Күн бұрын
Sasa hiyo muziki ya nini inatuumiza vichwa. Ahhhhh
@ShabanMaindeКүн бұрын
Salehe
@maryamtanzania9743Күн бұрын
Mama wa mwisho kaniliza sana pia nyi ni majirani wema sana