EXPOSED: FEARLESS PASTOR EZEKIEL'S SON EXPOSES FREEMASON PASTORS AND SACRIFICES THEY OFFER

  Рет қаралды 105,149

Jalango TV

Jalango TV

Күн бұрын

Пікірлер
@meshalal9628
@meshalal9628 5 ай бұрын
This guy alikombolewa kwa pastor Ezakiel na amesaidia vijana wengi,. may God bless you 🙌
@kipleedy
@kipleedy 5 ай бұрын
Swali... ni Yesu hukomboa watu ama ni hawa mapastor?
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 5 ай бұрын
Kukombelewa gani hiyo?
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
Usijibizane na watu wa kiulimwengu wamejichanya maa😂
@bonfacerubia7633
@bonfacerubia7633 5 ай бұрын
May the living God lead you in His holiness and righteousness in Jesus mighty name!May God sustain His salvation in you!
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
AMEN 🙌,
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
My nephiew and his families have visited him for salvation etc. Bt what i understand many such , have had difficult in living peacefully. Umeua, umeiba, umeacha makovu mengi sasa sijui iweje miaka ya wokovu wako. Petro na paul prophets.
@Susanne-njoroge
@Susanne-njoroge 4 ай бұрын
Mungu amubariki Pastor Ezekiel kwa kazi njema, Na huyu kinjana Mungu amulinde na a muhfadhi na Mungu uzindi kumsaidia maombi yangu maana hiyo ushuhunda imeni makininisha asante sana 🙏
@joymkenya2359
@joymkenya2359 4 ай бұрын
You are a walking dead 😊
@Susanne-njoroge
@Susanne-njoroge 4 ай бұрын
@@joymkenya2359 why dead???
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
Nawahisi katika jina la Yesu wakenya,tujifunze kuheshimu na kuhofu neno na mambo ya Mungu,natuwache mazoea ya kutusi,kudharau na kuhukumu mambo kama haya bila kuelewa kwanza ni mambo gani msemaji anasema Shalom
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
Na kama ni kuelimisha mwenzako muelimishe kwa upendo na lugha ya Kikristo,Hebu tujifunze kuwa Nuru na chumvi ya Dunia.Shalom!
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
​@takaesther8166 Amen 🙏
@fabless4210
@fabless4210 5 ай бұрын
Si mtu asikize story vizuri B4 commenting surely. Comment here and story he is saying don't arign. Don't run to comment. Guy speaks the truth as he said kwa church. He repent from the worse he was doing before
@KingDavidDavidBellion
@KingDavidDavidBellion 3 ай бұрын
Mambo
@KingDavidDavidBellion
@KingDavidDavidBellion 3 ай бұрын
Mambo 🎉
@LucyNjoki-x7s
@LucyNjoki-x7s 5 ай бұрын
May the heavens protect you amen 🙏
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
God or heaven
@JenifaWilbad
@JenifaWilbad 5 ай бұрын
Barikiwa kijana.Mungu akuweke.Watu wamepofushwa kabisa,kabisa kwa miujiza ya shetani.Wataangamia kama mavi yao wenyewe
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 5 ай бұрын
watu wawanaaangamià kwa kufuata miu
@winnieofutare5324
@winnieofutare5324 5 ай бұрын
Watu hawataki kisoma maandiko,wanakimbililia tu miujiza watapotea kweli mm huyo pastor sijawahi mpenda
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 4 ай бұрын
@@winnieofutare5324 sina vituko wakenya 😂 😂 😂 😂
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 4 ай бұрын
​@@winnieofutare5324😂😂😂
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
​@@winnieofutare5324kabisaa na hio inafanya watu wamekua washirikina badala ya kutegemea kitabu na kumuomba mungu mwenyewe direct ,siku hizi wanategemea miujiza hawatakibtena kumuomba mungu kwa ukombozi wa kesho akhera, yaan8 hawa3ndibtena kuomba mungu wanafata kupna miujiza ya kishetani wasicgokijua
@winnywavish2292
@winnywavish2292 5 ай бұрын
Weh life is spiritual guys be careful na hizi makanisa devil is liar
@MejahJenipherMejah
@MejahJenipherMejah 3 ай бұрын
Amen
@carolinejebor9256
@carolinejebor9256 5 ай бұрын
Powerful man of God,pastor Ezekiel,you know that in your world of darkness and you fear him
@MillieKuranya
@MillieKuranya 5 ай бұрын
God forbid I feel pitty for you 😂😂😂
@johnienijohnie
@johnienijohnie 5 ай бұрын
Theres no one powerful man apart from Jesus Christ .... you are just mad and brainwashed.
@silvamoz6299
@silvamoz6299 5 ай бұрын
Kuweni macho fikra zenu zinatekwa na urongo kuficha yanayo onekana wazi.
@AntontMurithi
@AntontMurithi 2 ай бұрын
Interested
@rachaelmkacharomwaisabu293
@rachaelmkacharomwaisabu293 4 ай бұрын
Weeeee , mtashangaa ju mungu anawaona
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
Utashangaa wewe, Mungu ni wa kila mtu muombe kila siku atakusikia
@Esther-Bri
@Esther-Bri 5 ай бұрын
Yaani mpaka Sasa ivi watu hamna macho ya kuona yanayoendelea duniani ombeni Sana mpate macho ys ROHONI, don't be deceived
@lilianakeya9868
@lilianakeya9868 4 ай бұрын
Waambie hawaskii😢😢😢
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
Waambie hawataki kuskia
@getrudeliyayi8050
@getrudeliyayi8050 5 ай бұрын
Weeeeh sina maoni lakini Im sorry for these people who think that watu awajui kile wanasema wanapo sema kuna uovu mahali
@MyraKhan-ph7pl
@MyraKhan-ph7pl 4 ай бұрын
May God bless you brother
@ChristineKasandi
@ChristineKasandi 5 ай бұрын
Mbona mnapenda kuharibia watumishi wa mungu Majina Mungu awaangamize kwa upanga.
@kimanithings5603
@kimanithings5603 5 ай бұрын
ni kanisa gani unajua na uko sure linamwomba mungu kwa sababu kanisa zote zinamwomba mungu ila kando na hio ni mambo mengi hamyaelewi
@carolineotenyo5888
@carolineotenyo5888 5 ай бұрын
​@@kimanithings5603, ukweli Kabisa 👍
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@joymkenya2359
@joymkenya2359 4 ай бұрын
Wewe ni walking dead 😂
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
@@joymkenya2359 okay 🥹
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
Tutazidi kumkanyagia shetani chini
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy 5 ай бұрын
Huyu kijana hajasema chochote kibaya ni nyinyi hamsikizi story yake vizuri munaongea tu bila kumuelewa
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
Nakwambua wanabweka kama ma hornbills kwa comment na wengi wanakaa ndio wale wachawi,waganga, wanaofanya hayo mambo wako bitter sana😂😂😂😂
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
Kuna mahali hua wanatajwa hata majina ya hao wachungaji,politicians,,wanamziki😂
@AnnetAyuma
@AnnetAyuma 4 ай бұрын
Anashuhudia maisha yake not pastor ezekiel 'listening is better
@DorothyOdero-x8s
@DorothyOdero-x8s 3 ай бұрын
Unao yasema nikweri kijana
@graceg.g5199
@graceg.g5199 5 ай бұрын
Personally pst Ezekiel i have never trusted him. I have no issue with people who trust him
@carolineotenyo5888
@carolineotenyo5888 5 ай бұрын
Me too, nowadays praying is your own faith but not depending on this fake pastors coz they're after money
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
Uzuri he don't force anyone to trust him kila mtu ajisort
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@wesleyonyango-k2o
@wesleyonyango-k2o 4 ай бұрын
@@estherbellmakokha3970 i agree with you dear
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
​@@carolineotenyo5888kwanza mungu ni wa kila mtu mbona watu skuizi hawana cha kuomba mungu tena n8kufata eti miujiza tu kila siku na hii ndio inafanya watu kila kukicha wanatengeneza makanisa na kujipa unabii
@AliMohamed-w3b
@AliMohamed-w3b 4 ай бұрын
WEWE NIWAKUFUNGWA MAISHA KWA KESI ZA MAUAJI
@Jane-ie9ul
@Jane-ie9ul 5 ай бұрын
Aaaiii huyo kweli sio kijana wa Pastor Ezekiel? Pengine mamake alienda mpango wa Kando kiasi. Sura na kichwa zinafanana na Pastor Ezekiel, sauti Yake inasikika kama sauti ya Pastor Ezekiel.
@joyline7709
@joyline7709 4 ай бұрын
Pastor Ezekiel is his spiritual father and not biological father.
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@sethaguto2836
@sethaguto2836 5 ай бұрын
He might be used to reveal other false prophets and leave Ezekiel to make him look clean unless he also talks honest but am sure someone gave the list with reasons
@NaomKemunto-wn7zf
@NaomKemunto-wn7zf 3 ай бұрын
Woooooi🥹🥹baby sagini😭😭
@judithkavutha3628
@judithkavutha3628 4 ай бұрын
Steve this week kuna meza ya bwana usikose kwenda
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Sawa Asante 🙏
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
Nawaombea kutoka Lango kaskazini ya Uganda​@@Steveodhiambo181
@judithanne4797
@judithanne4797 4 ай бұрын
He is not clear on how they kidnapped the sacrifices😢
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Fanya utafiti wako vizuri kuhusu story yake Kwa KZbin.
@EmmaKioko-j9s
@EmmaKioko-j9s 4 күн бұрын
By the way he is not clear about how they get sacrifices.
@benkagecha
@benkagecha 4 ай бұрын
Why didn't he cover his face?????dci will be coming.
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Worry not,He is covered by the blood of Jesus 🙏
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
​@@Steveodhiambo181Amen
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj 5 ай бұрын
Was he in freemason 😢😢😢
@julielilote3496
@julielilote3496 5 ай бұрын
He was and a ritualist before Christ saved him
@usrahismail3196
@usrahismail3196 5 ай бұрын
Ladies and gentlemend😅
@josephmutua1603
@josephmutua1603 4 ай бұрын
Umefanya poa (naona shirt imeandikwa think big ) be. Wise
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Shukran 😂🙏
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Sasa kijana huoni shidaaa kuishi kusimulia hata apostles paul aliiua lkn alikipata. Alitupwa gerezani, alivuliwa nguo hadharani. Oo shetani bado
@asmnibukhebinamarimba1267
@asmnibukhebinamarimba1267 5 ай бұрын
Mungu akuhurumie kijana,bure utakufa vibaya,🤔alafu.mwanz mwanzo ya store inadanya.kwa wajungaji
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@vitalisopwapo
@vitalisopwapo 4 ай бұрын
I doubt
@PraiseTiya
@PraiseTiya 4 ай бұрын
I don't understand the language Not even foot notes🖐️🖐️
@mumbocaroline1172
@mumbocaroline1172 4 ай бұрын
Toweni mdomo kwa pastor Ezekiel .fuateni kazi mfanye muwache kanisa za miujiza
@habibasalim3092
@habibasalim3092 4 ай бұрын
Omba mwenyewe mungu atakuskia kwani wewe mungu alikublock?huu ndio ushirikina mnategemea watu eti hao ndio wanapowerThe power belongs to Elohim *Allaah only the creator, sio kwa mwanadamu
@canaansignsenterprises
@canaansignsenterprises 5 ай бұрын
Huyu Jamaa ni yeye mwenyewe yuko luminut, anajaribu kutoa watu imani ili. Awanaze.
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Hater😂,mlikuwa na yeye?
@MaryMutisya-s6x
@MaryMutisya-s6x 3 ай бұрын
Kila kazi njema au mbaya itapita kwa moto let's be careful so then if the psts ar leading to jehonam oooooiiiii 😂
@erickkoome2157
@erickkoome2157 5 ай бұрын
How dd you know
@julielilote3496
@julielilote3496 5 ай бұрын
He was a ritualist before he was saved by Christ
@carendeborah5687
@carendeborah5687 5 ай бұрын
Alikuwa mfwasi but he's no longer there
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
Romans 8:1"there is now no condemnation on Steven Odhiambo who is now in Christ Jesus,who walks not according to the flesh(but according to the spirit).
@stephaniakanka8178
@stephaniakanka8178 5 ай бұрын
Mungu haku sameee kijana kwa ku shuudiya maneno ya huwngo. Wewe wata kufatiliya huna kitu gani.
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@K-go1qj
@K-go1qj 4 ай бұрын
Lete ya ukweli
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
@@K-go1qj 😂🤣
@EmmaJohnson-nc7sk
@EmmaJohnson-nc7sk 4 ай бұрын
Una uhakika ni ya uongo?
@kutesamanka5525
@kutesamanka5525 4 ай бұрын
Subtitles please
@Bridgetshieni
@Bridgetshieni 5 ай бұрын
Hahaha hata ukimpiga hatutoki uko aibu kwako ulikuwa unaenda ndo upate sifa online.
@carendeborah5687
@carendeborah5687 5 ай бұрын
Haongelei Ezekiel anaongelea maisha yake before aokoke,,he used to be a ritualist but he's new person
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Helewa kwanza before commenting,ama hauna Data nikutumie?
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 5 ай бұрын
​@@Steveodhiambo181STEVE HI
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 5 ай бұрын
Elewa kwanza wewe this is his past before aokoke
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
​@@lydiahnabwire128hi 👋
@juliaabere9458
@juliaabere9458 4 ай бұрын
What about those people he murdered is he ready to compaset for there loss, I can't attend your church
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Ask Paul from the bible, unless you aren't a Christian..
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Did Paul not kill? And later met Jesus and later converted to Christianity?????
@YoursileIbanzi
@YoursileIbanzi 4 ай бұрын
Aache kusem uongo ivi wew icho cham unacho kisem unakijuwa kweli 😂😂
@obarelida
@obarelida 5 ай бұрын
so he is a confessed murderer
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Helewa Kwanza before you comment,ama hauna Data nikutumie 😂?
@takaesther8166
@takaesther8166 4 ай бұрын
He is now the righteousness of Christ" Romans 8:1-2"
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
@@takaesther8166 🙏
@obarelida
@obarelida 4 ай бұрын
@@takaesther8166 😰pathetic lazy christians
@JoyManyasa
@JoyManyasa 3 ай бұрын
Huyu jamaa nafeel ni kama anandanganya coz he is confusing ulimwengu wa giza na wa roho....i guess ni uongo
@rennyaditicha6888
@rennyaditicha6888 Ай бұрын
Life is spiritual I wish ungejua
@firstbornwamanyuru8707
@firstbornwamanyuru8707 5 ай бұрын
The devil is a lier
@nelvinawino9196
@nelvinawino9196 4 ай бұрын
But steve pastor advised you to keep off all this sheet ya kuhojiwa kila saa . You are talking inspiration messages but hawa blogers wanaeka misleading headlines
@wacukakaruri
@wacukakaruri 3 ай бұрын
Nonsense…..go get informed
@wamichiratv5314
@wamichiratv5314 5 ай бұрын
hope ametaja babake before niwatch
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@obarelida
@obarelida 5 ай бұрын
which pastor Ezekiel is that, is that the top ritualist pastor in Mombasa, the one whose father is sick cant even move. actually he has sacrifice his father for power
@julielilote3496
@julielilote3496 5 ай бұрын
His father is not sicķ
@julielilote3496
@julielilote3496 5 ай бұрын
Pastor Ezekiel is not a ritualist he helped this young man to get to Christ.
@obarelida
@obarelida 5 ай бұрын
@@julielilote3496 how do you know he is my neighbor in the village in Lambwe constituency
@nickotieno153
@nickotieno153 5 ай бұрын
Omera iwacho adier?
@obarelida
@obarelida 5 ай бұрын
@@nickotieno153 of course he is from Homa bay county, Sindo, he has built his father a palatial house but he is always carried in and out of the house, why cant he heal his father, these so called men of god are just huckster, conmen, ritualist
@paulnganda3375
@paulnganda3375 4 ай бұрын
Tunajua watoto wa pastor Ezekiel plz FAKE INFORMATION PLZ Bona mdangayana mchana why
@daisykinyanjui3397
@daisykinyanjui3397 5 ай бұрын
So he was hapo hapo na babake???
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Helewa Kwanza before you comment,ama hauna Data nikutumie 😂?
@fridahiminza8659
@fridahiminza8659 5 ай бұрын
​@@Steveodhiambo181hizi headlines huniudhi, before doing an interview waambie waweke caption ya kueleweka bro
@JentricksMukhana
@JentricksMukhana 5 ай бұрын
Niuwoongo wewe ni mkora sana
@kawewamr542
@kawewamr542 5 ай бұрын
this i s a content creator that is well known, he helps channels to have followers and views. this is social media and we know
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
Mm alivyokua anasurrender I was watching him ,but u Thomas though mmh
@lungaitomodari8151
@lungaitomodari8151 4 ай бұрын
William Samoei Ruto kzbin.info/www/bejne/j5maqGNseNaFZqM kzbin.info/www/bejne/j5maqGNseNaFZqM
@chelangatkenduiwo2038
@chelangatkenduiwo2038 5 ай бұрын
Si ukweli
@ConsolbaseLtd
@ConsolbaseLtd 5 ай бұрын
Wachana n story za jaba kojoa ulale
@johnienijohnie
@johnienijohnie 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@rhodawilson6166
@rhodawilson6166 5 ай бұрын
Sisemi kitu
@djcolliter
@djcolliter 5 ай бұрын
You guys before airing any interview should do a research Kindly ........hawa vijana wanatafuta clout ndio waonekane
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
For what purpose maybe 😂
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Wewe ndio utafute kazi ufanya ama ufanya utafiti ju ya maisha yake vizuri before you comment ujinga
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@addahnabuyia
@addahnabuyia 5 ай бұрын
Using Ezekiel name to get viewers. Chae!!!
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@rennyaditicha6888
@rennyaditicha6888 Ай бұрын
Just do research I know you think is lying 😂😂but that's it
@ChristineKasandi
@ChristineKasandi 5 ай бұрын
Uombee mungu msamaha angalau atakuhurumia. Wewe unayeeneza uvumi wa uongo kuhusu watumishi wa mungu kitakuramba.
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Jinga type, sikiliza video kwanza before you comment
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
​@@Steveodhiambo181hawa wako quick to judge but not to.listen
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
@@estherbellmakokha3970 Mimi hushangaa Sana 🤔
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 5 ай бұрын
@@Steveodhiambo181 ni wauko wanajitetea 😂
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
@@estherbellmakokha3970 shauri zake kama Hana Data 😂
@kawewamr542
@kawewamr542 5 ай бұрын
this is not ezekiels son, he calls himself so
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@toheaveninjesusandmary.3781
@toheaveninjesusandmary.3781 4 ай бұрын
He said that he is his spiritual son Listen to him.
@puritydaizy1346
@puritydaizy1346 5 ай бұрын
Kama ule wakisii
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@CliveGachugi-uu3px
@CliveGachugi-uu3px 5 ай бұрын
Weh
@angelsalome2207
@angelsalome2207 5 ай бұрын
Nyoko ezekie hana mtoto mzee kma huyu
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Helewa Kwanza before you comment,ama hauna Data nikutumie 😂?
@martha20kamau
@martha20kamau 5 ай бұрын
ushindwe in Jesus Name amesema Ezekiel ni spiritual father wake sio baba mzazi
@Nisar-k3j
@Nisar-k3j 5 ай бұрын
Yaani mbona humuelewi? Amesema Ezekiel ni babake wa kiroho wala sio wa kumzaa. Waaaa
@denniskimani4524
@denniskimani4524 5 ай бұрын
Mombasa kila MTU ana Roho chafu I wonder
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@Winjoy-gr8xs
@Winjoy-gr8xs 5 ай бұрын
Shame on you
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 5 ай бұрын
Hakuna msafi chini ya jua mbele za Mungu sisi wote ni wenye dhambi kumbuka Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi,ask yourself are you clean??
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 4 ай бұрын
@@Steveodhiambo181 Hello Steve I need your help please
@FatumaKorma
@FatumaKorma 5 ай бұрын
Kila mto ataubeba mzigo wake mwenyewe ubwa wewe
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@paulnganda3375
@paulnganda3375 4 ай бұрын
Fake information plz
@JoyceKamau-ck7qg
@JoyceKamau-ck7qg 5 ай бұрын
Nyoka wewe ....tubu! Utakufa Kaa ubwa.....
@denniskimani4524
@denniskimani4524 5 ай бұрын
Clear your mind fast mafikira machafu yamelaaniwa you don't even listen to the video
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Sikiliza kwanza puga 🤣,ama hauna Data nikutumie?
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@taitadollnicky273
@taitadollnicky273 5 ай бұрын
Huyu Bado Yuko Hilo kundi la mauwaji
@annea5781
@annea5781 5 ай бұрын
Ulimwona last when huko?
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
😂😅😂
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
​@@annea5781muulize Tena 😂
@lucyosendo4376
@lucyosendo4376 5 ай бұрын
​@@annea5781jana jioni 😂😂
@marysimwa7603
@marysimwa7603 5 ай бұрын
Ushindwe haujielewi kabisa. Okoka vizuri
@lydiahnabwire128
@lydiahnabwire128 5 ай бұрын
Like serious hivi umemuelewa kweli ,he is telling the story ya past yake before aokoke what is wrong with you 😢
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@DavidOgwangi
@DavidOgwangi 5 ай бұрын
Mungu akuruhumie ujielewi wewe
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Helewa Kwanza before you comment,ama hauna Data nikutumie 😂?
@rachelkiteta3644
@rachelkiteta3644 4 ай бұрын
Fake stori
@FatumaKorma
@FatumaKorma 5 ай бұрын
Mlafi wewe
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??..😢fatilia story yake vizuri aliokoka Kwa kanisa ya pastor EZEKIEL..kama humjui sometimes nyamaza please.ama hauna Data nikutumie?😂
@LitzMwendo
@LitzMwendo 5 ай бұрын
Useless nonsense
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
@OFFICIALVIDEOS-z4p
@OFFICIALVIDEOS-z4p 5 ай бұрын
Huu ni upumbavu,don't give devil credit..
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 5 ай бұрын
Jinga type
@Steveodhiambo181
@Steveodhiambo181 4 ай бұрын
Wacheni ujinga,Nita waambia mara ngapi na amsikii😢.did you not hear Him saying that he is just a spiritual son??...ama hauna Data nikutumie?😂
Former Catholic Priest links Christmas to satanism || Fr. Gathang'i Waiguru
2:14:24
The Wicked Edition with Dr. King'ori
Рет қаралды 64 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
THE WITCH DOCTOR FROM TANZANIA WHO SURRENDERED HER MAGIC TO THE CHURCH.
1:11:40
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 480 М.
FAKE PASTOR TRICKS & MIRACLES REVEALED - BE WARE OF THIS MANIPULATIONS
1:38:18
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН