JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@ChritinaSambara2 күн бұрын
Christian Sambala
@MwinjilistiPascalSwaionlinetvКүн бұрын
Inasema hili group Ali exist
@NtumigwaMwakyeja2 күн бұрын
Ukimsikiliza lisu hachoshi Mungu ambariki sana . genius
@EmmanuelMlowe-u1v2 күн бұрын
Mi simpendi an Yan sn
@belak9992 күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1vkwan yeye alishakuambia anakupenda?
@bahatielias64432 күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1vndio msiojulijana tu mpumbavu mkubwa
@SaraJinalanguКүн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1v akili za ccm
@masijamajogoro7231Күн бұрын
@Emma, unatafuta kupendwa.
@hajimjaja1163Күн бұрын
Mwamba yupo zaidi ya vizuri sana, Mungu akulinde tanzania Inakuhitaji zaidi kuliko wewe unavyoihitaji Tanzania 🇹🇿
@dorahy1579Күн бұрын
@@hajimjaja1163 hakuna Tanzania inayohitaji mtu mmoja tu. Wako wengi tu went uwezo mkubwa kuliko insensibility wewe. Mimi binafsi diyo mshabiki wake, kura yangu ni ya mtu tofauti Tanzania ina 60 million.
@zawadimbwambo1091Күн бұрын
Tanzania hii. Huyu ni namba moja
@makongorowassira6593Күн бұрын
@@zawadimbwambo1091kwa level yako sawa😂😂 ila kwa walio wengi ni mtu anatoa maoni yake tu😂
@xmathematics_2 күн бұрын
Lissu yupo Positive sana
@williamLuchapa2 күн бұрын
Mim ni ccm na nmezaliwa ndani ya ccm lkn lisu ni mwamba anaakili sana sitaacha kumfatilia namuombea kwa Mungu ashinde na amlinde thidi ya maadui lisu usiogope songa mbele
Tundu Lissu amesema vizuri sana. Mungu ambariki kwa shule hii nzuri.
@patrickjohn502 күн бұрын
Lisu mungu akulinde sana
@ndimuelias61832 күн бұрын
Huyu ndo mwamba
@godfreythomas7153Күн бұрын
Oyaa, nahamia team Tundu lissu😅😅😅
@bahatindimanya3449Күн бұрын
Lissu deserves to be a CHADEMA chairman Wajumbe wasituangushe
@RwelamiraPascal2 күн бұрын
Wacha kukuza ujinga. Asante Lisu kwa kuwafundisha hao wapambe wa kuvunja chama
@samwelkavwanga44912 күн бұрын
Asante kwa elimu
@protamwenyegzaketv74082 күн бұрын
Lissu for TANZANIAN POLITICS
@kelvinmasungakilunguja75392 күн бұрын
Ulizen maswali mmoja mmoja mnaemuliza anakil nying
@florencejohn64272 күн бұрын
Jamaaa sio wa kuulizwa maswali mepesi. Level yake ya IQ iko juu mno.
@bahatielias64432 күн бұрын
Kiukweli Mungu ni mkubwa sana
@TNgwale-eu3xlКүн бұрын
Tatizo la Tza ni kuwa IQ za watu wengi hasa wanaojiita na kuitwa wasomi ni za chini mno aidha kwa kudhamiria kwa maslahi ya matumbo yao au kwa kuzaliwa ndio maana inakuwa vigumu sana watu wenye akili kama Lisu na wanaoona mbele kueleweka na kukubalika kirahisi. Watza uzuzu na uchawa mwingi sana
@mageebwire922Күн бұрын
Waandishi wetu bana sijui wanakuaje kujiandaa kabla ya interview
@kelvinmasungakilunguja7539Күн бұрын
@mageebwire922 Tena kwa lissu lazma mjipange sawa sawa
@samwelkavwanga44912 күн бұрын
Akili kubwa sana
@mwaamwetahussain99472 күн бұрын
Mimi nawapenda viongozi wote WA chadema ila ni timu Lisu
@pendongowi35082 күн бұрын
Lisu nae ni chadema
@Nyanda5062 күн бұрын
Lisu ongoza chama hiki
@bsmonline8482Күн бұрын
Lisu Lisu Siasa za wakati huu zinahitaji Chama kiwe chini ya Tundu Lisu.
@bsmonline8482Күн бұрын
Jamaa wawili wanajitajidi kumhoji vululuvululu ili kumtoa kwenye Reli ila anawatuliza fresh na wanatulia Lisu Big Brain.
@ahmedjaad49408 сағат бұрын
@@bsmonline8482 ndio lengo na waandishi wa habari, na wamefanya kazi nzuri sana
@fredybanda28612 күн бұрын
I promise you're going to win
@florencejohn64272 күн бұрын
Namlinganisha na Mwabukusi kwenye kinyang'anyiro cha TLS. Alifanyiwa figisu kibao lkn alishinda.
@JapharyMawanza-q3qКүн бұрын
Wapiga kura ni hao viongozi wa!mikoa waliojazana jana kwa Mbowe... Mbowe anatumia nguvu kubwa kuhakikisha anashinda kivyovyote@@florencejohn6427
@AlphaBarageti-ru5xjКүн бұрын
Bravo, bravo, bravo Tundu Antipas
@FredrickMkisi2 күн бұрын
Ila lissu akishindwa mm naacha kufatilia siasa wala kupiga kura wengine tunasafiri toka mkoani
@isaacmwaseba9972Күн бұрын
Ondoka mapema hiki chama cha baba mkwe huwezi rithi mali za familia
@lodrickhubert9093Күн бұрын
Napenda siasa za upinzani na card yangu ni CHADEMA sifa ya viongozi wa CHADEMA mahojiano yao yanawapa wandishi uhuru wa kuuliza kila swali atakalo na wanapata majibu. Lissu ni kiongoz ninaye amini ktk hoja zake.Binafsi huu uchaguzi utakua mzuri na imani chama kitaendelea vizuri. Mipasuko inayosemwa ni waupande wa pili.
@frankmtimbwa12902 күн бұрын
Lissu is the best candidate.
@AndreaNzunda-f7o2 күн бұрын
Lisu gombea npo nyuma yako
@kelvinmasungakilunguja75392 күн бұрын
Mbona watangazaj hamjajipanga Kwa maswali mnapiga kelele tu
@oscarfrank83352 күн бұрын
😂😂😂😂
@ezekieljob93272 күн бұрын
Kugombea sio kuongoza ni democracy ndani ya chama wala haina husiano na kubomoa chama.kama wandishi mnakosa maswali yenye uweledi bora mkaa kimya.
@LuciaAgustino-pt5mgКүн бұрын
Demokirasia ndio hiyo inakuja watu tufungue fikiria Zante maalifa mbalimbali
@edsonrugaibula9822Күн бұрын
Kumbuka hapo kuna jaji ambae ww umfikii hata kwa kuimba ba be bi bo bu
@twaahbrown10422 күн бұрын
Lissu genius na wish hata awe President .
@edisonpeter3894Күн бұрын
Kwenye presidence bado hawezi. Nadhani akipata huo uenyekiti itatosha
@LloydsTechКүн бұрын
Impossible future tense 🤣🤣🤣🤣
@ahmedjaad49408 сағат бұрын
@@edisonpeter3894 kwanini bado? hii nchi imetawaliwa na mwehu Magufuli, kama yeye kawaza basi ni kazi nyepesi sana kwa Tundu Lissu
@edisonpeter38947 сағат бұрын
@@ahmedjaad4940 ukiona unamwita jpm mwehu basi ww ulikua ama 1. Mwizi 2. Fisadi 3. Cheti feki Nk.
@ahmedjaad49407 сағат бұрын
@@edisonpeter3894 lol kijana wewe ni mwepesi sana kulishwa propaganda ucheara
@BjleonardBhianda2 күн бұрын
Jamani tuwe wakweli Tundu Lisu ni kichwa.."genius" watu wañamwita mlopokaji..lakini ukimsikiliza kwa makini unapata picha kwamba huyu ni mtu anafaa sana...nimefuatilia sana katika mahojiano mbalimbali kila swali amekuwa anapangua..hata liwe gumu kiasi gani anapangua.
@florencejohn64272 күн бұрын
Jamaa anatisha. Utadhani huwa anajiandaa kabla. Na ccm inamwogopa sana Lissu.
@kakuruchiganga5072 күн бұрын
Watanzania wanapenda watu wenye mizaha na ubabaishaji kwenye mambo serious. Na hao ndo hawampendi na kutokumuelewa huyu jamaa.
@bahatielias64432 күн бұрын
@@kakuruchiganga507kabisa,jamaa nampenda bcoz kanyoka, na huyu tungepata bahati ndio awe rais ukweli angenyosha nchi Kwa kufuata Sheria, amejipambanua kupenda haki na ukweli, Hana udikiteta mbali anasimamia Sheria na haki
@TNgwale-eu3xlКүн бұрын
Wanamwita mropokaji maana hawana uwezo wa kiakili wa kumuelewa. Wengi wanaombeza ni machawa wa CCM na vibaraka wa status quo maana humo ndipo wanaiba na kula. Wanaogopa mabadiliko yatawaanika na kuwabana katika ulaji wao
@MarthaMaressКүн бұрын
A @@TNgwale-eu3xl
@PoliteJustine-s9z2 күн бұрын
My President Lissu
@meshasjaguar61362 күн бұрын
Sisi kanda maalum Tupo na lisu
@emmanuellugenge4408Күн бұрын
Namwani sana yupo ktk masali ya uma.
@ibrahimkibira9943Күн бұрын
We love you LISU you’re future president in Tanzania may Allah bless you ❤
@mangashajunior2422 күн бұрын
Ksskazini tuko na Lissu mpaka Moshi....
@pirminmatumizi54642 күн бұрын
Kweli?? Au wewe ni mhamiaji wa huko.
@zulishoo9496Күн бұрын
Niko Machame tuko pamoja
@kilamegroup29682 күн бұрын
Ulipo lisu tupo
@paulkaje87882 күн бұрын
Excellent brother Lisu
@Gilbert-w9eКүн бұрын
Ningemshauri Mh Lissu aachane na CHADEMA au aendelee kwa NATURE ya CHADEMA..!! Ni wakati muafaka kufanya maamuzi hayo SASA kuliko baadaye
@Expedito2512Күн бұрын
Aisee Mbowe apumzike!
@AnnaFelix-p1zКүн бұрын
Tena ccm ndo wana michango mingi
@AndersonMkuyaКүн бұрын
Mimi ni kada wa chadema ❤❤❤❤ ilaila akipita mbowe nahama chama mbowe Nepali xana miaka 20 mungu mbaliki lisu mbaliki lisu mungu wa eliya atembee na lisu
@SaraJinalanguКүн бұрын
Yaani sio nyinyi wana chadema Hadi huku uswazi kumezizima kwa ajiri ya Lisu
@FrancisThomas-jc8wq7 сағат бұрын
Wewe ni mfuasi wa mtu siyo wa chama,sisi tupo kwa chama na Taifa ni wafuasi wa falsafa,itikadi, na muundo wa chama siyo wafuasi wa mtu.
@AlenKimatuka-p1d2 күн бұрын
Wandishii wa hovyoo
@stevenmuyemba8802 күн бұрын
Kabisa
@yohanakananika3586Күн бұрын
Hovyoooo kabisa, hawajitambui
@williamLuchapa2 күн бұрын
Lissu kiongozi
@aaahadventures4214Күн бұрын
Lissu is super intelligent.
@deniskaoneka2 күн бұрын
Namuerewa lisu
@allyshaban406Күн бұрын
Hizo kelele sio za Lissu ni zenu waandishi na wenye hofu na Lissu.
@nuruabdallah8095 сағат бұрын
Katika jambo lililo nipa furaha ndani ya siku chache za kuelekea kufunga mwaka 2024 niuamuzi wako lisu wa kuchukua fomu ya uwenyekiti wa chadema naamini utashinda go lisu go lisu go lisu💪🏻💪🏻💪🏻🎉🎉🎉
@rebekakulwa6159Күн бұрын
Kwani msigwa. Kinyambe alisifiwa. Na nani lisu ndo habari ya mjin
@richardrugemalira6934Күн бұрын
Tundu Lissu leadership is about intelligent compromise with humility. BUT if you shall want always yr only way as JPM, such strategy is counter productive. Also you MUST tame yr temperament. Its a great MINUS in our contemporary participatory democratic leadership.
@dismasmtui7292 күн бұрын
Lisu amejipanga kushinda kwa kwa sababu anajiona yeye pekee ndiyo mshindi!.
@AlexMkwama2 күн бұрын
Waandishi naona wamemfata lissu ili KUJIFUNZA Sheria na sio kuhoji kuhusu kwanini kaamua kugombea Uenyekiti.
@asajileraphael19512 күн бұрын
Very true
@DismasJohn-o6c23 сағат бұрын
Lisu uko vizuri mno
@bilid4128Күн бұрын
Big up Tundu Lisu 👍
@jacobmwankenja5466Күн бұрын
Mimi ni mwanachama wa Chadema, bila kupepesa macho wala kujidanganya, popote LISU atakapokwenda na mimi nipo, simfuati mtu bali nafuata fikra bora za mageuzi, Mbowe ni sawa kafanya mengi lakini kwa sasa anahitaji kupumzika, hana jipya la kukivusha chama hapa kilipokwama zaidi ya LISU. Lisu akihama nahama naye
@philemonsnyanda9450Күн бұрын
Tangulia kabla hajashindwa ndugu
@thomaskiponda60792 күн бұрын
SIJAWAHI KUJUTIA KUKUPA KURA YANGU YA URAIS.❤❤❤❤❤❤
@MussaAbdi-n9g2 күн бұрын
lisu Sina mashaka na wewe kuhusu uwezo wako wa kuongoza mashaka yangu ni kauli zako hazina tofauti na kauli za rafiki yako aliyeondoka chadema 34:00 Nadi sera tutakuchagua acha kusema mbowe vibaya kilinde chama
@nsubilimusyani8032 күн бұрын
Kamsema vipi vibaya
@bahatielias64432 күн бұрын
Lissu hajamsema mwenyekiti wake sema machawa ndio mnashida
@AliSalim-yu4mo2 күн бұрын
Hawa sio waandishi wa habari bali ni waandika habari!🎉
@stevenmuyemba8802 күн бұрын
They are not professional at all
@Peterchipemba2 күн бұрын
Kipekee lissu ni mwalim wa kipekee
@PauloLaizer-c7fКүн бұрын
Lisu usipopitishwa wewe nahama chama mbowe tunamkubali sana lakini Kwa sasa ni lisu
@MussaRuingoКүн бұрын
Jamani tundulisu Yuko Vizuri sana mbowe apumzike muda huu ni WA lissu kabisa
@dorahy15792 күн бұрын
Na anachukiwa hata na watoto wadogo
@WinstonfyingКүн бұрын
Waandishi wanakosa utulivu, inaharibu interview. Tanzania tujifunze kuuliza maswali mafupi, marlezo ni mengi kwnye kuuliza swali until it’s get out of context. Sorry kwa aina yangu ya comment, no hard feelings. Good Job though!
@usajemwambene17 сағат бұрын
Ni nzuri hii inaafya .
@josephmandelapenet4587Күн бұрын
Hawa waandishi hawako professional. Mh Lissu yuko professional.
@TomasiklistophaMwinuka14 сағат бұрын
Tundulisu umejibu vizuri sana nimependa majibu yako .
@Mtuwawatu1993Күн бұрын
Mabadiliko na Lisu 💪
@AlexMakala-s7kКүн бұрын
Saf sana kaka lisu
@ErickMaximillianКүн бұрын
Fear of unknown inawatesa sana hawa waandishi... Magufuli alikufa.Taifa halijapasuka. Nyerere alikufa CCM haijabomoka. Samia ataondoka au kushindwa Nchi itaendelea kuwapo. Politics are dynamic. Mimi hili Jamaa (Lissu) nimeanza kulipenda...japokuwa nilikuwa nalichukia sana hasa pale lilipokuwa linawatetea ACCASIA. Tulikuwa tunalionea bure. Lissu ni Genius.
@fahamnitwahir92492 күн бұрын
Dah hyu jamaa yaan hata aongee had kesho hachochi kumsikiliza,Yan kila.anachojibu ni sawia
@BIGCHENDREADLOCKS2 күн бұрын
Kweli kabisa ❤
@BeniMwengoКүн бұрын
Akili kama hii ya Lissu hupatikana kwa nadra sana. Mungu akubariki sana kaka. Malaika wa Bwana wapande na kushuka masaa 24/7 kukuhudumia ili kukuimalishia ulinzi na kukunyooshea mapito yako kuuelekea ukombozi halisi wa nchi yetu.
@bakarikimea47112 күн бұрын
Mm akipita mbowe sitak kusikia tena chadema kwenyemaisha haya
@AlfredMatemu2 күн бұрын
Umelipia lini uuanachama cdm
@alisonikihedu96142 күн бұрын
Hata Mimi sitotaka kuwasikia
@hassankidilikia5566Күн бұрын
Mweshimiwa watoto wa jezii hawa ata hakili awana no questions broo
@PeterMgaya-l5h2 күн бұрын
Hawa waandishi walipaswa wafike wamsikilize lisu halafu waage waondoke,wanamuingizia mbu
@simeonmazigo5918Күн бұрын
Big brain 🧠 Lisu🔥🔥🔥
@NETIQIncorporationКүн бұрын
Isu si mnafiki. amenyooka. safi sana
@martinmkoma-zl1iv2 күн бұрын
Lisu do it ..ungekuwa Wa kaskazini ungepita
@AliSalim-yu4mo2 күн бұрын
Kumbe Chadema ni cha Kaskazini?
@aloycemacha98942 күн бұрын
Ni ujinga ujinga tuu acha ubaguzi
@philemonsnyanda9450Күн бұрын
Kwa hiyo wapiga kula wote niwa kaskazini!
@simeonmazigo5918Күн бұрын
Your talking rabies
@HamzaAkilimali23 сағат бұрын
1:19:Mwalimu Nyerere, alitahadhalisha sana Ukabila, lakini kuna Baadhi ya Chama, hapa Tanzania, kusudi lao baadhi ya Wanachama fulani, kupata Rais aliye kabila fulani. Na kabila hilo ktk chama, ndio lenye Matajiri na wachangiaji wakuu ktk Chama kwa kutegemea, mtu wa kabila lao. (Hilo huwenda halina ubishi) . Sasa huyo jamaa yuko upande gani ❓kati ya "A💪💰💷" na "B🤏👌⚪⚪" Kuhusu michango yenye Nguvu kuinua Chama.
@GeraldNyasembe-q2d12 сағат бұрын
Tafakari kabla aujachangia kabila na Cha vnakaaa wp usipende kuongelea ukabila
@richardhosea8827Күн бұрын
Huyu mwandishi kishingo umekwenda kazini au kunepa kwenye makochi ya Lissu uliza maswali
@GabrielMagoya12 сағат бұрын
Ni kweli mbowe ni mwaasisi. LAKINI HUFIKA WAKATI AKUBALI KUSAIDIWA KUONGOZA. NI SWALA LA KUTOA NAFASI KUSAIDIWA. TUNDU LISU ANAFAA KUMPOKEA MBOWE UENYEKITI
@AndersonMkuyaКүн бұрын
Lisu lisu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Mussaphanuel-p1q2 күн бұрын
Nyie sio wandishi wa Habar.nikama hamkosoma.Lisu ana Akili nyingi hivyo mtamchosha
@vellenahfuraha6254Күн бұрын
Tulipofikia tnamuhitaji Lisu sana. Baadhi ya viongozi wa vyama ni machawa na machawi tu. Na vijana wa taifa hili pamoja na usomi walio nao, bado hawajaelewa kulisaidia Taifa hili😭😭wamebaki kulewa tu.
@ahmedjaad49409 сағат бұрын
Wanachadema msifanye kosa la kumnyima uenyikiti huyu mjaa, mkimtenda ACT tunamkaribisha na anapewa uongozi wa chama
@dietrichoswald342 күн бұрын
Huyo anayemwuliza Lissu hana hoja zenye mantiki. Ana upeo finyu. Sasa hoja yake anataka pasiwe na uchaguzi wa uongozi wa juu ktk chama. Nalazimika hao ni wapambe wa maadui wa chadema. Wanatafuta lissu aseme kitu chenye tija kwenye mipango yao michafu.
@gventanzania9548Күн бұрын
Global watu wenu wajifunze kuhoji watu. Inakua mnabishana kila wakati. Si lazima jibu analotoa kwa swali lako liwe unalolitegemea mpe mtu nafasi ya kuongea na unauliza follow up question after akimaliza. Inakua mzozo na we can’t follow the dialogue. Na mpeane nafasi nani anauliza kwa wakati gani na nani anafuata
@simonnjovu5862 күн бұрын
Mbowe unapambana vizuri na hao machawa. Maana wana lengo lao mgongoni.
@AliSalim-yu4mo2 күн бұрын
Kwa mawazo kama haya yako ni vyema mukakitangaza Chadema kuwa ni cha Kisultani
@mlelwa2 күн бұрын
Akili nyingi sana
@DavidDeus-qb2uh2 күн бұрын
😁😁😁😁😁umenichekesha
@GadielKahembaКүн бұрын
Mbowe na viongozi wengene wote wamefanya kazi kubwa sana.lakini mbowe apumzike na awe mshauli mkuu ktk chama.chama kibhuyayeeeee
@komuhsengo9796Күн бұрын
Huyu anayegombea umakamu alishashinda uwenyekiti wa kanda, kipi kilimsukuma kutaka umakamu,sasa nimeelewa maneno ya msigwa, na kwanini lema kuachia ngazi imekuja kufuatia kwa nguvu fulani na hata lissu kuchukuwa from ni baada ya kukataa pesa sasa wametilia shaka, maoni tu
@anosiata82422 күн бұрын
Kwa Sasa lissu ndiye anafaa kuwa mwenyekiti mbowe apumuzike.
@philemonsnyanda9450Күн бұрын
Si usubili uchaguzi ufike
@charlesjishuli43552 күн бұрын
Hivi aliyetoa mchango wa fedha na aliyetoa maisha yake CHADEMA; ni yupi aliyechanga zaidi?
@philemonsnyanda9450Күн бұрын
Wote wanamchango
@Kwelihukuwekahuru2 күн бұрын
Kila siku Mbowe anasema tumekijinga hajawahi kusema nimekijenga hayo ya Mbowe kukijenga au kujitolea peke yake ni maneno ya wapambe
@lusajomwaipopo50422 күн бұрын
Mbona leo kasema chama ni chakwake??
@SaidiMohamedi-n2uКүн бұрын
Mboe hikipita mm Siasa bas
@GeraldNyasembe-q2d12 сағат бұрын
Wewe siyo mwana siasa so wote ni w2
@bsmonline8482Күн бұрын
Hili Jamaa shule ipo sana tuu! Hawa wanaomhoji hata hawajui lolote Huyo mwamba walichemka Wazungu kwenye Interview wataweza hawa weupe hata hawajui kuhoji kwa mpangilio
@AlexMkwama2 күн бұрын
Kuna mtu anachungulia dirishani, walioona like hapo
@SebastianCharleskayandaКүн бұрын
Walinzi hao baada yakuskia kelele za glass ilivyodondoka
@bilid4128Күн бұрын
@@SebastianCharleskayanda😂😂😂
@nelsonchonya56252 күн бұрын
Naona lisu ataenda ACT WAZALENDO baada yakushindwa .Vyama vya upinzani ni changamoto kinakua kinashuka ,kinapanda kingine,kushika dola ni ngumu sana.
@deluxermahyono52902 күн бұрын
Kwahy Mbowe hastahili kupingwa sio?
@allyshaban406Күн бұрын
Lissu anaongelea wingi, upande mwingine unaongelea umoja.
@allyshaban406Күн бұрын
Huyu ndg huwa namuonaga kwenye chombo fulani cha habari huwa ni mbishi sanaa, tena ni mccm, bado hawana maswali zaidi ya hoja za kujenga maswali. Hapo anaiwakilisha ccm.
@SebastianCharleskayandaКүн бұрын
Lisu mwkt wetu mbowe plz pumnzika mzee wetu siasa zilizopo zinamwitaji mtu kama lisu
@ahmed591222 күн бұрын
Sasa mbona mnamlazimisha mnayoyataka nyie . huyu sio mjinga kama wengine anajua anafanya nini.