FEROOZ ATOA MAJIBU MAZITO KUHUSU KUWA NA VIRUSI VYA UKIMWI/ AMFIKISHA CHINO KID MAHAKAMANI/NINA NJAA

  Рет қаралды 88,796

PMTV TANZANIA

PMTV TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 100
@LUKIUSJOSEPHATI
@LUKIUSJOSEPHATI Ай бұрын
Uyu msenge ana mdogo 😂😂😂😂, all in all legend is never die there live forever, nakukubali mwanangu mpambanaji saaan
@molvinceoduor5619
@molvinceoduor5619 3 ай бұрын
I respect this guy so much,, he is natural na God akulinde bro
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 2 ай бұрын
Ferooz uko vizuri kwenye interview safi sana kwa kujiamini kama Chid benz
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 ай бұрын
Tunaomkubali ferooz gonga like Ferooz anajua sana tena ni BONGE la artist
@Rwaka-o2i
@Rwaka-o2i 2 ай бұрын
Ferooz wewe msaani mkubwa sana ,pesa siyo lote hapa duniyani ,diamond ana feza lakini yeye siye mukubwa kama wewe ,ile nyimbo uliyo linalo itwa "nikusaidiye je " na professor jay ,ukiongezeya ako "starehe" zita baki kwenye memories zetu mpaka siku tutafa ,wewe ni Legend,,,,big thanks
@Ndaizee
@Ndaizee 2 ай бұрын
Ujifunze kuandika kwanza
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 3 ай бұрын
Safiiii sanaa mr Ferooz mtu wa maaana kabisa huyuuu pia bongo records ni label makini sana Hapa Tanzania 🇹🇿
@styleandgarmentsagazzetofa8237
@styleandgarmentsagazzetofa8237 3 ай бұрын
Wow wow wow congratulations brother I really appreciate how you are holding this interview Mr Ferrous
@charleshaule4008
@charleshaule4008 3 ай бұрын
Good talk, good interview Ferouz!
@EvaristCheko
@EvaristCheko Күн бұрын
Ukosawa mwamba nakkubari sana ferooz
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 2 ай бұрын
Kuchoma ni kitu cha asili kikushi sana Ferooz ❤😂😂
@SalmaIsmail-w1h
@SalmaIsmail-w1h 2 ай бұрын
We ni msanii mzur sn sjui kwnn umepotea nmepnd majib yko big up
@selemaneassane9490
@selemaneassane9490 Ай бұрын
Nakukubali mwamba unaweza sana ukifa uozi
@melejisekeyan9492
@melejisekeyan9492 3 ай бұрын
Brother Ferooz nakupa heko, kazi zako ni za kitaalam, Wimbo "Starehe" umeitoa kimasomaso Tanzania, Afrika mashariki, Afrika na hata dunia.
@SaraWangu
@SaraWangu 2 ай бұрын
Kamanda my favorite song
@abdulisike
@abdulisike 3 ай бұрын
Watu kuongea kawaida kaka ferooz umeongea vizur sana
@noorrajpar3928
@noorrajpar3928 3 ай бұрын
Huyu kaka ike nyimbo ya UKIMWI angeirudia sababu ndo nyimbo bora kwa Tanzania haijawahi tokea
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 ай бұрын
Professor jay sasaiv ana mihela hivyo namshauri asimsahau ferooz wametoka mbali mshike mkono ferooz
@JUMAALUTI
@JUMAALUTI 3 ай бұрын
❤❤❤ nikweli Ferozi rudia nyimbo yako ya starehe
@YonnahKokan
@YonnahKokan 3 ай бұрын
Ferooz vp jamaa umepotelea wp? Bwana nakufagilia sana wimbo wa doctor ucnipe moyo!!!!! Bwana tunga nyingne bado magonjwa ni mengi sana man.
@AbuodSeleman
@AbuodSeleman 3 ай бұрын
huyu jamaa n mnoma nnae album yake ya safar hadi le😂😂😂oooo
@irankundasavere3639
@irankundasavere3639 3 ай бұрын
Amezeheka kbsa,😢 ila starehe imenipa funzo yakutosha
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 3 ай бұрын
Kwani ukiwa na ukimwi ndo mwisho wa maisha??? Mbona kuna wengi wanao na wanakaa zaidi ya miaka 40??? Huo ni ugomjwa kama magonjwa mengine
@spiyerharoun1670
@spiyerharoun1670 2 ай бұрын
pamoja sana Ferrous nakukubali mwamba huna baya
@IddiOmar-h3p
@IddiOmar-h3p 3 ай бұрын
Unapga muziki hataa daimodi hafki nakubali sana
@ustawiwetu
@ustawiwetu 3 ай бұрын
Maswali mengine si professional
@LemannMbalwa-gy9ys
@LemannMbalwa-gy9ys 2 ай бұрын
Tunakupenda rakin kwairi umezinguwa mkuu
@EmmanuelmayofiMasasa-h5r
@EmmanuelmayofiMasasa-h5r 3 ай бұрын
Big up ferooz
@BenjaminChombo-o8o
@BenjaminChombo-o8o 3 ай бұрын
Bg ap nakukubali Sana mwamba.
@mansooranam831
@mansooranam831 3 ай бұрын
So smart
@HamisiKawambwa-g9d
@HamisiKawambwa-g9d 2 ай бұрын
Big up janja
@suleimanmohd.7197
@suleimanmohd.7197 2 ай бұрын
Nakukubali sana ila age kama imeshakutupa mkono
@HadijaMbunju-zf3vx
@HadijaMbunju-zf3vx 2 ай бұрын
Hapana sio mkubwa sn bt anasura ngumu2
@EmanuelHamaro
@EmanuelHamaro 2 ай бұрын
Nakukubali bro
@alimwadima254
@alimwadima254 2 ай бұрын
Ferooz amejawa na Furaha Hadi raha
@Barnizeboy
@Barnizeboy 2 ай бұрын
🔥🔥💯
@IddiOmar-h3p
@IddiOmar-h3p 3 ай бұрын
Mm najuwa wewe tamaa huna mzki unajuwa ugekuwa natamaa mm nazani ugekuwa musaniii bofa afrka na mukubwa sana lakini tamaa huna 🎉🎉🎉🎉🎉
@yusuphomary990
@yusuphomary990 2 ай бұрын
kwani wewe uko wapi!!?na unahakika wewe ni bilionea mbona husikiki!!??jambo usilojua ni kama usiku wa kiza!!??
@elifurahalyimo5351
@elifurahalyimo5351 2 ай бұрын
Anaongea vizuri nimependa jinsi anavyojieleza
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 ай бұрын
Ferooz fanya mziki na 20percent nakwambia mziki huo mkiutoa tu utauzika kama dhahabu kwakuwa wote ni malejend
@ZainabMtitu
@ZainabMtitu 2 ай бұрын
Akika kaka mung akutanguli angalia maish yk
@Kingsharpkjm
@Kingsharpkjm 3 ай бұрын
Nimekukubali brother Ferooz upo Safi bro , pia na tamani kuwa Manager wako, maana naijuwa kazi yako brother.
@johnlightmkose4723
@johnlightmkose4723 2 ай бұрын
Ukiweza MSAPOTI maisha tu Mi najipanga kumsapoti dulayo
@Juama-gn9bx
@Juama-gn9bx 3 ай бұрын
Mwamba yuko sawa ferooz dai chako hawa vijan wa 2005 wana zarau
@BOAZOWINO-u1p
@BOAZOWINO-u1p 2 ай бұрын
Huyu jamaa ni msanii halisi,nyimbo zake zilielimisha jamii sana
@ShabanMtupa-nh8hb
@ShabanMtupa-nh8hb 3 ай бұрын
shida wasanii wasasa hawajui muziki wanaimbaimba tu
@mamachris6811
@mamachris6811 3 ай бұрын
Hakika, kwa sasa hakuna music,hovyo hovyo tu 😏😏😏
@happysanga6846
@happysanga6846 Ай бұрын
Unataka ufufukie kwa chino
@ThomasMmary-r7w
@ThomasMmary-r7w 2 ай бұрын
OG❤
@MaulidAbdallah-ml6sx
@MaulidAbdallah-ml6sx 2 ай бұрын
Nakuomba kaka feruz kaa na 20 parent mtupe vtu ..nyinyi ni dhahabu
@sadamuall8249
@sadamuall8249 3 ай бұрын
Feruz umezeeka baba umri ushaendaa
@Maiko-t2j
@Maiko-t2j 2 ай бұрын
Ngoma ndio nini?
@matridasambali6432
@matridasambali6432 3 ай бұрын
Ferooz kiakili bado uko timamu sana maongezi yake na namna avojieleza bado Yuko vizur kabisa kwa namna anavoongeahakuna madawa ya kulevia hapo labda KAMA aliwahi akaacha sema MAISHA ni mstali atafika to Cha msingi mpeni sapoti vyombo vya habar na wasani wakubwa wampe nafasi naamini Kuna sehem mbali mbali anaweza kufanya vizuri zaidi kwenye Sanaa.
@Gery-vn4cq
@Gery-vn4cq 3 ай бұрын
Roho mbaya
@bmajesky63
@bmajesky63 3 ай бұрын
Mmeanza kutafuta hela kwa lazima kwan yule si ni mtoto wako kunaubaya kuimba verse lako huon kama anakurudisha mjin kiaina achen ujinga mlishafeli tu msifosi kuweni fea basi
@MishyMishy-fz4bf
@MishyMishy-fz4bf 3 ай бұрын
Watuwazima wanaongea watoto wadogo mkalale hawa ndio walikua kiyoo cha jamii
@CharlesNdewo-y7k
@CharlesNdewo-y7k 3 ай бұрын
Ferooz mtafute 20 Percent mtuondolee matusi yamejaa bongo flaiva
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 3 ай бұрын
Mzee wa mashair yenye VINA.Sio bongo flevas wa leo.hovyo
@NASSORALI-b6x
@NASSORALI-b6x 3 ай бұрын
Feruzi njaa tu
@HusseinChai-n4g
@HusseinChai-n4g 3 ай бұрын
Mnunulie chakula wewe uliye shibaa😂😂😂
@spartachize122
@spartachize122 3 ай бұрын
Feruz kila ukimuona utadhani kuna kitu kikali anajaribu kukimeza😂😂ila mashairi usiulize
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 3 ай бұрын
Kwann wasieke alama ya mikataba ya kisheria
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 3 ай бұрын
Mchizi angalia mbele ,mbona kuinama mwambzo mwisho?
@josephchimbunga4886
@josephchimbunga4886 3 ай бұрын
Anaangalia mbele, ila ana macho madogo ndo maana unahisi katazama chini 😅
@NDuwayoFabrice-g7b
@NDuwayoFabrice-g7b 2 ай бұрын
Muze ferooz wewe nimusani muzuli sana
@estawasso7899
@estawasso7899 3 ай бұрын
Mbona wamefanana kama kaka na mdogo wake
@mussaabdulmalick2048
@mussaabdulmalick2048 2 ай бұрын
Kaka mbona kmy Sana
@michewenionlinetv
@michewenionlinetv 2 ай бұрын
Dai haki zako wewe
@VictaDaudi
@VictaDaudi 3 ай бұрын
Anafanana Sana na msanii shaba ranks,, angeimba reggae mufing ingependeza sana
@LydiahMasika-gw2kx
@LydiahMasika-gw2kx 2 ай бұрын
Alienda wapy huyu?
@PapaMapasa
@PapaMapasa 3 ай бұрын
😢
@Zainabkhamis-d2s
@Zainabkhamis-d2s 3 ай бұрын
Dah ndo Ferouz uyu kweli 😮
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 3 ай бұрын
Alaaniwe aliyegundua madawa ya kulevya
@danielmgonja9906
@danielmgonja9906 3 ай бұрын
Mtangazaji wewe😂😂
@AliMunga-c8n
@AliMunga-c8n 3 ай бұрын
Ferrouz twataka collabo nyingine pamoja na professor jay bro
@vansclassic2131
@vansclassic2131 3 ай бұрын
Ngozi inasinya brow!
@agnessima5032
@agnessima5032 3 ай бұрын
Kwani ni dhambi???
@sandalakabalo5442
@sandalakabalo5442 3 ай бұрын
Ww ni mwamba
@Hongkong-765ul
@Hongkong-765ul 3 ай бұрын
Jamaa Sasa umeanza kuwa zombies
@fidelbinmalouda558
@fidelbinmalouda558 3 ай бұрын
😂😂😂
@NASSORALI-b6x
@NASSORALI-b6x 3 ай бұрын
Mdomo kama k /mbovu
@DaudijofreyMsipi
@DaudijofreyMsipi 3 ай бұрын
Kuma ww we ni mzuri mijitu mingine bnnh umemzid nn ss
@SakinaValy
@SakinaValy 3 ай бұрын
Bro mijitu mengine yamekuja dunian Kwa bahati mbaya,,,jiulize anajuaje ubaya wa mwanaume mwenzake,,,alitaka aweke lipstic mdomon au,,,angalieni maneno yakuwasemea wanaume wenzenu​@@DaudijofreyMsipi
@MerryRenatus-ck4lz
@MerryRenatus-ck4lz 3 ай бұрын
Astaghafirullah we unaweza umba kama huyo😢
@HashimSwale
@HashimSwale 3 ай бұрын
Huyo jama unaonesha wazi ni mchawi tu
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db 3 ай бұрын
Acha upumbavu hujui kuumba kenge we weka picha yako tukuone wewe unajiona huna kasoro yeyote
@bibylicious8201
@bibylicious8201 2 ай бұрын
Big up Ferooz
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
DW SWAHILI HABARI KUBWA LEO JUMAPILI ASUBUI TAR.26.1.2025
22:36
mkatavi tv
Рет қаралды 2,8 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 1 МЛН
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 514 М.
MPAKA HOME: FEROOZ AKIRI KUVUTA BANGI
35:13
Global TV Online
Рет қаралды 205 М.