Familia ya Dereva Bodaboda aliyeuawa pamoja na mpenzi wake yaeleza haya

  Рет қаралды 25,260

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 жыл бұрын

Mwananchi Digital imefika msibani nyumbani kwa wazazi wa Dereva Bodaboda aliyefahamika kwa jina la Dominick Kigula ambaye yeye pamoja na mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Ester Shiago wameuwawa eneo la Makulu jijini Dodoma na kuzungumza na ndugu ambao walikuwa na haya ya kusema.

Пікірлер: 18
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Pole sana Mzee na wanafamilia wote na mtoto wake! R.I.P
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 жыл бұрын
Innalilah wanna ilah lajihun
@erickzephania1030
@erickzephania1030 2 жыл бұрын
Poleni familia
@Hamy1109
@Hamy1109 2 жыл бұрын
Waandishi wanauliza maswali ya kipuuzi sana. Naamini huyu hana mafunzo. Hii taaluma imevamiwa na wahuni.
@zenakihondo5195
@zenakihondo5195 2 жыл бұрын
Yani ubinadamu umeisha kutwa kugeuza wenzao kama mshitaki mungu wangu uyugaidi apate ukumu yako
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Mtihani poleni wafiwa damu ya mtu haipoteii bure lazima italipika tuuuu
@tausshaban5164
@tausshaban5164 Жыл бұрын
Rip polen sana wanafamilia ila jmn huu mwaka unatisha sana
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 2 жыл бұрын
Mhuuu mwak.huu tutatoboa kwel kwa namna hii
@subirajohn728
@subirajohn728 2 жыл бұрын
Mwandishi maswali gani hayo!
@glorynnko4753
@glorynnko4753 Жыл бұрын
Mke anauchungu mara2 kusalitiwa n kufiwa n mmewe
@happymwinuka63
@happymwinuka63 2 жыл бұрын
R.i.p
@settykiheta8618
@settykiheta8618 Жыл бұрын
Makahaba yambagara
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Duh! Jmn mwaka huu tutatoboa kweli🤔😭😭😭😭
@tausshaban5164
@tausshaban5164 Жыл бұрын
Ww acha tu,tumuombe sana munguu kwakwl huu mwaka sio mchezo
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Жыл бұрын
Huyu mama mwandishi wa wp afadhali ya Imelda mtema.
@juliethajames3043
@juliethajames3043 Жыл бұрын
Ndo Maswali gan Sasa
@matridawilium9945
@matridawilium9945 2 жыл бұрын
Mpunguze maswali
@zenakihondo5195
@zenakihondo5195 2 жыл бұрын
Yani ubinadamu umeisha kutwa kugeuza wenzao kama mshitaki mungu wangu uyugaidi apate ukumu yako
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 120 МЛН
დანაშაული შოვში [ჟურნალისტური გამოძიება]
55:51
Upptrappningen i Mellanöstern - hör Kassem Hamadé direkt från Beirut
25:06
BODA BODA AUWAWA RUVUMA
4:52
RUVUMA TV
Рет қаралды 22 М.
Feds räntebesked: Hur påverkas presidentvalet?
15:11
EFN Ekonomikanalen
Рет қаралды 953