Daz Nundaz..Sinza moja hiyo...Wapi wakushi Mob wapi Abajalo wapi Sinza Star...daaah kitambo sana
@rehemashabaniameen3 ай бұрын
Nimejikia furaha ya ajabu huu mziki kurudi tena ❤❤❤🎉🎉🎉
@bongopods3 ай бұрын
Thanks for the comments....
@twaibutwabibu88093 ай бұрын
Please Ferooz naomba mfanye event hii tena mkoa wa Mwanza please 🙏
@lakaspamedia3 ай бұрын
One love feroozz na daz baba
@issaalfani10303 ай бұрын
Zungukeni Tanzania nzima watu tumechoka na miziki ya watembea uchi mtafuteni Juma nature na TID, RED JDEE Ispecter haroun
@missgeezy14 күн бұрын
Na qchillah
@BraiNchimbi3 ай бұрын
Nakumbuka zaman bonge la ngoma
@chiddychiddy42983 ай бұрын
❤❤❤❤
@omarychikunde3233 ай бұрын
Big up saana my favarity gang
@Mpongobhivadenga3 ай бұрын
Nimejisikia vibaya sana kutohuzuria muziki wa dawa
@DjJohnBashir-oy7cx3 ай бұрын
Ngoma Yao ile ya inayo itwa barua ni noma kweli washikaji wanaandika
@AyoubMwairuby-y4l3 ай бұрын
Ningekua na uwezo wakuwafanya hawa jamaa kua wapya tena kwa moto wao huu katika nyakati hizi wallahi ningefanya hivo maana now days hakuna music tumekimiss hichi kitu daaah😥😥
@yussufyussuf-n2i3 ай бұрын
Sho sho
@wilbertjosephat16153 ай бұрын
Feruzi simdai kwenye hili game
@bongopods3 ай бұрын
Thanks for the comments...
@misangasaidih87643 ай бұрын
Hapa hata mimi mvivu wa matamasha ningeingia. Mpaka raha an
@HamisLeo3 ай бұрын
Jaman mtaften juma natur na pr j mzunguke tz nzma tutawachangia tumechoma mizki ya akina mboso na rayvan conde boy na simba
@GiftyJackson-k3v3 ай бұрын
Sugu tunashukuru kwa kuwarudisha tena ila na wao wapunguze kile cha arusha
@DavidMbwilo-qk1bz3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@bongopods3 ай бұрын
Thanks for the comments...
@suleymanisalum23613 ай бұрын
Wenye fraver yao
@bongopods3 ай бұрын
Thanks for the comments....
@Shafi-sd7om3 ай бұрын
Hawa ndo wataalam wa mziki
@bongopods3 ай бұрын
Thanks for the comments....
@FucianeBulemo-nd4wc3 ай бұрын
Ukerewe kwetu hizi nyimbo bado tunazikubal kuzid ayo mapiyaaaanooo
@bongopods3 ай бұрын
Thanks for the comments...
@shijaenock76383 ай бұрын
Hapo ndo mnaonekana wasanii wa zaman hamna lolote we saut iko chin afu mziki unakuwa juu hamskik makelel ya vyombo yaan had tuweke sim skion bna😅😅
@salehsimba53063 ай бұрын
Hii camera haijaonganishwa na sauti ya sound kutoka kwenye mixer dats y unaona sauti inatoka ivyo. Ngoja wausika TvE wa upload kama utasikia hivyo
@MembaGenius-yt5fj3 ай бұрын
Fanya shoo yk utoe sauti
@savinitumbena93083 ай бұрын
@@MembaGenius-yt5fjwatoto wa 2000 wana gubu😂
@abdulbongekapunye3 ай бұрын
Wewe mtoto wa 2000
@selemanichimogo47892 ай бұрын
Watoto wa 2000 walikuwa kwenye suruali za wazaz wao kipind Iko