My son had a dream and told me we are going here. I hold faith to it. HalleluYAH. Its so beautiful 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@KhalidKhan-ud9cz9 ай бұрын
Tanzania Tanga mzuri Sana kweli
@riavlogstz6 ай бұрын
Tanga is very beautiful with lots of beaches ... Will visit there for sure
@allymwakomola44704 ай бұрын
Beautifully place. My place 🎉
@aggreykadima11558 ай бұрын
Amazing content. Keep up!
@SuleimaniAli5 ай бұрын
beautiful place
@vijeshpattni-j3b7 ай бұрын
Jambo Sana 👍
@globoliver96978 ай бұрын
Thank you for the nice images! If you tried to regulate your sound/volume a little better and to avoid "American ghetto speech" entirely... ;-)
@DaSwiftTrini4 ай бұрын
You don’t know what American ghetto speech is apparently😂
@wilcoxdaniel982522 күн бұрын
With the pipeline hopefully there are no spills.
@zawadimbwambo10912 ай бұрын
Watu qana matunda ya kila aina na wana bahari. Lakini wamejikuta biwapiga madogori tu. Na
@SamarfromIndiainTanzania3 ай бұрын
I am also Tanga KZbinr.😊😊❤❤
@alibinali_8 ай бұрын
Home Sweet Home Tanga Raha
@MoMshuty4 ай бұрын
Jamani tanga mbon km mtwara tu😂😂😂
@jazzman5652Ай бұрын
what happened to the people bro? beautiful place but looks like a ghost town
@wilcoxdaniel982522 күн бұрын
Probably early dunday morning!
@mandalaxxl6 ай бұрын
show a market!
@mohadplayz2 ай бұрын
dar es salaam is the most beautiful and tanga isnt even in top 5 cities
@frenkifrenki47758 ай бұрын
Apa akuna jiji nitakataka tu pia ata idadi ya watu kidogo laki 3 na 60 akuna tofauti na kigoma
@mussamwamoto82316 ай бұрын
kataa tu,kuhusu watu tanga ina mitaa mingi sana sio mji ambao watu na ofisi ni hapo hapo,kuna maeneo ya makazi na maofisi,so inategemea pia video imechukuliwa siku gani,siku aya kazi au muda gani,kuifananisha Tanga na kigoma inaonyesha jinsi ulivyo na chuki,nimesoma kigoma miaka 3.
@mhandomhina55034 ай бұрын
Si Kigoma tu hata mji wenu wa asili uliojaa vichochoro na makazi yasiyopimwa Kama Dar yenu hatuwezi kufananishwa na mji uliopangiliwa. Tanga si mji wa hatua nane umeumaliza laa hasha pia si mji ambao Barabara zake zinapangwa biashara watu wamerundikana hovyohovyo omba omba kila Kona Tanga pia Ina makazi Kama O.bay na Upanga .Tanga sio mji wa takataka za slums......Tanga hiko rasmi sana na si makazilholela holela.... na vurugu za wamachinga na wazurulaji
@mhandomhina55034 ай бұрын
Pia jumamosi na jumapili hata miji ya duniani huko barabarani uwezo kuona watu wengi......
@hamisisheshe951912 күн бұрын
utachekwa bob acha kabisa hilo ni jiji lenye kila aina ya vigezo