Famahamu MAAJABU ya AJABU Kijijini DAR '"CHENJI HAIRUDI"

  Рет қаралды 221

Jicholauswazi

Jicholauswazi

Күн бұрын

Je, unajua jijini dar es salaam kuna kijiji cha ajabu kilichobatuzwa jina la chenji hairudi?
Fuatana na mimi.
Kimara kuna huu mtaa ambao mwanzilishi ni mzee mmoja tu ambaye alikuwa wa kwanza kujenga mtaa huo na akawauzia maeneo watu ili wafanye biashara, ndugu ukiutazama huu mtaa utaona umejitenga pembeni ya mji na haujapakana na maeneo jirani.
Sasa hapa nakupa kidokezo kwanini panaitwa chenji hairudi?? Ni baada ya watu kuuziwa maeneo na mzee huyo wafanye biashara wengi wanafanya biashara za pombe za bei raihisi , hata wewe jiulize tangu lini konyagi ikawa na rangi hii? Usiniulize bei, itakushangaza zaidi hapa wanawake wanaojirahisi wanapatikana hapo kwa mujibu wa mwenyeji wetu anasema sasa unadangiwa unajaa vizuri tu je chenji itarudije.
Lakini pia alifafanua kuhusiana na matukio mengi tofauti na hilo kwenye mtaa huo hata tulivyomaliza kupiga nae stori akasema kuwa makini na huu mtaa. Fuatilia Makala hii.
#Jicholauswazi #daresalam #CHENJIHAIRUDI

Пікірлер
MCH MBARIKIWA  MWAKIPESILE NA MASANJA MKANDAMIZAJI LIVE🙏🏾
9:21
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 51 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 34 МЛН
JUMA LOKOLE ACHAFUA HALI YA HEWA?..
13:53
Jicholauswazi
Рет қаралды 1,3 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 511 М.
HISTORIA YA WAARABU NA ISRAEL
3:34:15
Mzee wa upako
Рет қаралды 58 М.
Fahamu KIJIJI cha WACHAWI Kiboko DUNIANI
9:54
Jicholauswazi
Рет қаралды 212
Amberuty: DIAMOND / Njoo Nikupe Kishundu / Namtikisia FOREVER
15:08
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН