Fahamu GEREZA analoshikiliwa Hushpuppi, yupo pia R-Kelly, mwanasheria amtetea 'Ana biashara halali'

  Рет қаралды 30,969

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Raia wa Nigeria, Ramon Abbas maarufu zaidi kwa jina la Hushpuppi au Billionaire Gucci Master, anashikiliwa kwenye gereza maarufu liitwalo Metropolitan Correctional Center, Chicago au MCC Chicago.

Пікірлер: 50
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 4 жыл бұрын
All in All huyu mwamba ana akili mno🙌🏽
@fighterm7708
@fighterm7708 4 жыл бұрын
Mwamba genius sana aiseee......anatumia elimu yake vizuri
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
Ana akili za kawaida duh. Km za mi nawe. Sema tu yupo informed na haogopi madhara ya siku mabaya yake yakifichuliwa na kuanza kuhangaika na vyombo vya dola. Pia ye anafurahia pesa ya uwizi. Kwa mfano mi nawe sasa, tumeshajua mtu unaweza piga pesa mtandaoni na ukawa tajari km jamaa, ila tunaogopa madhara ya kukamatwa, pia hatuoni km tutakuwa na furaha na hiyo hela.
@maryamm7765
@maryamm7765 4 жыл бұрын
Asante kwa habar 👏👏👏
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 жыл бұрын
Ila kwa wanasheria wa Marekani tusishangae anatoka kwa dhamana
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 жыл бұрын
Huyu jamaa hafai kufungwa huyu ana haki yakuachiwa ni mwixi wa akili anaibia wenye pesa si wanyonge😀😀😀
@Ibramoref
@Ibramoref 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@LeeUfudu
@LeeUfudu 4 жыл бұрын
Mwamba lzima Ale mtaa Big up sky kwa kutupa habari ya mwamba
@mubarakahussein9950
@mubarakahussein9950 4 жыл бұрын
Sky I love your voice 🔥🔥🔥🔥
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 4 жыл бұрын
Thanks brother
@subiraomari5908
@subiraomari5908 4 жыл бұрын
Asante kwa Habari njema
@jonathanimdegela1005
@jonathanimdegela1005 4 жыл бұрын
Mwamba lazima achiwe mwamb pesa iko ata kama mwizi wa kuiba kiakili noma minaamin atatoka
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 4 жыл бұрын
Subhannallah, pesa itamtoa umo ndani
@asimaaathumani5739
@asimaaathumani5739 4 жыл бұрын
Kazi ipo
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 4 жыл бұрын
Pesa ndo kilakitu duniani ataaciwatu Hushpuppi kisuma
@tillerseth7778
@tillerseth7778 4 жыл бұрын
The only person will save him is Annalise keating 😂😂
@anitakamene5073
@anitakamene5073 4 жыл бұрын
Nice
@queenslandemile2536
@queenslandemile2536 4 жыл бұрын
Atamimi sikukuaga nime Amini kama nikweli , binadamu sio watu wazuri jamani wanaweza wakakuzulia kesi mbaya mpaka ukashanga, binadamu awapendi maendeleo ya mtu😭 kama nikweli itabaki kua kweli nakama sio kweli mungu ampiganie🙏🙏🙏
@amanistarz1234
@amanistarz1234 4 жыл бұрын
Ya kwl hayo
@marinamooh4055
@marinamooh4055 4 жыл бұрын
Mhhh🤔 hapa ndio ule msemo usemwao pesa inaonge 🙄🙄loohh mtu kakutwa na ushahidi wote 🙌🙌🙌Shikamoo pesa Daahh
@rehemashafi4809
@rehemashafi4809 4 жыл бұрын
Duh kila mtu anayake aijalishi anaukubwa gan
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 4 жыл бұрын
Nikiwa mkubwa nataka niwe Kama yeye
@restypeter1141
@restypeter1141 4 жыл бұрын
🙄🙄🙄 uwe mwizi🤣🤣
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 4 жыл бұрын
@@restypeter1141 wizi wa akili sana unafaa sana hata dhambi hupati maana hauibii masikini
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Huyo r Kelly afungwe tuu anatembea na watoto wadongo
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 жыл бұрын
Akafungwe myaka yote hao wanaigeria wezi
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 4 жыл бұрын
Hana makosa kabisa wamiliki wa mtandao ndio wana mkosa wamezidiwa akili na Gucci master
@moremibituro2060
@moremibituro2060 4 жыл бұрын
Bro unasema hivi kwasababu hujawahi kuibia mtandaoni angekuibia mtandaoni usingethubutu kusema hivi
@queenslandemile2536
@queenslandemile2536 4 жыл бұрын
Unaweza ukakuta sio kweli Kaka maaana binadamu sio watu pw wanaweza wakamsababishia matatizo ili tu apoteze maisha yake , mimi binaadamu siwaamini kabisa kama nikweli anausika yatajulikana tu nakama sio kweli mungu amupiganie , maana ukitakia mwezio mabaya jua kama nawewe uko njiani kuyaona , tumuachie mungu njo atafanya yote 🙏
@RuzoOwzy
@RuzoOwzy 2 жыл бұрын
Ila sheria bwana. Yaani huyo mwanasheria wake kamsafisha kabisa, hana doa hata kiduchu.
@user-re4gu6yy2f
@user-re4gu6yy2f 6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 4 жыл бұрын
Blax wanawatesa sana uko
@manzitalks957
@manzitalks957 4 жыл бұрын
Angalia Njia ambazo Hush Puppy alikuwa akiwaibia watu pesa kwa njia ya mtandao kupitia hii Link: kzbin.info/www/bejne/g6fbiIxnjreLmLc
@justinmwene3669
@justinmwene3669 4 жыл бұрын
Dan
@khadijakhadija-ve7tv
@khadijakhadija-ve7tv 4 жыл бұрын
Mmmh
@vivianchawe7561
@vivianchawe7561 4 жыл бұрын
Money money
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 4 жыл бұрын
Unapenda mazoezi? Pitia hapa na subscribe
@happylusinde9215
@happylusinde9215 4 жыл бұрын
Mmh
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
@ritasafari4723
@ritasafari4723 4 жыл бұрын
Gucci got tricked into accepting all that dirty stolen money hahahaha
@veeJesus
@veeJesus 4 жыл бұрын
Thats not their business 😂😂😂
@joyjacqueline4733
@joyjacqueline4733 4 жыл бұрын
They were benefiting. It's business
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 4 жыл бұрын
Duuuh
@Ibramoref
@Ibramoref 4 жыл бұрын
This man is a talented thief 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 4 жыл бұрын
Pesa inaongea
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 жыл бұрын
Utasikiya amehachwa
@gfdasd6287
@gfdasd6287 4 жыл бұрын
Watu napesa zao bwana wey nenda ukaibe kuku uone kitakaco kukutaa🤣🤣🤣
@asinathasinath5090
@asinathasinath5090 4 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@edwardnainyeye9258
@edwardnainyeye9258 4 жыл бұрын
Ka
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 63 МЛН
Good teacher wows kids with practical examples #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 6 МЛН
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 10 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,7 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 583 М.
What REALLY Caused the Split Between Sunni and Shia Muslims
17:03
The Islamic History Hub
Рет қаралды 302 М.
Some moments of Hushpuppi enjoyment before his arrest.
2:44
heritage TV
Рет қаралды 60 М.
In Conversation with CNBC - Interview by Hadley Gamble I Hussain Sajwani
15:35
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 63 МЛН