MAKONDA NGORONGORO ASEMA 'SITASHIRIKI KUKANDAMIZA HAKI YA MTU' ATOA AGIZO KWA RPC, NITAPIGA NYUNDO

  Рет қаралды 153,655

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu.
“Mimi mtoto wenu na mtumishi wenu lakini nina sifa nyingi mojawapo ni sifa ya kusimamia haki na ukweli, hiyo nilikula kiapo kwamba popote nitakapokuwepo kwenye nafasi yoyote sitashiriki kukandamiza haki ya mtu na sikuishia hapo nikasema nafasi hizi tunazopata ni za upendeleo wa Mungu.
“Lakini Mungu anapotupa nafasi anataka tufanye kazi kwa watu wake aliowaumba kwa mfano wake, furaha niliyonayo chama changu cha mapinduzi (Chama Cha Mapinduzi-CCM) ambacho mimi nilikitumikia kama mwenezi,” amesema Makonda.
Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Agosti 23, 2024 alipokuwa akizungumza na wananchi kutoka kata 11 zilizopo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha katika eneo Oloirobi, Kata ya Ngorongoro ambapo ameambatana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu, William Lukuvi.
(Imeandikwa na Faraja Masinde)

Пікірлер: 308
@hamishassan6784
@hamishassan6784 20 күн бұрын
Makonda unadalili nzuri sana za kuwa na Busara za uongozi huwa nakupenda sana na nakuombea sana kaka Allah akupe NUru Inshaallah
@user-ir7fv8dv2s
@user-ir7fv8dv2s 20 күн бұрын
Nakupenda sana bwana Makonda naninamuomba Mungu akulinde na kukuzidishia maisha marefu ili uzidi kutenda wema saizi niviongozi wachache wanaojari watu wa hari ya chini ila ni mfano wa kuigwa;
@dallasmusic6465
@dallasmusic6465 20 күн бұрын
Jembe 🔥🔥 tinga tinga ... Damu ya hapa kazi tuuu ... Limerudi kazini tayar kupiga kazi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@simonleyan3389
@simonleyan3389 20 күн бұрын
Makonda❤ uko powa sana sana❤ kila unacho kifanya unaniliza sana ilove Makonda makonda Mungu akubariki❤
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 20 күн бұрын
Mh MAKONDA wewe ni top top pafomanz wa kazi hapa Tanzania 🇹🇿 tunakuaminia na mungu hatokuacha kamwe
@AlexTito-x6n
@AlexTito-x6n 20 күн бұрын
Hongera sana mh mkuu wa mkoa wa Arusha, chapa kazi
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 20 күн бұрын
Hongera sana makonda unajua kuzungumza kwakutumia hekima
@fatumapedersen193
@fatumapedersen193 20 күн бұрын
Vizuri sana makonda kuzumuza na wamaasai wao pia niwanaihichi wa Tanzania. Mungu hakubarikie sana.
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 20 күн бұрын
Hongera sana Mh Mungu akulinde ubarikiwe Sana na busara zako
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 20 күн бұрын
ilimlad umeshika maiki na kucmama kwenye ardhi hiyo ya wamasai..naamini utalimaliza MAKONDA nakuamini wasaidie hao wamasai maskini me nawaonea huruma
@AlexisSooya
@AlexisSooya 20 күн бұрын
💖💖🙏🙏🙏😭😭mungu akubariki sana mkuu wetu wa mkoa Arusha tupiganie sisi pia ni wananchi wako pia wananchi wa Tanzania kwa ujumla I love Tanzania❤❤❤❤❤makonda 💪💪💪💪💪🙏?
@mauridjuma9650
@mauridjuma9650 17 күн бұрын
MUNGU shukulani kwako narudi kushukulu Kwa kumpigania huyu mja wako karud Tena Asante! BABA
@marylema8937
@marylema8937 20 күн бұрын
Hongeraa sana mh jembee maaduii wasikuonee chapa kazi baba Mungu akutangulieeee
@erickmsigala138
@erickmsigala138 20 күн бұрын
Jembe la mapumbavu
@HusseiniHassani
@HusseiniHassani 19 күн бұрын
Heeeeeeei
@OLEPARKIROWA
@OLEPARKIROWA 20 күн бұрын
Pongezi mheshimiwa Kaka yangu Makonda kwa kazi nzuri
@user-zp6kv3ir3v
@user-zp6kv3ir3v 19 күн бұрын
Hiyo team ikiwa Na Lukuvi na profesa Kabudi,that is a sure bet,.,very wise and competent personalities kwenye C.C.M
@AmosiLazaro-i5i
@AmosiLazaro-i5i 20 күн бұрын
Mhe makonda mungu akubariko sana mtetezi wa wanyonge kwani mungu hatukuacha kamwe kwani wee wanyonge hukuwaacha .
@florencejohn6427
@florencejohn6427 20 күн бұрын
Nguvu nyingi sana inatumika. Ngoja tuone. Maana hawa ndiyo viongozi wa juu wa ccm. Kinana hayupo, mangula, nk.
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o 20 күн бұрын
Hi Rc Makonda wewe ni jembe la kutetea haki za wamyonge mungu akulinde kuwa n maisha mema
@RamboDotto
@RamboDotto 20 күн бұрын
Aaaaaa! Duuuh , nyie ndo selikali mnasumbua wananchi alaf baadae ndo mnakuja kujisafishaa aise kweli wanasiasa bana , kwahyo waliokuwa wanafukuza watu ni wakinanani, alafu pia samia mbn Yuko hvyo aliombwa na watu wa ngorongoro aje mwenyewe lakini hajaja, wanaimba tuu uko na mwana FA kizimumkazi , ccm oye samia mitano tena😢😢😢😢
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 19 күн бұрын
Wanarubuniwa tu ili wapige kura Kwa CCM 2025. Baada ya hapo Uchaguzi ukipita,watakiona Cha mtema Kuni! Mbona walizuiwa hata kujiandikisha ktkdafyari la wapiga kura,na majina Yao kudsemekana kupelekwa huko Handeni. CCM ni sawa na"chatu"ambae hujifanya anamnyenyekea mbuzi au mnyama yeyote anaetarajia kumnyakua.Huonyesha na kujibadilisha rangi pamoja na madoadoabuzi akiona hivyo,hujongea Hadi karibu kabisa na huyo chatu.Nypka huyo akiona hivyo,haraka hujirusha pamoja na kumbana huyo mhanga wake,Kwa kujizungushia Kwa mkia Hadi kumvunja mbavu mbuzi huyo.Hatimae kumeza. Ndivyo CCM inavyofanya Kwa Hawa Wamaasai. Mwisho wa siku wataisoma namba,na kujuta.Watafurushwa,Tena Kwa nguvu nyingi Kwa kutumia vyombo vya Dola. Watakaokuwepo hai baada ya Uchaguzi MKUU,mtaukumbuka Utabori wangu huu. NB:-Mimi so mpiga-ramuli au mganga wa jadi,Bali ni mtu ninaesoma alama za nyakati. Ni Mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima Kishapu,Shinyanga.
@JacklinSwai
@JacklinSwai 20 күн бұрын
Good brother ✅✅✅
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 20 күн бұрын
Hapo kunamqjibu kweli kama mmekula vya waraabu mvirudishe hqtutaki mahubiri ya kinafiki mrudishe mlicho chukuwa kwa mwaraabu! Kwa nini mnajificha kwenye majeshi yetu ndani ya uhalifu wenu?
@Kwarasi
@Kwarasi 20 күн бұрын
Wamasai wameng'atwa na ccm sasa wanapulizwa watarudi Tena mwaka mwingine.
@healingclinic698
@healingclinic698 20 күн бұрын
Alikaaa kimya Sasa ametumwa kujisafisha baada ya kuwa yamewashinda
@AugustinoSirong-eo3yj
@AugustinoSirong-eo3yj 20 күн бұрын
Alizuiliwa na wale wakubwa. Yamewashinda ndo wakamwachia
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 20 күн бұрын
Kala sumu na bonge ya warning Sasa ana adabu anaongea kama kiongozi sasa
@AbisaiMsewa
@AbisaiMsewa 20 күн бұрын
Hahahaha
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 20 күн бұрын
​@@christinainnocent3184uko nashida ww!
@RahimRashid-u9j
@RahimRashid-u9j 20 күн бұрын
Rais hakuna kitu kaka ongea wewe kwani nani kawapa waarabu ngorongoro
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 20 күн бұрын
We unaona kama Mimi,watu wanaitaji ngorongoro yao sio ya waarabu ni ya wamasai nyie ongeeeni yooote lkn eneo ni la wamasai
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 20 күн бұрын
​@@OmmyJames-xn7ji kuhususu kuuziwa am not sure lakini ndo kuna wale waarabu wenye kampuni ya uwindaji wenye mkataba wa miaka 100 tangu uongozi wa Mwinyi sio kwamba wameanzia kwa mama Samia!
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 20 күн бұрын
@@farajaMezza-qn4be Hiyo ni LOLIONDO
@AmaniNdaserwa
@AmaniNdaserwa 20 күн бұрын
Nakumbali sanaa makonda na ninaimini nae hatakubalina na wangamizi wa haki wanangorongoro
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 20 күн бұрын
​@@OmmyJames-xn7ji Acha kiburi ommy una dharau Maneno yako ni ya kiburi Shobo tu huheshimu watu
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 19 күн бұрын
Mungu akulinde na akupe afya njema Makonda wetu Mungu ibariki Tanzania na wananchi wote
@MASSEYMEDIA-1
@MASSEYMEDIA-1 20 күн бұрын
KAMA MAKONDA KAFIKA KULE BASI LEO TUNAPATA MAJIBU SAHIHI KABISAA SISI WATU WA NGORONGORO
@yohanamagehematictok
@yohanamagehematictok 20 күн бұрын
Mungu wa haki na amani awasimamie
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 19 күн бұрын
Christian mwanawa makondo mwanangu mmni mmyako ww ni stress free maana siyo kwa ugumu wa kazi ,kupigania haki ni kazi maalumu kwa watu maalumu,inamaana huwezi kufanya kazi hiyo bila wito mwenyezimungu alikuumba tayari kwa kazi ya uchungjaji ambao uchungaji huo niwa kipekee barikiwa sana libarikiwe pia TUMBO lililokuzaa bbyangu mwenyezi mungu akulinde na unapowapongeza wengine na basi na ww pongezizako pokea amen ninakufurahia sanaa bbkigan mjukuu wangu na familia yako ni kanisa. linalofanya maandalizi yakuingia ktk mji mpya wa jerusalim
@AlexSagala-j5b
@AlexSagala-j5b 18 күн бұрын
Chapakazi..kiongoziwawatu.nanimpendwawawatu.munguakubaliki
@Afrikalove736
@Afrikalove736 20 күн бұрын
Makonda Mungu azidi kukubariki.
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 18 күн бұрын
Mungu akulinde sana mpendwa wetu❤❤❤❤
@MashineMashine
@MashineMashine 20 күн бұрын
Sawa ndg,mwenyezi mungu akuzidishie umri mrefu
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul 18 күн бұрын
Mh. Makonda unasomamia haki Kwa Kila mtu. mungu akusimamie Kwa Kila jambo.
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 20 күн бұрын
Makonda kaka yangu nakuamini sana naomba uwasaidie ndugu zetu wamasai wanaonewa
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 20 күн бұрын
Mtihani mgumu sana huu kwa mhe. Makonda
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 20 күн бұрын
Amina baba.
@janelyatuu1135
@janelyatuu1135 20 күн бұрын
❤❤❤tutapata majibu mungu akutunzee akupe maishaa marefuu tunakuombeaa kaka
@mengisthomadembwe
@mengisthomadembwe 19 күн бұрын
Good,chapa kazi baba!! Mungu Akusaidie
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 20 күн бұрын
Kaka makonda Pole sana.mungu akuvushe salama
@salama1113
@salama1113 20 күн бұрын
Masai washajisahau kamawameumizwa wanapiga makofi sasasubilini kiwalambe😂😂😂😂
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂NINI KIWEMBE?
@AlfredDule-r6z
@AlfredDule-r6z 12 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde na maadui
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 20 күн бұрын
Mh MAKONDA kigamboni akulinde mungu!!!!!!
@allykimbulaga8885
@allykimbulaga8885 19 күн бұрын
Kazi nzuri sana kutuliza na kulinda amani ya nchi🙏
@jilatushija8369
@jilatushija8369 20 күн бұрын
Kazi nzur sana viongozi wangu wa muhimu
@user-mo5iu9mu8w
@user-mo5iu9mu8w 19 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Mungu akutunze na familia Yako 🙏🙏🙏🙏
@HellenLemilya
@HellenLemilya 20 күн бұрын
Hapo sawa makonda,unafaa kua kiongozi
@Anoldi-yj7mf
@Anoldi-yj7mf 19 күн бұрын
Jembe lakazi Mungu akulinde sana brother
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 20 күн бұрын
Nawashangaa sana binadam wanaosema makonda ana mungu,hivi waliowafurumua hawa masai ni akina nani haswa au ni vyama vya upinzani siyo ccm?kama siyo ccm haohao mtwambie,siyo huyo bashite kwenda kuanza kuwahadaa wamasai tena kama vile hajui kinachoendelea huko ngorongoro.mungu awalaani kabisa hawa wote wana ccm wanaoigiza,huu ni uhuni kama uhuni mwingine.
@amosmachibya1800
@amosmachibya1800 20 күн бұрын
Napenda sana uongozi wako mh.Makonda.
@SosJosephat
@SosJosephat 20 күн бұрын
Uyu jamaa ana. Mungu kwel
@3leggedbird222
@3leggedbird222 19 күн бұрын
Mtumishi wa Mungu nakupenda sana
@GodwinKamanija
@GodwinKamanija 18 күн бұрын
Hongera RC,lakini natitizo litatuliwe.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 20 күн бұрын
Allah AKULINDE mh RC MAKONDA. ASANTE SANA KWA UMAKINI WA KAZI ZAKO.
@user-lc8nv6lu5e
@user-lc8nv6lu5e 19 күн бұрын
Mungu akufunike na mabaya dunia
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 20 күн бұрын
Mungu akubariki naiwe kweli na haki mungu anaona barikiwa
@PartimayoNyoroi-om9hq
@PartimayoNyoroi-om9hq 20 күн бұрын
Amen mungu akupe Maisha marefu father ❤❤❤❤
@CharlesBudeba
@CharlesBudeba 20 күн бұрын
Ugar wa sembe ni tatizo jingine linalopunguza ufahamu wa mtu.Bro makonda you should know that . other factors remain constant but keep God first
@barakamisila
@barakamisila 20 күн бұрын
Mungu akulinde upiganie hakizawatazania
@YusufSwaibu
@YusufSwaibu 20 күн бұрын
Safi Mama katuma watu wakazi Mungu ajalie Amani Inchi yetu hawa wachawi wanasiasa wanaotaka umafufu kupitia matukio hawana chao tena watoe ujanja ujanja na kuminya haki kwenye vikundi vyao wanavyo viongoza
@jeremiahmakoye6340
@jeremiahmakoye6340 20 күн бұрын
God bless you brother Paul Makonda
@jacobmollel7036
@jacobmollel7036 20 күн бұрын
Ndio maana nakupenda sana makonda,wateteee wanyonge usijali cheo inatoka Kwa Mungu Wala siyo Kwa mtu
@OlodediaSindima-x7s
@OlodediaSindima-x7s 20 күн бұрын
Yes of course this show's hope 😢😢
@kalebomawande6057
@kalebomawande6057 20 күн бұрын
Ukisema samia analipenda taifa lake na wana nchi unakosea sana bloo.
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y 20 күн бұрын
Wawekezaji wa Wafutiwe Mkataba. Sio wenye Ardhi yao kufutiwa hati za Umiriki wao na kuhamishwa.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 20 күн бұрын
SIKU ZOTE WANAOLETA VUTUGU NI POLISI. HAPO WANGELETAJR VIRUGU WAKATI KUNA WATALII. MAKONDA UNAMDANGANYA NANI, KAMDANGANGANYE MJINGA
@farajasamwel_56
@farajasamwel_56 20 күн бұрын
Big up bro
@baraka-zz7uq
@baraka-zz7uq 19 күн бұрын
Ongera sana makonda kaz uzuri sana
@NunuiMpogomi
@NunuiMpogomi 19 күн бұрын
Kiongozi huwa anazaliwa big up kiongozi
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od 20 күн бұрын
Nakuamini makonda
@taylorkasitu3819
@taylorkasitu3819 20 күн бұрын
Maigizo tengeneza tatizo fumbua tatizo ,samia ndiye dalali wa ardhi ya wamasai ,bashite ni ndani ya mfumo wa wasiojulikana
@vicentbunzal7342
@vicentbunzal7342 20 күн бұрын
Yaani hii ccm imeshawafanya wananchi wake Kama vile watoto wadogo,sasa wamasai wanadanganyiwa pipi na makonda ili uchaguzi uishe tu waswagwe Kama kuku,hawatoamini
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 19 күн бұрын
Nashukuru kqa matumizi mazuri ya akili. Mimi binafsi hua namuona huyu makonda kama hana lolote la akili isipokua hua anaongeaga na watu wajinga sana. Samia ndio mwenye kauli ya kuwaondoa wamasai ngorongoro. Samia ndio amewakatia huduma. Samia ndio amewajengea nyumba msomera nakuwasomba waondoke. Sasa leo makonda anasema mama samia anawapensa aana wamasai!!!!!!!! Na kuna majinga kabisa yanamshangilia!!!!!
@festokemibala5832
@festokemibala5832 20 күн бұрын
Hapa msitutajie ccm kwa sababu tangu wanahamishwa ccm walikuwepo hawajaja na makonda! Tusiwe wanafiki tufuate sheria iliyoanzisha Ngorongoro na makubaliano waliyoingia watu hawa na mjerumani wakati wakitolewa serengeti kuwa hakutakuwa na kuhamishwa tena. Tusijifanye hatujui kusoma nyaraka, zipo tuzipitie mambo yaishe kwa amani
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 20 күн бұрын
Makonda nakupenda sana ila wewe ulienda huko na wanunuzi wa hiyo mbuga yaani waarabu
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 20 күн бұрын
Moja ya zao zuri la chama cha mapinduzi hongera comedy Paul makonda
@marieconnect6389
@marieconnect6389 20 күн бұрын
Yeah, zao la JPM hilo
@SauwaeliNnkoEbenezer
@SauwaeliNnkoEbenezer 20 күн бұрын
Hizo ni siasa za uchaguzi tuu subirini uchaguzi upite kama jaondolewa tena Kwa nguvu ya ajabu hao CCM wana ndimi mbili😢
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 20 күн бұрын
❤❤Mungu akutunze , Baba!
@rosejohn8494
@rosejohn8494 20 күн бұрын
asant mheshimiwa makonda cku zote kuona kimya nlipata mashaka
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 20 күн бұрын
Bonge la kiki mda wote walikuwa wapi,,zimewauma kuula ,,jopo la mawakili TLS.Tunadhukuru kukomboka ngorongoro,,wamekuja kuwavika tambala leusi
@user-jx9xc6vo9x
@user-jx9xc6vo9x 20 күн бұрын
Hongera sana Makonda
@user-sd5xz3em5i
@user-sd5xz3em5i 19 күн бұрын
Raisi wa Tanzania ajaye,MWENYEZI MUNGU AKUSIMAMIE ktk majukumu yako.
@IsayaMasesa-r2i
@IsayaMasesa-r2i 20 күн бұрын
Kama in hivyo muheshimiwa chapa kazi mungu akusaidie
@mengisthomadembwe
@mengisthomadembwe 19 күн бұрын
Goo d
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 20 күн бұрын
You deserve to be our president .....
@aretasiwilliam
@aretasiwilliam 20 күн бұрын
Makonda ulikua wapi siku zote tano ambazo wanachi hawa wanateseka ??? Napenda sana stayle yako yakutatua matatizo ya watu kama ya hayati Magu
@barakamisila
@barakamisila 20 күн бұрын
Uko vizuri mkuu
@GeorgeSikazwe-mm7nn
@GeorgeSikazwe-mm7nn 20 күн бұрын
Siasa nying nenda Kweny point
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko 20 күн бұрын
Mpenda amani ni yupi!!!? Au mpenda amani wa ccm??
@maimunakassim8413
@maimunakassim8413 20 күн бұрын
Mungu awe pamoja na wewe mdogo wangu
@MohamediMrisho-rn9xx
@MohamediMrisho-rn9xx 20 күн бұрын
Asante kaka angu
@TausAbasi-jf2xx
@TausAbasi-jf2xx 20 күн бұрын
Mbona Kama sasa ni siasa😢😢😢
@paulombay6884
@paulombay6884 19 күн бұрын
Kama samia anapenda haki ,mwulize kati ya waarabu na masai nani zaidi,.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 20 күн бұрын
Safi mheshimiwa ngorngoro ni haki ya wamasai
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 20 күн бұрын
Hongera mtumishi
@pauloisso5815
@pauloisso5815 20 күн бұрын
Kama unafikiri vizur hii serikali ya CCM haifai tena imejaa thulumaa za WATANZANIA wengi san hao hao ndio wamewatimua wamasai na wametengenea tatizo then waao wao ndio wanatatua yaan utafikiri kuna serekali mbili kumbe ni hawa hawa maccm, ccm na serikali yake imejaa machozi na dhuluma ya WATANZANIA
@mackMmathayo
@mackMmathayo 20 күн бұрын
Mungu atabariki2😢😢makonda😢😢😢anataka afikie😮😮kiwango cha😢😢rais hayati Magufuli 😢😢😢
@EzekiaMtwale
@EzekiaMtwale 20 күн бұрын
tunaomba yasiishie kuzungumzwa tu yafanywe kwa vitendo, wananchi wameumizwa na kukatishwa tamaa ndan ya serkal Yao!
@lewispereira1700
@lewispereira1700 19 күн бұрын
Eti ana sifa za kutetea watu..😳😳😳..! Yaani amesahau kuwa alipokuwa mkuu wa mkoa wa DSM alipora mali za watu, alinyang'anya magari ya watu, alihusika kuwateka na kuwapoteza watu..! Walioptoteza ndugu zao hawawezi kusahau aliyoyafanya zamani.
@user-jb8bo2qw6r
@user-jb8bo2qw6r 19 күн бұрын
Huyu kama ilivyo Kwa Wanaccm wengine,hapa anaifagilia CCM tu Kwa ajiliya Uchaguzi MKUU 2025. CCM wamekuwa mabingwa wa kubuni mbinu za kuanzisha keto/matatizo mabaya Kwa jamii! Baadaya muda kadhaa CCM hao hao hujidai kushulikia kero hizo na papo hapo eti kuzitolea uamuzi unaotengua maamuzi ya awali. Hivyo,baadae hujidai kuwa CCMpamoja na Serkali yake eti ni 'wasikivu' Hivyo,hata Kwa hili ni mpango -mkakati wao unaolenga kutafuta kura tu. Lakini Uchaguzi ukipita,mambo ni yaleyale. Je,zahama hii ya kuhamishwa Wamaasai alieianzisha ni Makonda? Kwa kuwa so yeye,Bali ni Mhe.Raisi mwenyewe,Je,Makonda kapata wapi "Mandate" ya kutatua zilizala hii?. Ni Mimi Ally Daudi Ngoyeji wa Itilima,Kishapu;Shinyanga.
@tusekilemwakatobe7763
@tusekilemwakatobe7763 20 күн бұрын
Makonda.hoyeeee❤❤❤❤❤
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 19 күн бұрын
Ikifika wakati wa Uchaguzi mtatumika kukandamiza wananchi wasiweze kumchagua kiongozi wanayemtaka, mnatumia nguvu lazima mbaki madarakani.
@aretasiwilliam
@aretasiwilliam 20 күн бұрын
Yaani ukigombea uraisi nchi hii Wala hatuna haja ya kupigara nchi yote kakaangu inakuelewa tyari Wala hutotumia nguvu hata kidogo
@akimAkimuWA-m3t
@akimAkimuWA-m3t 20 күн бұрын
Wew ndieuliebak mwenyeuchungu nataifa. Nimzarendo
@jeremiahmollel163
@jeremiahmollel163 20 күн бұрын
Kwanini mama kongwe hakufika
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
SAKATA LA NGORONGORO KABUDI ATIMBA,  ATAJA MAMBO MANNE
4:29
Mwananchi Digital
Рет қаралды 54 М.
CHADEMA YATANGAZA KAMPENI YA "SAMIA MUST GO"
25:39
JAMBO TV
Рет қаралды 33 М.
Ip Man 3 | Rescue Scene
9:46
Cinewatch
Рет қаралды 2,6 МЛН
RC MAKONDA KAMALIZA MGOGORO NGORONGORO KWISHA  MAANDAMANO
4:01
KASYANI TV
Рет қаралды 94 М.