MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE NA MASANJA MKANDAMIZAJI LIVE🙏🏾

  Рет қаралды 50,747

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

FEEL FREE CHURCH Dar es salaam

4 жыл бұрын

MZEE WA KIKOSI KAZI, SISI TUNAENDELEA KUJIFUNZA TOKA KWAKO, USITUCHOKE, HATA WEWE HAUKUANZIA HAPO, ASANTE KWA UTAYARI NA KUKUBALI KUFANYIKA MWALIMU!
NAKUHAKIKISHIA TUNAMALIZA KAZI KWA HESHIMA💪🏽

Пікірлер: 111
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Binafsi niyaonapo haya najuwa YESU yu karibu kuja, Mungu awabariki watumishi. Lisaidieni kanisa lipone liwe takatifu Yesu ajapo aikute IMANI ile aliyowaachia mitume. ✝️🛐😭
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 Ай бұрын
Ubarikiwe baba askofu emmanuel
@amosimichael208
@amosimichael208 4 жыл бұрын
Amen mch.masanja mabadiliko ni hatua moja baada ya nyingine huyo pastor anawokovu mgumu lakini ndo inayohitajika kwa sasa so wokovu wa sasa umebumbuliwa NB.maombi ndo iwe tabia ako mpaka mwisho achana na comment za watu huwezi kubadilika nipo India now wokovu wake nipo nae ni kam nipo Tanzania mfuate hasa.amen be blessed
@KashumbaMshanzi
@KashumbaMshanzi 11 ай бұрын
Agaria sana watu kuwamakin
@setholivier4862
@setholivier4862 4 жыл бұрын
Inapendeza sana watoto wa MUNGU wakiwa pamoja ❤❤. . Kila mfanyacho kifanyike kwa upendo. 1 Wakorintho 16:14 . Salimianeni kwa ishara ya upendo. 2 Wakorintho 13:12 .
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
christ olivier Ni kweli kabisaaa
@cliftonmahande9358
@cliftonmahande9358 4 жыл бұрын
Mbarikiwa ni miongoni mwa watumishi wanaofundisha kweli yaani maisha ya Toba Mfuate huyu Emmanuel na umsikilize na kuyafuata maagizo yake kama Yoshua alivyomsikiliza Musa hautojuta. Injili ya kweli isiyo na mizaha ndiyo yenye mamlaka ya kubadili tabia zetu.
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Amina
@mrmhenipm
@mrmhenipm 4 жыл бұрын
Masanja umenifurahisha kiukweli ! Uendelee kubarikiwa mpaka wenye Wivu wabadilike wawe wema !Nawatakia kazi njema
@godfreykawibesele8545
@godfreykawibesele8545 4 жыл бұрын
Yani bro nashukuru Sana binafsi nabalikiwa kupitia ww so Mungu akulinde uenende sawasawa na mapenzi yake
@mwalongojames1507
@mwalongojames1507 4 жыл бұрын
Tunakukalibisha kwenye kikosi kazi Bwana masanja
@mwachamwacha5538
@mwachamwacha5538 4 жыл бұрын
Mbarikiwa mzee wa gombo .injili isiyogoshiwa inapatikana hapo ..nakujua hukopeshi
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Huyu mzee anapiga gombo lileee la nyakati za biblia
@bartolomeuhenrique1574
@bartolomeuhenrique1574 11 ай бұрын
Kwa mchugaji mbalikiwa,anawokovu mgumu ata kuhumeza shida,ila ukivumilia kukaha naye duh,kwanini usiokoke,...amen
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 Жыл бұрын
Kwa kweli kaka Emmanuel mungu azidi kukutunza ainue huduma yako wewe ni mfano wa kuingwa👈💪💪🔥👏🙌🤩🤩🤩🤩🤩🙏
@ernestinamgeni6329
@ernestinamgeni6329 4 жыл бұрын
Mungu awabariki sana katika kazi zako
@natifasmith3468
@natifasmith3468 4 жыл бұрын
Usipokubali kufundishwa huwezi kuwa mwalimu msanja mungu akubariki kwa kujishusha
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
natifa Smith Very True
@johnlearnmaths.2538
@johnlearnmaths.2538 4 жыл бұрын
Kikosi kazi mbarikiwe
@josephhizza8004
@josephhizza8004 2 жыл бұрын
Mch. Masanja ubarikiwe sana kwa unyenyekevu huu. Mungu atakupeleka mbali. Wana wa Mungu yatupasa kutokuwa wepesi katika kuhukumu. Na zaidi ya yote kutokuhukumu kabisa. Tuwe wanyenyekevu kwa kuwa Mungu ana watu wake.
@innocentmwangosi1997
@innocentmwangosi1997 Жыл бұрын
Mungu ni mwema siku zote mbarikiwe watumishi wa Mungu
@prayalways9416
@prayalways9416 4 жыл бұрын
Amina. Mbarikiweee 😍
@gauedwin1960
@gauedwin1960 4 жыл бұрын
Woow..I looked and saw PAUL & TIMOTHY..Dady Emmanuel I Love Ur God,you are a blessed generation🙏
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Gaudenciar Edwin AMEN my Daughter 🙏🏾
@benardsamwelministry7024
@benardsamwelministry7024 4 жыл бұрын
Kwa yesu kumenoga hako katishet mtumishi nimekaelewa
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Benard samwel ministry Amen Asante sanaaa
@teeanna2060
@teeanna2060 4 жыл бұрын
Mungu nipe Mume mcha MUNGU kama Masanjaa🙏🙏 furaha kama yote
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Tee Anna Pokea sawasawa na haja ya Moyo wako
@teeanna2060
@teeanna2060 4 жыл бұрын
@@Feelfreechurch Amen napokea kwa jina la YESU
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Dada hebu nakusihi nitafute kwenye namba hii 0764597887
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Tee
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
Mungu akubariki umeomba lililo jema machoni pa Mungu amini imekuwa ivyo. Wengine tuliangukiaga ktk mikono ya wanyang'anyi ndoa zikafa tupo tunahangaika na dunia. Ninamachozi yasiyo kauka machoni maisha yote.
@medadiissa324
@medadiissa324 4 жыл бұрын
Kazi isonge mbele Yesu Kristo ahubiriwe kwa nguvu zote
@cliftonmahande9358
@cliftonmahande9358 4 жыл бұрын
Naomba daima adumu Mbarikiwa katika unyenyekevu asije akayaacha maagizo ya Bwana Yesu. Katika waimbaji anaongoza kwa nyimbo zenye nguvu za Mungu na zenye jumbe za kweli
@ericksuleiman9619
@ericksuleiman9619 2 жыл бұрын
Mungu awakumbuke kwa kazi nzuri
@ev.eng.enockl.mwakapalila2499
@ev.eng.enockl.mwakapalila2499 4 жыл бұрын
Dah ni neema ya namna gani watu kukaa pamoja na kukubali kujifunza kwa waliowatangulia. Kaka Emmanuel na mchungaji niseme tu Mungu akubaliki sana kwa moyo wa namna hiyo.
@revinaimani6846
@revinaimani6846 5 ай бұрын
Mtumishi wa mungu masanja mbona ili la mbarikiwa upo kimya jaman kuna nn hujui kuwa alifungwa? Na mwanae alikufa! Inapendeza saba ndg kukaa pamoja kwa umoja
@evangelistgideon6917
@evangelistgideon6917 4 жыл бұрын
Mungu akubarikiwe sana
@josegambi7149
@josegambi7149 4 жыл бұрын
God may bless you Emanuel
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Kwa Yesu kuna raha Armani,Mungu azidi kuwa bariki kila iitwapo leo
@christophermgoli1236
@christophermgoli1236 4 жыл бұрын
Barikiwa Sana. Mchungaji Masanja kazi ndio kwanza imeamka panda mbegu za uzima.
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Christopher Mgoli Amen Amen
@samuelnduati9792
@samuelnduati9792 4 жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema.
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 жыл бұрын
Ukipata wa hivi kama mch Emmanuel hujutii mahusiano unaona kama alikuwa wap toka zamani hongera mtumishi one day naiombea siku utupatie darasa daah i swear Mungu atatenda
@sabinagerold9962
@sabinagerold9962 4 жыл бұрын
Mungu awe nanyi, karibuni na kwangu
@iluminathawilliam6549
@iluminathawilliam6549 4 жыл бұрын
Waoooooo nimefurahi kumuona mwakipesile kwa mwasanja
@sillassaid3257
@sillassaid3257 Жыл бұрын
Safi sana balikiwa
@gracelutumo6911
@gracelutumo6911 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi.
@servantjosiahtv3129
@servantjosiahtv3129 4 жыл бұрын
Nimefrahi sana... Nimebarikwa pia
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
servant Josiah TV Amen Asante sanaaa
@esterbarinaba5891
@esterbarinaba5891 4 жыл бұрын
Mungu awainue ila siku nyingine sauti ifanyiwe marekebisho
@fanuelngambiye1342
@fanuelngambiye1342 4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua watumishi
@yohanamlagala8608
@yohanamlagala8608 4 жыл бұрын
Nawapenda sanaa watumishi wa mugu...nimefurah kwamkwli kuona mnakumbuka kutembeleana
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Yohana Mlagala Amen Amen
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 2 ай бұрын
Nikweli kbs
@sabinagerold9962
@sabinagerold9962 4 жыл бұрын
Sijui lin nitakutana nanyi Watumishi, Kaka Ema naomba namba
@maryemanuel5263
@maryemanuel5263 4 жыл бұрын
Kaka Masanja wewe ni watofauti sana napenda maisha unayoishi ya kumtanguliza Mungu maishani wacha Mungu aendelee kukubariki Na kukupeleka mbali kwa viwango.
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana MBARIKIWA MCHUNGAJI
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Ameeeeen
@lucykanuti6138
@lucykanuti6138 4 жыл бұрын
Kweli kaka Immanuel
@kedricksiame6167
@kedricksiame6167 2 жыл бұрын
Hongera kwa kupokea ugeni mkubwa
@ezekieljolam3961
@ezekieljolam3961 4 жыл бұрын
Mahali mlipo ni sehem sahihi mungu awabariki
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
ezekiel jolam Amen
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 Ай бұрын
Emmanul ni humble sanq
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 2 жыл бұрын
Askof umenipa rahaaa jinsi tu unavyotabasamu hivi na unavyoitikia amen askof haya bwana
@virginiakibe1846
@virginiakibe1846 4 жыл бұрын
One day iwill be in Tz will such you mchunganji masanja
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
virginia kibe anytime my friend
@florapeudy3963
@florapeudy3963 2 жыл бұрын
Amina kubwa
@naomijohn1273
@naomijohn1273 4 жыл бұрын
Vizur sana
@manmaster536
@manmaster536 Жыл бұрын
Sawaaa masanja
@sillassaid3257
@sillassaid3257 Жыл бұрын
Balikiwa Sana sana
@m.amanitv8534
@m.amanitv8534 4 жыл бұрын
Sauti iko chini Sana Masanja
@OmariJuma-su6fz
@OmariJuma-su6fz 2 ай бұрын
Naitazama nikiwa ujerumani
@magrethsanga942
@magrethsanga942 4 жыл бұрын
Amen
@salvatorymasaki4758
@salvatorymasaki4758 4 жыл бұрын
Wao God bless you
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
salvatory masaki Amen Asante sana
@emmosilver6039
@emmosilver6039 2 ай бұрын
Baada ya masumbufu naiyona faraja ya MUNGU mwenye Rehema ikikujia,utabiri pokea kutoka kwa Bwana,naona badiliko la fanaka hutalia Tena Nuru naikujie,Pokea bubujiko la faraja na'am na usahau yote.Ili makusudi mema ya MUNGU ya timie kwako..
@jumakitandu5438
@jumakitandu5438 4 жыл бұрын
Kujifunza kutoka kwa waliopita ndiyo maarifa mema
@mercyjesus6637
@mercyjesus6637 2 жыл бұрын
Njoo na kwetu jmn
@felistasabuni4285
@felistasabuni4285 2 жыл бұрын
Amina
@gabrielenocygabriel4623
@gabrielenocygabriel4623 2 жыл бұрын
dah ebwana ubarikiwe mwakipesile
@naomioman9794
@naomioman9794 4 жыл бұрын
AmeeeN
@godfreymbuya-go5zd
@godfreymbuya-go5zd Жыл бұрын
Mrudishe njia kuu alianza nae kupoteza ngudu yetu huyo kukandamiza ilikuwa Kwa upande wa comedy ila Kwa upande wa Imani naona Kwa upande wangu angesema kubembeleza coz watu wanahitaji maandalizi kama hayo na sio vitisho maana automatical ukisema kukandamiza inamaana zakuendelea kudiskasi kitaalam niseme hii kukandamiza ilikaa kule original comedy Kwa ukomedy barikiwa mtumishi wa Mungu mtoto akiunyea mkono elewa.
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Huyo mwakipesile ni mchungaji wa kweli ambae anakagua mpaka kijiko Cha wali umekiwekaje mdomoni yaani namaanisha anakagua Kila tendo ufanyalo
@mariamswedi1140
@mariamswedi1140 2 жыл бұрын
Mh!!!
@ligthinessfilipo6475
@ligthinessfilipo6475 Жыл бұрын
Masanja ninaamini hapo umekutana na upako .
@isackjrmedia6781
@isackjrmedia6781 4 жыл бұрын
This is amazing
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
IZ_THINKER TV 🙏🏾
@rachelemmanuel6244
@rachelemmanuel6244 4 жыл бұрын
wakaribishe ndani wageni
@neemamwakasaje2801
@neemamwakasaje2801 Жыл бұрын
Kalambo national Park
@mjakaziveronicalucas
@mjakaziveronicalucas 2 жыл бұрын
Mke wa masanja 1 Timotheo 2:9,1petro 3:3-4
@mangakwigema
@mangakwigema 2 жыл бұрын
Leo masanja mpole km nini
@angelantony5356
@angelantony5356 4 жыл бұрын
masanja na mbarikiwa????? Mungu atusaidie tuwe na mwisho mzuri. wawili hawawezi kwenda pamoja kama hawajapatana. sina imani saaana na muunganiko huu. mwenye jicho la roho ataona kitu hapo , walio waombaji watapata kitu cha kufanyia kazi na watu wa mwilini hawataona chochote. Roho wa Mungu atusaidie katika kila huduma anayotupa itufanye tuzidi kushuka zaidi kuliko kuinuka. shetani mbaya jamani....
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 2 жыл бұрын
Next stop Kwa mwamposya mkakanyage mafuta
@princeemmamunda4286
@princeemmamunda4286 4 жыл бұрын
Nakataka hako kashati kalikoandikwa kwa Yesu kumenoga Mchango wake ili nikapate ni shingap
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Prince Emma Munda Sawa wala hamna neno UTAKAPATA KABISAA
@tusajigwemathias3758
@tusajigwemathias3758 4 жыл бұрын
@@Feelfreechurch mi pia masanja ila nipo mbeya naomba nikapatee pleaseeee
@hellenimmaculate5953
@hellenimmaculate5953 4 жыл бұрын
Hicho kigae kilichopasuka mkeo hakioni
@sophiamduma7397
@sophiamduma7397 4 жыл бұрын
Mhhh kila mtu Ana mtazam wako.... Big up mchg ema
@tunukiwamahenge1549
@tunukiwamahenge1549 4 жыл бұрын
Barikiwa sana
@happynyahoro7334
@happynyahoro7334 4 жыл бұрын
Nampenda sana Masanja na mke wake wana upendo wakutoka ndani wako wazi, Mungu awabariki sana hamna roho yakujikweza.
@elicalyimo8592
@elicalyimo8592 4 жыл бұрын
Mungu awabariki
@mwasamwasomola7138
@mwasamwasomola7138 2 жыл бұрын
Pastor masanja Mungu azidi kukuinua kwa unyenyekevu wako tunajifunza mengi
@hawashedrack959
@hawashedrack959 2 жыл бұрын
Uwiiii kaka Masanja jmn chunguza Kwanza .wakuachie kitabu chake yale nimaono yk
@bilioneabichwa
@bilioneabichwa 4 жыл бұрын
Masanja ni mtu mwenye akili sana,, ana uwezo wa kubadilika kulingana Na mazingira Na kuishi Na mtu wa aina yeyote.
@Feelfreechurch
@Feelfreechurch 4 жыл бұрын
Blionea Bichwa Ndivyo itupasavyo kuwa🙏🏾
@shushan1113
@shushan1113 4 жыл бұрын
Paulo anasema nilikuwa Kama myahudi ili niwapate wayahudi nilikuwa Kama mtumwa ili niwapate watumwa...nilikuwa kama chini ya Sheria ili niwapate walioouwa chini sheria ingawa sipo chini ya Sheria
@evangelistmagadula6509
@evangelistmagadula6509 4 жыл бұрын
Njoo Lumo huku
@jackyluns8224
@jackyluns8224 4 жыл бұрын
Ukipata wa hivi kama mch Emmanuel hujutii mahusiano unaona kama alikuwa wap toka zamani hongera mtumishi one day naiombea siku utupatie darasa daah i swear Mungu atatenda
TAZAMA MANABII WALIVYO MWAGA PESA KWA MASANJA#MASANJATV
10:16
Masanja TV
Рет қаралды 56 М.
SSUSA: Masanja Mkandamizaji
36:57
Swahili Society America
Рет қаралды 1,1 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 49 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
“ALI KAMWE SIO BOSS WANGU” MANARA AVUNJA UKIMYA
4:23
Millard Ayo
Рет қаралды 3,6 М.
HUU NDIO WOSIA WA MBARIKIWA KWA WATOTO WAKE.
14:15
Devotha Sanga
Рет қаралды 9 М.
MASANJA MKANDAMIZAJI ASIMULIA HISTORIA YAKE | ATOA SOMO KWA VIJANA
13:59
Ukishangaa Ya Musa....MASANJA MKANDAMIZAJI NA NABII TITO WAMETOA WIMBO JAMANI!!
10:09
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 446 М.
GOODLUCK GOZBERT AFUNGUKA MENGI_TAZAMA MAHOJIANO HAYA
29:33
ImbaNasi
Рет қаралды 41 М.
SHUHUDIA ULINZI MKALI WA MASANJA #MASANJATV
17:09
Masanja TV
Рет қаралды 6 М.
Mch Mbarikiwa Mwakipesile "Nahoji huyu ni Nabii mkuu au ni Muhuni mkuu..kwa jambo hili..?
28:36
Kikosi kazi cha injili Dodoma 🎖
Рет қаралды 112 М.
Bakr x Бегиш - TYTYN (Mood Video)
3:08
Bakr
Рет қаралды 2 МЛН
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 34 МЛН
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
GOLDEN SOUND
Рет қаралды 8 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 472 М.
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 121 МЛН