No video

FAYE WA SENEGAL? MARAIS WADOGO KUONGOZA NCHI ZA KIAFRIKA, KABILA NDANI

  Рет қаралды 48,541

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
Baada ya Rais mtarajiwa wa Senegal Bassirou Diomaye Faye kutajwa kuwa Rais mwenye umri mdogo zaidi aliyechaguliwa kwa njia ya demokrasia, tumekusogezea video upate kumfahamu zaidi na orodha ya Marais wadogo wa wakati wote wanaoziongoza nchi za Afrika na waliowahi kupata mamlaka hayo.
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 23
@davidmrema2527
@davidmrema2527 5 ай бұрын
Jamaa ana ujasiri na anajitambua na wananchi wamemkubali, Mungu amwongoze na Afrika ijifunze
@JosueElie
@JosueElie 4 ай бұрын
Asante sana❤❤
@kafitiwilliam8358
@kafitiwilliam8358 4 ай бұрын
Safii sanaa
@MbwanaKisoro
@MbwanaKisoro 5 ай бұрын
Mataifa mengi afrika tunaitaji mageuzi, fanyautafiti apo asingepewa hiokashifa Angelita kwa kura ngapi!
@user-zx7oi2zr7d
@user-zx7oi2zr7d 5 ай бұрын
Kumbe at ccm itatoka madarakani IPO siku
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 4 ай бұрын
President of senegal faye ❤️
@philiplugalia3724
@philiplugalia3724 4 ай бұрын
Na valentine's Strasser wa Sierra Leon alikuwa na miaka 25
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 5 ай бұрын
Bongo vijana wengi wao ni wafuasi wa mondi na zuchu basi.
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 4 ай бұрын
HHHHHHĤHHHHHHH
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 Ай бұрын
😂😂😂😂
@Nashon967
@Nashon967 5 ай бұрын
Ujataja My role model Rais Valentine kutoka Seara Leon
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 5 ай бұрын
Say good🎉
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 5 ай бұрын
Hii nzr Sana jamaa kapata ukubwa muda sahihi umri sahihi hongera kwake
@NardhisMhagama-sy3eq
@NardhisMhagama-sy3eq 5 ай бұрын
Tujifunze watu walisema mpemba hawezi kupewa uraisi kapewa Sasa mfungwa kapewa Wacha mungu aitwe mungu Wala mwanamke kuwa raisi Kawa Sasakwahiyo mama nyoosha mstali hatujuwi kesho yetu
@vicenttarimo2203
@vicenttarimo2203 5 ай бұрын
Hapa Mungu ameonyesha anampa amtakaye Sasa walioko madarakani wafahamu madaraka na vyeo vinapita wapeni Haki wahitaji wa haki.
@Luganoamos-jv5in
@Luganoamos-jv5in 5 ай бұрын
Sisi bado ,vijana wengi wanafikilia mambo ya Ajabu,juzi nimeona kwenye Tv vijana wadong wanawaza kubwia unga ni hatari saaana.
@emanuelshayayi54
@emanuelshayayi54 4 ай бұрын
Mbona hukumtaja Thomas Isidore Sankara.Alitawala akiwa na Miaka 34 tu.
@user-ss4zd4ou3f
@user-ss4zd4ou3f 4 ай бұрын
Wale hawaja chaguliwa walipindua
@estheroscar6520
@estheroscar6520 5 ай бұрын
Mimi nawapgia saruti hao kwa maamuzi yao
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 5 ай бұрын
kila seemu wame badi lika wajinga bado sisitu atutaki mabadiliko magumu yote tunayo pitia
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 5 ай бұрын
Mungu mkubwa. Bado kitambo kifupi hata sisi tunakwenda:- *Kumpata Rais atakayewatetea Watanzania. *Kuwapata wabunge watakaowatetea Watanzania. *Kuwapata Wanajeshi watakaowatetea Watanzania na kulinda rasilimali za Nchi. Mungu mkuu, tunaomba ukafanye mapinduzi makubwa ya fikra na mitazamo ya Watanzania ili tukafanye maamuzi magumu ya kuwapata viongozi bora na kuachana kabisa na viongozi MAJIZI, MAFISADI, WANAFIKI NA WASIOJALI MAISHA YA WATANZANIA ISIPOKUWA KUJIJALI WAO WENYEWE NA FAMILIA ZAO TU.
@user-zx7oi2zr7d
@user-zx7oi2zr7d 5 ай бұрын
Kumbe at ccm itatoka madarakani IPO siku
@kwisa4899
@kwisa4899 5 ай бұрын
kunachangamoto kidogo hapa kwetu vijana wengi tumechagua kuwa machawa wa viongozi sio maendeleo na kupigania taifa
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 19 МЛН