#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 62,223

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#EXCLUSIVE: MAALIM SEIF AELEZA YOTE, NANI MSALITI CUF, LIPUMBA, MBOWE, LOWASSA...
MWENYEKITI wa chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif, leo Machi 18, ametembelea ofisi za Global Group na kufanya mahojiano kwenye kituo chake cha redio ya mtandaoni cha Global Radio kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo siasa hapa nchini...
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 131
@mwinyibakarisenkopwa931
@mwinyibakarisenkopwa931 4 жыл бұрын
Hongeraaa Maalim Seif Sharif Hamad
@zakiasalim6800
@zakiasalim6800 4 жыл бұрын
Alhamdulilah leo ndio nimefaham kuwa ulihama chama cha cuf hapo ulipo rabbi atakufunguliya njiya utafuzu kwa uwezo wake Allah
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Hongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia kubwa INSHALLAH
@nassorsoltero3072
@nassorsoltero3072 4 жыл бұрын
Maalim asante
@prospermiraji8473
@prospermiraji8473 4 жыл бұрын
Sawa sawaaa!
@polloz77
@polloz77 4 жыл бұрын
Safi sana Malim kwa majibu ya hekima Respect Sir Ndoo Tanzania ya Leo kukiwa na shida ya nchi tutakuwa wamoja kwa ajili ya Tanzania
@jonathanfrancis2385
@jonathanfrancis2385 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Maalim Seif inatia raha sana kukusikiliza na pia watangazaji wangekuhoji kwenye hadhi ya kiongozi Mkuu Tanzania sio kiutani utani unaweza kubadilisha histori ya nchi
@zakiasalim6800
@zakiasalim6800 4 жыл бұрын
Aa.nimefurahi sana kuna sura zako tena na mahojiyano mazuri na kupongeza.bado tuko pamoja niko kenya mombasa
@professamuddy5407
@professamuddy5407 4 жыл бұрын
Uzuri wa viongozi wapinzanzani hata wakiulizwa maswali magumu na waandishi wa habari huwa hawajibu kwa jazba. Ila viongozi wetu wa chama cha serikali wakiulizwa maswali magumu huwa wanajibu kwa jazbaaaa!! Sijui sababu ni nini??
@frankyunia1809
@frankyunia1809 4 жыл бұрын
hongera sana
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 4 жыл бұрын
Hahahaaaaa mwenye Zanzibar yake
@gabidoset7710
@gabidoset7710 4 жыл бұрын
Huyo ndio raisi wa Zanzibar
@Mshindi-f46
@Mshindi-f46 4 жыл бұрын
Umekosa cha kupinga na kukosoa
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Huyo mzee na Lowassa ni sawa sawa 100%... Huyo babu anapewa marupurupu 18,000,000/= kwa mwezi.., Nyumba bure, gari mpya bure , mafuta ya gari bire , dereva wa gari bure na waLinzi watatu ambao ni maofisa wa usaLama wa taifa...!! Anauhadaa upinzani tu.. huyo ni Joka La Mdimu...!!
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 4 жыл бұрын
God please you Zanzibar president
@hassandeuj2517
@hassandeuj2517 4 жыл бұрын
Mzanzibar halisi maalim seif nashkur kukuona hata kweny tv maana saiv muda mrefu sjakuona baba unajificha sana wngine hatuwezi kukaa hata kwa siku tatu bila kukuona
@mariyam2023
@mariyam2023 4 жыл бұрын
Vizuri
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 4 жыл бұрын
Hawa ni Aina ya wanahabari tunaowatarajia tanznania. Maandamano ni haki na polisi ni wajibu wao kulinda. Serikali ya Tanzania imejiharibia sifa na ndio kitu kizito wanachokifikiria hawajuwi wataanzia kimya chao kinawapa aibu.
@esthermadata966
@esthermadata966 4 жыл бұрын
Mimi nimekaa Pemba ukimtoa mungu anayekubalika ni maalim peke yake hakuna ccm wala ficcm
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 жыл бұрын
Nyinyi waandishi munamashaka Sana mwenye Zanzibar ni sisi wenyewe si seif aliewaulisha wapemba...😭😭😭😭😭
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 4 жыл бұрын
Aliewaua wapemba ni CCM Mkapa
@mbaroukrashid6201
@mbaroukrashid6201 4 жыл бұрын
Ally usitukane wazee wa Watu na wako watatukanwa kuwa mstaarabu acha chuki
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Yeye aliwaulisha sawa Lkn si wauaji walitarajia Lakini kin
@bakariahmadi9645
@bakariahmadi9645 4 жыл бұрын
Acha kauli za uwongo chungadomo lako muwongo mkubwa wewe
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 4 жыл бұрын
Raisi wa wazanzibzri, kipenzi cha watu
@josephmwaruanda6379
@josephmwaruanda6379 4 жыл бұрын
Bora umetoka kule mwache Lipumba aendelee na pumba zake
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 жыл бұрын
Ndio tunajali amani wewe maalim kumbe muharibifu Sana kumbe.... Ata watanzania wanapenda amani
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 4 жыл бұрын
Unamatatizo ya akili. Yaani kasema watanzania ni submissive, wamelelewa hive na propaganda za ccm. Ukipinga unaonekana hupendi amani. Kwa hio ndio akasema watanzania wanapenda amani. Kuna jambo gani kaashiria watu wavunje amani? Zaid ya kusema tusiwe wakimya wakati katiba inavunjwa, na inahusu suala la kwanini hawajaenda Mahakamani. Akasema watanzania hutupendi taabu. Yaani kama hufahamu usipende kucoment si kaa kama watanzania.
@bakariahmadi9645
@bakariahmadi9645 4 жыл бұрын
Wewe aly huna akili bumburu tupu
@gracesakila4395
@gracesakila4395 4 жыл бұрын
Maalim seif Raisi wa zanzbar
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 4 жыл бұрын
Muandishi kua na heshima na maswali yko.. his attutude is negative towards him
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Mwambie atueLeze aLiyoongea na mwaLim J.K Nyerere mwaka 1994...!! Wakati uLe aLipouLizwa aLisema ni siri yake , Lkn baada ya miaka 20 ataisema hadharani , mbona mpk sasa hajaisema ni sasa ni miaka 26 ..??!! Huyo mzee ni MNAFIKI KULIKO ABDULLAAH BIN SALUUN....!!!.
@abdulhamidhaji5056
@abdulhamidhaji5056 4 жыл бұрын
OK, hata na wewe ni mnafiki, Kama c mnafiki jiulize, Mara ngapi umshasema uongo??
@bakariahmadi9645
@bakariahmadi9645 4 жыл бұрын
Wewe zaid ya mnafki bwege weee
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 4 жыл бұрын
Maalim Seif yupo ngangari
@chavalapetroleum6594
@chavalapetroleum6594 4 жыл бұрын
Ohooo utaambulia kushindw
@lucky9285
@lucky9285 4 жыл бұрын
Kura za Prof zinapungua kila uchaguzi since 1995 😂😂😂
@makelelezombi947
@makelelezombi947 4 жыл бұрын
Ccm tushaichoka Zanzibar Maisha. Kamatupo gwaride hakuna lolote mwenye pawa ndo anatesuwa
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 жыл бұрын
Makelele Zombi pumbavu zenu mwambieni huyo Babu yenu afanye ibada pimbi nyie
@salamakhamis8092
@salamakhamis8092 4 жыл бұрын
Mumekutana na MTU wakumuuliza maswali
@mudhihirumikidadi6066
@mudhihirumikidadi6066 4 жыл бұрын
Haosiyo wapinzani haoni mamluki wa ccm huwezi kuingia uwanjani haliyakuwa refa lanzimeni makamisaa ndo makochawatimu pinzani
@mwanalelee6
@mwanalelee6 4 жыл бұрын
WW ulovaa shirt ya draft unajuwa kuongea vizuri maashaallah ila hupo serious 1. Unacheka cheka ovyooo 2. Unafanya utani km vile mtoto 3. Maswala yako km Yana chuki ndani yako 4. Unabishana na maalim yeye anaongea hiv ww unalazimisha Mm CCM PURE ila nampenda maalim yupo muwazi ,ana confidence za kutosha istoshe haogopi chochote hata km sifahamu juu ya siasa ila napenda utulivu wake hapandikizi chuki anaongea huru, All in all watangazaj punguzeni zarau, pia kuweni makini huyo ni mtu mkubwa analindwa na mausala wa taifa,
@dislausmahenge455
@dislausmahenge455 4 жыл бұрын
yaani wewe umeona kama mimi yaan huyo mtangazaji mwenye sharti ya draft kaniudhi mpaka sijamalizia kuangalia design kama anachuki yaani uliyoyaongea hata mimi nimeyaona
@amanmohd9435
@amanmohd9435 4 жыл бұрын
Nimeupenda Mjadala ....
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Haya hiyo ua vitambuLisho anavyosema aLipeLekewa maLaLamiko yy akiwa makamo wa raisi jibu Lake aLiLotoa : aLisema: Wabunge wapeni rushwa masheha iLi wawape vijana vitambuLisho....!! AnagaLia upuuzi wake huo....!!! 😢😢😢
@alizahranmohd4095
@alizahranmohd4095 4 жыл бұрын
apo kwenye ubaguzi kwenye ajira na kupata vitambukishi vya mzanzibari ni ishu sana kw wapinzani kupata. zenji ccm wameizidisha ubaguzi
@khamismussa6308
@khamismussa6308 4 жыл бұрын
Doh! Uyuu majaa anaaki sana katika kuongea kama hauna akili vizuri unaweza kumuelewa vibaya
@burkardkayombo5271
@burkardkayombo5271 4 жыл бұрын
Mwl; Kwa nini hukujiandaa kabla, kuanzishaha Chama chako, badala ya kuingia Chama ambacho mbele huenda kikakwana?
@doctorkisale9430
@doctorkisale9430 4 жыл бұрын
WEWE muandishi unauliza swaligani Hilo kwani kafu niyasefu kafu Ni yamapalala swala lamtu kuhama CHAMA nijambo la kawaida
@khadijasuleimanseif9012
@khadijasuleimanseif9012 4 жыл бұрын
Ccm tushalichokaaa jamani na znz watu ndio hawaitaki haswa
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
hata ss tumelichoooookaaaaaaa!!!!!!!!
@mdmohiuddin6488
@mdmohiuddin6488 4 жыл бұрын
Maalim hujajibu suala unandang'anya watu hakuna mtu yoyote atakae toka nje akafanya fugo
@talibsaid8081
@talibsaid8081 4 жыл бұрын
Huyu jamaa kishapoteza fahamu kilafi cha madaraka alijifanya km CUF ni chama chake, muongo wewe hukufujuzwa Bali kamati ilimchagua lipumba na wewe ukaiwacha CUF
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 4 жыл бұрын
Talib Said kama huna la kuongea nyamaza 2
@abdulkareemseif667
@abdulkareemseif667 4 жыл бұрын
Sawa si yupo act kuna tatizo
@kidaumtumbwi1128
@kidaumtumbwi1128 4 жыл бұрын
Talib huna kumbukumbu hukumsikia marehemu khalifa alisema wazi kuwa tumemfukuza maalim seif cuf kuwa sio katibu mkuu tena wa cuf na si mwanachama wa cuf.
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 4 жыл бұрын
bora uishi akhera kuliko nchi hii
@halimanassra8010
@halimanassra8010 4 жыл бұрын
Dhulma itaendelea kama kawaida mpaka viongozi wajuu wa ccm wakubali kuitoa serikali pale wapinzani mtakaposhinda wala vyama vya upinzani msisem mtaingia madarakan vyvyte itakavyokuwa ili hali dola ipo mikononi mwa ccm.
@oxtinho159
@oxtinho159 4 жыл бұрын
Mzidi Kupanuka 😂😂
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 4 жыл бұрын
asa Maalim unakumbuka shuka Asubuh!!!???
@babueddyothman300
@babueddyothman300 4 жыл бұрын
Tumechoka naxiaxa zixizoeleweka kama vipi nibora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja! Upinzani hauna manufaa nchini mpetu.
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Huyu mzee sio tu ana uchu wa madaraka baLi ana roho mbaya km nyoka aina ya ANACONDA...!! Pia ni dikteta kuLiko aLivyokuwa BOKASSA...!!Kama akiwa raisi wa nchi watu wataomba kiama kishuke kuLiko fitna ya huyo mzee...!!
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 4 жыл бұрын
Hawezi kumfikia Magufuri
@saidmassoud856
@saidmassoud856 4 жыл бұрын
Kaliwe
@bakariahmadi9645
@bakariahmadi9645 4 жыл бұрын
Wewe zaidi kada wa ccm mjingaweeee
@bakariahmadi9645
@bakariahmadi9645 4 жыл бұрын
Wewe mwandishi usimuwongopee mungu kuweni waadilifu mungu ameshampa kupitia wananchi wa zanzibar ila hamutaki kumpa haki yake na mungu atawahukumu katika hili
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 жыл бұрын
Wote hao ni wasaliti watupu. Period !!!!
@mbonireamina6497
@mbonireamina6497 4 жыл бұрын
Shirika hili lazima lifilisike kwani lilianzishwa bila mibaraka ya Watanzania. Wakati ndege zinanunuliwa bila ridhaa na makubaliano ya Wabunge ambao ni wawakilishi wa Watanzania na Makubaliano ya Kimataifa. Wabunge lazima mhoji ndege hizi zimeingizia nini Serekali. Mimi nilisema jambo la kwanza kuanza ilitakiwa Hosipitali ili watu wasiende India. Jambo la pili mitambo ya kuchimba madini ili kutoa ajira kwa vijana. Utalii wa Tanzania unawwakera wengi sana na Watalii wanashindwa kuja nchini kwa ajili ya bei zetu ziko juu sana, mahotel ghali mno na miundo mbinu mibovu sana. Kwa mifano hai: Hotel za Tanzania zina bei mara mbili ya bei zilizoko nchi jirani; Sopa Lodge Serengeti na Ngorongoro chumba cha watalii wawili kwa usiku mmoja no dola 500$ wakati Masai Mara Kenya chumba hicho hicho ni dola 280$ kwa usiku mmoja. Mgeni anapolipa safari ya Tanzania anatozwa bei ya juu sana maana kuna kodi kubwa. Muongoza Watalii anatozwa kodi wakati analipisha mgeni na wakati mgeni nanaingia hifadhini. Kodi hii ya asilimia 18 ni kubwa mno ukilinganisha na uchumi wa Dunia hivi sasa na pia ukilinganisha na nchi zingine zenye wanyama kama wa kwetu. Barabara zetu ndani ya hifadho ni mbovu mno ukulinmganisha na wenzetu wa South Afrika ambao kwa mwaka wanapokea Watalii zaidi ya milioni 16.65 wakati Tanzania ni 1.2 milioni. Kinachochangia sisi kukosa walii wa kutosha ni Siasa mbovu za CCM. Uliona watu Binadamu akipotea kama mbuzi. Tanzania Demokrasia ni sawa na 0+ hakuna Demokrasia na Watanzania wanashangilia. Angalia watu kama Polepole anafananisha Watanzania wenzake waliopo vyama vya upinzani kama "CORONA VIRUS". Hawa viongozi wa CCM wanatakiwa wwashitakiwe katika mahakama za Kimataifa tena kabla ya uchaguzi 2020. Wapinzani mnasubiri nini kwa kauli hizi za wazi wazi. Acheni mikutano yote ya hadhara fungueni kesi Baraza kuu la Umoja wa Mataifa na ICC. Hii ni dharau kwa Watanzania ambao hawako chama cha CCM.
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 4 жыл бұрын
Watanzania hawapendi amani ila ni Waoga kwa dola. na kujitambua kisheria ni muhimu.
@hamidomar7474
@hamidomar7474 4 жыл бұрын
MALI MUNGU AKUWEKE
@Zanzibar_quiztv
@Zanzibar_quiztv 4 жыл бұрын
Amin
@jeranibanzi2127
@jeranibanzi2127 4 жыл бұрын
Bado anakinyongo huyo
@jabirikilagilile9799
@jabirikilagilile9799 4 жыл бұрын
Pamoja sanaa Lucas
@mdmohiuddin6488
@mdmohiuddin6488 4 жыл бұрын
Na amani zanzibar ni kwa sababu watu woga
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Mwandishi muuLize huyo mzee aLikuwa makamo wa raisi kwa miaka 5 aLiwasiadia nn wazanzibari...??!!
@japhetmichael2379
@japhetmichael2379 4 жыл бұрын
Hivi nyie kila saa mnafikiria mambo ya mikutano mnadhani hata ningekuwa baba mwenye nyumba ningeruhu kila mtu awe na amri yake! That iz shem so rais wetu mzuri saaaaaana
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 жыл бұрын
Wewe Maalim fanya ibada achana na mambo ya kidunia huyo mwenzio hata ATHARI ya kufanya ibada inaonekana,ulivyo humuogopi Mungu watu wanaume wapumbavu kama wewe walitoa talaka na kuwaacha wake zao eti kisa wake zao wapo ccm na ulivyojinga hukukemea wala kuwaambia wasifanye hivyo ili hali unajua kabisa Mungu anaichukia talaka hiyo ni kama ulijitakia mkosi mwenyewe na bado utahangaika sanaaaa
@mbozochinyama4525
@mbozochinyama4525 4 жыл бұрын
Hassan mirambo ushikeadabuyako maalim si saiziyako
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 жыл бұрын
Saidi Ali ni kweli maalim si saizi yangu ninachofaham huyo jamaa ni saizi ya dada zako,vipi hapo volume tuongeze?
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 4 жыл бұрын
nyinyi waandishi hicho cha shen hata mwaka hakifiki wadudu nyinyi
@kassidpandu9806
@kassidpandu9806 4 жыл бұрын
Hatujaunga mkono mlitulazimisha tuu
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 жыл бұрын
Hali Si nzuri maalim wewe mtu mzima ina maana unasema hi nchi afadhali kuishi nchi za jirani BURUNDI RWANDA SUDAN'S CONGO MSITUNI south Africa makaburu au wapi ??? Mhariri gani unaekubali hoja??? Mhariri makutu duuu
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 4 жыл бұрын
Amesema hivyo? Au kasema na katoa ushahidi kwamba mikutano ya hadhara na maandamano ambayo katiba inaruhusu. Lakini serikali imepiga marufuku. Binaadamu bwana yani wewe hizo fact za hali ya siasa, umeruka vurugu za Burundi, kasema hali so nzuri kwa sababu democracy imebanwa. Wewe unamaji kwenye kichwa. Sikiliza kwa makini kabla ya chuki Zako. Chuki kitu kibaya sana.
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 4 жыл бұрын
Na hata mifano katoa wakati wa Ali Hassan, Mkapa na Kikwete walikuwa na uhuru. Na kasema Wao wamezuiliwa mikutano ya hadhara lakini hata ya ndani . Na akasema yeye kanfanya mmkutano wa ndani Pemba Kaitwa na Police. Wakati Bashir na Polepole wanafanya watakavyo na sio mawaziri. Hali hio ndio mbaya kwa siasa. Hata hili umepata kupenyeza chuki zako. Be aware of jealousy . Mtume saw. Anasema akalieni sana jealousy. Ina kula mema kama moto unavyokula kuni. (Abou daud).
@wilukilomsumi3441
@wilukilomsumi3441 4 жыл бұрын
Huyo mzee,,Ana uchu na madaraka.hafai...
@ibrahimfrank1382
@ibrahimfrank1382 4 жыл бұрын
Iipumba kama namuona vile
@juvicufjumuuiyayavijanacuf9538
@juvicufjumuuiyayavijanacuf9538 4 жыл бұрын
Mtu tangu 1995 yuko na nyinyi leo kutoka miezi kumi tu ndio mumtoe fadhila ? Ama kweli tenda wema wende zako
@husseinally5880
@husseinally5880 4 жыл бұрын
Eti hawamu
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 жыл бұрын
Mtu hatari unaekubali hoja etyy kwelly nakuunga mkono munaonewa ????
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Ally , naona unajitekenya kisha unacheka mwenyewe.
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Huyu babu yuko ktk ardhaLi L'umri.. hana tena kumbukumbu.., yy aLihama chama akaingia ACT na aLijisiFu eti ni maamuzi magumu...!! Wakavamia ofisi za CUF wakazishisha bendera za CUF na Kuzichoma moto bendera za CUF hadharani .. !! Leo anasema kafukuzwa CUF...!! Ameshakuwa mgonjwa wa akiLi kwa 95%..!!!
@kidaumtumbwi1128
@kidaumtumbwi1128 4 жыл бұрын
Nakumbuka wakati ule lowasa alipogombea urais kwa ticket ya chama cha Chadema kila mmoja alimbeza wengine wakatamka kuwa hana umri tena ni mgonjwa na karibu atakufa lakini sasa wale walosema hivyo wao washakufa na lowasa mpaka leo yupo anadunda. Sasa na wewe unaesema maalim keshamaliza umri basi ujuwe kuwa unaweza kutangulia na ukamuacha maalim anadunda kumbuka kuwa ALLAH is great
@mkundwaafile1826
@mkundwaafile1826 4 жыл бұрын
Mzee nafiki uyoo
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 жыл бұрын
Unaona Dr Shein aLiwaita wenzake iLi washauriane Lkn yeye aLikwenda peke yake.. Na akiambiwa kwann unakwenda peke yako...???!! Akajibu kuwa yeye ana akiLi kuLiko CCM wote...!! Huo ni ujuha wa highest degree...!!
@nassoursaleh3144
@nassoursaleh3144 4 жыл бұрын
wewe mjinga alikua anabanwa wakati ni waziri kiongoz asifanye mazuri
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
MTU.mwenyewe.chuki.hatokei.kama.magufulu.mpaka.kauli.zake.za.kiroho.mbaya.mbaya.kama.yy.ndio.alikuja.na.tanzania
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 жыл бұрын
Nyie wahariri tayri mumeshawaona wanasiasa mawazo yao kua amani inawauma??? Vyama vya upinzani ni vibaraka tuuu
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 4 жыл бұрын
Bora ya vibaraka kuliko Chama Cha Majambazi
@allyzanzibar5742
@allyzanzibar5742 4 жыл бұрын
Mhariri una matatizo Sana wewe
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 4 жыл бұрын
Upinzani Wa tz hauaminiki hata kidogo, acheni wazoefu Wa kuongoza nchi sio ninyi,
@majuramusiba.7968
@majuramusiba.7968 4 жыл бұрын
Mbona alisema Hali ya kisiasa im ebanwa kwa hawamu zote ,na Sasa anasema hawamu zote tatu zilikuwa vizuri mbona haeleweki huyo.
@fangnassra
@fangnassra 4 жыл бұрын
Acha ushabiki msikilize vizuri amesema katika awamu zote awamu hii ndio imekuwa mbaya zaidi ana maana awamu zote ni mbaya lakini sasa ubaya wake umezidi
@saidjadidaljadeed8582
@saidjadidaljadeed8582 4 жыл бұрын
Si hawamu ni Awamu jamani Kiswahili gani unatuandikia
@jumasalim8595
@jumasalim8595 4 жыл бұрын
SAFI SANA WACHENI UPOFU DUNIA MAPITO
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
Alive.uwa.wapemba.ni.ccm.wakiongozwa.mkapa.hata.nyie.watanganyika.mnajua.kwa.roho.mbaya.na.udikteta.wenu
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
huyu mzee anamatatizo sn hajielewi
@almostgoro564
@almostgoro564 4 жыл бұрын
Mariam Songoro....!! Ww Songoro huna ulijualoo kaa kimyaa Songoro ww 😂😂
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 жыл бұрын
Labda hujielewi ww na ukereketwa wako,ila asiemuelewa huyu..hatoweza kumuelewa yoyote yule,jitathminii
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
@@johariabdalla3319 jitadhmini ww kabla yakunijibu mm kwanza, pili hata ww ni mkereketwa ndiomana umenijibu mm, tatu ww na huyo mzee wako nyote hamjielewi na mtaishia kupanusa tuu ila kiti hamkipati na hata mjinadii vp sisi ndio sisi nyie ni mafisi2 choooo nyieeeee
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 4 жыл бұрын
@@MS.independent8934 kwahyo ww una yako na shutuma tu,na chuki binafsi pamoja ukereketwa,ila narejea tena usipomuelewa huyu huwezi kumuelewa yoyote yule,mm nimemaliza
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
@@johariabdalla3319 kwani umeskia mm ninashida yakumuelewa huyo mzee? nyuwa limesha zama kwako namba zimesha sogea akatubu kwanza, alafu ww chawa jibishana na wajinga wenzio mm sio saizi yako nitakuchafuwa popo weeee, ina onyesha dhairi wapinzani walivyo waroho wa madaraka hatakama ubri umekwenda wanataka wakafie kwenye box la kura2 duuuuuj poleni sn mta bwabwaja sn nabadoooooo
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 4,6 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 20 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 44 МЛН
отомстил?
00:56
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
RSS ഉം ADGP ഉം!''ഗം'  | #GUM | 13 September 2024
19:57
asianetnews
Рет қаралды 226 М.
UMEWAHI KUDATE MTU WA REGGAE? | MC JESSY
7:54
Churchill Television
Рет қаралды 7 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
EP 130 - امین سلامی پرگو | Founder of oFood «گلرنگ»
2:27:52
The Prophet Muhammad in the Bible with Dr. Ali Ataie
1:57:38
Blogging Theology
Рет қаралды 156 М.
Grand entretien avec Dominique de Villepin
1:03:33
Journal l'Humanité
Рет қаралды 499 М.
Open to debate: Harris and Trump clash
52:33
The Economist
Рет қаралды 6 М.
What is the Real Story of Unemployment in India?
1:32:02
The Wire
Рет қаралды 10 М.
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Денис Кукояка
Рет қаралды 4,6 МЛН