Mungu Akupe nguvu, nyimbo zako zimejaa unabii wa Mungu kweli,nasikiza Hadi natetemeka,Mungu Azidi kukutumia
@FennyKeruboАй бұрын
🙌🙌🙌Glory be to God😭😭
@elizabethngumbao-l7fАй бұрын
Hallelujah 🙏
@luciahomogaАй бұрын
Hi mummy
@MwaminiSifa-e6g28 күн бұрын
Mungu akubariki kwa kazi yake
@alainkilumba468527 күн бұрын
@@FennyKerubo bwana mungu aku ongezeye myaka
@MathewKitakaАй бұрын
Am a kamba but this lady blesses me alot ooooh glory wakisii,wakamba...wakenya kwa jumla nipe like
@bellabella4995Ай бұрын
Tusitaje kabila tafadhali..tuko wamoja
@pastorandrewsiokino8898Ай бұрын
Kabila inaingilia wapi hapa sasa??
@IreneNthiwaАй бұрын
Hata Mimi ni mkamba bt napenda nyimbo zake sana
@MathewKitakaАй бұрын
❤❤@@IreneNthiwa
@zeddyketerАй бұрын
Iliandikwa wapi kuwa kabila nyingine makes u special and needs a like?
@maureenmamagiftАй бұрын
Huu wimbo uko na deep revelation ...Mungu nipe macho ya rohoni ....wapi likes wana Gulf
@irenenduku5012Ай бұрын
Hallelujah 🙏🙏
@ElizabethSimwanza-gw5kzАй бұрын
Amen Dada angu ❤
@CelestineCele-qg5wu26 күн бұрын
Amen 🙏🙏
@CelestineCele-qg5wu26 күн бұрын
Wimbo yenyewe hinanipa nguvu sana congratulations 👏 my dear we are in gulf keep on praying on us
@FennyKeruboАй бұрын
WARNIG 👉Beloved ,do not believe every spirit,but test every spirit to see whether they are of God, for many false prophets have gone out into the world 1 JOHN 4:1
@isaacmwaura6099Ай бұрын
True I agree with you 💯❤❤❤
@kelvinnyakush511Ай бұрын
4:12
@isaacenzambaАй бұрын
You and Rose Muhando, minabapenda saana Am Gospel artist from the country uganda, this is my prayers every day and night 🙏 Some churches are not churches Pastors and Bishops are not praising God. Thank you God to use you to tell brethren
@susanndegwa4900Ай бұрын
Very powerful warning not every altar from God
@AngelaChelangat-c8cАй бұрын
Much blessings fenny
@LivingGloryMinistryАй бұрын
Kama huu Wimbo umekubariki weka like pls
@CharityJamesSisqoАй бұрын
Mungu atukuzwe siku zote❤❤❤
@RobertRugachwa-ih6khАй бұрын
Hakika Wimborne umenibariki.
@MwaminiSifa-e6g28 күн бұрын
Asanté sana mungu aendeleye kukutumia dada
@kenkijana350Ай бұрын
Hapo nikweli my sister songa kusonga in jesus Name we love you in kamba Comininty
@musengyaАй бұрын
Who else played it 5 times ,this song is true about what is going on for sure,❤❤❤❤ love u mum
Usipite bila kugonga like ya KERIBO hapa! Hii nyimbo ina ujumbe mzito sana 🎉❤
@FlorenceMutua-m2x26 күн бұрын
The fact and true,,a song with anointing,, tears rolling on my cheeks nkikumbuka vile walinifanyia nsipate mtoto😭😭😭😭😭😭eeeh mungu unaye ishi na kutawala,I demolish those alters in JESUS NAME😭😭😭BABA,naomba unibariki na mtoto😭😭,,waumini wenzangu naomba mnisaidie kwa maombi🙏🙏😭
@Immaculate-f1n23 күн бұрын
God of Hannah,sarah come through for u.....Amen
@FlorenceMutua-m2x21 күн бұрын
@@Immaculate-f1n AMEEEEN🙏🙏🙏
@niyonkinzodenis14 күн бұрын
Usilie Mungu yupo atakujibu
@FlorenceMutua-m2x14 күн бұрын
@@niyonkinzodenis AMINAA🙏🙏
@elizabethndindanzuki8344Ай бұрын
Oooh yes hiii Sasa ndio massage rudia Tena kerubo...waelewe
@LILIANNYAMWAROАй бұрын
Naomba kupitia huu wimbo nipate kufunguliwa niokoke
@bramzkellyАй бұрын
John 1:11-13
@judysondara7654Ай бұрын
Funguliwa katika jina kuu la yesu kristo
@RodhaNanjala-r6iАй бұрын
na ukafunguliwe kwa jina la yesu
@JescaJulius-m5zАй бұрын
Mi niliokoka
@SteveMwanzia-k1tАй бұрын
Mungu amesikia kilio chako sister
@reubenlucumay1929Ай бұрын
Umetunga wimbo Bora wa mwisho wa mwaka wa 2024 Mungu Akubariki Na Akupe hekima Na busara umtumikie Kwa roho Na kweli Amen 🙏🙏❤❤
@Kamau-c7p6 күн бұрын
❤
@CatherineFred-z8n2 күн бұрын
Nyimbo zako zinaniguza tu sana Mungu akujazie Neema Na ajibu itaji ya Moyo wako, you're a blessing to many
@CelinanzokiJohnАй бұрын
This is now what we call pure gospel Congratulations fenny👏👏
@Kemunto25Ай бұрын
Message✅✅💯 voice✅✅💯 dressing✅✅💯 glory be to God ❤❤❤🙏🙏🙏💯
@MercyJamoh-cc5hnАй бұрын
Nani amewatch mara Tano kama mim.. This is the true message we need .. indeed keep going siz wap likes za our mummy
@lawrenceobwoto4506Ай бұрын
Nimewatch mara kumi
@ElizabethOmutanyiАй бұрын
Mm nimeidownload ndio niiskize kila siku❤
@BrianOpanda-ng9nmАй бұрын
Do you know how times I have watched this almost 50times since it was uploaded
@lucyoyiela6718Ай бұрын
Full day this is my song 🎉
@ObadiaMwambughiАй бұрын
Dayly
@bishopdreunicealungata8441Ай бұрын
Minister fenny you have sung it prophetically please don't compromise your calling, by mixing by some of this wakoras of music ,ihave been listening to you ,you re a endtime trumpet to help people
@mutheukituku457315 күн бұрын
Aki😢
@AdaidaBasantaАй бұрын
Sasa ndio umerudi kwenye mungu alikutuma do that assignment well like Paul and finish well.let the holy spirit guide you in Jesus Christ amen
@joybiliahАй бұрын
Strongly and timely message, haya maneno tuyaweke moyoni na tujue imejaa kwa makanisa mengi, mungu tuzaidie kuyaelewa madhabau ya mungu
@SaraphinaSaraphina-b9cКүн бұрын
MUNGU mkuu akuzidishiye kutowa ujumbe wa ROHO
@jossymwambe7889Ай бұрын
Huu wimbo unanena ukweli Tunashuhudia mengi Wimbo wenye mafunzo ila mwenye asiyekuwa na masikio na macho ndiye hata elewa. Barikiwa saba dadangu @Fenny
@NAOMONUNDAКүн бұрын
What a wonderful song very touching heats🎉🎉❤
@manisobblowi8894Ай бұрын
Its true hii song iko na ujumbe mzito sana Amen Amen
@evaeva2538Күн бұрын
❤of all your songs...this one alone touches my soul
@solomonnatwoli8854Ай бұрын
kama unaamini huu wimbo ni wimbo wa mwaka weka like
@UtamurizaBrigitte23 күн бұрын
Nakupenda sana dada ❤❤
@CeciliaMayeka3 күн бұрын
Huu wimbo uko na massage kwaku mungu anisaidie
@ChristineNthenya-fx3mtАй бұрын
Asante mtumishi kwa wimbo wenye mafunzo mazuri, mungu atusaidie atupe macho ya rohoni ya kutambua roho wa kweli,zidishiwa baraka
@JulietLuvuno-u2c2 күн бұрын
Namba mungu unipe macho nione mbali 🙏🙏🙏🙏🙏
@marynduku4576Ай бұрын
Powerful piece with a lot of anointing, may God continue using you . Amen
@KamantheJohn2 күн бұрын
Very true ,dear tufungue akili na macho ,this song inasema about what going ,
@BrianOpanda-ng9nmАй бұрын
I love this is my mother to christ she preaches to us the reality she stands on truth to teach pple Gods word i have listened to this almost 10 times after realised to get the message well God bless you mama
@sergesntunzwenimana19 күн бұрын
Haki hii wimbo ,imenufunza kubwa sana .Mungu nifunuwe macho nione kama wewe hiii wimbo imekufunza gonga like dungu zangu tuko nyakati ya mwisho
@RachelWahitoАй бұрын
Mimi kuna pastor nilienda kwa aniombea akasema nimtumie 5k hapa nairobi nilikosa hio pesa! Alinia mbia kitakuramba ! Nilienda kwa nyumba nikainua mikono ju nikamwambia yesu your blood inene kwa maisha yangu ! Asante mungu
@carenchepkurui126Ай бұрын
Akwende uku... qwani yeye ni mungu
@millicentkaaria3357Ай бұрын
Pole saana dada but kujiombea ndio solution alikua anakufungua macho uone mbele kwa utukufu wa mungu
@RachelWahitoАй бұрын
My siz aliniambia nitalia kwa maisha yangu yote! Naye mungu ninani! Asante mungu
@RachelWahitoАй бұрын
@@millicentkaaria3357ameeni siz
@EverlyneKNyamweyaАй бұрын
Ukweli my Sister, sio kila madhabau imechengwa kwa ajili ya Mungu.
@MarcusKilonzo23 күн бұрын
I've had the privilege of watching this song over 100 times, and it never fails to move me. Minister Fenny, your composition is truly one of the best songs that have touched the hearts of many. I offer my heartfelt blessings, wishing you continued inspiration to create more spiritual and uplifting songs that bring people closer to their faith. You are a gifted and anointed musician, and I eagerly look forward to your future creations. Please keep sharing your gift with the world, and may God continue to use you as a vessel to spread love, hope, and joy through your music!
@mfaithmumbe1674Ай бұрын
God please, open my eyes 🙏🙏maana sio wote wanaoitanishwa na jina lako niwaukweli ila wapo wengi
@johnmwangi-lj2lw22 сағат бұрын
Very beautiful and touching
@wilckiessagini1793Ай бұрын
The lady has the anointing from the Lord She has touched many souls through her songs Karie bosio enginah
@sirbonny42618 күн бұрын
let God continue using you to pass His message of prophesy to people indeed this is true Mungu akutende mema
@lineahorina8044Ай бұрын
What a timely song with a wonderful massage. Thanks siz Fenny 🥰! #watchingfrom USA 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸
@ClintonKipyegon-m7xАй бұрын
Niko Washington DC Uko??
@bazuh2263Ай бұрын
Hi @lineahoona8044 can you host me
@bazuh2263Ай бұрын
@@ClintonKipyegon-m7x can you be my host as i process for my visa?
@DouglasOntomwa-f1y11 күн бұрын
Just arrived from church, opening my Facebook, I saw a song, Aliye na sikio asikie, yoh what a blessing through Fenny Kerubo, may our Almighty God bless you as you breach His word, please listeners forward to our beloved family members.
@fadhilimuli584Ай бұрын
Huu wimbo unasema tu yaliyonipata mikononi mwa muhubiri fulani, asante sana Fenny kwa kuangazia haya. I learnt the hard way i almost lost everything only God knows. I thank God nilinasuliwa. Am a living testimony i can never ever trust anyone anajiita Evangelist, Pastor, Prophet.
@CharityJamesSisqoАй бұрын
Mungu akubariki sana fenny kerubo na akutende mema,huo wimbo unaguza na unabariki Sana,Amen❤❤❤❤❤🎉
@louisaka793022 күн бұрын
Huu ni ufunuo kubwa. ubarikiwe dada Fenny pamoja na team lote. Mungu wetu aendelee kuwatumia kwa nguvu ya injili. Ninafwata toka Congo DR. Nia yangu ni kukuona siku moja na kuimba pamoja hata mstari moja.
@NyabokeRuthleneАй бұрын
Umegonga ndipo ukweli usemwe ,Nice song🙏🥰
@VenustNelson-cg7df8 күн бұрын
Daaah huu wimbo niwaviwango vyajuu zaidi ninyimbo yenye ujumbe mkubwa sana
@LILIANNYAMWAROАй бұрын
Uu ni ujumbe kwetu sisi wanadamu ambao tumepotoshwa kwa sababu ya tamaa zetu za mambo ya Dunia
@BrianOpanda-ng9nm29 күн бұрын
Road to 500k God bless you fenny your song are true preaching from God where other people can't tell Christians
@janekeli5727Ай бұрын
Message very clear,God help us all.be blessed fenny
@mutheukituku457315 күн бұрын
😢😢😢tears flows everybeat of this song.....ukitaka nisikule ur food jst play this song for me......coz uni vunja moyo na mawazo mingi....this song....its end time prophesy😢😢😢
@dangotederickАй бұрын
Wow this is song🎶 powerful ✝️🔥🔥🔥 deserves millions and millions of views.. powerful Mum Fenny🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@JesielEzechielАй бұрын
Kabisa wimbo juu unajaa upako kabisa,dada mungu aendeleye kukufunuliya kama ivi.
@davidkea5701Ай бұрын
Ujumbe mzuri..Waimbaji wengine pia tusiwamini wengi wao hawaoleki kazi yao n kulala na wanaume na wake za watu...so tusiami waimbaji
@leahmuthoni396124 күн бұрын
Very touching song..To this young generation wasibebwe Na madhahu topovu..God bless you.Am blessed ❤🎉
@dolphinkerubo1530Ай бұрын
Pure talent from God..continue blessing us mamaa
@GeoffreyWanjala-s8v13 күн бұрын
Kweli kuna wale wameinuka na uwongo ujanja utapeli kwa kutapeli wana wa Mungu Tuwakemee sana mbele za Mungu.❤😊
@routhrou4231Ай бұрын
Nice song 🎶🎵🥰🔥 with powerful message 🙏🙏 keep shinning 🌟🌟our Angel ❤❤🤝
@david.langat7540Ай бұрын
..Neno ni kweli maneno sio sababu tosha...kweli ya Roho mtakatifu ,sio mtakakitu.........Asante Fenny
@DOUGLASSTEPHEN-sj7kfАй бұрын
I keep on watching this song everytime gonga kama unapenda kuwatch kama mimi
@maureenmuhenje91629 күн бұрын
hii wimbo for sure uko na ujumbe wakutosha wakuelimisha unaniguza sanaa 😢😢😢naupenda sana na Mungu akuinue zaidi ya hapa
@dominicmwendwa6999Ай бұрын
Fenny this is what we call wisdom from God plus it's deep revelation. One has to be prayerful to understand some Altars....God give us wisdom
@muasyairene762616 сағат бұрын
Amen 🙏.last days ,soon jesus is coming.pliz our father give me third eye and wisdom 🙏🙏
@arts_that_mattersАй бұрын
I like your songs Fenny, how it's composed_the message is clear + classic video quality 👍
@rispernandesh553229 күн бұрын
Wow.....I heard in my church on Sunday being performed by our choir. Huu wimbo hakika ni bayana ya mambo yanayotendeka kanisanisani
@Nani-ww8ygАй бұрын
Naked truth lets stand firm and lord open our eyes to know them faise prophets who are doing fake miracles God help us .
@zabibulezza22 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi hakika kwa wimbo huu ulimtska mungu nanguvu zake timebarikiwa sana na tumepona
@JUDIESONDIENGAАй бұрын
Wow sister hii msg nayo ni kali.... keep going da❤❤❤kweli waja mungu atupe macho ya kiroho
@queentivermorgan6305 күн бұрын
Yani huu wimbo nausikiza Kila siku Toka nikutane nayo Ubarikiwe sana dada
@joyvillahmoraa14Ай бұрын
Nmewatch mara kumi
@stephenkimanzi4147Ай бұрын
🎉Mola akupee nehema...nyimbo zako sinajaa mafundisho mema na unambii
@freddymuganga9731Ай бұрын
❤❤❤from Burundian Gospel artist " FREDDY MUGANGA"
@Winnie-j1rАй бұрын
Pongezi sana mama nyimbo nzuri Sanaa Dada yangu mungu akutie nguvu tena
@Rosyshaz3937Ай бұрын
Wimbo umenibariki hadi nikalia😭😭😭😭😭barikiwa sana na uzidi kuinuliwa na Mungu
@JescaJulius-m5zАй бұрын
Mi pia,naimarika kiroho zaid
@mutheukituku4573Ай бұрын
Nimelia nikAvuja vyombo😢😢😊
@mutheukituku4573Ай бұрын
😢😢😢😢....Kerubo....😢😢😢😢 God akubless .... its true.....😢😢😢😢
@mutheukituku4573Ай бұрын
Na siku ya mwisho...tunaona.cinema aki...........jst becoz of money.....God av mercy on us 😢😢😢😢😢
@MatcoSaccoАй бұрын
how many times have i listened to this song today and still i want to hear it again?This is a great revalation and a song of the season.May God continue using you in His vine yard.
@JeremiahTonuiАй бұрын
Hii wimbo inajenga imani wakristo tuombe mungu atupe macho ya kiroho ili tusiwe watu wa kukimbilia manabii ambayo hatjui msingi yao. Wengine ni kutoka kusimu mission ni kujukua wengi kule kwa niia ya miujiza
@SteveMwanzia-k1tАй бұрын
Tuobeni kabsa na mungu atatushidania 😢😢😢amen
@rosechirchir40918 күн бұрын
Very true, better kneel and cry to God than telling someone to pray for you, Jesus died for all of us and we can directly assess our God
@FanahOtii-qc1nkАй бұрын
Hiii wimbo ifikie my church AIC mundindi in kakamega West mumias
@NdanuEstherАй бұрын
si kila madhabahu ni ya Mungi, kudos🎉🎉 usiamini kila roho...
@hellenkemunto5357Ай бұрын
Kati ya nyimbo zako zote hii mbingu imefunguka kabisa tuliyo na masikio na tusikie neema ya MUNGU itusaidie kutambua hizo roho In JESUS NAME AMEN 😢
@ChristopherNgothoGithuma-x1z17 сағат бұрын
Good song God servant
@WilsonSifa3 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@LucyMathias-w2sКүн бұрын
Aminaa mtumishi
@Muhammad-jy1vx16 күн бұрын
Fenny kerubo aye norandia,okorandia goetera amatera ao naguswa sana na kusonga kwa Mungu, please tunga wimbo wa mavasi na mapambo juu watu wamepotelea huko
@EneaKasililika10 күн бұрын
Ee umenena kweli mm toka nimesikia huu wimbo nimebalikiwa sana ila naomba mungu atupe macho ya rohoni
@JoramMwangaza-is4ojАй бұрын
Hi wimbo siyako ni yakutoka kwa Mungu kabisa iko na message ya Mungu sana
@ronaldnyabuto492329 күн бұрын
Kwa kweli am blessed,,❤❤❤❤ this song,fenny barikiwa kwa wimbo mtamu
@hilarymatheka5048Ай бұрын
This is more than a gospel song, congratulations FENNY
@wanyamapamelaatemba1362Ай бұрын
Kama mtu atakombolewa kupitia kwa huu wimbo, hakika tutaonekana wapotovu. Be blessed servant of God fenny kerubo🎉🎉
@jacksonkasuni8694 күн бұрын
Nipe macho za kiroho 🙏🙏 May God bless you Fenny Kerubo,
@geoffreymulwaАй бұрын
Song of the year🎉🎉❤
@leahmuthoni396117 күн бұрын
Am Blessed Kik from Nyeri ...This song has really blessed my heart....Very true not all altars are raised comes from the true God..Let us be careful where we run for prayers....😢😢
@jemilahfaith1060Ай бұрын
Great revelation, this what is going on now, God tusaidie tujue roho za kweli, more grace my favorite artist ❤❤❤
@zainaappАй бұрын
Sasa ndio umerudi kwa nafasi yako huu wimbo umejenga Imani yangu God bless you
@MaslinNelimaАй бұрын
Akika hii wimbo imenibariki sana naisikisa tu nikirudia mungu nipe macho ya roho
@alexonesmo1753Ай бұрын
Hakika hakika wewe ni mwimbaji wa kweli, Unamtumikia MUNGU una hubiri vema Injili , nyimbo zako mbili zimekuwa faraja sana kwangu, Barikiwa ameni.
@JulietImujaro26 күн бұрын
Niongoze mungu,nisipotee katikati ya haya madhabau 😢😢😢😢😢
@IreneRichard-q4c27 күн бұрын
This song inannibariki sana,,may the lord bless you na uedelee kujulisha watu kuhusu madhabau
@isaacmwangi6919Ай бұрын
What a meaningful song full of truthful powerful message! A sharp flame to all demonic altars of darkness in the name of churches! Believers be WARNED!
@kitonkamanase2529Ай бұрын
Hakika Mungu tupe macho ya Kiroho! Walimwengu sikieni huo wimbo Mungu akuinue sana mwimbaji Endelea kutunga nyimbo zenye ujumbe mzigo sawa na nyakati za mwisho ili wajue na kuthibitisha
@hilarytowett6738Ай бұрын
Hiii Sasa ni fire mungu wa mbinguni akubariki sana kerubo mungu awa nawe milele solo enyewe inaongea injili izonge mbele
@moseabraham1551Ай бұрын
A bold and clear warning. Not all can say it out like this.keep serving God Fenny🙏.
@angelinekalekye4198Ай бұрын
Wow.. what a message. Baba nifungue macho ya rohoni ...