MaashaaAllaah shekhe wetu twakuelewa vizuri sana na khutba zako twazipenda tusomee kwa kiswahili
@sheikhzaidu4790 Жыл бұрын
بارك الله فيك يا الشيخ الفاضل
@husseinrashid62332 жыл бұрын
Allah akulipe khery
@sleifikhajjir2622 жыл бұрын
mashallah kiukweli kila sual najifunza kitu kipya
@Issakisubindela-qf1si Жыл бұрын
Apo kweny nyumba
@mhusinigau3231 Жыл бұрын
Shehe kajibu swali kwa msimamo wake ila hajanukuu vzr maneno ya imamu nawawi Wala nawawi hakusema ni bidaa ijapo msimo wa nawawi ni kutosindikiza jeneza kwa kunyayua sauti lkn namna shehe alivyonukuu kanukuu kimakosa. Suala la kusindikiza jeneza kwa sauti Lina khilafu baina ya wanawazuoni!!!!
@NADUAonlineTV Жыл бұрын
Khitilafu ujue unapoona kwako Kuna Uzito fata uko uko
@muktarkassim66476 ай бұрын
Swadakta ...kujibu fatwa kimsimamo haileti sura nzuri ni lazma uzungumze pande zote mbili Ili mtu afahamu
@awadhally10525 ай бұрын
Sikiliza ww mjinga mtume na maswahaba wake hawakufanya hivo nyi masufi mijitu ya bidaa mna penda sana kuzusha vitu vya uongooo