Hizi kauli za Freeman Mbowe "Heche ananitukana, Lissu ananitukana au Lema ananitukana" ni za ajabu kidogo na kizushi sana aisee. Kwa sbb sisi sote tunafuatilia majibizano ya interview na hotuba zenu ninyi nyote. Hakuna mahali umetukanwa brother. Sijaona wala kusikia tusi lolote kuja kwako Mzee Mbowe toka kwa watu hawa labda kama huwa wanakutukana kwa njia zingine zisizo wazi kwa wote. Wanachofanyaga hawa wenzako Mzee Mbowe ni kusema kasoro na mapungufu ya uongozi wako, basi. Sasa kama hayo ni matusi, basi una kazi kweli kweli kwenye uchaguzi huu. Na kumbuka mko kwenye harakati na kampeni za uchaguzi. Usitegemee wapinzani wako wakuimbie na kukupamba kwa mapambio. Unachotakiwa ni wewe au timu kampeni yako kutoka na kujibu kila tuhuma inayoelekezwa kwako. Ukikaa unalialia hapo na kurusha lawama zisizo na kichwa wala miguu, utapigwa chini au utaomba afande Muliro aje akusaidie kushinda tarehe 21 shauri lako!!!
@ihanomadili6 сағат бұрын
Hajatukanwa kitu yeyote ile, kwani mtu kukupinga uongozi wako ndjo kutukanwa?
@happymushi44936 сағат бұрын
Mbowe very smart...wanayao hao vijana
@DonaldMartin-v9v4 сағат бұрын
Rafiki yangu Mbowe pumzika uwe mshauri wa Chama.
@maxmilliannoel26052 сағат бұрын
Mbowe is very smart . Kuongoza watu kwenye taasisi ukiwa mropokaji na msikiliza majungu mnakuwa chama cha migogoro isiyoisha ndicho kitatokea kama Lissu akishinda
@MasanaSamwel16 сағат бұрын
Heche kwetu ni Bora
@JohnJacob-k6e16 сағат бұрын
Mbowe we ni mzuri ila kwa sasa una chembe cha ccm mbona vijana wako wanaisha ila upo kimya, muache heche anakuheshimu sana.
@SaneMwezi15 сағат бұрын
Unafikiri hao wataishinda ccm 😂😂 wote njaa tupu tu
@AgustaZaile17 сағат бұрын
Mbowe unazingua
@seifabdulwahid457914 сағат бұрын
Wanachadema nakwambieni mm siyo Chadema ila Mbowe sawa na Lipumba wanatumika ccm ,Na mtanielewa baadae
@AgustaZaile13 сағат бұрын
@seifabdulwahid4579 upo sahihi
@didaslunkoto11 сағат бұрын
Broo uko sahihi kabisa , na umefanya kazi kubwa sana, lkn miaka 21 inakutosha sana kuwa mshauri wa chama mwachie TUNDU LISU aendeleze mapambano
@JCMaxima10 сағат бұрын
mapambano au vurugu?! Lisu ni mtu wa vurugu tu! 🤷🏾 😅😅😅
@chodaschodas6570Сағат бұрын
ungekua wewe ungeacha mnaongea kwakua nyie sio yeye na aupo apo ayo ni maisha 😂😂😂 shauli enu jifanyene washauli tu
@shivoly809834 минут бұрын
Acheni sanduku liongee,,,,namba hazidanganyi
@dennisungonella20516 сағат бұрын
Kosa la mbowe ni kutosoma alama za nyakati, kujenga viongozi bila kuwapa nafasi sio sawa
@ThomasMmary-r7w13 сағат бұрын
Museven mbowe😂😂😂
@ChristerKok14 сағат бұрын
Nilimsikia Heche akisema kuwa Mbowe alimjenga vizuri.
@davidpastory11924 сағат бұрын
Mzee umepaniki sana, Heche kuwa upande wa lissu hajakutukana, na hajawahi kukutukana hata kidogo 😢😢
@johnemmanuel413712 сағат бұрын
Mzee ulimchagua kwa quality yake sio kwa sababu ya upendo wako cha msingi achia chama au acha kiwazike na hakika hamtaamini uchaguzi mkuu ujao
@daudimchileg3075 сағат бұрын
Safi
@PrinceHendry-hp8vv15 сағат бұрын
Freeman museveni mbowe
@emmanuelfari892415 сағат бұрын
😂
@ThomasMmary-r7w13 сағат бұрын
😂😂😂😂museven mbowe
@JCMaxima11 сағат бұрын
Freeman Merkel Mbowe! Xi Jinping Mbowe! Freeman Poutine Mbowe! Général De Gaule Mbowe! Napoléon Bonaparte Mbowe! 😅😅😅😅❤❤❤❤
@AwardHakimu48 минут бұрын
😂😂
@Tanzaniayangu-g8v12 сағат бұрын
Mhe Mbowe kiukweli unavyoongea unaonekana umewasaidia vijana wengi kuwakuza kisiasa, ni jambo jema, nakuomba kwakuwa washakua ni muda wa ww kupumzika na kuanza kuvuna matunda ya malezi mazuri, maana wanawakilisha hisia za watanzania walio wengi kwa yale wanayoyatamani ndani ya taifa lao kuona yakitendeka.
@EricTrillz13 сағат бұрын
Hata wewe wamekutengeneza sana.MZEE PUMZIKA KAMA FAMILIA YAKO ILIVYOKUSHAURI.
@domstiker27424 сағат бұрын
Atapumzika kwa kukosa kura ila sio kwa kupenda kwako wewe
@HamzaMbasha-xs2ky12 сағат бұрын
Heche hajamtukana huyu mzee Kachanganyikiwa
@SeverinepauloPeter4 сағат бұрын
Hajatukanwa saa ngapi
@SeverinepauloPeter4 сағат бұрын
Mzee umechanganyikiwa
@thadeipeter259212 сағат бұрын
Leo umekimbia interview ya Kazi
@kirariwilanya185016 сағат бұрын
John Heche hajakutukana kabsa ww Mbowe,alafu kama Yuko konyagi vile? Alafu inasemekana huyu anabusara sana kwenye public lakini huko kwenye chama ni Mtu tofauti kabsa
@judicatemasaki762316 сағат бұрын
Brother tunakuelewa ila mda umefika pumzika utatutuuzi
@marymremi10515 минут бұрын
mzee mbowe tulia Mungu anakusudi na kila hatua za maisha ya mtu achilia vyote usitengeneze maumivu hata afya yako haina uzuri tena lakini ujue Mungu anakujua tafuta amani ya moyo wako tunahitaji uwepo wako hata utoke chadema Mungu akulinde
@GodfreyMwamaso14 сағат бұрын
Pumzika salama mbowe
@nyandamisana363016 сағат бұрын
Tulia mzeee muda umeisha wew
@MAGIDACHIMIJA14 сағат бұрын
Heche hajakutukana, ila hakuungi mkono kwenye uenyekiti
@MaarifaMagoma12 сағат бұрын
Heche hajakutukana bana tena anakusifia sana
@HamisiMbatyani14 сағат бұрын
Kumbuka heche hakuna mahali amekataa wala kukana kutengenezwa na mbowe ameenda mbali zaidi paka kumuita baba ake kisiasa anakosa gani.
@AlbinMsechu13 сағат бұрын
Hapo anamsemea Lema alivomtuhumu kua anajenga safu
@MerkiorMwakalindile-d8w10 сағат бұрын
@@AlbinMsechu kwani Mbowe ana kiwanda cha kutengeneza watu? Ana maslahi na uenyekiti huyo
@AlbinMsechu5 сағат бұрын
@MerkiorMwakalindile-d8w hata hao wanaoutaka wana maslahi nao, hamna asiye na maslahi na uenyekiti kati ya wanaogombea
@ignasmahundi473415 сағат бұрын
So kweli ukiona watu wazuri unawatimua
@SaidCannal14 сағат бұрын
Mzee ninakuelewa sana, pole sana .sasa tunaanza kuona umuhimu wa mzee magufuli aliona huko kuna watu wa vurugu badala ya siasa.
@daudimchileg3075 сағат бұрын
Mbowe hana njia mbadala watu wanakufa hitimisho hana zake Ikulu tumelidhiana.
Hapo tu kwa maneno yako inaonyesha una chuki na M/kiti
@mathiaszakaria705212 сағат бұрын
Huyu mzee aache uongo yaan umshauri Bob wangwe agombee alaf useme hukuwa na nia mbaya dhidi ya Heche...Tunamtaka Lissu na Heche ww pumzika
@danielspatrick861115 сағат бұрын
Huyu mzee amechoka, apumzike. Kwa hiyo kumsaidia mtu kuna kufanya uwe kamungu kadogo ka pale machame😂. Huyu mangi ni vipi huyu, anataka kuleta za wapi?
@MakoreMusaroche2 сағат бұрын
Kauli za Mbowe ni za kiongozi aliyekomaa
@MahyoroKalokola11 сағат бұрын
Sasa kama uliwachagua watu kwenda kwenye Kamati Kuu ndiyo iwe sababu ya wao kutogombea. Huyu Mbowe kweli amechoka
@JohnSulle-y5j12 сағат бұрын
Sisi wanachadema pia tumekijenga chama kwa kuchangia mia mia,mia Tano Tano na gharama nyingine nyingi na tunasema tunaenda na lisu, ona hata aibu umebaki na chawa wanaokutegemea
@EricTrillz13 сағат бұрын
HIVI MBONA HAJAWAI KUMTUKANA ZAIDI YA KUMSIFIA.MSAADA WA BINADAMU HAPANA UTASIMANGWA TU.
@JosephineKabuka16 сағат бұрын
Ulimtengeneza wewe kwani wewe ni Mungu?
@fakimwakisu15 сағат бұрын
Utakufa masikini
@FahadAbubakari-y3f15 сағат бұрын
@@fakimwakisuwe faki u acha ubwege
@menyengeralesinoi964712 сағат бұрын
Ni sawa na diamond kusema amemteneza harmonize
@josephjohn211412 сағат бұрын
Kwa nn hukumfata Heche kumuuliza ukampeleka Bob Wangwe.?
@ufunuokihongosi448316 сағат бұрын
Mzee kachoka saana
@ambitiousholyspirit395Сағат бұрын
Ningependa sana mh. Uwaachie hiyo nafasi! Muachie Lissu nafasi .
@robertphilip38512 сағат бұрын
Mboe achia ngazi usijipotezee mda
@ignacedaniel420415 сағат бұрын
Hajakutukana hata kidogo
@godwinkasaizi88213 сағат бұрын
Mzee Pumzika huna Ushawishi hata kwa Majani ya mwitu isipokuwa matumizi ya nguvu na fedha
@JahRastafari4333 сағат бұрын
Mbowe ni kiongozi hao wengine wanaharakati. Chadema inamuhitaji mbowe %
@roypeters982916 сағат бұрын
Naona mzee sukari iko juu
@mariambilonkwa518315 сағат бұрын
Usinichekeshe mie jmn
@JoelKilemile2 сағат бұрын
Wanasema ana busara ,Ni MUDA WA kujiuzuru Sasa ili busara yake ionekane.@@mariambilonkwa5183
@bahatielias644316 сағат бұрын
Unazingua sana wewe mzee
@JustineMaganga-p7i16 сағат бұрын
Mzee kumbe una sifa za mugabe hivi
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA14 сағат бұрын
Mheshimu mugabe wewe .. Historia ya mugabe haifanani na huyu mfanyabiashaara wa siasa
@GeorgeAkasha-zx2rj9 сағат бұрын
@@--------GEO_SPORT_EARTH_EAKatiba yao inasemaje?
@elishaobadia88292 сағат бұрын
Usifananishe mugabe na vitu vya kijinga
@PrinceHendry-hp8vv15 сағат бұрын
Mbowe kalewa tena
@officialkinghimself263716 сағат бұрын
Mbowe anaweza akawa Bora ila kunawatu walimhalibu wakaanza kunidanganya Maana Bado anaonekana bado yupo na power
@dennisungonella20516 сағат бұрын
Mbowe abaki mshauri mkuu wa chama
@AlbinMsechu13 сағат бұрын
Power anayo ya kutosha bado
@HabibuNguvumari10 сағат бұрын
Mbowe safi sana
@nelsonlangson3574Сағат бұрын
Hongera sana mwenyekiti.
@happymushi44936 сағат бұрын
Mbowe safi mnoooooooo
@MohamedMohamed-ry6lt13 сағат бұрын
Mnyongeni ila haki yake huyu mzee mpeni he is leader for real
Mzee Mwongo sana huyu. Lini heche kakutukana? achia kiti hicho
@maikojohn-xr5cg5 сағат бұрын
Hivi Mbowe umepatwa na nini au hizo ndizo Hela za Abdul zinakuchanganya shinda CCM washangilie na lichama lako life
@munibullahmarunda13252 сағат бұрын
Wanasiasa Kila anaeongea anaonekana kama ni bora kuliko mwingine. Ila M/kiti wetu simuelewi kabisa
@jamesswai16837 сағат бұрын
Inabidi next interview wamuhoji huyu mzee wetu..atupatie definition yake ya matusi..maana kila nikirejea interview za heche sioni sehemu yeyote aliyotukanwa ..
@sarahsanga18483 сағат бұрын
Yote yapo sawa kwa level zako hukutakiwa hata kukaa kujieleza ..Mzee inaonekana haupo sawa kabisa pumzika tuu
@JohnJacob-k6e16 сағат бұрын
Bob ni wetu pia nafasi yake itafika tu baba yake alijitoa maisha yetu sana wana mara na Tanzania nzima.
@jacksonmtenga12763 сағат бұрын
Hakuna anayesema Mbowe ni mbaya kinachokuhukumu ni wakati
@AlexMkwamaСағат бұрын
Fatilia interview za lissu,Lema,na heche utagundua walichosema
@EmmanuelMushi-t4w15 сағат бұрын
Mbowe n mwenyekit ninayekukubal mnoo pambna us muachie mnyaturu kiti
@FahadAbubakari-y3f15 сағат бұрын
Wachaga bwana 😂
@EmmanuelMushi-t4wСағат бұрын
@@FahadAbubakari-y3f😂😂
@elizabethkikoti72653 сағат бұрын
Tatizo wengi mnamshambulia mbowe na kumuona hafai ipo siku mtakuja kumkumbuka mbowe sio mjinga mbowe anatumia hekima na busara mimi sio chadema but mbowe Nimekuelewa ipo siku watamkumbuka wakumbuke mazuri yake wasiangalie mabaya yake tu
@edwinismail9401Сағат бұрын
Mpaka kuvua miwani 😅😅😅😅😅 Mzee anywe dawa za pressure
@augustinemagesa57435 сағат бұрын
Netanyahu
@geraldlaurent675012 сағат бұрын
Mbowe wapishe wengne kama unadai democrasia Sasa wewe mbona hutaki kuonesha democrasia kwa chama chako
@SidonKombamr6 сағат бұрын
Mmmhhh kwa henje hapo mzee hapn henje mtu smart sana ananiispier mm kujiunga na chama chenu
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp15 сағат бұрын
Mbowe wewe ni ccm wala sio mpinzani
@ThomasMmary-r7w13 сағат бұрын
Mbowe pumzika tu muachie lisu sasa😂
@daudimaembe33603 сағат бұрын
Mwenyekiti anaamini kwamba kwa kuwa aliwapokea na wamekulia ndani ya CHADEMA,basi hawatakiwi kumpinga.
@musaThomas-tt1sw3 сағат бұрын
Hyu jamaa akishinda uchaguzi kutakuwa na mpasuko mkubwa sana ndani ya chama
@daudimichael733813 сағат бұрын
Sawa, hizo nafasi atazitoa Lisu atakapokuwa mwenyekiti. Wewe pumzika mzee, inatosha.
@hollymore49043 сағат бұрын
hivi mbowe unasomaga comment??
@lucasalbertomseti15784 сағат бұрын
Labda kama Heche amemtukana mh Mbowe kwa siri sawa lakini katika moja ya press alizofanya Heche hayo matusi hatujayaskia na mipngoni mwa watu walio fanya press nzuri ni Heche nae anasema wazi kuwa Mh Mbowe amemjenga vizuri sasa hayo matusi yanatoka wapi?
@ngulirose823614 сағат бұрын
Reasoning man.
@musaThomas-tt1sw3 сағат бұрын
Mi ni katibu mwenezi bazara za vijana lakini kipindi cha kampeni mwaka 2020 wanacholalamikia watu hiki chaka ni mradi wa mtu mmoja mbowe kila mtu huyu jamaa bora aachie uongozi
@barnabasmalima48232 сағат бұрын
mwenyekiti wangu mbona unapenda kutaka kushukuliwa tuu yaani wajibu wako unataka sasa kulipwa fadhila hoja hapa ni kuona kuwa wakati wa wewe kupumzika ni huu tunakupenda sana sana unaitajika sana kwenye kamati kuuu
@sananefrank656016 сағат бұрын
Usitufanye sie wajinga fulani
@DanielMgeni-x1z12 сағат бұрын
Mzee utaongea mengi sana nyakati sio lafiki kwako hatunaimani nawe
@PhilipoMwita-b2x3 сағат бұрын
Huyu mlevi kitu cha kwanza hajengi hoja wala hajibu hoja naona anaongea ongea apoteze muda intervie iishe..hivi kweli unasema heche kakutukana ..? Niakili zimekuishia au unatafuta pakufia Mbowe nimtu ambae kimaongezi tu nimtu ambae ukipishanae anakufukuza kwenye chama chake
@Laluma20235 сағат бұрын
Mbowe must go
@ibrahimkibira994313 минут бұрын
John heche amekutukana wapi we mzee??? Ebu tuwekee hayo matusi pumzika legacy yak itaisha vibaya
@isayachawinga10055 сағат бұрын
Kaka uko Sawa kabisaaa kumbuka Fadhila mpe mbuzi atakupa mchuzi lkn mwanadamu atakuuzdhii nimekuelewa sanaaaa ni watoto ndio hawajuiiii Busara zakooo
@FimbombayaKimbwi12 сағат бұрын
Bila Lema kusema using sema ,Kama Bob alikwambia kwanini huku muuliza Heche,
@happymushi44936 сағат бұрын
Kwamba Heche ni mpya kiasi cha kushindwa kusema nagombea mpaka akaulizwe?? Si alishapewa seat maalum
@NobelNnko14 сағат бұрын
You either die a hero or you live long enough to see yourself become a villain-unknown
@josephjohn211412 сағат бұрын
Ulimjenga ili umuendeshe au awe ulimjenga ili awe chawa wako au msukule wako ?
@TITOSAMSON-e7e14 сағат бұрын
Hakuna kitu kinanikera kama mtu kusema kwenye upinzani kuna kutengenezana wakati hapo kila mtu anapambana bila hata Mia kutoka juu
@isakamlimbo2793Сағат бұрын
Unajisifu kutengeneza watu halafu hutaki kuwaachia watu hiyo nafasi.
@Laluma20235 сағат бұрын
Heche hajakutukana so kama unamteua ndo aunge juhudi kwenye mambo ya kihuni? Mbowe must go
@alexbujenja275013 сағат бұрын
Mchaga mchagaa tamaaa mbele sanq
@shijasudania212213 сағат бұрын
Nakuelewa sana baba
@barnaba30373 сағат бұрын
Heche kamtukana nini sasa huyu mzee? Mbona alikuwa anamsema kuwa baba yake wa siasa sema amesema atamshinda kwenye uchaguzi ujao! Mbowe ameshaisha kwa kweli
@leonjuly82424 сағат бұрын
Huyu mwamba hakuna anachoelezea namna atakavyofanya mabadiliko yeye ni anaelezea jinsi alivyowasaidia 🤷🏽 sasa sijui kama aliwasaidia kama anakosea saiv asiambiwe 😤
@franklinkp83912 сағат бұрын
Ajakutukana kasema ukweli acha kuzeeka vbaya we mzee
@Isakamaganigani2 сағат бұрын
Umekonda ndani ya wiki mbili tu mzee baba pumzika
@justinemaingu14604 сағат бұрын
Mh. Mbowe Heche ajawahi kukutukana kama una ushahidi toa crip apo ata moja
@emmanuelmayunga151812 сағат бұрын
Pumzika wew mzee kila siku wew tu,tulishakuchoka now your out of this generation 😮
@emmanuelmayunga151812 сағат бұрын
Freeman Mugabe mbowe
@informationmwambela60654 сағат бұрын
Tuleteee sentensi yenye tusi!!! Kutoka kwa Heche
@PiusJuma-h8r15 сағат бұрын
Mbowe must go 😅
@kelvinmhanga30523 сағат бұрын
Ni sahihi lkn huoni mungu aliumba watu na hawamshukuru hata kuwa wazima
@KEFRINEENOS2 сағат бұрын
Mzee swali kwa Nini unatamaa na uongozi na Kuna kitu gani kinachokutamanisha kung'ang'ania uongozi una hata aibu kweli nikwambie kitu ukishinda ni kwanjia ya lushwa lakini tambua kuwa chama utakianzisha upya yaani najuwa watu wanakipuuza hichi chama
@piusjosephat90023 сағат бұрын
Huyu Hana issue tena .... Pumzika waachie wengine wasonge mbele