FAMILIA TATA :[1] MKOJANI, NGOMA NAGWA, OCHU KIOTA, TUMAIN ABDALAH

  Рет қаралды 332,686

WATEMA MADINI

WATEMA MADINI

Күн бұрын

Пікірлер: 206
@rogynee8135
@rogynee8135 10 ай бұрын
HII MOVIE NIMESHAIPATIA TUZOOO MKOJANI UMETISHA SANAAA. Mungu akuweke miaka mingi kwa ajili yetu na kizazi kijacho. NaPONGEZI KWA TEAM YOTE BIG UP SANA. Nagwa unajua mnoooo mkapa UNAJUA TENA🎉🎉 UPEWE MAUA YAKO.
@mohamedawadhi9707
@mohamedawadhi9707 8 ай бұрын
Ila nagwa 😂😂😂😂
@shymaaally7793
@shymaaally7793 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂woyooooo movie pambeeeeee😂htr like zangu jmn
@rajabusaidi6692
@rajabusaidi6692 8 ай бұрын
Nagwa muhuni sana😅😅😅😅
@dastanchitera-bm5wn
@dastanchitera-bm5wn 10 ай бұрын
Duuu kamugisha naubish wako Leo umeloweshwa bia😂😂😂😂,,, but nakubarii hamukosei big up sana❤❤❤❤❤
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 10 ай бұрын
Nangwa yaan nakupenda bure umetisha😅😅😅😅
@kasiyoamissi9327
@kasiyoamissi9327 10 ай бұрын
Eeeh safi saaana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@zuberiyahya6090
@zuberiyahya6090 8 ай бұрын
akinywa sumu amejitoa kwenye mgao umesikia hapo hahahaha
@KaimuUlongo-xj2xw
@KaimuUlongo-xj2xw 10 ай бұрын
Daaaa Atali San kweri uyu ngoma nagwa Nakubali jamaa ashapigwa
@AugustineRichard-gh5px
@AugustineRichard-gh5px 9 ай бұрын
Mwamba namkubali kinoma, asee, big up kwa Simba nagwa
@ShafiAbdalla-hn6vg
@ShafiAbdalla-hn6vg 10 ай бұрын
Ngoma nagwa kamugisha mmtisha kinoma kazi nzuri sana
@JeremiahKazungu
@JeremiahKazungu 10 ай бұрын
Nagwa yaan yavuta bhag mpaka naisikia yà nukia kwa screen bana MUCH LOVE FROM KENYA 🇰🇪
@lukamatayusuph4575
@lukamatayusuph4575 10 ай бұрын
😂😂 akinywa sum kajitowa kwenye mgao
@SharifuAlbughul-ls4mw
@SharifuAlbughul-ls4mw 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Oyah mpk fidodido pia yupo bc apo n fire wazeee 💥💥💥
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 10 ай бұрын
Together we can 🤝💪 this is love from Moçambique 🇲🇿🇲🇿
@suleimanmatege3899
@suleimanmatege3899 9 ай бұрын
😂😂😂😂Dunga mawe my guys much love from 254
@asddsa5076
@asddsa5076 8 ай бұрын
Kazi nzuri BigUp nagwa✌🏼
@YunucMwabe
@YunucMwabe 8 ай бұрын
+255nagwaaaa😡😡🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@patricktegea1430
@patricktegea1430 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 mkojan kaingia Tu na visanga vineanza
@mwajumamonze8792
@mwajumamonze8792 10 ай бұрын
Ngoma nagwa mlingoti chuma bendera chuma much love
@KingsRamos-b1k
@KingsRamos-b1k 9 ай бұрын
Huakika nagwa welcome from Mozambique
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 10 ай бұрын
.😅😅😅 Ukishaiona gereji geuka nyumaaa 😅😅😅
@RamadanAbdallah-zf7sd
@RamadanAbdallah-zf7sd 9 ай бұрын
😂😂simba atamalizana na yanga
@AssomaneJosetufo-k5s
@AssomaneJosetufo-k5s 10 ай бұрын
Nankubali sana nagua😂😂
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 10 ай бұрын
Nagwa boy Og ula ula msamba mbelenya miaka mingi hatujafilimba ulembe.nakukubali sn mwamba ating tang
@TundaKamonalelo
@TundaKamonalelo 10 ай бұрын
Umeweza bahaliaaaa
@ChanceBosco-p8m
@ChanceBosco-p8m 8 ай бұрын
Bwanayesu asifiwe 😢
@JeremiahpauloLukumay
@JeremiahpauloLukumay 7 ай бұрын
Amen
@SaliminSalum-t2s
@SaliminSalum-t2s 10 ай бұрын
kwa kweli mkojani umeisha sivo ulivoanza kuanzia kubwa kuliko hadi ugaigai...makali yamepungua pull up u'r sox kaka😢😢😢
@muniraahmedawadh2619
@muniraahmedawadh2619 10 ай бұрын
Pamoja sana wapendwa timu mkojani
@classicboysofficial4662
@classicboysofficial4662 5 ай бұрын
Nime penda ❤❤❤❤😂😂😂😊
@mohamedihamisi284
@mohamedihamisi284 9 ай бұрын
😂😂😂akili mbeee akili mboo😂😂
@dollar105
@dollar105 10 ай бұрын
Yaani nagwa anakuanga ametisha Kamugisha Leo umepata siku mrefu
@Sai_News
@Sai_News 10 ай бұрын
NGOMANAGWA saluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuti kwako umetisha sana
@mwakinegomuigizaji
@mwakinegomuigizaji 10 ай бұрын
Familia tata hiyo duuuu 😅😂😅
@DevidirogasianichaliChal-bb3zm
@DevidirogasianichaliChal-bb3zm 10 ай бұрын
Iyo nyimbo inaitwaje imenogesha kinoma
@ArafaOmarHalfani
@ArafaOmarHalfani 8 ай бұрын
Akilimbi akilifyatu
@LuckstarmanMwenja
@LuckstarmanMwenja 9 ай бұрын
Ngoma nagwa unawez kpaji chko hax hax hax uhuxika wko pamoja sana hpo kka
@Kinglin-ke
@Kinglin-ke 10 ай бұрын
Nakukubali nagwaaah A.K.A akili mbovu
@Ujumbewadini
@Ujumbewadini 10 ай бұрын
Nagwa uwanaume wote huo na Simba unaitwa eti ikisha wavaaa hirini hata huwelekei kabisa.
@EzraSinkala
@EzraSinkala 10 ай бұрын
Nagwa unaweza broo
@murtadhajuma3770
@murtadhajuma3770 10 ай бұрын
Kaz nzr sana
@mustmsangi9848
@mustmsangi9848 10 ай бұрын
umetisha nagwa kali zabuku naudi
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 akipata mimba ndo ataolewa 😂😂😂😂😂😂 aspopata mimba haolwi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mediisaya9558
@mediisaya9558 10 ай бұрын
Wasafwa ❤🎉
@Funny-gx3
@Funny-gx3 10 ай бұрын
Mwangóna
@shilakodeni2853
@shilakodeni2853 10 ай бұрын
Nagwa nakukubali sana iyo imetisha sans
@arnaldo7319
@arnaldo7319 10 ай бұрын
Uyo mjomba wa nagwa noma kweri😂
@tobyicon-n2f
@tobyicon-n2f 4 ай бұрын
Inapendeza
@PeterDaniel-ju8kz
@PeterDaniel-ju8kz 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 umeolewa
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 10 ай бұрын
Wah....🤔,namkubali saana huyu mwamba #Ngoma .....💪
@memphisdepay6010
@memphisdepay6010 10 ай бұрын
Ngoma ngwagwaa salute atintaaaa
@rajabjuma1450
@rajabjuma1450 10 ай бұрын
Leo nimewahi Sana episode mpya naombeni Like zangu hapa hata 10 🔥🙏🙏❤❤
@josephmganga2953
@josephmganga2953 10 ай бұрын
😂😂😂😂hateriii😅😅😅😅😅
@twebekubyo
@twebekubyo 10 ай бұрын
Sema salute Salute 😂😂😂😂😂
@JamesOscar-k6p
@JamesOscar-k6p 10 ай бұрын
Nakubali kaz ya ngoma nagwa
@DearmoEmmanuel
@DearmoEmmanuel 8 ай бұрын
Mkojani wewee fundiii
@BonnyShukrani-hr3km
@BonnyShukrani-hr3km 7 ай бұрын
Movie nyengine
@EsmailSalimo-u8x
@EsmailSalimo-u8x 10 ай бұрын
Gostei ❤❤ Mozambique🇲🇿CADODO
@mirajidrissa9139
@mirajidrissa9139 10 ай бұрын
Daah sio poa😂😂
@abelmusungu8573
@abelmusungu8573 8 ай бұрын
Kikao kimeishaje vile😂😂😂
@IbrahimThomasTz
@IbrahimThomasTz 10 ай бұрын
Unyama sana❤
@bijambomorris9960
@bijambomorris9960 10 ай бұрын
Wahunu hawalali njaa big up nagwa
@Awarewell4
@Awarewell4 10 ай бұрын
Kwahyo kwa akili ya Nagwa nayeye alitaka awe kiongozi wa familia 😂😂😂
@SaraphinaSam-cw4gf
@SaraphinaSam-cw4gf 10 ай бұрын
💪💪💪💪💪p1 sana nagwa
@DulangaSefu
@DulangaSefu Ай бұрын
Hii move inavutiakuiangalia
@StephanoCharles-nq8tf
@StephanoCharles-nq8tf 10 ай бұрын
😂😂😂....Ety ningemua mama angezaliwa hyu
@omaromarmwandege-kv5uk
@omaromarmwandege-kv5uk 10 ай бұрын
Mh! Nagwa jamn hapn unanivuncha mbavu kwel😂😂
@ddicksontanzania6609
@ddicksontanzania6609 10 ай бұрын
dah aisee mhudumu alivyokimbilia kufunga getiiii
@freddominicmajarla
@freddominicmajarla 10 ай бұрын
Geukaa nyumaaaa😂
@aminimwazani9483
@aminimwazani9483 10 ай бұрын
Nagwa kama nagwa💪💪💪💪💪💪💪
@RevocatuskafefaKafefa-malulu
@RevocatuskafefaKafefa-malulu 10 ай бұрын
Kweli nagwa anautendea haki uhusika Wake
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 10 ай бұрын
Ah wpi ushmba w zamani tu
@RevocatuskafefaKafefa-malulu
@RevocatuskafefaKafefa-malulu 10 ай бұрын
@@saeedmassoud256 kwahiyo baba yako akija kucheza ataweza
@MusahamisiomarOmar
@MusahamisiomarOmar 10 ай бұрын
Nagwa mshamba tu, uhusika anaopewa ye ni kurudia maneno, kinega, kishente, mshamba, wanichukulia poa. Twenty six namba. Ajaribu kuja na style mpya ya maneno asirudie, ati mhunii huyo sasa
@RevocatuskafefaKafefa-malulu
@RevocatuskafefaKafefa-malulu 10 ай бұрын
@@MusahamisiomarOmar heshimu kazi ya mtu na uhusika kwan wamefanya nae kazi nyingi na sio ya kwanza sawa 👍
@Madurodaelenaelena
@Madurodaelenaelena 10 ай бұрын
🎉🎉
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 10 ай бұрын
KAMUGISHA umeatimba mzeee, disko limeingia mu masai
@osbonmusa2619
@osbonmusa2619 10 ай бұрын
Hii imeenda
@kukuzambawazambanga
@kukuzambawazambanga 10 ай бұрын
Panapo mabuga kibegele na mkojani huo utakuwa ujuha vituko na raha tupu🤣🤣🤣🤣🤣🤣alafu uongezee ngoma nagwa tumeisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tumalizie na Chandimu kijiko na samofi Episode imekamilika mutacheka hadi mufe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 10 ай бұрын
Nagwa anajua uhusika wa ukorofi😅
@tudoaver8373
@tudoaver8373 10 ай бұрын
Nangwa namba 1
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 10 ай бұрын
Movie kaliiiiiiiiiii hiiiiiiiii
@mudywaya328
@mudywaya328 10 ай бұрын
nakubali nagwa👏👏👏
@MaijoTz
@MaijoTz 10 ай бұрын
KAZI NZURI wakuuu
@sophiaalex1522
@sophiaalex1522 10 ай бұрын
Nagwa ❤❤❤🎉🎉 tim nagwa tujuane apa
@silasdaudi
@silasdaudi 8 ай бұрын
Sana man k 13:03 atisha namwerewa nagwa
@VictorBatista-k1u
@VictorBatista-k1u 10 ай бұрын
Eti simba 😂😂😂😂atamalizana na yangu
@MunirAbedi
@MunirAbedi 10 ай бұрын
Simba Ata malizana na yanga oya Sio poa nakubali Sana
@Nahdiya-nr3de
@Nahdiya-nr3de 10 ай бұрын
Simba atamalizana n yanga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hamisimaningi4758
@hamisimaningi4758 10 ай бұрын
Baa mdogo ooo .....mdogo mdogo!!!
@HassanHassan-ix7cj
@HassanHassan-ix7cj 10 ай бұрын
Simba atamalizana na yanga 😅😅
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 10 ай бұрын
😅😅😅simba atamalizana na yangaaaa
@ditrammgaya7034
@ditrammgaya7034 10 ай бұрын
Reteni no 2😊
@suleimansuleiman1127
@suleimansuleiman1127 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 dah aisee hili ni kali 😅😅
@MLAWA501
@MLAWA501 10 ай бұрын
Jamani mwendelezo lini tena
@SimonWembo-re3sq
@SimonWembo-re3sq 10 ай бұрын
Mkojan bhn, unanitoaga stresss kla nkchek drama zako
@KhalfanMajani
@KhalfanMajani 6 ай бұрын
Jani mkopoa
@MussaNey-mt5jc
@MussaNey-mt5jc 10 ай бұрын
Miaka iy💯💯nagw
@aminakesi5945
@aminakesi5945 10 ай бұрын
Mchizi bot kinegwa😂😂😂😂😂😂aky nagwa jamn mkojan nae njoo polpol move on 😂😂😂😂😂
@hadijaramadhani4801
@hadijaramadhani4801 9 ай бұрын
Nimisi umoja kati mkojani na nagwa mumenipata
@IzakiAmos
@IzakiAmos 10 ай бұрын
Hii movie wamecheza aisee 🫡🫡🫡
@shalemu
@shalemu 10 ай бұрын
Duuuu nagwa nyamaza
@shalomesmith
@shalomesmith 10 ай бұрын
mbona inakawiya i cant wait to see number 2🤣🤣🤣🤣🤣
@NoorPrince-v1v
@NoorPrince-v1v 10 ай бұрын
Hii movie bwanaaa
@MejaJuma-h8i
@MejaJuma-h8i 9 ай бұрын
Unyama xana simba
@MasaulwaMasaulwa
@MasaulwaMasaulwa 10 ай бұрын
Kamgisha 😂😂
@Gachibravotz
@Gachibravotz 10 ай бұрын
Kazi kubwaa hiii
FAMILIA TATA :[2] MKOJANI, NGOMA NAGWA, OCHU KIOTA, TUMAIN ABDALAH
18:17
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 12 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 7 МЛН
Tin white na Ringo,, Baharia full movie HD
1:20:15
Tenes Toys kariakoo
Рет қаралды 65 М.
MLINZI FULL MOVIE 2022 1080p with Eng Subtitle
1:52:47
JITU LA MSITUNI FILMS
Рет қаралды 1,9 МЛН
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Ringo Sabufa
Рет қаралды 409 М.
STEVE MWEUSI TAILA JAMANI ONA ALICHOKIFANYA
11:32
MBAVUMBILI FAMILY
Рет қаралды 390 М.
SHEM SHEM | 1 | MKOJANI,NAGWA,MTANGA,
9:36
MKOJANI GANG
Рет қаралды 142 М.
Mkojani Na Tinwhite Wachia Kitu Noma Sana
8:40
Cheka Comed
Рет қаралды 588 М.
WHY?  FULL MOVIE NGOMA NAGWA /RINGO
1:29:48
MPAYU FILM
Рет қаралды 8 М.
ANKLALI [ MKOJANI ][ BAGA MTEME ][ SAMOFU ][ FULL MOVIE
1:11:00
KING MEDIA TZ
Рет қаралды 105 М.
TIMU MBOVU : MKOJANI,TIN WHITE,SAMOFI,TUMAIN ABDALAH [ FINAL]
20:58
WATEMA MADINI
Рет қаралды 217 М.