Jebra Kambole ni Mwanasheria wa kujitegemea na leo ameongelea muda sahihi wa kukmkamata mtuhumiwa na Pia ameongelea mambo mengi likiwemo ni Chomo gani ni sahihi kuwa na pingu
Пікірлер: 17
@rajabuabdallah38407 жыл бұрын
Kka milad shkran kwa kuturushia
@balthazarymwakitalu25026 жыл бұрын
Hayo masaa ya mtu kukamatwa yapo kwenye kifungu kipi?huwez pangiwa masaa ya mtuhumiwa kukamatwa brother
@emanuelmlowe68543 жыл бұрын
Et Massa 24
@zaniallyyunus46963 жыл бұрын
Jaman kunakituokinatuyesa
@inassibmshana61457 жыл бұрын
ongea ukweli kama unataka kuelimisha jamii jinsi ya kukamatwa mtuhumiwa
@karimumduma40627 жыл бұрын
we Johnson kama we unajua na we we elezea ye kaeleza kiasi chake
@amosmahona4334 жыл бұрын
Dizaini kama sijaelewa
@katyentyedanny40377 жыл бұрын
mtuhumiwa wa aina gn fafanua
@iviejustified81097 жыл бұрын
Katyentye danny wazungu wanakitu yaitwa instinct! So that guides any proffesional & light workers!
@wesakaphilimon95787 жыл бұрын
Hana lolote huyo kilaza tu
@wesakaphilimon95787 жыл бұрын
G P O????????? ndio nini hicho??? Mbn anaongea anatetemeka hajiamin? Lawyer gan unatetemeka? Kama sio ukilaza?
@marcokaroje89802 жыл бұрын
GENERAL POLICE ORDERS?
@balthazarymwakitalu25026 жыл бұрын
Umekalili vyema ila mengine umedanganya umma brother..GPO ni kitu gani?pia huo muda wa mtuhumiwa kukaa polisi umepitia vyema na exception zake?brother soma vyema hiyo criminal procedure act ila usidanganye chimba mpaka ndani
@IsmailKatala Жыл бұрын
Kachanganya kidogo hapo sio GPO, ila ni PGO
@johnsonkilingo65157 жыл бұрын
GOP ndio nn ww acha kudanganya
@iviejustified81097 жыл бұрын
johnson kilingo break it down... why lamenting.. unasababisha tufikiri twice about ya!
@salehali4saleh194 жыл бұрын
GOP sio kweli inajulikana km PGO(police general order)