Mashaallah mashaallah ALLAH akupe afya tupate faida unayotoa
@mohamedalidini8 күн бұрын
Tabarakallah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@RukundoMustafa-b3m24 күн бұрын
Jazakallahu khair
@mohamedalidini22 күн бұрын
Waiyyaak! Allah (SWT) Akupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@SarahAbdi-v2cАй бұрын
Aslm alykum niombe dua naumwa na pia Allah anifungulie rizki ya halali inshaallah
@mohamedalidiniАй бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Namuomba Allah (SWT) Akupe afya ya haraka, akuondoshee mazito yote na akufungulie riziki imiminike kama mvua. Ameen Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@MkandamaBora2 ай бұрын
Shukran Allah Akujaze heri nyingi na Atuwezeshe
@mohamedalidini2 ай бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen!
@Habybty4 ай бұрын
Waaleikum salaam warahmatullahi wabarakatu. .Shukran jazakallah kheir sheikh wangu..Allah atakutilia barka na atakupa umr mrefu na Afya..Ameen yaa rabby 🙏
@mohamedalidini4 ай бұрын
Wiyyaak! Allahumma Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲 Waiyaak!
@khadejakhadeja97133 ай бұрын
Shukraan shekhe .Amina Amina shekhe❤❤❤
@mohamedalidini3 ай бұрын
Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲❤❤❤
@MasnamussaPp4 ай бұрын
مشاء الله تبارك الرحمن ALLAH AKUZAIDISHIE WEMA KAMA HUU NA NI SADAQA YAKO KWETU ALHAMDULILAH ALLAH AKUZAIDISHIE
@mohamedalidini4 ай бұрын
AMEEN! TABARAKALLAH! SOTE INSHA ALLAH! YA RABB! 🤲🤲🤲🤲🤲
@bakarimwaguluwe-yh2dn3 ай бұрын
InshaAllah! MaishaAllah sheikh
@mohamedalidini3 ай бұрын
Barakallahu Feek! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@SalmaShabani-ou6gk4 ай бұрын
Waalykumsalaam warrahmatullah wabarakatu, shukran sana shekh wetu Allah(SW) akuzidishie mengi ya kheri na akuepushie yote ya shar uzid kutujuz meng amiin rabbil aalamiin.
@mohamedalidini4 ай бұрын
Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@RashHassan-ib6nq4 ай бұрын
Mashaallah tabaaraka llah Allah akupe mwisho mwema Kwa unayotufunza
@mohamedalidini4 ай бұрын
Tabarakallah! Ameen Ya Rabbal 'Alameen. Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@rashidhamad35382 ай бұрын
In Shaa Allah, shukran
@mohamedalidini2 ай бұрын
Afwan!
@MwanajumaAli-l7y4 ай бұрын
Masha Allah,,, Allah akujazie kheri shukran kwa kutuelimisha😊
@mohamedalidini4 ай бұрын
Tabarakallah! Sote Insha Allah! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@MwanajumaAli-l7y4 ай бұрын
Thumma aamin🤲
@mohamedalidini4 ай бұрын
@@MwanajumaAli-l7y Ya Rabb! 🤲🤲🤲🤲🤲
@fatumahamadi13793 ай бұрын
ALLAH akupe Kher y Dunia n Akhera Inshaallah
@mohamedalidini3 ай бұрын
AMEEN YA RABBAL 'ALAMEEN! NAWE PIA!🤲🤲🤲🤲🤲
@JohnKinuthia-eo1zl2 ай бұрын
asalam.alaikum.naomba.uniombee.dua.
@mohamedalidini2 ай бұрын
@@JohnKinuthia-eo1zl Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh! Allah (SWT) Akutimizie yote unayoyatamanu moyoni! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@bakarimwaguluwe-yh2dn3 ай бұрын
Swadaktah ya ustadhi
@mohamedalidini3 ай бұрын
Masha Allah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@abinandrimana71504 ай бұрын
shukrani sana Allah azidi kukupa umri mrefu na ilmu nasi tupate kusoma na kuyafanyia kazi masomo
@mohamedalidini4 ай бұрын
Afwan! Ameen Ya Rabbal 'Alameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@pilifarhani60494 ай бұрын
Shukrani Shekhe wetu Mungu akulipe kila la kheri
@mohamedalidini4 ай бұрын
Afwan. Ameen Ya Rabb! Sote Insha Allah! 🤲🤲🤲🤲🤲
@ZainabIssa-v5u4 ай бұрын
Shukran sana Allah akuhifadhi inshaaallah tutajitahidi kufanyaa unayo tufahamisha na Allah akupe kheri Zaidi inshaaallah na akuhifadhi na kilaa mitihani
@mohamedalidini4 ай бұрын
Afwan! Insha Allah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Waiyyaak! Allah (SWT) Atupe Kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@hassansinani34594 ай бұрын
Shukran jazakallah
@mohamedalidini4 ай бұрын
Waiyyak! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@HaqqDeep4 ай бұрын
Kwa kumtaja Allaah sijaelewa vizuri
@mohamedalidini4 ай бұрын
Yaani kulitaja hili la Allah ambalo ni YA ALLAH. Kwa kusema hivi: YA ALLAH! YA ALLAH! YA ALLAH! ...............................
@bakarimwaguluwe-yh2dn3 ай бұрын
Allah Akbar
@mohamedalidini3 ай бұрын
Alhamdu Lillah! Shukran!
@fatumakhasimu10692 ай бұрын
I nsha allh
@mohamedalidini2 ай бұрын
Insha Allah! Shukran.
@zuhuraa93424 ай бұрын
Asalm alkm sheikh Allah akuzidishie elimu zaidi ammn
@mohamedalidini4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Ameen Ya Rabbal 'Alameen! Sote Insha Allah!🤲🤲🤲🤲🤲
@MariamBakari-p1s3 ай бұрын
Allahu Akbar
@mohamedalidini3 ай бұрын
Alhamdu Lillah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@SaidBanzi4 ай бұрын
Asalam Alaykum brother am Sameer from Kenya naomba Dua ya kumpata mke mzuri mwenye ametulia
@mohamedalidini4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh. Masha Allah! Kuna video nimeweka kwa hii channel kuhusu jambo hilo. Naomba uitizame na kwa Uwezo wa Allah, utafaulu! Japo inazungumzia kuhusu mke mwema lakini pia inaweza kukusaidia.
@allishan15794 ай бұрын
Assalaam aleykum sheikh, jazakallah, hili nitalifanyia kazi inshallah
Assalam alaykum sheikh iyo dua tunaswali siku ngapi na apo Ya Allah umesema Neno Lazima niliseme
@mohamedalidini3 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh! Unaweza swali mara zaidi ya moja. Ni nafasi na wakati wako. Kuhusu kulitaja Jina la Allah (SWT) ndio yatakiwa ulitaje. Afwan.
@AishaSaoud-m4i4 ай бұрын
InshaAllah akhuy asewwi
@mohamedalidini4 ай бұрын
Insha Allah! Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
Ndio unaweza. Allah (SWT) Atuwafiqie kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@mwanamisihamad59794 ай бұрын
Shukran shk unaptikana wapi TAFADHALI
@mohamedalidini4 ай бұрын
Afwan! Niko Nairobi, Kenya. Nambari ya simu ni hii: +254 700047708.
@shamzone3884 ай бұрын
Sheikh naweza kusali na kuisoma hii dua kwa niaba ya mtoto wangu naomba jawabu
@mohamedalidini4 ай бұрын
Bila shaka na Allah (SWT) Atakukidhia haja yako kulingana na nia yako. Afwan.
@shamzone3884 ай бұрын
Shukran sana sheikh allah akujalie elmu nafua utufundishe na sie amin
@mohamedalidini4 ай бұрын
@@shamzone388 Waiyyaak! Sote Insha Allah Taala! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@AshuraMgeni4 ай бұрын
Hiyo Dua sku zote au maramoja tu
@mohamedalidini4 ай бұрын
Nafasi yako. Upendavyo. Unaweza mara moja, mbili au zaidi.
@aishasalim68344 ай бұрын
Aslam alykum warahmatullha wabaraqatuh
@mohamedalidini4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh.
@IddiTwahiru3 ай бұрын
جزاك الله خيرا عفوا أستاذي أنا طالب العلم أسألك من فضلك أن تفهمني كيف أصل إلى غرضي أريد أن أكون عالم إن شاء الله ولكن إذا كنت أريد أن أراجع دروسي أحس النوم وكان صعب علي أن أحفظ دروسي ساعدني من فضلك ماذا أفعل لكي أن أراجع وأن أحفظ دروسي سامحني والسلام عليكم ورحمة الله وبركاته
@mohamedalidini3 ай бұрын
أدعية للمذاكرة والحفظ وعدم النسيان ينصح بكتابة هذه الأدعية ووضعها في مكان المذاكرة حتى يكررها الطالب قبل البدء في المذاكرة، وهي ما يلي: "اللهم إنّي أسألك أن ترزقني علمًا نافعًا، وأن تنفعني بما علّمتني وأنت تزيدني علمًا، وأن تهبني من لدنك عقلًا منيرًا، ونفسًا منشرحة مقبلة على الدراسة والتحصيل العلمي برغبة وحب، واجعلني يا ربي سريع الحفظ حاد الذهن، واجعل ما رزقتني من العلم حجة لي لا علي يا كريم يا رب". "بسم الله والصلاة والسلام على رسول الله صلى الله عليه وسلم، اللهم إني أسألك فهم النبيين وحفظ المرسلين والملائكة المقربين، اللهم اجعل ألسنتنا عامرة بذكرك، وقلوبنا بخشيتك، إنك على كل شيء قدير وحسبنا الله ونعم الوكيل". دعاء قبل المذاكرة وبعدها كامل مكتوب "اللهم تقبل هذا العلم مني واجعل كل حرف وكلمة أدرسها خالصة لوجهك الكريم ولا تجعلني أغتر بعلمي وقدراتي". "يا ربي لك الحمد كما ينبغي لجلال وجهك وعظيم سلطانك، اللهم إني توكلت عليك، وسلمت أمري إليك، لا ملجأ ولا منجى منك إلا إليك". "يا معلم سيدنا إبراهيم علمني، ويا مفهم سيدنا سليمان فهمني، ويا ملهم سيدنا يوسف ألهمني". "اللهم انفعني بما علمتني وعلمني ما ينفعني". كيف اطلب من الله النجاح؟ ويمكن الطالب أن يدعو الله عز وجل بالنجاح والتوفيق عن طريق تكرار هذه الأدعية: "اللهم إني أستودعك ما علمتني فاحفظه لي في عقلي وذهني وقلبي، ورده إلى عند حاجتي إليه، ولا تنسيني إياه يا عليم يا حفيظ فالله خيرٌ حافظًا وهو أرحم الراحمين، اللهمّ إنك تعلم سري وعلانيتي فاقبل معذرتي وتعلم حاجتي، فأعطني سؤالي، واغفر لي ذنبي يا من يعلم خائنة الأعين، وما تخفي الصدور أستغفرك وأتوب إليك وألجأ إليك وأتوكّل عليك". "اللهم يا معلم موسى علمني، ويا مفهم سليمان فهمني، ويا مؤتي لقمان الحكمة وفصل الخطاب آتني الحكمة وفصل الخطاب، اللهم اجعل ألستنا عامرة بذكرك، وقلوبنا بخشيتك، وأسرارنا بطاعتك، إنك على كل شيء قدير وبالإجابة جدير". دعاء لعدم نسيان ما درسته؟ يمكنك استرداد ما حفظته وذاكرته عن طريق ذكر هذا الدعاء: "اللهم يا جامع الناس إلى يومٍ لا ريب فيه رد إلى حاجتي وأنت أرحم الراحمين، اللهم افتح علينا بسيدنا محمد ما أُغلِق علينا، اللهم صل صلاة كاملة وسلم سلامًا تامًا على سيدنا محمد الفاتح لما أغلق والخاتم لما سبق، ناصر الحق بالحق والهادي إلى صراطك المستقيم وعلى آله حق قدره ومقداره العظيم". ولمزيد أنقر هذا الربط: al-ain.com/article/prayers-for-studying
@AllyTuano19 күн бұрын
Unasoma kwa muda wa siku ngapi
@mohamedalidini19 күн бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. unaweza mara 1, 2, 3, 4, 5, n.k. Nafasi na uwezo wako. Afwan.
@zohoraramadan45404 ай бұрын
Kwa uhakika soma yote ilivoelezwa
@mohamedalidini4 ай бұрын
Bila shaka. Barakillahu Feek! 🤲🤲🤲🤲🤲
@ZainabIssa-v5u4 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu
@mohamedalidini4 ай бұрын
Allah (SWT) Atupe kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatmaOthman-t9u4 ай бұрын
Assalam alykum shekh mm naitwa fatma nafanya kaz za ndan muda mkubwa hu smhn sana naomba niombee dua nipate mume mweny khery niolewe niwe na kwang na m naomba sana ntaje katka maomb yako allah atakulipa pia uknsaidia katka hilo🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@mohamedalidini4 ай бұрын
Waalaikumussalam Warahmatullah Wabarakatuh! Insha Allah nitakukumbuka katika Dua zangu. Allah (SWT) Akupe mume wa kheri muwe pamoja duniani na kesho Peponi! Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatmaOthman-t9u4 ай бұрын
@@mohamedalidini aamiin
@mohamedalidini4 ай бұрын
@@FatmaOthman-t9u AMEEN!
@LuqmanAndrew-nu9rx4 ай бұрын
Allahumma Aamiin
@awatifalghanim11064 ай бұрын
Mungu atufunguliye sote. Amin
@khadijarashid54344 ай бұрын
Mtume hakuyafundisha haya.ukiwa nahaja yoyote muombe direct atakupa
@mohamedalidini4 ай бұрын
Kheiran Insha Allah! Allah (SWT) Atupe Kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@anwarsaid76273 ай бұрын
Ikiwa hakutufundisha haya huko kumuomba direct tutampata vipi au tumeendee wapi tumuombe ukiwa huamini wee pita tu acha upotofu tabia za kishetani hizo
@mohamedalidini3 ай бұрын
@@anwarsaid7627 Allah (SWT) Atupe kheri zote za Dunia na Akhera. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@TwahaAbdallah-w3fАй бұрын
UNAJUA KUNA KUTUMIA AKILI VIBAYA PIA SASA HAPO ALLAH KAOMBWA KUPITIA NANI UNAKATAZA DUA KUPITIA QURAAN? AU KUPITIA HILO JINA LA ALLAH AU HIYO KUMSWALIA MTUME KIPI HAPO AMBACHO SIO CHAKE ALLAH QMBVYO HAKIPO KTK DUA MAANA KTK SWALA NDIO DUA KUU QURAAN HUSOMWA MTUME HUSWALIWA JINA ALLAHU HUTAJWA SASA HAPO WEWE UONACHO NI KIGENI NI KIPI UNAJUA HUKU KOTE NI KUJIFANYA KILA KITU LZM UKOSOE LKN SI KWQ KUTAFAKARI NI KWQ KUJIFANYA UJUZI ZAID YA MSEMAJI SASA HUU NI MSIBA
@TwahaAbdallah-w3fАй бұрын
@@anwarsaid7627HAO HUWA HAWATUMII ELIMU BALI HUJIFANYA KUJUA
@mazembemaquinas4 ай бұрын
Sas hapo swala ya fajr si itakupita tu
@mohamedalidini4 ай бұрын
Basi amka mapema zaidi kama saa nane. Allah! Allah (SWT) Atupe Kheri zote. Ameen! 🤲🤲🤲🤲🤲
@FatuNahimana2 ай бұрын
Kijana hiyi dini ya ki slam hayi endi na maneno na kuongeya saaana hiyi ni dini ya kitabu na sunna
@mohamedalidini2 ай бұрын
Mzee unajua ya kwamba ni vizuri kuelezea watu faida vizuri wafahamu. Ndio maana kuna tafsiri za Qur'an zenye maelezo marefu kama tafsiri ya Imam Fakhruddin Ar-Razy, Imam Al-Qurtuby. Kwa nini wameandika tafsiri ndefu za Qur'an? Jibu unalo!
@TwahaAbdallah-w3fАй бұрын
CHANA NAE KWA HIYO HAPO KASOMA GAZETI HAKUSOMA KITABULLAH
@mohamedalidiniАй бұрын
@@TwahaAbdallah-w3f ALLAH (SWT) ATUPE KHERI ZOTE. AMEEN! 🤲🤲🤲🤲🤲
@MozamohdAli4 ай бұрын
Mana mi nimefanya hvo nimeamka saa 9 na nimesoma mara 8 sura lkn nimeikariri mara ya kwanza tu mara 100 . mara saba nimesoma hivi hivi bila ya kuikariri ile aya ya 7 mana Muda wa kuswali ilikua tayar Na hivo bdo cjalitaja jina la mwenyz mungu mara elfu na pia cjamswalia mtume mara elfu nimememalizia baana ya nilipomaliza kuswali je hapo vpi shekh inakubalika?
@mohamedalidini4 ай бұрын
Pengine unasoma pole pole. Kwa sababu hiyo Surah unaweza isoma kwa dakika tano. Kukariri hiyo sehemu ya mwisho wa Ayah ya 7 ni kama dakika 5-7. Namuomba Allah (SWT) Akuwafiqie uweze kusoma na kumaliza haraka. Ameen!!!🤲🤲🤲🤲🤲
@@MohammedBora-dv3wk kunanamba nakutumia ya huyo mdada yupo Tanzania bara. Mpigie.umwambie mm nimekupa namba umuelezee.unavyoumwa. yeyepia alikuaanasumbuliwa na uwougonjwa
@MozamohdAli4 ай бұрын
Sheikh hapo cjafaha umesema unasoma suratul Twalaq mara 8 na ukifika aya ya 7 unaikariri mara 100 je hapo ukifika aya ya 7 unaikariri mara zote 8 utakayoisoma hayo sura au unaikariri utakapo soma mara moja tu. mara 7 unasoma hvo hvi bila ya kuikariri tena hiyo aya ya 7?
@mohamedalidini4 ай бұрын
Assalam Alaikum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndio utasoma Surah At-Twalaq mara 8 na kila mara moja utakariri ile sehemu ya mwisho wa Aya 7 mara 100. Ina maanisha kwa kuisoma Sura mara 8 utakuwa umekariri ile sehemu ya mwisho wa Ayah mara 800.
@MozamohdAli4 ай бұрын
Waalaykum ssalaam bc itakua muda hautoshi na umesema tuamke kuanzia saa 8,9, 10 hpo vp sheikh
@mohamedalidini4 ай бұрын
@@MozamohdAli Jaribu! Kwa Uwezo wa Allah (SWT) utaweza. Afwan!