Mimi ni Mzaliwa wa kwanza kwa cheo nina ushuhuda aisee maisha si rahisi tunayoyapitia ni Mungu tu ajuaye... Ila ukimtumainia Mungu na kumtanguliza katika kila jambo kuna vile anakufungulia njia za mibaraka. Kutoa kwako ndivyo Mungu anapozidi kukufungulia njia. Tujifunze kuto kunung'unika sana pale tunapokua na majukumu mengi nyumba yetu...Tujifunze kurudi miguuni pa bwana na kuomba na kumwachia Mungu atende sawasawa na mapenzi yake🙏🙏
@DorcasChacha-d2h22 күн бұрын
Pastor mmbaga shikamoo,mimi naitwa dorcas naishi mkoa wa tabora wilaya ya nzega.ninashida sana,naona ushuhuda,natamani uniombee na mimi siku moja nije kutoa ushuhuda.kwa mamlaka uliyopewa na mungu,ukiniombea shida niliyonayo mungu atatenda
@Eustina-g9l6 ай бұрын
Amen 🙏asante sana muhubiri mahubiri yako,mafundisho yako yamenigusa katika maisha ninayo pitia kwa sasa na ninaamini mungu ameshughulika si mzaliwa wa kwanza laki katika kibali cha mungu nikama wa kwanza
@claudiabasili44867 ай бұрын
Dear first born siku zote MUNGU anawafanyia njia.much love to them
@aumamadina71006 ай бұрын
He said not all first Borns are God's first born
@Akirajovial5 күн бұрын
Amen 🙏 we are blessed through you God bless you mtumishi wa mungu
@fatumachagudadui31386 ай бұрын
Kusema kweli unanibariki Sana naomba uniombee nipate kazi nimetuma maombi idara ya Elimu Mungu akafungue njia Kwa Jina la Yesu Amina. Namshukuru Mungu kwa kweli.
@2packmakavelShakur-tr3cu7 ай бұрын
Ninakushukiru YESU kwa njia ya Mchungaji Mmbaga ninaamini utanipatia hitaji langu la kumuoa mchumba wangu kwa jina la YESU Amina
@ElizanaBahati6 ай бұрын
Amen 🎉🎉
@ambonisefesto14167 ай бұрын
Mungu wetu wa Mbinguni akubariki mchungaji wangu huwa unanitia Moyo Sana nimekuwa nikiandamwa kazini mpaka nilitamani kuacha kazi lakini Mungu akanipa akili ya kwenda shule afisa utumishi wangu alinikatalia lakini Mungu alimtumia bosi mwingine akaongea na mwajiri wangu akabaki anashangaa akasema sijamkatalia mtu kwenda shule hivyo mwishoni nikapewa barua ya ruhusa na baada ya Mimi kuondoka nikapigiwa simu kuwa Yule bosi wako amehamishea nampenda Sana huyu Mungu wa muujiza kwangu❤❤❤
@sylviaomwenga87407 ай бұрын
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌
@NeemaLadslaus7 ай бұрын
Par,mungu akubariki yaan mafundisho yako yamenitia moyo na nguvu Katika maisha ya kiimani mungu akubariki Sana ninabarikiwa Sana
@RachaelMbeyu6 ай бұрын
Asante sana kwa somo la leo mungu atutangulie kwa kila jambo tunahitaji yesu atuongoze kwa kila hatua
@TeddyPaul-h4k7 ай бұрын
pastr mmbaga umenibadilisha maneno yako ni salaha kuna nguvu katika mahubiri yako ubarikiwe sana
@JuliaLumande-r4p7 ай бұрын
Alléluia 🙌🙏
@emanuelymittango37416 ай бұрын
Amina kubwa kwako mchungaji
@SashaOscar3 ай бұрын
Pr Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi, naendelea kujifunza kila kukicha kupitia masomo yako, na ninazid kuimarika sana kiroho, Mungu akubariki sana
@nengajoseph24217 ай бұрын
Hakika some hili limenigusa sana pr Mungu akubariki sana.
@BarakaEmmanuel-x4y4 ай бұрын
Mungu akubariki nimepata ambacho nilikuwa sijawahi kupata maishani mwangu Mungu aniogoze kuyatenda Amen
@esterpeter85567 ай бұрын
Pastor una moyo mzuri mweupe peee! YESU akutunze baba
@abigaelmwadena22627 ай бұрын
Amen barikiwa sana. Kwa somo hili naomba Mungu anibadilishe
@sylviaomwenga87407 ай бұрын
Asante sana baba wangu naomba uzidi kuwa nami siku zote zamaisha yangu
@maryaugustor69835 ай бұрын
Asante sana mchungaji MUNGU akulinde kabisa maana unafundisha vitu ambavyo vinagusa moyo wangu AMINA
@BushiriAmisi-i7z7 ай бұрын
Amen Mungu akubariki sana mchungaji
@EnockMASABO6 ай бұрын
Asante bwana pastor barikiwa nimejifunza mengi huku❤
@EbubuJustine7 ай бұрын
Bwana yesu asifiwe pasta mungu akubariki sana aya mahubiri ni yangu umenifariji sana
@mariamaswani8327 ай бұрын
Asante mchungaji kwa somo kwa kweli kila fundisho linafana na maisha yangu halisi niombe niwe pia mimi niweze kufanya kazi shambani mwa bwana
@feadamagessa8897 ай бұрын
Mungu akubariki sana pr kweli Mimi na shambuliwa sana nilikuwa sijui , Mungu anisaidie sana
@WilieliminaZacharia7 ай бұрын
Amina nabarikiwa Sana mungu akuinue zaidi na akulinde
@mush3377 ай бұрын
Napenda mahubiri yako sana,kile kinachonileta hapa sio nyimbo Wala mahubiri ya mtu mwingine ila yako
@edwardmugendi-hb1tj7 ай бұрын
anza na kumuabdu
@mlishohadija69237 ай бұрын
Mungu akutetee mema pr kwa masoma haya mazuri
@MisangoSamson7 ай бұрын
Ushukuriwe mchungaji kwa ujumbe wako Mungu akubariki
@perisbosibori85247 ай бұрын
AMEN! I've listened to the message a bit late but it has built my faith and blessed me greatly. GOD bless you Pastor for teachings are ever timely and have changed my life in an amazing way 🙏🏻 🙌🏻.
@reubenomandi12727 ай бұрын
Most touching sermon ever!
@maureenmgeni7 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki zaidi na kukutumia katika kuvuna nafsi zake. Aminaa.
@SuzanaNyanda7 ай бұрын
AMEN HAKIKA nmebarikiwa na mafundisho ya roho mtakatifu Asante YESU
@JasmnBeenad7 ай бұрын
Amina pastor
@ElizabethMhezi7 ай бұрын
Amen🙏
@AmosKalyango-o1s2 ай бұрын
Pr.nabarikiwa na mafundisho yako
@zainabkase93246 ай бұрын
Pastor majirani wangu wana nichukia sana niombee
@maseaJoe86767 ай бұрын
Mtumishi asante sana barikiwa
@festojuma76597 ай бұрын
Mchungaji hapa umenijenga sana unacho sema kime nigusa sana Mungu akubalik
@HellenaMky7 ай бұрын
Amina mtumishi
@PreciousWatson-kc2xs7 ай бұрын
Amen ubarikiwe san
@IrineoyaruOyaru7 ай бұрын
Amina
@Trizah-254-e7 ай бұрын
Niombee Pastor na watoto wangu
@MichaelMhangwa-ip1ss7 ай бұрын
Ameeeen pr. Bwana akubariki Sana
@ObadiahRuto-z1j7 ай бұрын
Amen ubarikiwe pstr
@VeronicahNyaboke7 ай бұрын
Amen, pastor God bless you
@sylviesaidi57407 ай бұрын
Nimebarikiwa sn na ilisomo maombi Mungu aka nikumbuke na Mimi
@MathayoKakanyi7 ай бұрын
Sasa nimekuelewa kabisa mungu naomba unisamehe,nimesahau majukumu yangu ktk BOMA letu naanza Kaz rasmi,ameen
@Trizah-254-e7 ай бұрын
AMEN
@agneskhakali20697 ай бұрын
Amen Amen
@FarajaMtavangu7 ай бұрын
kweli mchngaji Kama wakati huu majukumu yanayonilazimu kutoa Kwa ndugu nikijumlisha namwaga tofali na kuanza kujenga lakin nitatoa na kujenga Bado na hakuna wa kumueleza shida zangu na wakati mengne wakiniomba nakopa hawajui
@PeterCharles-yc7tn7 ай бұрын
Mchungaji kwakweli mim hua naandamwa sana nimekua nasingiziwa vitu nawatu wangu wakaribu hata mume wangu je hilinalo no agano au nitatizo lingine nisaidie mungu akubariki
Dear pastor MMBAGA, Ukweli unagusa maisha yangu najisikia kutiwa nguvu kwa masomo haya ninayojifunza, kupitia wewe, nilitamani kupotezea, na kukubali kushindwa ila Sasa nitasimama, na MUNGU.
@MahubiriPrMmbaga7 ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@esternaftari90327 ай бұрын
Jipe moyo mpendwa unaanzaje kumkosa Mungu kwa ajiri ya changamoto endelea mbele kila lenye mwanzo lina mwisho
@IsaacJohn-qq7hm7 ай бұрын
😂ubarikiwe pr mungu akutie nguv
@peninahmoraa84197 ай бұрын
Mungu akutendee na akuongeze hekima
@josephhakizimanamuganza2227 ай бұрын
Jambo muchungaji nafaidika sana kupitiya mahubiri
@jeremiaisowe44437 ай бұрын
Usiruhusu woga utawale maisha Yako.
@AwgeLewy6 ай бұрын
Ak npenda sana maubiri yako
@paulivo70727 ай бұрын
Ameen
@ReginaGalus7 ай бұрын
Pastor nahtaji kubarikiwa ni mbeba agano kwa haya nayopitia inaonyesha dhairi naomba niongoze katika maombi
@bernadethansanzugwanko77896 ай бұрын
Mchungaji, ubarikiwe sana kwa mafundisho yako. Naomba namba yako uokoe maisha ya mwanangu yanateketea
@emmanuelmbwambo65717 ай бұрын
SAWA mchungaji (akhsante).🙏
@JoyKerubo20137 ай бұрын
Pastor uombee mzaliwa wa kwanza wa kwangu anayeitwa Brian apate kazi.. kutoka Kenya
@josephinemapande52217 ай бұрын
Mungu azidi kukutunza ili tufaidike namafundisho yako yatubariki niombee nipone kiroho nakimwili
@mariahaloyce51907 ай бұрын
Ameeen
@boscoShama7 ай бұрын
Nakupata
@InviolataLuena-f2j7 ай бұрын
Now no more blood of Jesus particularly in Tanzania but Yap, the teaching. By Heri
@jacklineantonymasaga85177 ай бұрын
Umenibari na kunifundisha
@LareineAziza7 ай бұрын
😢 achukuriwe MUNGU maana yeye nimwema kwetu kila leo
@kaitirajosephat7 ай бұрын
Hivi PR mbn unanisema Mimi Siku 1 Kaka angu mkubwa aliniomba mpaka pesa ya mchango wa Kikao cha Familia 😂😂😂 daaah!! Mtu analalamika kabisa Yesu wangu😅
@sirpleasureb7 ай бұрын
INJILI NJEMA,ATUKUZWE BWANA.
@MASANZAJANVIER7 ай бұрын
Deborah uriyo 27:23
@neemamsalege63257 ай бұрын
Naomba namba ya pastor mbaga pleass!!!!!
@reginaburetta23047 ай бұрын
Je somo hili linamwendelezo mana nautafta sijauona
@MwanaishaMdesaАй бұрын
Jamani bwana azidi kukuinulia na kukubariki tusife na njaa wala kiu kupitia chakula hiki tubarikiwe na sisi jaman mmbaga ubarikiwe sana ambukiza na kizaz chako jaman! Namba msaadamaana shda nyingne siyo za sms tafadhali mwenye nayo
@MariamMZIMBA-zf5ev7 ай бұрын
Nimimi kwakweli ila nina vita kubwa sana ya kiroho inayo fanya nishindwe kukomboa familia yangu Ktk familia nimepata neema ya kokoka ni mimi napigwa vita na familia nzima
@RahelRaulenskahilo6 ай бұрын
Mtumishi niombee roho yaunzinzi iniachilie
@totoothindi42337 ай бұрын
Pastor niombee niko na case kesho kotini...nimelala kwa cell
@amosmomanyi0967 ай бұрын
Mungu ndiye mtetezi wa kwako
@totoothindi42337 ай бұрын
Nashukuru sana majabu ya metendeka nilikua nawekwa mpaka Bond imekuwa cancelled just from nowhere a lawyer mwenye sijui akakuja na file wakati last ikisomwa niende sasa remand for 3months Lawyer akanitetea...kwa sasa nko free nimepewa date ya 25 September 2024...zidi kuniombea Pastor napitia magumu.. Nashukuru sana kwa miracle imefanyika leo ...kwa kweli nimeona mkono wa Bwana
@MarthaTosh7 ай бұрын
Mungu awe upande wako
@mrsdeborahurio7 ай бұрын
Ni ukweli kabisa!
@jeremiaisowe44437 ай бұрын
Baki naMungu maana kupitia Mungu kunakufanikiwa.
@MASANZAJANVIER7 ай бұрын
DEBORAH URIYO 29:48
@KalabaKlb7 ай бұрын
Nahitaji icho kitabu cha kusikiya sauti ya mungu
@RahimaShujaa7 ай бұрын
NAOMBA maombi ya talaka iniondokee niwe n upendo na mume wangu Chrispus motto awachane na mpango wa kando
@MahubiriPrMmbaga7 ай бұрын
Ninakuombea
@margarethpeter67627 ай бұрын
Mungu akubarik Sana Pastor hakika Wewe ni Baraka kwa kizazi chetu tuishio Leo.
@theresiamwanamkejasiri65107 ай бұрын
Mungu Akusaidie sana na awarudishie upendo
@Mamas-06k7 ай бұрын
@@MahubiriPrMmbaga, pastor, pray for me, also, ndoa ndoa Mchungaji mipango ya kando inatutesa sana, na tuombe aje kwanza, tuwasamehe au tuwabariki, au tuwalaani .
@theresearcheronlinetv36497 ай бұрын
@@margarethpeter6762Umeona eeeeh! Tuwe tunamuombea MUNGU amvalishe mamlaka yake! Ili wengi tubarikiwe na kuokolewa🔥🔥🔥
@peninahmoraa84197 ай бұрын
Yaani utasikia tena na tena
@tabithamasesa73907 ай бұрын
Hapo ni wapi jamani
@patyflaviank51997 ай бұрын
Pastor naomba namba ya kutuma sadaka....
@edwardmnyuku41057 ай бұрын
😅😅😮😮😮😮 1:04:40 😮
@sylviesaidi57407 ай бұрын
Nihitaji maombi ya kunipa kiu ya maombi please postor
@cristinajeremiah24507 ай бұрын
Yananihusu
@ChanceBariziraVital-cv5jx7 ай бұрын
Lakinipasita je nahaowai silaheri niwakweli ambaowakohapo.isilaheli
@magesamatiku75067 ай бұрын
Nawezaje kupata namba za simu za Pasta huyu
@feiswalsalim21177 ай бұрын
sasa hawa maa bwana wakuwakupaga mopago ilikuuza sukari kwa kutumia mkowa mojja or kutia kuza sukari kwa wilaya mooja sasa watatumia idia yamgu kupuguza bei ya sukari kwa killa mkowa
@Trizah-254-e7 ай бұрын
Pastor ombea msichana wangu mkubwa alikuwa mwerdvu lakini siku hizi amerudi nyumba mbali Sana.
@maryAndrew7287 ай бұрын
Ni mama yangu amenitumia nisikilize video hii, na 😢 hii wiki yote naota nasoma secondary, na naota watu niliosoma nao chuo, mchungaji ,!