AZIZ KI KUMTOLEA MAHARI HAMISA JUMAMOSI HII, NDOA FEBRUARY 16 2025

  Рет қаралды 17,318

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 69
@SecyTovagonze
@SecyTovagonze 4 сағат бұрын
Hogera sana mwenyezi Mungu awajalie maisha mazuri na yenye furaha na amani
@bahatibushiri1610
@bahatibushiri1610 9 сағат бұрын
Woyooooooo ningekuwa dar lazima ningefanya vyovyote niende harusini naipenda sana hii couple🎉🎉❤❤
@sirielsamweli
@sirielsamweli 14 сағат бұрын
❤❤❤nisaidieni kumsalimia Hamisa Mobetto na Àziz k, mwambien nawapenda ❤❤❤
@Ayshernasolo
@Ayshernasolo 8 сағат бұрын
Mashalhaaaa na Ikawe kher🎉
@strawberryrachii12-xh5bq
@strawberryrachii12-xh5bq 13 сағат бұрын
Hongera sana kwao masha Allah hakika Mungu yu pamoja na mwenye kusubiri ikawe kheri kwa mastar hawa in sha Allah
@maryamm7765
@maryamm7765 15 сағат бұрын
Mungu awafanyie wepes awaepushe na hasad ❤❤❤❤🎉
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 9 сағат бұрын
Ndoa tunayo na tunatamba nayo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwanaishakinjala8277
@mwanaishakinjala8277 11 сағат бұрын
Inshaallah Mwenyeezi Mungu akufanyie wepesi
@homeandaway2811
@homeandaway2811 14 сағат бұрын
MAMA DANGOTE NA GENGE LAKO ,MPOOOO??? 😂😂😂 MLIMNYANYASA SANA MKAJIONA NYIE MUNGU, HUYU TANGU AKAE MBALI NANYINYI AMEJALIWA MENGI SANA, MUNGU MKALI.
@uwimana6533
@uwimana6533 12 сағат бұрын
Kabisa 😂😂😂
@vanessastafford6426
@vanessastafford6426 6 сағат бұрын
❤❤❤
@LidiaNgomba
@LidiaNgomba 11 сағат бұрын
ndowa njema dada hamisa mwenye wivu ata jinyonga❤🎉🎉 nakupenda kutaka malawi
@MashaMbwana
@MashaMbwana 9 сағат бұрын
Huu mwaka wa neema kwa wasanii kufunga ndoa Inshaa Allah kheri kwa wote wanaotarajia ndoa huu mwaka ❤❤❤
@ZawadiHemedi-c5d
@ZawadiHemedi-c5d 14 сағат бұрын
Marshallaa
@STAN_MACOMPUTER
@STAN_MACOMPUTER 15 сағат бұрын
🎉🎉🎉 karibu kwetu Shem
@FatumaIbrahim-u5k
@FatumaIbrahim-u5k 13 сағат бұрын
Wacha waoane tu MUNGU awasimamie inshallah
@fatmahmed5647
@fatmahmed5647 12 сағат бұрын
Mungu awajaalie kiukweli ❤❤❤
@evagerald8236
@evagerald8236 12 сағат бұрын
Jamani ndoa tunayo ❤❤❤
@HappynessYohana-s3y
@HappynessYohana-s3y 10 сағат бұрын
Na tunatamba nayo
@evagerald8236
@evagerald8236 8 сағат бұрын
@@HappynessYohana-s3y 🤣🤣🤣atariii
@siriyangu4724
@siriyangu4724 13 сағат бұрын
Inshaallah
@PASCHAL-kh8qp
@PASCHAL-kh8qp 15 сағат бұрын
Itapendeza sana🎉🎉🎉🎉🎉💚💛💚💛
@WardaYousuf-g2n
@WardaYousuf-g2n 12 сағат бұрын
Alhamdulillah Allah awabariki harusi yao ❤❤
@SaraSimonNyamayagwa
@SaraSimonNyamayagwa 11 сағат бұрын
Inshallah iwe ya kheri kwenu.Karibu Shemela
@BettyNzegenuka-yr5xq
@BettyNzegenuka-yr5xq 14 сағат бұрын
Tunaoikubali hii couple tukutane hapa
@MahmoodAlghefeili
@MahmoodAlghefeili 13 сағат бұрын
❤❤mm nawapenda mno
@sweetiepie3012
@sweetiepie3012 15 сағат бұрын
Mashallah 😍
@mjanthony4864
@mjanthony4864 13 сағат бұрын
Kila niki muangalia Hamisa, namuona ni tapeli tuu.
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 13 сағат бұрын
Kwendraaa
@200Stella
@200Stella 11 сағат бұрын
Ana mimba ka Hamisa ketu...
@emmanicko1535
@emmanicko1535 15 сағат бұрын
SAFI KABISA
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 12 сағат бұрын
Mkazae Aziz Ki mwingine , boli litembee
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 15 сағат бұрын
🎉
@amanichaula1
@amanichaula1 11 сағат бұрын
Keisha kazi azizi msimu ujao Pamba jiji
@kephamabula
@kephamabula 7 сағат бұрын
😂
@wonderstylish
@wonderstylish 14 сағат бұрын
Congratulations ❤
@YaasiPesa
@YaasiPesa 15 сағат бұрын
Kashakuwa shemeji wataifa huyo
@neemanyove9130
@neemanyove9130 15 сағат бұрын
Nimependa
@WardaYousuf-g2n
@WardaYousuf-g2n 12 сағат бұрын
Mume hachaguliwi muhimu upendo huyo ndio kidume anachukuwa jiko
@Liberatus-k2c
@Liberatus-k2c 13 сағат бұрын
Maskin pore sana aziziii kiwangoo kikishuka 😂😂😂 kitakulamba
@BensonTemu-h6h
@BensonTemu-h6h 15 сағат бұрын
😂😂 ngiri anataka kuingia kwenye shimo kinyume nyume kumkwepa chui. Mfupa umemshinda fisi mbwa atauweza?
@uwimana6533
@uwimana6533 12 сағат бұрын
Povu limekutoka mbona 😂😂😂
@EGM-TZ
@EGM-TZ 14 сағат бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM, itabidi tupewe kitengo cha Burudani ❤😅
@ShafiiSoud-b3w
@ShafiiSoud-b3w 14 сағат бұрын
😂😅 kumbe anaoa...si alishakul mkpo wa sukari lakin🤣
@AgnesJasson
@AgnesJasson 14 сағат бұрын
Uu mwaka umechangamka
@KhadijaTandallah
@KhadijaTandallah 12 сағат бұрын
Sanaaa yaan
@desirechristoph7087
@desirechristoph7087 15 сағат бұрын
Wakwanza Leo kutoka malawi
@samwelwandazi5743
@samwelwandazi5743 15 сағат бұрын
Wa pili kutoka Marekani
@IsiahMosl
@IsiahMosl 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@IsiahMosl
@IsiahMosl 13 сағат бұрын
Wa tatu kutoka Oman
@juliusdonard933
@juliusdonard933 14 сағат бұрын
Hakikisha azizi unamzlish hata watoto 4
@teofridamakoye
@teofridamakoye 14 сағат бұрын
Sasa bila umbea tutaishi kweli😅😅😅
@gordiansoko9113
@gordiansoko9113 13 сағат бұрын
Hilo jamvi la wageni hakuna mke hapo Aziz Ki umeingizwa chaka kama gari hilo Peugeot 404.
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 12 сағат бұрын
Una kheri wewe uliye haki ya kumhukumu mwanadamu mwenzio ,mshukuru Mungu kwa kukuumba mwaminifu.
@Jackking-f5o
@Jackking-f5o 5 сағат бұрын
Huna akili unaemuhukum
@GeraldMakala
@GeraldMakala 15 сағат бұрын
Ila wanawake ni kama kiazi kinalweza kuliwa na mtu ambae ana meno sasa kweli mdomo kama utumbo lakini pesa inamfanya ipigwe denda mpaka damu itoke 😅😅😅😅
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 14 сағат бұрын
Money😅😅
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 14 сағат бұрын
Ww uko sawa kimwili na kiakili
@IsiahMosl
@IsiahMosl 13 сағат бұрын
Pole sana hujielewi ndo maana ukaandika hivyo kama huna la kuandika unagalia tu unabaki na mawazo Yako..
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 13 сағат бұрын
Umemaliza kuzaa au unaropoka.., wewe unajiona umekamlika eeh sekunde tu mwenyenz MUNGU anakubadilisha
@asmamjema8539
@asmamjema8539 11 сағат бұрын
Kumbe hata wanaume mna wivu😂 Kwa mawazo yangu naona MUNGU kakunyima akili yakufikir kuwa muumbaji Sio mwanadam sasa naona unajivisha swala la uumbaji, hujafa hujaumbika
@MakaNkoka
@MakaNkoka 14 сағат бұрын
Yan hii habar nilikuwa nasubr @millard ayo apost ili niamini
@siriyangu4724
@siriyangu4724 13 сағат бұрын
Umeonaeeh 😂
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 14 сағат бұрын
From 🇧🇮 mashaallah 🥰
@samsunggalax8258
@samsunggalax8258 15 сағат бұрын
Mashallah elf mabrook❤
@JemesKasase
@JemesKasase 15 сағат бұрын
Umbea two hamna kingine
USIKU WA CHAI WA NANDY NA ANKO T WAWAKUTANISHA PAULA NA FAHYMA.
8:23
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
HUYU NDIO MASAU BWIRE SASA KWA TAMBO TU HAPA NDIO NYUMBANI KWAKE
7:23
Little Big Shots   Meet Micro Mayor James Episode Highlight( Engsub)
4:53
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН