No video

FAMILIA ya MTOTO 'ALIYEIBWA' YAKANA KUKABIDHIWA MTOTO NA POLISI Baada ya KUPATIKANA

  Рет қаралды 21,974

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Familia ya mtoto Benita mwenye umri wa mwezi mmoja na siku 12 aliyeibwa Desemba 01 Mwaka huu mnaispaa ya Bukoba Mkoani Kagera imeknausha maelezo ya Jeshi la Polisi kuwakabithi mtoto wao.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera kamishina msaidizi wa Polisi William Mwampaghale mapema Leo aliwaambia Waandishi wa Habari kuwa tayari jeshi hilo limemkabithi mtoto Benita kwa familia yake akiwa mzima na mwenye Afya njema.
Baada ya kupata Taarifa hiyo Wasafi Media tulifika nyumbani kwa familia hiyo na kutaka kujua mtoto huyo anaendeleaje ndipo Benet Benedict Baba mzazi wa mtoto huyo anasema bado hawajapewa mtoto wao huku wakitaka wapewe mtoto wao ILI waendelee kumlea.
FAMILIA ya MTOTO 'ALIYEIBWA' YAKANA KUKABIDHIWA MTOTO NA POLISI Baada ya KUPATIKANA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 131
@neemaruben5427
@neemaruben5427 Жыл бұрын
We police unaonanekana kbsaa muongo usitakee uonekane unafanya kazi nzuri mama Samia fwatilia hii haraka sana yani police anasubutuje kusema mnabisha km sijakabizishaaaa pua zimemtanuka Kama mwewe hii nchii puuuuuuu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 Жыл бұрын
👌🏻👌🏻🔥🔥
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Жыл бұрын
Kabisa maana anavyouliza
@neemaruben5427
@neemaruben5427 Жыл бұрын
@@aishaomarry6996 eti Sasa hamuami. Mnabisha nani wa kumpinga hapo wote wanaogopa aisee atarii sana hii nchi
@kiri5807
@kiri5807 Жыл бұрын
Hili ndio tatizo la polisi wanapenda sifa za uongo .Wenye akili watajua vile ikitokea kitu ( mauwaji ) polisi wakisema tumekamata wauwaji tukisema inaonekana ni usanii watu hutukana wataka tuwasifu kwa kazi nzuri . hapa waone sasa .
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
🤝🤝🤝👏👏
@fatinamwangi1927
@fatinamwangi1927 Жыл бұрын
@@ruqaiamohammed345 QE
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
waandishi mngerudi tena kwa Kamanda aseme kwakabidhi.mtoto.kwa familia ipi
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@piusphilip307
@piusphilip307 Жыл бұрын
Labda wataalam wa lugha ya Kiswahili watusaidie kutafsiri hii kauli ya afisa wa polisi. Nini maana ya kukabidhi, kule ulikokabidhi muhusika hajapokea kile ulichokabidhi. Hebu wataalam wa Kiswahili tusaidieni huu mkanganyiko, labda sisi wananchi tunalitumia vibaya hili neno. Asante
@floramlowe7078
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Hahaha!
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
ivi uyo mkuu wa police ni msenge? unasema hamuamin kama mtoto amekabidhiwa wakat wazaz wanakataa duh...au mnataka na mtoto mpaka afie mikonon mwa police ndio mumrudishe kwa mzaz wao🤷‍♀️kwel serikal ya sasa ni kiboko.....
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Huyo mwanamke mjinga sana utamuonaje mtoto wako alafu uambiwe ati muache mtoto ni kidhibit cha kuibiwa haikai akilini wewe ,wewe mwanamke mpuuzi sana
@sudymgeni701
@sudymgeni701 Жыл бұрын
Tatizo nini wanaficha nini mtoto alitakiwa kupata maziwa ya mama. Police Kuna nini hapo wekeni wazi kama yupo hai au raha.msiwafiche ndio wazazi
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 Жыл бұрын
Mtoto wa mwezi m moja mnamuwekka mbali na ziwa la mama yake kisa upelelezi? Hivi mnaelewa haki ya mtoto kwa Mama yake? Huo sasa ni ukatili wa wazi kabisa fyuu😨😨
@husseinkarim6745
@husseinkarim6745 Жыл бұрын
Unashangaa polisi wasikabidhi mtoto kwa wazazi. Mtoto anaweza kupata janga la mtoto ugonjwa au kufa ikawa balaa.
@simonhombo9767
@simonhombo9767 Жыл бұрын
Inauma mtumishi wa serikali kusema tofauti na mwenye mtoto, , , hana uchungu na hata akisema uongo hamna wakumuwajibisha .
@brightonybunani8999
@brightonybunani8999 Жыл бұрын
Acha mazoea ya ovyo dada kuwa serious na familia yako.
@mohammedabdala7526
@mohammedabdala7526 Жыл бұрын
Kuna ishu imepangwa apa japo atufaham ivi weye mama unajua uchungu wamtoto wewe unavo ongea ivo bila chozi kutoka jaman yakweli haya??
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
IGP Kama polisi wako hivi tutakuchoka karibu,kwanini polisi aseme mtoto kakabidhiwa kumbe bado,wamemuuza?
@tabithasalimu3617
@tabithasalimu3617 Жыл бұрын
Yaani mimi muone mwanangu kisha awekwe kwenye upelelezi sikulewi mama mtoto upo Sawa kweli
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Naona Hao Polisi Ndio Wa Kushikwa Taifa Letu Alina Vita Sasa Kwanini Watoto Wapotee Na Polisi Upo Cha Ajabu Anachosema Akina Mashiko Angekuwa Mtoto Wako Ungeongea Uongo Kamateni Watuhumiwa Pigeni Waoneshe Mtoto Mtoto Aludi Kwa Wazazi Nawao Waende Mahakamani Kwasababu Ao Awana Tofauti Na Waasi Wa Congo Wenye Kuuwa Laiya Niwaasi Ao Kwanini Muwakumbatie Na Mishahara Mnapata Na Vyeo Juu
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
12:30 jaman sikilizeni hapo saa kumi usiku alikabidhiwa mtoto na mapolisi hee huyu dada ni mwongo alafu hana uchungu kabisaaa ngombe hii imeshauza huyo mtt baba hata hajui🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️☹
@backamwasha8280
@backamwasha8280 Жыл бұрын
Jamani mbona police wanakuwa ni wasumbufu kwa nini wasikabidhi mtt kwa mama yake
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Mpeni mtoto wake mnataka kufanya nini halafu in unasema mmempa au amniamini
@floraflora5964
@floraflora5964 Жыл бұрын
Pole sana wazazi
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Makubwa sasa huyo kamanda Anaunwa kichwa? Kwanini alipowakabidhi kwa nini harukuona umma
@majomamajoma8776
@majomamajoma8776 Жыл бұрын
Pole mama yaani mtoto wa mwezi hata kupona hujapona wakupe mtoto uhangaike mwenyewe Kwann waseme uongo jaman makubwa
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Mtihani mwenyezi mungu tusaidiye wenye hatuwezi
@rahma6189
@rahma6189 Жыл бұрын
Pole mama sasa mtoto sianaendelea kuteseka siwampe mama amnyonyeshe
@simonhombo9767
@simonhombo9767 Жыл бұрын
Jeneral ulimwengu aliwahi kusema taasisi za serikali zinaongoza kwa kutoa habar zisizo na ukweli au ukakasi
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
Aiseeer mhh pagumu tuombe Mungu awe salama
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
UONEVUUUUU SANAAAA. TOWENIII MTOTO AIELEWEKIIII POLISI MBONA MNACHEKESHAAA SANA. UYO NI MTOTO MPENI MAMA BWANA NINI NYIEEE LOOOOOO WANGA NINI??
@beathagabriel8438
@beathagabriel8438 Жыл бұрын
Comment nyingine ni ngumuuu. Purude purudee wamama msicheke cheke na mapulude....
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 Жыл бұрын
Dunia ina mambo hiii mmmh
@floramlowe7078
@floramlowe7078 Жыл бұрын
Mmmh kuna mchezo mchafu umefanyika hapo rushwa hiyo kuna haja gani yakumpata mtoto mwisho wa siku asipewe mamaake kama kweli amepatikana. Police Tanzania inachangamoto.
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Changamoto ni kubwa sana kwa hao
@deusjohn5103
@deusjohn5103 Жыл бұрын
Kinaitwa diesi boy, yani pole sana mama.
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
SIKILIZA MAMA NAONA HAUNA UCHUNGU HATA CHEMBE, KAMA UNAFANYAVIIGIZO KUMBUKA MUNGU HAZIHAKIWI . UTAUMBA NA YATAKUKUTA KWELI. HATA HAO POLISI NAONA NI WA VIIGIZO TU. HAWANA ULE MUONEKANO WA KIUASIKARI.KWANINI MUNAUDANGANYA UMMA WA WATANZANIA???
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Жыл бұрын
KWANINI UENDE WEWE PEKE YAKO BILA MUMEO ? NA WEWE BABA YAANI ULIONASENENE NI BORA SAANA KULIKO MTOTO WAKO MCHANGA AMBAE ANAHITAJI NA KUUTEGEMEA SAANA ULINZI WAKO ???
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
Hii nchi saivi imekua ya ovyoo Sana ila sawa mtoto mwenyewe ni mama na inakuaje Police anasema mtoto kakabidhiwa kwa wazazi Hali ya kua ni uongo na utafatiliaje kesi Hali ya kua mtoto hajafika katika imaya ya wazazi au ndo wanataka kujenga skendo ili wapadishwe vyeo ila sawa aliechoka na ahame nchii sisi wabishi tutaendelea kukomaa akipotea mtoto wa raia moja apotezwa na mtoto mmoja wa rgp mmoja
@neemaruben5427
@neemaruben5427 Жыл бұрын
Mwanamke muogooo sana kapangwaaaaa huyu mama Ila baba anauchungu na kanyookaaaa aisee hii nchii puu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Жыл бұрын
Huyu mama mbona simuelewi baba anajielezea vizuri mama unaoneka kama na yeye anahusika kwa kupotea kwa mtoto au mtoto ana baba 2 au umekula hela maana maelezo yake baba anauchungu sana
@judithmaziku363
@judithmaziku363 Жыл бұрын
Huyu mama atakuwa ameshaliwa na police alfu ukute hata hakumuona mtoto
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Жыл бұрын
@@judithmaziku363 sahihi kabisa usemacho mimi simuelewi kabisa maelezo mengi lakini hayana kitu
@neemaruben5427
@neemaruben5427 Жыл бұрын
@@judithmaziku363 umeona ee Mana mume kasema laki mke kasema lake mwangalie vzr sana hpo alipo sema ddoma kapewa mtt now aisee
@yvonnerobert572
@yvonnerobert572 Жыл бұрын
Hiyo anaongea maelezo hayaelewek ni maelezo gan? Uckute walikuja kukwambia kuwa wanamtak mtot wao
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Duuu uyu mama kuna kitu ana mficha mmewe sio bure
@yvonnerobert572
@yvonnerobert572 Жыл бұрын
Huyu mama inaelekea anajua kinachoendelea
@laurencemassawe9100
@laurencemassawe9100 Жыл бұрын
Yani police bana wajabu sana asee
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Жыл бұрын
Duniani Kuna Mambo
@rehemachipwaza5907
@rehemachipwaza5907 Жыл бұрын
Uliondokaje bila mtoto ww Dada jamani
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Wapeni mtoto wao jamani, mtoto wa mama mzazi sio hao wengine, nedeni kituoni tena !!!
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 Жыл бұрын
Huyu hapa huyu hapa kwani huwezi kumwita Mume wangu au waongo nyie.
@estakapufi7582
@estakapufi7582 Жыл бұрын
Mimi kwaushauli kama polisi wanasema wamemkabizi mama na vitu vimeshafika kwa waandishi basi na wazazi wanasema awajapewa mtoto basi polisi wawaite hao wazazi wa mtoto wakiwepo waandishi wa habari ili tujilizishe, maana jambo lakuibiwa mtoto mchanga sio lakuongea kienyeji ikiwa vyombo vya habari vipo na mlimpa huyo mtoto kwa madhingira yepi bila ushahidi.
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Jamanii 😯😯inauma sasa mpeni mamake
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Hii iko KITELEJENSIA ZAIDI HAMWEZI ELEWA sie ndio tunaelewa vzr tumekaa pale tunaangalia
@radhiaomary5591
@radhiaomary5591 Жыл бұрын
Mmmmh huyu mama Kuna kitu anakijua, au Huyo mtoto cyo wa mme wake labda mwenye Huyo mtt anadai mtt wake na akaahidi atamchukua Maan anaonekana hana ht uchungu kabisa yaan
@onespour7189
@onespour7189 Жыл бұрын
Eki kyemba...😥
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Sasa apo ndo utajua ukweli wa wale watu wanaopotea huwa wanapotelea wapi. na nani wale watu wasojuilikana mungu inusuru tz
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Sasa Polisi Wewe Mbona Auko Kwenye Upolisi Sasa Kwanini Unasema Uzushi Umekabizi Mtoto Wazazi Awana Mtoto Inamana Wewe Polisi Ndio Wa Kushikwa Kwenda Kuojiwa Na JWTZ Kwasababu Unaongea Uongo Wazazi Awana Mtoto Unasema Umewapa Mtoto
@lekulesostenes4583
@lekulesostenes4583 Жыл бұрын
Huu sasa ndio ukatili kwa mtoto, mama amethibitishwa na mama, kama n ishu za DNA au vinginevyo vifanywe akiwa mikononi mwa mama yake
@magufulitvkenya6315
@magufulitvkenya6315 Жыл бұрын
Wale. Vijana. Washikwe. Kama. Munawajua
@rozina2161
@rozina2161 Жыл бұрын
Huyu police niwakufutwa kazi au adhibiwe mbona atoe taarifa za uongo na wazazi wenyewe wana uchungu na mwanao
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 Жыл бұрын
JAMANI. TANZANIA HIII WATU WANACHEZEA WATU KWANINIII??? UYO KIONGOZII MBONA ANACHEZEEA DAMU YA MTOTO WA MTUUU?? HASWA UYO POLISI NI MZIMA KIAKILII???? WATANZANIA PUNGUZENI USHAMBA BWSNA ZAMBIII SANA. NINI MNAFANYAA? AIBUUUU
@lucianagodson437
@lucianagodson437 Жыл бұрын
Jamani wapewe mtoto wao
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Sasa kama mtoto kapatikana na huyo mtoto qnanyonya? Vipi mama Ake asihusishwe mama Ili amnyonyeshe?? Na kama amefariki SI muwale Taarifa?? Lakini huyo mama mbona Hana wasiwasi kabisa usikute hao waliokamatwa kati ya hao ndio Baba wa mtoto kaamuwa kumuiba hapo Kuna Siri ndani ya Siri .
@mwajumakweli
@mwajumakweli Жыл бұрын
Sasa jamani kuongopa yote Ayo Ili iweje jamani
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Mmmmh arafu police anauliza amniamini kama mtt nimekabizi kwann aulize hivyo
@rogersiddy
@rogersiddy Жыл бұрын
Hata mimi nimejawa na wasi wasi juu ya swali lake
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Washapiga pesa
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Jmn huyo mtoto akifa police watajibu nn??Bora kes au Bora uhai wa mtoto????
@bethjohn928
@bethjohn928 Жыл бұрын
Sijui niseme Nini acha nikae kimya
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 Жыл бұрын
Jamani wakati WAa mungu ni wakati sahii tuache kuiba watoto WA watu😭😭😭
@vickympepo952
@vickympepo952 Жыл бұрын
Vh. No no no no. Gh Nn. K F
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Washapiga pesa hao police
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Sasa si alipaswa anyonye jamani!Hii hatari maana yake watoto ni wakuwalinda
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i Жыл бұрын
Mtihani
@salamakombo3257
@salamakombo3257 Жыл бұрын
Nyie wasafi wakufungiwa tena akaa
@gracepeter9517
@gracepeter9517 Жыл бұрын
Hapa iko jamani? Kampeni mtoto wake maajabu mtoto mchanga si wakabidhi?
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Mmmmh amepatikana kweli?na yupo hai?why wasimpe mama?mmmh naogopa
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Жыл бұрын
Daaah hii Dunia jamani heee si wampe mtoto wao nn tena shida
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Жыл бұрын
Mtoto mchanga ananyonya kwa nin asikae na mama ake huko huku wanaendelea na upelelez
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 Жыл бұрын
Taarifa imesomwa km ilivoandikwa
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 Жыл бұрын
Mama anaoogopa anaangalia nyuma
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Mpeni mtoto wake huyo kamanda vp na mmeambiwa mtt magonjwa kamanda muo au basi
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Police anajuwa nn amachosema ukute hao wazazi hawataki mambo ya Media ndio mana wanasema mtoto hawajakqbidhiwa lakini ukiwaangalia sura zao hazina simanzi kabisa pumzikeni bwana na nyie Hamna dogo mtoto wanae hao
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Huyu dada akiichanganya anaweza kufungwa kwa maelezo ya kizembe Vp arudi bila Mtoto alafu anaonekana km hajali anasitasita nini
@judithmaziku363
@judithmaziku363 Жыл бұрын
Huyu mama siamini km alimuona motto kunajambo limejificha hapa
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Mama mzazi wa mwezi mmoja ushaanza kuzurura nje mara ukaenda shule mara hivi mimi hata sielew kwanini usikae ndani ukatulia na mwanao mume unae anakuletea si utulie ndani hata 40 bado ndiyo maana ukaibiwa wewe ni mzembe kwani hapo hawajazaa wengine mbona wasiibiwe😏😏
@beathagabriel8438
@beathagabriel8438 Жыл бұрын
HAKIKA HUYU MAMA ANAZUNGUKIWA NA VIJANA WA KIHUNI ETI WANAKUJA KUMPA HONGERA KWA KUZAA. HUYU MAMA APIMWE KWANZA AKILI. SIDHANI KWAMBA ANA AKILI TIMAMU....PULUDE PULUDE TUU.
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Жыл бұрын
Sasa hii serekali yetu ikoje
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 Жыл бұрын
Mbona mnatuchanganya jaman
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Kama ni mimi nisionqe ondoka bila mtt wanqu shii
@mamananga2849
@mamananga2849 Жыл бұрын
Yani wange niua hapo
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 Жыл бұрын
Labda huyu polic hana akili vizuri achunguzwe
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Жыл бұрын
Chalamila mchale uyo RPC anataka kukutia doa
@mdzainb3722
@mdzainb3722 Жыл бұрын
Usikute hawa polisi wanataka kumuuza wao wale pesa
@zulehaabubakar3574
@zulehaabubakar3574 Жыл бұрын
Sasa kwanini wasiwape
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Polisi wananinii mtoto wampeleke kwa mamaake halafu waendelee na uchunguzi
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Umeonae
@ahmedikilingamoyo9037
@ahmedikilingamoyo9037 Жыл бұрын
We fathima mct aundioumepewa wewe mtoto yaniunasema jambodogohili wewendionwizi au umeuziwawewe huyomtoto
@gracepeter9517
@gracepeter9517 Жыл бұрын
Uangalizi gani huo
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Жыл бұрын
Makubwa haya mmmm
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Masikini kumbe bado ni mchanqa
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 Жыл бұрын
Aukimezidiwa jamani kinaumwa ndio hawapewi
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Wamwambietuu mzazi
@tamamoman9454
@tamamoman9454 Жыл бұрын
Makubwa haya
@gunbizzo1970
@gunbizzo1970 Жыл бұрын
MBONA SIONI PONGEZI KWA JESHI LA POLISI NAONA LAWAMA TU? KWANI MTOTO ALITAFUTWA NA NANI?
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Yuko wapi sasa na hatumuoni
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Muandishi si uende na hiyo familia Polisi ili wakutane ana kwa ana na walengwa
@himoda7647
@himoda7647 Жыл бұрын
Hii kali ya mwaka mbon Huyu mama maelezo yake hayaeleweki
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
Sasa Kama wamempata na wanasema wamesha muunganisha mtoto Na wazazi Na kumbe Bado maana yake nini?? Mbona wanatuchanganya??
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
labda mpaka akifia mikonon mwa police ndio watamrudisha basi hatar
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
@@jacquilinenoah949 jamanii wamekua bongo muvi na wao. Sasa Kama Baba mtoto anasema hata kumuona mtoto hajanuona huyu mtoto yupo kweli??
@happynessnoah6005
@happynessnoah6005 Жыл бұрын
Huyu dada mbn Kama hazimo vile hiv unawezaje kuacha mtoto et kwaajili ya upelelez mtoto Ni Kachanga anaulizwa nn huyu mama hayuko serious unaona anavoulizwa ulikuna naye anajibu et cjui nisemeje na kwann mwanamke mke wa mtu kwann unamazoea na wanaume wengine saa tatu usiku hapa Kuna shida
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 Жыл бұрын
Naumia moyo wngi Mungu walinde watoto wwetu,
@mariasafari1004
@mariasafari1004 Жыл бұрын
ww mama mbn hueleweki sasa mara mtoto umekabidhiwa mara baba mtoto aseme yake sasa mtaelewekaje nyie ,
@mackysuphian
@mackysuphian Жыл бұрын
Wewe ndio huelewek na huelew kinacho endelea
@zeddyali2656
@zeddyali2656 Жыл бұрын
Pia mm nimeona huyu mama haeleweki pia hawako serious yaani mtt hayupo na wamekaa tu ningekuwa mm police sitoki mpka mtt wqngu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Жыл бұрын
@@mackysuphian umeelewaje tueleweshe ww kwa sababu afisa anasema mtoto amekabidhiwa kwa wazazi na mama kasema kakabidhiwa baada ya kuhojiwa baba anasema mtoto hawajakabidhiwa mama anaulizwa tena mwandishi police wamesema mmekabidhiwa anasema hapo sielewi haelewi nini hata mimi sijamuelewa tunaona watoto wakipatikana wanakabidhiwa wazazi hata kama wagonjwa anabaki na mama yake iwe hospital au nyumbani
@mackysuphian
@mackysuphian Жыл бұрын
@@user-fs7xc2bb5d mama alikabidhiwa mtt akiwa dodoma alipofika hapo kweny mkoa wake mmt wakamchukua kwa uchunguzi ila hakurudi nae nyumbani ndio maan mama akasema alikabidhiw ila ndio hakurudi nae nyumban aliishia kituoni walipo toa taarifa awali...sas baba kwavile hakwend dodoma kumfata mwanae ndio maan anasema hajakabidhiw coz mtt hakurudi home
@dorothysamwel2648
@dorothysamwel2648 Жыл бұрын
Huyo askari hatumwelewi, amtoe mtoto wanafanyanaye nini? Kweli yuko hai? Askari atoe maelezo ya wazi. Kama mtoto angekuwa amekabidhiwa wazazi wangekataa? Si kweli mtoto hajakabidhiwa.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47
لااا! هذه البرتقالة مزعجة جدًا #قصير
00:15
One More Arabic
Рет қаралды 52 МЛН
PATANISHO : BRENDA - MUME WANGU ALIKASIRIKA JUU NILISHIKA SIMU YAKE
18:37
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 12 М.
PRESIDENT RUTO SALUTES FRANCIS ATWOLI DURING HOMECOMING CEREMONY OF OPARANYA
9:38
PATANISHO : MKE WANGU ALIKULA FARE MARA MBILI
22:24
Radio Jambo KENYA
Рет қаралды 28 М.
Алексей Щербаков разнес ВДВшников
00:47