@@marywachira3745 what if akuwe alikuwa anachoma fegi aka lala moto ukashika
@monicakamau968210 күн бұрын
Alikua anaomba fare at 2am ya kuenda wapi kama yeye huenda home weekend and was not on a weekend? Huyu mama aseme Mahali Jose ako
@lucymuchangi96967 күн бұрын
nikama alikua anaomba fare wakichoma atoroke
@terrykims854911 күн бұрын
Bona huyo aliruka Jose hakumuamsha? Na tena bona hakusema hio siku ati jose alikua ndani?
@bethanyhealingsanctuary5851012 күн бұрын
Mama, speak the truth, and the truth shall set you free; die for telling the truth, and GOD will protect you.
@maggynyawi25312 күн бұрын
Perfect ❤
@Roxana-q5j11 күн бұрын
@@bethanyhealingsanctuary58510 but my question is alikuwa anamtumia pesa saa tisa usiku ya kufanya nini alafu kuchomeke asubuhi yake labda ni fare alikuwa anataka
@JoylishLoise10 күн бұрын
@@bethanyhealingsanctuary58510 so there is protection after death
@elizanjokichege26827 күн бұрын
Bona hakumuamsha
@GladysWanjiku-wg4dx11 күн бұрын
Huyu mama akichunguzwo vizuri anajua kwenye hiyo Jose ako
@carolinekarimi9722Күн бұрын
Ako na mdomo sana
@john-ys1vn12 күн бұрын
There is nothing can be hidden before the eyes of God. Truth stands
@brendamwende552512 күн бұрын
@@john-ys1vn yea watoe mtoto wa wenyewe
@tea_jeihub12 күн бұрын
Its not a coincidence that jose borrowed money and now he is no where to be found ..someone is trying to bring murage down
@Roxana-q5j12 күн бұрын
True kuna kitu fiche
@stephenngangaministrykenya.12 күн бұрын
@@Roxana-q5j and it shall unfold even if in future 100yrs isn't far
Ucio waugire mutikona Jose ringi na airitu acio maugire mbu meha matuhe uhoro? Haha hena njama ya kuhagura murage
@ricardamuthoni295911 күн бұрын
Nima,thuu cia mwanake uyu ironeka ni nyingi,hio statements tophauti sana...mwaki wari o accident tuu
@JacklineRukunga10 күн бұрын
Tena amepindua akasema ni mzee
@Annnjambi38012 күн бұрын
Wooiiye asante mama kwa kuongea ukweli dio familia ya jose iridhike, sihuyo workmate wake angemuamusha wooiye,may God protect you mama
@Njerig-m5q11 күн бұрын
Huyu ni mushene, mbona wasiadike statement, alafu waliona akichomeka wakamruka
@Annnjambi38011 күн бұрын
@Njerig-m5q hii story ya Joseph aki inauma, mungu tu diye anajua ukweli khai
@beatricemugo588712 күн бұрын
She said Jose came in the morning reporting for work and by 3:00Am with a different number asking for money, maybe alikua ulevi yake kwingine or she's lying
@Gikuyumnatty11 күн бұрын
She's lying...sisi si funda
@AnneKariuki-u8h11 күн бұрын
Sikiza story again
@beatricemugo588711 күн бұрын
@@AnneKariuki-u8h sikiza tena pia, alisema Jose came that morning akisema anaingia job, then usiku wa manane akamupigia simu na different number asking for money, that number can be traced ijulikane at that time ilikua inapiga akiwa wapi na ni ya nani
@noiczakma5810 күн бұрын
Actually Jose wanted money at 3am for what?????
@natural536611 күн бұрын
Foooder punguza uwongo mami, 1: jose alikua anakula kwako aje breakfast,lunch nd supper na ako na kwake? 2:Wanakulanga kwako iyo siku ya kuchomeka walikua wanakula kwa neighbor juu kwao hakukupikwa? 3:huyo mwenye kuruka Josee mbona hakuandisha statement 4:Murage mwenyewe ndio alisema Josee hapatikani mpaka kwa simu mbona aseme kama anajua alikufia ndani? 5:Boss akisema hanunui chai tena shida yako ni gani si wanafanya kazi si wajinunulie? 6:kunasemekana jose hakuingia kazi iyo night,then ali kucall saa tisa asking for fare mbona hangechill mpaka morning apitie hapo achukue fare?,umefikiria labda alikua ulevi zake cos nikalewa 7:iyo family inazusha ata number na picha ya josee latest hawakua nazo huyo tu murage ndio alipeana. 8:ile mzoga ilitolewa huko ya doggy ilifanywa postmortem mbele ya family mbona saai wamasema ni Josee????
@MyJOSE201311 күн бұрын
Kiria kiino
@queenexellent985411 күн бұрын
Huyu mama ana siasa ako na wivu nduka ya murage inaendelea vizuri.
@queenexellent985411 күн бұрын
Watu waache ujinga polisi wanafanye uchunguzi. maandamano za ujinga na hawana evidence.
@miriamwanja844410 күн бұрын
@@natural5366 Exactly I support you
@miriamwanja844410 күн бұрын
Huyu mama ni Kama alikua anagongwa na Jose,Jose alikua anakuitisha pesa usiku wa manane Kama nani?hio postmortem ilisema sio ya mtu ama Jose alikua doggy?
@JaneWambui-pd4lj12 күн бұрын
😳😳😳😳😳😳😳😳👈👈👈👈👈 some time silent is good 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
@TerryMueni-gg9wx12 күн бұрын
Na kama ni ww umechomekea huko?watu wenu wasiabiwe?ni vizuri saa ingine kuvaa kiatu ya mwingine
@Gikuyumnatty11 күн бұрын
@@TerryMueni-gg9wxakwende huko...lier...tell her to go give statement....aaaargg.... a shidwe
@MyJOSE201311 күн бұрын
Ingekuwa mtu wenu ungekuwa unatembea uji demanding justice so kiria kiino kiu
@AnneKariuki-u8h11 күн бұрын
What if its your child or because it's not your child you can talk like that
@catherinewambugu682410 күн бұрын
@@JaneWambui-pd4lj I support you ...kitamramba
@josphatirungu155612 күн бұрын
Wuuuii we niwehingica siwezi kua eye witness Mimi ata Kama Niko karibu nayo
@annewanjiru81812 күн бұрын
She is bold, she has not confirmed out right that she witnessed Jose's death. She is only revealing what she knows.
@gracewanjiku-iw8fp12 күн бұрын
@@annewanjiru818 mtu huenda njera hivo
@francisn44212 күн бұрын
She says that her life was threatened. Wacha aongee
@TerryMueni-gg9wx12 күн бұрын
Asume ni yr bro amepotea
@raphaelnjenga342312 күн бұрын
Huwezi even if it's your relative
@ShangiVee8 күн бұрын
This woman is genuine...she knows exactly what happened.
@JulianaWairimu-v2z7 күн бұрын
@@ShangiVee very true
@Marthamary3377-nk3uu12 күн бұрын
Mimi kama Mungu aishivyo siezi kubali kuwa eye witness Juu Kenya hakuna justice Mwishowe hongo itatembea ufungwe mwenyewe Njera kumejaa waizi wa kuku nabuzi, maskini na wenye kuzinginziwa makosa But gaidi mwenye alisemekana kuwa aliwaua watu na kuwatupa mkuru kwa njenga aliwashida maaskari wote Kenya mzima pamoja na Raisi na akahepa mpaka njera Njera Kenya niya wanyonge pekee
@SAOPAULNEWSHUB12 күн бұрын
Nakama niuongo kuwa witness umejifunga mama
@WanguiGithua12 күн бұрын
@@SAOPAULNEWSHUB ata ii kuanika mitanbaoni wangeenda kulipoti polisi na pia uyo mtu alisema jose hataonekana tena achunguzwe unaweza ruka mtu aje na umwambii kunachomeka
@JulianaWairimu-v2z7 күн бұрын
Very true huyu mama ako namdomo Sana hajui vile anasema
@emmyandrew6 күн бұрын
Hakuna kitu kibaya kama mambo ya kuskia na ya kuambiwa, if truly Jose was asleep n alirukwa mbona hakuamshwa? kwani hawapendani?Kama Jose alikua na simu, mbona ni lazima angeenda kupeleka pesa badala ya kutuma? I wish tunaweza jua ukweli n not story mingi.
@Dorywambugu12 күн бұрын
My question is vile huyo mtu aliruka Jose mbona hakushout watu wakuje wamuokoe
@febeviemagloriousmedia154112 күн бұрын
Asking the same
@JulianaWairimu-v2z7 күн бұрын
By the way 😢
@faithkamauqueen90596 күн бұрын
Justice Justice kijana wa wenyewe atolewe ...lazima mwenye kazi Murage anajua kama Jose alikua kazi nasio kuchoma
@VirginiaWanjiru-r2l12 күн бұрын
Sielewi vile aliruka akaacha Jose amelala.....unaita mwenzako
@winniefredikonya639512 күн бұрын
Wueh! Ugwati woka, hukumbukangi kuamsha mtu, unatetea maisha Yako kwanza
@naomikamau465312 күн бұрын
@@VirginiaWanjiru-r2l uwezi acha mtu achomeke how umuruke.....uongo
@VirginiaKingori-o2h11 күн бұрын
@@VirginiaWanjiru-r2l mgn that story haimake sense
@JocyceWambui12 күн бұрын
Na ndiyo maana niliona mbote akiongea, nilimhurumia sana,,, but mbote aliweka Mambo wazi, juu alisema, incase police wakisema Jose alichomekea, uko murage, atakubaliana, na police, iyo ni alarm⏰, aliwekea watu, but murage sio yeye alichoma, shinda moja, tu, anaonekana kaa anaficha nikweli alikua ndani, but haki itendeke, in, Jesus Name, juu iyo ni ajali kaa zile zingine
@AnnNgas3 күн бұрын
Huyu mama apewe security anajua vile anasema,but hapo mwanzo aliogopa kuongea
@febeviemagloriousmedia154112 күн бұрын
Why didn't he wake Jose up or tell people immediately
@Sawat1247712 күн бұрын
I wonder
@gmbimo12 күн бұрын
I wonder too
@Fozzy202012 күн бұрын
She's lying
@Nicholas-yr2sq11 күн бұрын
@@Fozzy2020never judge anyone🤔
@abijahhamisi14743 күн бұрын
Nduka ilichomeka saa ngapi, na jose alikua anaomba pesa saa nane usiku
@GraceKanyi-ix5ug10 күн бұрын
ui mama ivo unasema nikuambiwa witness anafungangwa be careful
@lucymuchangi96967 күн бұрын
huyu mwanamke hajui hiyo, na law Hua inataka chenye umejionea, siyo ombea ya kuokota okota, utafugwa juu ya hiyo mdomo
@LinetWambui-s1n12 күн бұрын
Sasa wafanya kazi wameletea huyu Mama izi shida zote nae anaongea vitu za kuabiwa..ona sasa anapoteza kazi yake ya miaka mingi juu ya kukosa tu kufunga mdomo 😢😢... justice for both sides
@esthermuchene543612 күн бұрын
I heard her say she has been there for 7 years and Modern got her there so she doesn't depend on them🙂🙂
@kamrembomuthaka464512 күн бұрын
Huyo mama na mwenye alimwabia washukuliwe na police wakaandikishe ushahindi na ukweli wao,wawashe pang'ang'a
@joyshelkamaa18512 күн бұрын
@@kamrembomuthaka4645 you don't know about the law if there is truth about that young man death hawawezi mpeleka police not the money and threats fly ongopa Hawa millionaire
@eddahkithimba912512 күн бұрын
@@joyshelkamaa185but Jose alikuwa anafanya Nini huko dani
@AnnAnnie-ow4tn12 күн бұрын
Unajua vita mingi ya wanawake inakuanga juu ya mdomo,, sometimes ni vizuri kunyamaza,,uombe Mungu akupee wisdom,,polisi walifanya uchunguzi and lets assume waliona evidence,na waifiche,sasa wewe ni nani,,na Kenya ya leo,,,wenye wako na pesa ndiyo wako na say,,modern imekupata hapo,lakini utatolewa hapo umuache,,wewe utatafutia watoto unga wapi
@LydiahWanjiku-yt8xk11 күн бұрын
Muage ndari na mahitia ukweri ikionekana woze watarithika sio murage arichoma jose wakae chini waerewane
@judynyawira812212 күн бұрын
Umesema kwanza wasichana mmoja alisema hataona Jose Tena then the man said aii
@JacklineRukunga10 күн бұрын
Ee hapo amejichanganya
@tabithacharles854512 күн бұрын
We're leaving the life where we don't say the truth only to have fear of saying the truth, may the angels locate member of the family and tell the truth,
@fridahmwangi276012 күн бұрын
Mara ni ngui ya heire uiiii
@milka-fj2pe12 күн бұрын
Uyu mamah anaongea mambo ya kuskia aongei kitu ameona ama kitu anajua kwanni watu ujifunga, job yake itaaribika juu ya kujifanta kimodaaaaaa
@Gemomu12 күн бұрын
Ni kweli mama,murage wale wamemsunguka ndio wa mbaya kama karangu ana vile alikua anataka kuingiza muthee ndegenya kwa shinda ati afishe mambo,ata saa hii karangu ndie aliambia murage aseme hakuna mtu amekufia huko
@Roxana-q5j12 күн бұрын
Murage hakuwa kazini kukichomeka hata yeye alipata moto ikizimwa kama hadi bloggers wamefika
@Luckyblessing48312 күн бұрын
Labda ndio alisema ni umbwa ilikufa and we kept asking kwani alikuwa amefungia umbwa kwa store
@euniceKelsey4 күн бұрын
Pesa nizanini alikua anakopa usiku saa nane?? ama alikua anataka kutoroka??
@isaaclevu60008 күн бұрын
Uyu marithiritu nake
@NeemaNjuguna9 күн бұрын
Huyu mama Ako na mambo haieleweki kuwa witness ujue anaweza fungwo Ako na statement tofauti so hako sure ama n yy anajua pale Jose ako
@rebeccawanjiru343812 күн бұрын
God protect this woman. Tomboa!!!!!!
@LydiahWanjiku-yt8xk11 күн бұрын
Uui Ngai Mahe uhoro wama murage agie nathayu a chiari ajose magie na thayu
@graceytasha58323 күн бұрын
Anajichanganya ....mara Saturday mara Monday mara teusday ...anyways...........
@hamanmuraya349612 күн бұрын
Ati 3:00 am , na mbona hamkusema hio siku mko na ujinga sana , whoever said u wont see jose again should write a statement , huyu mama ako na ufala, this woman should arrested apeane story vizuri awache ujinga
@Katewambo607411 күн бұрын
Hata mwenye alimruka akiwa amelala na akamuacha na akanyamaza aende andike statement.
@AnneKariuki-u8h11 күн бұрын
This woman said so
@florencewilson482111 күн бұрын
True. her statements have many questions. I thought she is family...
@Lilyngesh-j9w11 күн бұрын
@@hamanmuraya3496 mambo huenda ikijulikana polepole
@margaretwambui64638 күн бұрын
??????????????
@mrsk486011 күн бұрын
Pole sana
@reginawambui730612 күн бұрын
Unasaidia police kazi yao sindio
@lucymwai764511 күн бұрын
Thank you my sister,
@florencewilson482111 күн бұрын
So many questions into this story? Is the people on the CCTV really Jose? Why would Murage want to hide the death of a staff member? Why didnt the witnesses and police see the body? Why would a married man eat breakfast, lunch and dinner at a hotel? and if he misses you call the wife to inquire??? sounds out of place.
@abijahhamisi14743 күн бұрын
Kua witness ni kitu uliona na macho yako, uyu niguoo witagwoo muhahi mara aritu atatu mara anga mwanake akiruga jose, wee mutumia hinga kanua, iratu iguthirira barabara niundu wa ndeto chia nginyanirio, after kumenya niura tuhukwo wagira OB, hehehe mwindeto nyingi taa chia mutwarwo nii ruu
@CatherineMwaniki-jw9ni12 күн бұрын
AJali ni ajali,hakuna mtu hawezi patua na ajali,kama jose alichomeka ,waconfirm him dead and move on.Murage watapanga na family waone the way forward
@janemwangi60512 күн бұрын
Wale wamesingila murage, they are not their friends, they are enemies. Murage think twice kaba mwena WA Ngai
@felister245712 күн бұрын
Huyu mama ni muwongo alikuwa wapi for the last 2 months now !!!!wakikuyu aki simuwache kuchukiana😢
@Wanduawamwangi.12 күн бұрын
Ni Mimi nilimtafuta sio yeye alitutafuta 🙏
@isaacmurimimuriithi738212 күн бұрын
@@Wanduawamwangi. ulimjua aje? Na mbona ni huyu mama tu mbona ukutafuta hao walikua wanakula chakula apo
@Luckyblessing48312 күн бұрын
@@Wanduawamwangi.Please don't mind the questions...ukweli lazima itajulikana.Its painful
@Wanduawamwangi.12 күн бұрын
Nawaleta pia....
@felister245712 күн бұрын
@Wanduawamwangi. kama huyu mama anasema ukweli bona asikuwe State Witness !!! hiyo storie apeleke kwa DCI....aki tuwache kucheza na sheria.
Korwo ni mwana waku no wende arute wīira, GOD of justice protect mum
@nancyngani513012 күн бұрын
If you are not an eye witness to whatever happened,just keep quiet.
@Sawat1247712 күн бұрын
Jealous will kill some people. Murage wasn't there at the time of the incident. Jose was eating breakfast, lunch, dinner at kiosk,, preferred to work at night maybe he had issues at home,, with family...Did he commit suicide if its true he died there...ama atatokelezea. But I don't buy this story . Police can't cover such death. Why this mama write statement n wasn't present when fire broke out
@RuthJohn-j6u12 күн бұрын
Sure
@jacintapeters283112 күн бұрын
God be with Murage, blessed him and his family. We know some people are not happy for him progress. God protect Murage’s family and Business
@jacintapeters283112 күн бұрын
Murage have an office outside your business facility and 🎥 cameras all over your facilities and do not trust anybody even where you eat better bring food from home to be safe.
@raphaelnjenga342312 күн бұрын
Hii Ni Kenya , with money nothing is impossible @@Sawat12477
@AnnAnnie-ow4tn12 күн бұрын
Meaning jose alikuwa kalewa,i wish murage angesema from the word gi,alichomekea huko ndani,,hapo murage hana makosa,,na wewe mama,uache mdomo mingi
@MERCY_KE-n7m12 күн бұрын
@@AnnAnnie-ow4tn until its your member of family brother or uncle or child you'd not want her silent.
@JacklineRukunga10 күн бұрын
Mdomo mingi Tena yet amefanya ukajua Jose ni kalewa n other stories?
@joycekamau285812 күн бұрын
Ata wewe mama unakosea, unaweza aje puuza mtu akikuambia ati Joseph hautamuona tena, because umeambio juu ya kifo.. dont speak on behalf of somebody else, huyo Stano afuatwe..
@MarthaChunga-l4v11 күн бұрын
Huyu mama anafaa aekwe dani Dio apeane hiyo story yote pia hao wote wenye anawataja ...we need the truth
@JoyceWaceke-w9x12 күн бұрын
Whoever said ariruka jose he should write statement kama ni ukweli then huyu mama conversation BTW yeye na Jose be investigated to help us for truth
@eddahkithimba912512 күн бұрын
Huyu mama apeane statement kwa police na the plan they had with jose.since she is murage's employee na Jose aliingia aje kwa work shop
@janekchannel507412 күн бұрын
@@eddahkithimba9125 maybe they planned with him bt just a thought sio eye witness 😅
@Elizabeth-j9t12 күн бұрын
Could these people be trying to preempt investigation report? Simu ya saa tisa usiku kuomba pesa ni ya mtu alichomeka kweli? Halafu jacket ya Jose iko kwake? Halafu simu imeharibika hana? She needs to be arrested ASAP in fact whoever warned her not to talk was helping her.
@CateMuchina-dx6ey12 күн бұрын
@@Elizabeth-j9tbut kwa nini wanamtishia juu ya kuongea kama wako straight
@JacklineMuchoki-h2q12 күн бұрын
@@Elizabeth-j9timagine huyu jamaa àlikua anakula break fast,lunch, supper kwa huyu mama😮😮😮waa kwani àlikua anapata doo ngapi za kununua food hivi....huyu mama pia kuna kakitu not ending up
@EmilyThereborn12 күн бұрын
Bona asiende polisi ajieleze...mama u shall regret...u gonna be ready
@HANNAH-kc5kz11 күн бұрын
Heli ungempea iyo Mia mbiri na labda alikuwa anataka ya fare Ngai wiyonanie
@MaryKijo12 күн бұрын
Hapa kuna siri ya Duma
@monicamwangi312212 күн бұрын
Thakame ya mundu ndikora ta ya nyamu. .....Wanda wa mwangi thanks great job
@stellamutegi903612 күн бұрын
Mbona huyu JAMAA hakumuamsha
@faithkamauqueen90596 күн бұрын
Mum angìkorwo nì ìramomorerwo ni kwaria ma basi ichunguzwe ,justice for both
@Harry-wa-karimi-cg3vh5 күн бұрын
Justice
@GraceNyakio-wr3lx2 күн бұрын
Hau hatiri guoya arenderio nio kuria jose ari
@maggynyawi25312 күн бұрын
Yes itisheni haki ya jose guys ati Ngui na ni mtu alichomekea huko justice for jose
@MaryWanjeri-u2o12 күн бұрын
Huyu mama amesema ukweli yote
@RebeccaNjau10 күн бұрын
Shida ya wakenya ni wivu😢 MTU akibarikiwa sana anatoa watu kafara patieni murage amani sasa 😭😭😭Yawk
@kelvinkarani190410 күн бұрын
Murage explained that he came when the fire was being put off. Meaning hata yeye anangoja uchunguzi uishe apewe report. Why is it so hard for the family and the demonstrators to go and take their demonstrations at the police station rather than at Murage's shop? Vita ya biashara ni mbaya lakini Mungu atasimama na waja wake
@JacklineRukunga10 күн бұрын
Jose or Murage?
@kelvinkarani190410 күн бұрын
@@JacklineRukunga Murage. Thank you for that correction
@JacklineRukunga7 күн бұрын
@@kelvinkarani1904 Anytime Sir
@patriciakinuthia870512 күн бұрын
Mtu akichomeka hakuangi skeleton
@JoylishLoise10 күн бұрын
😂 huyu mama Ni hatari
@ruthkimani928412 күн бұрын
Kwani wanavutanga sigara huko,? Sababu hizo vitu ni hatari kuvuta sigara. Sigara huchoma hata misitu kubwa.
@SamMbuthia-o9d12 күн бұрын
Aiii wewe mama uko na mambo, unapigia bibi ya Jose ukiwa kama nani ?
@annmuthoni39812 күн бұрын
Exactly.
@JacklineRukunga10 күн бұрын
Mayb ni sababu ya Hilo deni.Hapo Sioni makosa.Mahali Niko na swali ni mbona Jose apigie huyu mama usiku wa manane ATI kumuomba pesa?Huyo Jose ni nani kwake?
@stellamwaniki266911 күн бұрын
God protect you mama 🙏🏿
@perismwangi582412 күн бұрын
Maybe ata wenye walikuja keep ambia huyu mama mambo ya josee kia ataonekan..maybe hawajui chocote...nikuongea tuu mucene
@GraceNyakio-wr3lx2 күн бұрын
Uyu mutumia ena uhoro
@winniewaithira457910 күн бұрын
Tajiri mtoto ninani
@NJOROWAKANAIRO6 күн бұрын
@@winniewaithira4579 fala fulani iko huku social media
@margaretnyambura83529 күн бұрын
Huyu afungwe afinywee vizuri aseme kweli coz maneno yake sio ya ukweli
@ConsolataWambui-g3m12 күн бұрын
Na bona Jose alisema amechoka
@RuthJohn-j6u12 күн бұрын
@@ConsolataWambui-g3m Huyo mama. Achunguzwe vizuri labda walipanga na jose kuchoma hiyo Duka labda alikua anatishia huyu mama malipo yake
@lucymwai764511 күн бұрын
Thakame ya mundu ndiuragira thii ta Nyamu, Mwathani aheane utheri.
@ceciliamwaura746812 күн бұрын
Watoe Jose just that
@SwhiteG1212 күн бұрын
Doesn't matter how much they cover up this. Justice must be served. Those involved in it arrested
@Azzobara12 күн бұрын
Unaweza anje wacha mutu amelala , na unaona moto , that doesn't make sense at all
@susannjambi57987 күн бұрын
Mbona huyo mlevi haku muamsha mlevi mwezake
@Nicholas-yr2sq11 күн бұрын
Murage afadhali ungeongea tu ukweli kitambo, finally kitakuramba😎
@Katewambo607411 күн бұрын
Murage was not there when the fire started meaning waliokuwa hapo hawakuongea saa hii ndio wanaongea especially mwenye alimruka Josee akiwa amelala na akanyanaza badala ange shout na labda angeokolewa kama kweli alikuwa ndani
@vee_kihara11 күн бұрын
Mara msichana mara mwanaume woman take ur stand!!!!
@miriamkamau818111 күн бұрын
@@vee_kihara huyu hajui chenye anasema ni ufala tuu
@JackyMuthoni12 күн бұрын
Waah 😢kwahivyo niukweli jose alichomekea uko nikuficha wanaficha?👀
@Luckyblessing48312 күн бұрын
Remember they said that kuna a dog ilichomeka...could it be it was jose....
@CateMuchina-dx6ey12 күн бұрын
Thakame ya mundu wa Ngai ndingaitika thi ta ya nyamu na gutire ugatura ta ihinga Ngai mbere
@Mwewesa11 күн бұрын
We understand it was an accident , they just come clean and say the truth, familia warithike. Hiding it will only cause more damage. 😢😢
@paulkamau55895 күн бұрын
Eeeh waseme tu vile kulikuwa
@janengethe-c4n12 күн бұрын
Thank you mama Speak the truth What murage is doing is wrong! Murage parents are not sleeping! It's endless turture and the need closer May God protect you mama!
@Nicholas-yr2sq11 күн бұрын
Surely murage alinjua hivi Na anajaribu kufisha hii maneno😎
@florencewilson482111 күн бұрын
What is murage doing?
@AnitaWambo-t8t12 күн бұрын
True afadhali murange hange ogepa ange ogea ukweli.ju hakuna mtu ana jua kifo yake
@Sianitamaina12 күн бұрын
Na hakuna mtu angemuuliza juu ni moto na ajali haina kinga,
@AnitaWambo-t8t12 күн бұрын
@Sianitamaina ni ukweli na si kupenda kuchomeke
@Sianitamaina12 күн бұрын
@@AnitaWambo-t8t maybe kuna vile anajua no wander anafisha
@AnitaWambo-t8t11 күн бұрын
Ukweli @@Sianitamaina
@hwambugu012 күн бұрын
Why would they hide about a dead person? It wasn't Murage's wish for the building to burn.
@shikungugichannel565111 күн бұрын
I'm wondering too. Sio Murage alichoma,. Na yeye huyu Jose alirukwa aje? Kwani alikuwa amelewa? Na mwenye kumruka mbona hakumuita?? May justice be found.... And because Murage was not there when it was burning, he can't say that Jose died there.... He will accept what police will say...
@EuniceWahome12 күн бұрын
shinda ni malafiki ama ni moto ngojeni ripoti ya polisi hii niuongo anajichangaya
@soniinyambu51211 күн бұрын
Mwenye kusema jose amtawai mwona statement iko wapi 🤷🤷mbona mlinyamaza mnafaa kushikwa wote with murder because uwezi ona mtu amechomeka alafu unyamaze
@lenahmwangi176011 күн бұрын
Wanaedanga kazi ama kulala? Kwa nini afanye mchana na usiku kwani hakuna management
@maggynyawi25312 күн бұрын
Tajiri mtoto just talk the truth so that family get peace n you get peace too otherwise its will not b easy just talk
@Seniorkibuchi12 күн бұрын
ok.uuwawe usiuwawe ukweli usatokea ..na soon kila kitu kitakuwa hadharani.
@brendamwende552512 күн бұрын
Yea waseme kwenye josee ako
@Njerig-m5q11 күн бұрын
Mbona hawakuamsha
@douglaskanyoro26412 күн бұрын
Hamuogopi...matajiri
@Wanjirushiraw699012 күн бұрын
My question ⁉️ is alikuwa anaomba pesa usiku saa nani afanye Nini ?? Tena uyu mama wenye wote walikuwa wanakula apo kwake ni Jose tu alikuwa na haja nae ? Then uyu mwenye alipita Jose akiwa amelala na kunachomeka bona hakumfuruta amuokoe ?? Alafhu before maadamano ulikuwa wapi hukuwa unaongea?? Na msijaribu kunshoutia naumwa na kindore ya mguu 😌😌
@janekchannel507412 күн бұрын
@Wanjirushiraw6990 Soo many questions here??
@elizakamande564612 күн бұрын
Ata the problem saa nane usiku alikuwaga anaitisha pesa
@janekchannel507412 күн бұрын
@@elizakamande5646 imagine,na kuna wafanyi kazi wengi huko,bona Jose tu
@elizakamande564612 күн бұрын
@@janekchannel5074 arafu huyu co-workers alimuruka kama jose was sleeping after kuona mto anapotea who does that
@sarahngugi399311 күн бұрын
@@elizakamande5646inawezekano hakua job na alikua kwa pombe