No video

Fanya Haya Kila Baada Magharibi Utafanikiwa / Tofauti Kati Ya Kujaaliwa Na Kujibiwa/ Sheikh Walid

  Рет қаралды 55,170

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

Fanya Haya Kila Baada Magharibi Utafanikiwa / Tofauti Kati Ya Kujaaliwa Na Kujibiwa/ Sheikh Walid Alhad Omar
Mashaa Allah Sheikh Walid Bin Sheikh Alhad Omar akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Fanya Haya Kila Baada Magharibi Utafanikiwa / Tofauti Kati Ya Kujaaliwa Na Kujibiwa/ Sheikh Walid Alhad Omar
tizama mpaka mwisho usisahau kushare
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 48
@user-qb3yh9gq5l
@user-qb3yh9gq5l Жыл бұрын
YAA RABII MPE MAZURI SH WETU DUNIAN NA KESHO AKHERA NA FEMILI YAKE
@halimamzee9370
@halimamzee9370 Жыл бұрын
Àmina yarabbal alamina kwa sote
@FatmaHajj-z7s
@FatmaHajj-z7s Ай бұрын
Alhamdullilah Allah atakulipa Kwa kutuelimasha
@aquinoilham5941
@aquinoilham5941 Жыл бұрын
Asalaam alaykum warahmatullaah wabarakaatuh ustaadh samahani mimi nina swali .... swali langu ni mimi ni wa kike na huwanasalia nyumbani je dua hii haifai kusomwa na wenye kuswali nyumbani ila kwa wenye kupata jamaa tu....naomba kujua sheikh wetu
@YusrayYunus-rr1kq
@YusrayYunus-rr1kq 8 ай бұрын
shekh m naomba umjibu huyu
@sammarley1413
@sammarley1413 6 ай бұрын
Ibada zote kwa mwanamke nibora nyumbani kuliko masjid. Mwanamke kwenda msikitini ni dharura tu kama ijuma ao yende kwa ajili ya darsi
@10gb27
@10gb27 14 күн бұрын
​@@sammarley1413toa aya au hadithi kusapoti hichi ulichosema mkuu
@shabanizena2612
@shabanizena2612 11 ай бұрын
Alhamdulillah waneemat'il Islam yarab
@hawaamohammed6687
@hawaamohammed6687 Жыл бұрын
Hakika wewe nihazina.MashaAllah
@mkmwayama4534
@mkmwayama4534 Жыл бұрын
May Allah bless you sheik...darasa zako zimenipeleka mbele ki iman
@allymchuzi5466
@allymchuzi5466 Жыл бұрын
Shukrani shekhe Walid kwa faida kubwa uliyotupa allh akuhifadhi na akujaalie umri mrefu tuzidi kufaidika na ww
@jamilanassor1135
@jamilanassor1135 Жыл бұрын
Shukran Sheikh wetu Allah azidi kukuhifadhi
@hawamkumbwa6490
@hawamkumbwa6490 Жыл бұрын
Sheikh asante.Kwa wanaosali nyumbani peke yao wafanyeje?? Naomba majibu nimependa sana hiyo.
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Barakalahu fiku Allah ajalie mwanangu qwe kama wewe
@harunarashid1650
@harunarashid1650 Жыл бұрын
Mashalla Alihabibi Nakupenda Sana Alla akupe kheri.
@yusufbongo9785
@yusufbongo9785 2 ай бұрын
Shukran sheikh walid alhad
@ashamussa5129
@ashamussa5129 10 ай бұрын
MASHALLAH JAZAKALLAH KHER MUNGU ATAKULI PA HERI
@basmaabdul1143
@basmaabdul1143 Жыл бұрын
انشاالله FINALLY SHEEKH WALID IN NAIROBI THIS YEAR
@abdallahismael3993
@abdallahismael3993 Жыл бұрын
Twende
@aminaawal8953
@aminaawal8953 Жыл бұрын
Shekh sababu ni kua hawana kipato wala watu hawawatizami walimu wa madrasa kwa jicho la tatu mbona walimu wa school hawaombi
@jumamwegelo9563
@jumamwegelo9563 Жыл бұрын
Allah akujalie maisha malefu amen
@habibaabass2922
@habibaabass2922 Жыл бұрын
Ahsante sana sheikh alla akujaalie jazaa njema
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah. Shukran sheikh ALLAH akulipe kheir.
@maliamhotimaliamhoti5302
@maliamhotimaliamhoti5302 Жыл бұрын
Allah azid kukuhifadh sheikh walid, tunapata faida nying mashaa Allah. Kwa sisi tunao swali nyumban inakuwaje sasa?
@vamelamani2381
@vamelamani2381 Жыл бұрын
Allah tabarak wa tanlaah azidi kuku ifadh sheikh walid
@HairahSayyed-hs9sb
@HairahSayyed-hs9sb Жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Shukran shekhe kwa sie tunaosali nyumbn je ?
@zakiasiwa797
@zakiasiwa797 Жыл бұрын
Allah akujaalie umri mrefu wenye heri na ili waja wake wapate kuelimika kupita kwako, Ameem
@saidasaleh6376
@saidasaleh6376 Жыл бұрын
Shukran Allah akulipe jee na sie kina mama tunaoswali nyumbani itafaa au mpk wanaoswali jamaa mskitini tu
@sheikhaalamoudi3390
@sheikhaalamoudi3390 Жыл бұрын
Sheikh ikiwa ni mwanamke aswali nyumbani hana jamaa atakuwa hawezi kusoma ?
@nayeemn9275
@nayeemn9275 Жыл бұрын
Allah akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka. Vip kwasis tunayo salia nyumbani?
@yusufchaki8683
@yusufchaki8683 Жыл бұрын
Asalamualeikum. Skh jhazakkalahu khair for dua clip. Asanto
@IMRANSTORIES136
@IMRANSTORIES136 Жыл бұрын
Shukran sheikh, Allah atujibie dua zetu aamiin
@ashanassor584
@ashanassor584 Жыл бұрын
Shukra shekhe kwa ss tunaosali nyumbani
@fatumaramadhani6240
@fatumaramadhani6240 Жыл бұрын
Ikiwa mwanamke anaswalia nyumbani inafaa kusoma?
@zakiasiwa797
@zakiasiwa797 Жыл бұрын
Shukran kwa ijazaah, na mengineyo mengi tu
@mahamudguyo-fn2dj
@mahamudguyo-fn2dj Жыл бұрын
JazakAllahu kheir Ahlan
@tumajunior6080
@tumajunior6080 Жыл бұрын
Shukran jazzakallah khairan
@mgenisalim6830
@mgenisalim6830 Жыл бұрын
Asalaam Aleiko Nilikuwa nauliza jee kwa wanawake tusoma vipi maana hatuswali jamaa
@Khamisussi
@Khamisussi Жыл бұрын
W.salam. nilipata kusikia kwa masheikh kuwa jamaa ya mwanamke ni pale ambao ikisomwa azana tu akasali hapo nd itakuwa imepatikan jamaa kwa wanawk wasio sal mskitn
@faridaikussi
@faridaikussi 10 ай бұрын
​@@Khamisussinakushukuru kakaangu
@safiasaleh669
@safiasaleh669 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🤲
@CholoBoy-wo9yf
@CholoBoy-wo9yf Ай бұрын
Nakama Ni mwanamke utafanyaje nasisi huswali nyumbani
@NajuuuzAhmed
@NajuuuzAhmed Жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh. Je kwetu sisi wanawake huu uradi hatuwezi kuupata maana twasali nyumbani sio jamaa?
@ashuramzungu
@ashuramzungu Жыл бұрын
Shekhe kwasisi wanawake tunao swali nyumbani dua hii vipi?
@user-db3hv6zq1d
@user-db3hv6zq1d Жыл бұрын
Kwa Sisi wanawake tunao salia nyumbani hatuwezi kusoma?
@yes_yes1310
@yes_yes1310 Жыл бұрын
Kapu la Sheikh 🤣🤣🤣 ilo.
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Na kama hauko kwa jamii uko nyumbani ?
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 46 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 84 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 27 МЛН
AINA ZA MAJINI NA KAZI ZAO || BAYANA YA KHUTBAH YA IJUMAA || 12/8/2022
44:57
Ust Abuumuhammad Said
Рет қаралды 10 М.
JITAMBUE / SHEIKH WALID ALHAD
18:05
DARSA TV
Рет қаралды 19 М.
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 46 МЛН