Sehemu ya pili ya maongezi na moja ya makundi bora ya muda wote Daz Nundaz inaendelea ambapo wanaendela kutupatia hadithi muhimu za maisha yao na muziki.hii ni episode ya kwanza ya sehemu hii ya pili
Пікірлер: 36
@jemaarsen6996Ай бұрын
Interview kama hisi sisi ndio tunataka, mnatufanya sis tunao penda nyimbo kama za akina Daz nundas tu enjoy, pia msisahau kuniletea story Mr 💙💙💙💙🔵🔵🔵
@h.jrugashaula12962 ай бұрын
Mungu aendelee kuwapa nguvu. Nakumbuka mbali sana ninaposikiliza nyimbo zao kwa maana mziki wao una umri sawa na usikivu wangu. Nilianza kuwasikiliza tangu walipoanza Game.
@mancholotrasco8350Ай бұрын
Nimemuelewa mtangazaj at the beginning na Kwa uelewa wangu huenda hiyo ndio ilikuwa sababu ya kundi kupolomoka .. coz wakat ralumba alivytaka kuelezea tu feruz akamkata
Hawa wawili hawa walikuwa wanauwezo sana feruz na daz
@aulidriver31022 ай бұрын
Nawakubali sana Daz Nundaz ❤❤
@mohammedaliabdallah55082 ай бұрын
Hili jahazi la Daz 😍
@DM_15Ай бұрын
Nimejaribu kufanya utafiti kwa wasanii nimegundua wasanii wliokua wana imbaimba wengi wali poromoka kiuchumi na walio kua wanarap wengi wako strong kiuchumi kiasi fulani
@PauloRenatus-i9bАй бұрын
Sanaaaaa
@domisonrichman6499Ай бұрын
Nipe tano
@nyumbanituthegendaheka7222Ай бұрын
Kwa Daz Shuka Rhymes ndio wimbo bora...
@asherymwande5644Күн бұрын
Sema kujieleza bado hawawez nan alietow wazo ni kumtaj tuu mtu aloleta wazo
@jumakabota1231Ай бұрын
Wimbo wa KAMANDA DAZ wa NUNDAZumefanana sana kimatini na wimbo KITAMBO KIDOGO wa BDP.
@erickodhiambo6994Ай бұрын
Hawa jama waliumiza vichwa vyao Kwa uandishi Wa nyimbo zao
@darkrhymes2927Ай бұрын
Ferouz kazngua, lazm kuwe na source ya idea, mnaandikaje wote bila wazo
@LugongamАй бұрын
tayari imeshasemwa idea ilianza kwa critic, ferouz aka divert kutoka siasa iwe mapenzi walipoipenda wakai progress kwa pamoja
@user-fj7wu8ph1qАй бұрын
minakushauli kaka ungekuwa na studio apoapo wanapomaliza inte view wanaingia studio wanaacha nyimbo wamelekodi kisha inatoka niwazo2
@shaurimtanda8285Ай бұрын
We kuweza
@spartachize122Ай бұрын
Mi yaani kwa miaka yangu yote nilikua najua daz nundaz ni feruz na daz baba alafu wengine ni ft tu..... Kumbe kulikuwa na wengine dah i say
@LugongamАй бұрын
kupitia hii intavyuu ndio nimeelewa maana ya ule mstari wa kwenye starehe "Kz camp masela", kumbe muhuni alisomea Kizuka TPDF Secondary School hahaha, i can imagine ni jinsi gani alikuwa anamsumbua dingi yake #Iwasthere
@OnesmoEphrataАй бұрын
Hiyo 2004 ilikuwa hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii
@emanualkadutu4130Ай бұрын
2002 hiyo
@wilbertjosephat1615Ай бұрын
Kuvi MISU
@khalifasaid1131Ай бұрын
Kuvi tuletee BDP
@KuviFactsАй бұрын
Angalia interview za nyuma utawakuta
@user-it6zi7zw8yАй бұрын
mbona dazi nundazi kachoka sana ivyo
@markomlonganile5339Ай бұрын
Unamaanisha Daz Baba? Nundaz ni kundi
@mancholotrasco8350Ай бұрын
Mteja
@nyemondagalla608Ай бұрын
Ulaji wa mboga za majani za kukausha kupita kiasi nihatari sana.