Asante sana mtumishi. Mungu akuinue sana sana.Uwe juu tu wala hutakuwa mkia. Wabarikiwe watoto,make na wazazi,pia huduma yako
@bettymrema36427 ай бұрын
Asante pastor nimebarikiwa nanibebadilisha maisha
@dorothyshiyyo33704 ай бұрын
Mungu akubariki sana Pastor. Napata vitu vya maana sana. Mungu azidi kukuinua na kukuweka mahali pa juu wewe na familia yako,huduma na kanisa lako.
@RehemaYassin-n8t10 ай бұрын
Amen pastor mungu akubriki hili neno la leo naona kubdilshwa ❤❤❤❤🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌
@PurMer-lx4qf9 ай бұрын
Harrelluyah Jehova uzidi kubariki mchunganji Na Neema Kwa Wingo.mafundisho yake inatupatia uzima wako❤❤❤❤Asante yesu
@kmtcuniversity93105 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤OH MY goodness Peophet
@bitishoriziki11139 ай бұрын
Mungu ni mwema njamani kutupa waubiri na waimbaji wote keenye mtandao amem bwana. Yesu mzururi ❤❤🎉🎉🎉🌹🔥🔥🔥🔥🔥🥰❤️🤲🙏🏼🙏🏼🙏🏼👏👏🙌🏼🙌🏼🔥🔥🔥
@Beatrice55-h4l10 ай бұрын
Hakika leo naona wazi wazi kuwa Mungu amesema nami na kunijibu maswali yangu na shida zangu zote.. Mtumshi Mungu azidi kukuinua siku kwa siku na kukuonekania na kukutumia kama chombo kutushibisha .. Barikiwa
@shukurusyriack350410 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu,ninabarikiwa sana na mafundisho yako,Mungu aendelee kukutumia.
@alicerosah30849 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu maubiri yako imenipatilisha sana 🙏
@bitishoriziki11139 ай бұрын
Amen God bless all 🙏🏼💐🌹🎉🎉😊💞🌹
@neemakaaya325210 ай бұрын
Mungu wa mbingu na nchi akubariki mtumishi wa Mungu
@violethnyangasa94959 ай бұрын
Nimebarikiwa sana namtukuza Mungu WA mbinguni kwajili ya mtumishi
@VioletFlora-qx5xl9 ай бұрын
Asante pastor,kuanjia leo najitakaza Kwa bwana,nataka niishi maisha ya kumpendeza mungu🙏🙏
@CelestineBeliot10 ай бұрын
Ujumbe wa Leo umeniguza sana ,mungu anitie nguvu zaidi niishi katika neno lake! 🙏🙏🙏
@raphaelagaitani75909 ай бұрын
My k😊
@marymessay276810 ай бұрын
Amen Mungu akubariki mtumishi tunabarikiwa
@everinemasoka692310 ай бұрын
Amen ubarikiwe Paston George, kwa neno nzuri la Mungu nimebarikiwa sana.
@JenniferBuyari10 ай бұрын
Amen Amen ....Asante sana mtumishi mungu ainuliwe milele na milele
@rosemutesi662610 ай бұрын
Bwana Yesu Asifiwe sana na wafwatilia kutoka Marekani na Mungu wa Milele akuinue sana ili kizazi hiki kimejaa uvivu na kutaka nipe nipe tu kisikie sauti ya Mungu watu wajue kanuni za Mungu.
Nakufuatilia kutoka Kenya naomba utukufu wa Mungu kwa maisha yangu. God bless you man of God❤
@lilianshivinah-w1n9 ай бұрын
Amen pstr forever be blessed and may God continue relevating you to higher mount
@witneskindole945110 ай бұрын
❤❤❤❤Ameeen
@Daniella24910 ай бұрын
Ameen mtumishi mungu azidi kukujali uzima na afya nabarikiwa sana
@irenekemunto965810 ай бұрын
Nimebarikiwa sana na neno la mungu ❤❤❤❤ sunday
@glorytogod280610 ай бұрын
Nabarikiwa na neno hili, hakika Mungu anasema na roho zetu
@Rebecca_tarimo10 ай бұрын
I'm blessed always by your msg pastor
@lukaspatrick47610 ай бұрын
barkiwa sana mtumishi unatupe neno lilo fresh MUNGU azidi kuzidisha kwako😊
@MercylineGideon10 ай бұрын
❤
@evamusuruve319610 ай бұрын
Amen 🙏 ,kwa ushujumbe huu muhimu ,be blessed
@DéogratiasMANIRAMBONA9 ай бұрын
Mungu ututakase kabisa
@penninahmarthias930110 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful be blessed more pastor am really blessed with ur Service may the lord lifted you more up
@RuthMomanyi-bh3ez10 ай бұрын
Asante mtumishi najifunza kila leo balikiweni sana
@orisataoine43210 ай бұрын
Amen papa
@jacklinejackline253910 ай бұрын
Hallelujah AMEN thank you my God For Enabling me to Reach today 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EMANUELKibelenge-wr2ep10 ай бұрын
Amen pastor George MUNGU akubalk na kukuinua Zaid 🙏
@SimaelNgendakuriyo9 ай бұрын
Nimebarikiwa nakukuwakiroho sana nikiwa Burundi mngu azidi kukuinuwa
@happykaduma102110 ай бұрын
Mungu akubariki
@rosenathomas803710 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeen
@CatherineMakokha-dg6ws10 ай бұрын
Amen and amen I'm very blessed with teaching, more blessings in Jesus mighty name pastor 🙏🙏
@RehemaYassin-n8t10 ай бұрын
Amen
@lodvee171710 ай бұрын
Powerful doctrine
@HhsVvh10 ай бұрын
Ameni ameni
@olphanyamweya315410 ай бұрын
Akika huu ujumbe ni wangu , pastor Asante Kwa ukuuleta Kwa wakati mzuri GOD bless you 🙏❤️..... following from Saudi Arabia pastor kumbuka wenye tuko mbali , maombi ya Hana natamani kujiunga Niko Kwa kikudi Cha REBECCA pls nifahamishe.
@GodluckMmbaga-nd3nf9 ай бұрын
Nabarikiwa naahubiri yenye kibal nahuishwa siku Hadi siku
@julienneasende290210 ай бұрын
Ayo maubili niyakwangu mungu akubalikisana
@priscaonesmo141610 ай бұрын
Natamani dunia ikuelewe
@Saranabwire10 ай бұрын
Nimechelewa ila nafatilia neno zuri muno
@Mercywaeni-z8z10 ай бұрын
Nimebarikiwa sana,Niko Kenya nitatuma sadaka zangu aje ?
@pastorgeorgemukabwajrc10 ай бұрын
0722578776.George.
@naomifungo48409 ай бұрын
Tunaomba kutumiwa namba ya sadaka kwa tulio mbali.
@paurpaurFrig10 ай бұрын
pasita kiukweri unatubariki naitwa pauro kutoka uganda
@CelestineBeliot10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji tatizo nalopata ni ya matoleo yangu,hazifanyi hizo ,ntatumaje sadaka?