Familia ya Rubani Aliyepotea na Kutoonekana Tena Yatoa ya Moyoni

  Рет қаралды 36,833

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 101
@gracejulius3966
@gracejulius3966 2 жыл бұрын
Pole Mzee Gibuyi na familia yako. Mungu ni mwema nina Imani Kijana wako Samweli atapatikana.
@joycelaurence7989
@joycelaurence7989 2 жыл бұрын
Daah huzuni kwa kweli...poleni familia....mungu amsaidie apatikane arud nyumbani salama
@novathmsanyamsanya7702
@novathmsanyamsanya7702 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni intelligence
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
Mzee Gibuyi,That is Tanzania for you. Piga magoti mshukuru Mungu,Tanzania kwny haya mawizara siku hizi kuuana imekua ni hali ya kawaida. Wengi ndugu zao wameuawa tena na watu tu wachache kwenye departments lakini watachunguzana vipi na ni wenyewe? Hapo mtu ameuawa kwa interest za watu wachache kupoteza ushahidi wa jambo. Kisasi si juu yetu bali ni juu ya Mungu.
@rithersospeterkati2303
@rithersospeterkati2303 2 жыл бұрын
Pole baba YUPO hai Mungu hamlinde na atamrudisha mikononi mwako baba na mikononi mwa Watanzania. Amen.
@mariamnimbo8394
@mariamnimbo8394 2 жыл бұрын
Pole mzee pamoja na familia nzima. Mungu Nwenyenzi awafariji kwa kweli.
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Au wamemteka
@fridadekim4689
@fridadekim4689 2 жыл бұрын
Poleni sana kwa ndugu na familiar kwa ujumla inauma sana jaman muombeeni arudi salama shemeji yangu jaman
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 2 жыл бұрын
Inasikitisha. Mungu afanyike kuwa faraja kwa familia hii.
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 2 жыл бұрын
Mama Maria wa Huruma hurumia huyu mtumishi wako.Mamlaka ime melt down kabisa.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Pole sana baba na familia, ila Mimi naona mngeungana na yule nabii wa ishara kumwombea angeweza kupatikana katika jina la Yesu Kristo maana kwa Mungu hakuna lidilowezekana, poleni sana kwa hilo wapendwa wetu
@gwalughanomerryrose4913
@gwalughanomerryrose4913 2 жыл бұрын
Thanks The Chanzo for covering this
@fruitfulmpanduji2494
@fruitfulmpanduji2494 2 жыл бұрын
Baba njoo bukumbi misheni mwanza upate ufafanuzi wa Jambo lako au weka no.zako mtandao I.tunashindwa tutakupataje upate ufumbuzi.kiungu zaidi ya kibina adamu. Weka mawasiliano yako mtandaoni pls au no ya kijana yako.plss ushuhudie ukuu wa MUNGU
@eddimwamba4208
@eddimwamba4208 2 жыл бұрын
Mungu awape subra🙏🙏🙏😭
@charlesmuushi.1304
@charlesmuushi.1304 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awe faraja ya kweli kwenu,poleni sana
@virejiangingo288
@virejiangingo288 2 жыл бұрын
Pole sana Babaangu
@vickyshayo7880
@vickyshayo7880 2 жыл бұрын
Mungu akupiganie uwe na Imani hiyohiyo atakuwepo tu Mungu ni mwema sana atakupigania kijana wako apatikane
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Poleni sana familia mungu ni mwema ataonekana muwe na subra
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 жыл бұрын
We baba Shakur mungu tu hiyo mbuga ya sealou ni mtihani mwachie mungu tu
@rebekakalondji2576
@rebekakalondji2576 2 жыл бұрын
Pole sana.Mungu azidi kuwatia nguvu.
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 жыл бұрын
Pole mzee Mungu ni mwema tumuombee arudi salama
@rahmamwaliko1159
@rahmamwaliko1159 2 жыл бұрын
Poleni familia mungu ndie anaejua yote ila Kama ni hujuma aliyefanya hivyo atahukumiwa
@catherinejaphet3678
@catherinejaphet3678 2 жыл бұрын
Tumuombee huyu Baba ana maumivu makali sanaa
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Hebu waende huko kunako semekana kuna mateka wa baba godi anaejiita mungu huko mwanza huenda watamkuta huko mtafuteni yule mama aliye hojiwa na damasta
@janet7740
@janet7740 2 жыл бұрын
Lo dunia kumbe ina mambo
@simongwandu7392
@simongwandu7392 2 жыл бұрын
Babu ndege ilinunuliwa kutoka nchi gani wao wanaweza kufahamu
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 жыл бұрын
Hizi zote muhusika ni boa WA kijana die mwenye Binu zote za ukorofi wivu WA kikazi MUME wagu aliuliwa na Bo's wake kikatili sababu ya wivu WA kanzi tuu
@witneskihega8971
@witneskihega8971 2 жыл бұрын
Poleni sana wanafamilia, inasikitisha kwa kweli.
@claudiajames2003
@claudiajames2003 2 жыл бұрын
Nimependa baba ulivyo na Imani kuwa bado Yu Hai mwanao
@jacklineurassa6006
@jacklineurassa6006 2 жыл бұрын
Mfunge nakusali novena uwenda kachukuliwa kishetani
@fatumamkali5382
@fatumamkali5382 2 жыл бұрын
Pole sana mzee mungu awape subra na iman
@salomefaith2410
@salomefaith2410 2 жыл бұрын
Poleni Sana familia
@aishatarimo6780
@aishatarimo6780 2 жыл бұрын
Babu muombe mungu mtoto wako yupo kabisa tena yupo hai lkn yupo ktk giza nene anataman akuite ili ukamtoe lkn anashindwa.But don't worry ipo siku atarudi utamuona mwanao
@judithmakuto3612
@judithmakuto3612 2 жыл бұрын
Waende me A pastor Ezekiel Mombasa ,Mtwapa kimono cha Majaoni,New life church
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Poleee baba
@dotnatajoseph2620
@dotnatajoseph2620 2 жыл бұрын
Kwa muonekano huu hili shilika halipo makin pole Sana mzee mungu awatie nguv
@emanuelandedela2771
@emanuelandedela2771 2 жыл бұрын
Nimepigwa na butwaa. Ni nani wakumlilia haya!! Wala haijulikani pole sana familia inauma sana sana
@nazahedshafuri1310
@nazahedshafuri1310 2 жыл бұрын
So sad, Mungu awatetee
@asha.mwambamwamba1774
@asha.mwambamwamba1774 2 жыл бұрын
Jamanii serijali iwasaidie kwa asilimi miaa
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Inahuzunisha...Kuna namna hapo Ila ulimwengu huu Ni balaa,BWANA onekana kwa familia hii
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Pole ni sana 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@joycebenedict9597
@joycebenedict9597 2 жыл бұрын
Pole sana baba na familia nzima
@saliminasalim3751
@saliminasalim3751 2 жыл бұрын
Pole sana baba jipe moyo tuzidi kumuombea aweze kurudi kwa uwezo wake Allah. Watumie ( FBI ) tu watajua undani wake tu
@blackbeauty579
@blackbeauty579 2 жыл бұрын
Dah pole sana Mzee na familia yote
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 жыл бұрын
Serikali msaidieni huyu baba jamani inatisha sana. Hiivi kirahisi tuu eti imefunga utafutaji hivi kweli? Dah unasomesha kwa shida matokeo ni haya loh
@demycratia2567
@demycratia2567 2 жыл бұрын
Nchi za jirani zisaidie KUPITIA SEREKALI YETU KUPITIA INTERNATIONAL RELATION
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 жыл бұрын
Mpaka wapinge ripot Mimi natatizika sababu dege. Ilipotea Taiga majirani yote ufahamishwa na upata usaidizi Kwa umoja WA Haga lakini Tanzania awajafaya hivio
@antonnadenade4597
@antonnadenade4597 2 жыл бұрын
Pole mzee
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
Poleni sana
@gorethmaongezi3479
@gorethmaongezi3479 2 жыл бұрын
Inahuzunisha sana
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 жыл бұрын
Hicho kifaa "spider Cord' mzee inaonesha nicha muhimu sn kwenye ndege!! Kwann waliruhusu ndege iruke bila kifaa hicho?? Maana nafikiri ndege hukaguliwa kabla ya kuanza Safari!!
@magynzioka1122
@magynzioka1122 2 жыл бұрын
Kupoteza Kwa dege na dereva ni ushirikiano WA madui WA mwanao na uwuzi WA kuiba dege wazi uwalifu ulitokea Kwa office Yao watumishi na wakurugezi kuna m moja wao anacheza mchezo mbaya
@blancajohn2300
@blancajohn2300 2 жыл бұрын
Maneno Yako sawa wamemuuwa wakachukuwa ndege subwanalah
@rosehaule220
@rosehaule220 2 жыл бұрын
Naumia mpaka nahisi kifo uwiiii
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 2 жыл бұрын
Am sorry too early to tell praying for you and family 👪 🙏
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mtihani kwa kweli
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Apo kuna husda imefanyika.Mungu atende miujiza amlinde poppte alipo.Ataonekana.. Kubwa kwa binadamu kwa Mungu ni dogo..
@heyumi2340
@heyumi2340 2 жыл бұрын
naam
@maulidmtowi3937
@maulidmtowi3937 2 жыл бұрын
𝚆𝚊𝚑𝚞𝚜𝚒𝚔𝚊 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚋𝚊𝚛𝚒 𝚠𝚊𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚓𝚞𝚕𝚊 𝚝𝚘𝚣𝚘 𝚣𝚎𝚝𝚞
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Sio ya serikali nishilika binasfi
@estakapufi7582
@estakapufi7582 2 жыл бұрын
Apo kunakitu haiwezekani ndege ndogo ipotee isionekane mpaka leo, na hata kama ingeanguka lazima ingewqka moto licha ya ivyo tuseme imepaa mpaka wapi hata ingeenda nchi jilani ingeonekana hata kama ingeangakuka kuna kitu hapo bana kusipotumika nguvu ndio imetoka
@chikuabdallah9950
@chikuabdallah9950 2 жыл бұрын
Mwiten majina yake yote kwajina LA yesu kwaiman atakuja mungu anaweza neenden kwenye makanisa ya kiroho
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 2 жыл бұрын
Ni yule aliyepotea Selous?
@evasakala8181
@evasakala8181 2 жыл бұрын
So sad aiseee full huzuni hata likizo naona chungu but why brother 😭😭😭😭😭😭🙌
@beatricesabbas7943
@beatricesabbas7943 2 жыл бұрын
Pole jamani
@najmaulaya8819
@najmaulaya8819 2 жыл бұрын
Pole kipenzi
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Haya ni maajabu makubwa
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 2 жыл бұрын
Pole baba
@margarethalyimo5475
@margarethalyimo5475 2 жыл бұрын
Akili hainipi iweje yy ni rubani anajua bila hicho kifaa angejihatarishia maisha yake halafu akiache?
@noahlarapho3411
@noahlarapho3411 2 жыл бұрын
Mmmh huzuni
@blancajohn2300
@blancajohn2300 2 жыл бұрын
Baba uyo mkuu wa wilaya ndo hao hao ndomana wanazalau walisha liloga swala lipuuzwe baba nenda kwa rais samia haraka
@thepowerofsilentsoul2135
@thepowerofsilentsoul2135 2 жыл бұрын
Kazi YA computer Ni nn,,,Kenya kumbe tuko mbele Sana,,, lazima watu wenye nafanya embassy waseme ako wapi,
@josephsokhia
@josephsokhia 2 жыл бұрын
samwel nikuwa nae pamoja tumesoma nae shule moja daaah!
@fruitfulmpanduji2494
@fruitfulmpanduji2494 2 жыл бұрын
Mzee nakuomba utupe namba zako .ili Kwa wale wenye maono ya ufunuo ,tupeane taarifa .zaidi Mimi natamani kupata no.zako ..ili cha taarifa yoyote itakayo tokea tukupate. .. Mimi Niko Mwanza .
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 2 жыл бұрын
Unamaanisha nini?
@samiahmlimanzila6406
@samiahmlimanzila6406 2 жыл бұрын
Ukiikosa namba yake nenda magu mtaa unaitwa isandura maeneo ya barabara ya ngudu ulizia kwa mwalim gibuyi utafika mi ningekupa no Ila ninazo za mkewake
@fruitfulmpanduji2494
@fruitfulmpanduji2494 2 жыл бұрын
Hicho kifaa hakizimikagi ,na siku site kinaweza kupotelea majini na BADO wa nakipata.
@Veni584
@Veni584 2 жыл бұрын
Mh! Iko namna
@taharayassin6528
@taharayassin6528 2 жыл бұрын
💔😢😢😢
@blancajohn2300
@blancajohn2300 2 жыл бұрын
Baba mwanao hapa anapofanya kazi wenzie ndo walilifanya ilo tukio wangekamatwe wote wawekwe ndani watasema wamemuuwa uyo mtoto na ndege haijaluka Wala nini wamefeki waseme kapotelea hewani na kifaa lazima wakifiche ila damu ya mtu haiendi bule wataumbuka mmoja Bada mmoja angekuwepo makufuli wangesha julikana
@ashurakumbilwa5838
@ashurakumbilwa5838 2 жыл бұрын
Daah inahuzunishaa jaman
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 2 жыл бұрын
Mnafanya mazishi bila mareemu akika MUNGU adhiilishe kijana yupo wapi
@rosehaule220
@rosehaule220 2 жыл бұрын
Watoto wetu wanadoma badae wanapotea uwiiii uwiiiii😭😭
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 2 жыл бұрын
Swali je iwe imetokomea wapi jmn
@demycratia2567
@demycratia2567 2 жыл бұрын
Baba comments
@suleimanbakar3429
@suleimanbakar3429 2 жыл бұрын
weshamla huyo babu usihangaike
@levinamwanakulya9379
@levinamwanakulya9379 2 жыл бұрын
Mwandiahi kazubaa
@ericmtalemwa3573
@ericmtalemwa3573 2 жыл бұрын
*YAHUSU KUMLAANI RAIS*🇹🇿 kzbin.info/www/bejne/h6LYgYN9ZqiYosk
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 2 жыл бұрын
Kwakweli mtiani mkubwa
@elizakefa293
@elizakefa293 2 жыл бұрын
😭😭😭
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
MSHAPIGA DILII NDEGE MMEUZA MAFISANI
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 2 жыл бұрын
Mh selikali silikali
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
ANGALIA ANAVYO JIKUNA KICHWA UONGO MTUPU MSHAPIGA MIALA WIZI UONGO TU MBINU za kupiga pessa
@henryjohn4781
@henryjohn4781 2 жыл бұрын
Acha Mawazo finyu angekuwa Mtoto wako ungeongea hayo
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 2 жыл бұрын
Hujawahi kupotelewa na mtu wako wa karibu ndo maana wasema hivyo
@henryjohn4781
@henryjohn4781 2 жыл бұрын
@@happynesbaemuhappynes8813 Umenena
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 2 жыл бұрын
Kumbafu king.baba moaning his son.
@blancajohn2300
@blancajohn2300 2 жыл бұрын
Msenge sana wewe mtu apotelewe na mwanaye Kisha awe mwizi kivipi Kuma nini wewe au wewe ndo mmoja wao mliye mteka mtoto wa watu pumbavu mmoja wewe mkundu wa baba Yako mzazi na mama Yako mzazi nenda ukafilane na baba Yako @King Buddah
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
''VIJANA WENGI WANA NDOTO za URUBANI'' -MAMA ROSEMARY
6:23
Global TV Online
Рет қаралды 450
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН