No video

MPAKA HOME: FEROOZ AKIRI KUVUTA BANGI

  Рет қаралды 203,647

Global TV  Online

Global TV Online

6 жыл бұрын

Subscribe / uwazi1
MBONGO Fleva wa kitambo, Ferooz Mrisho 'Ferooz' amekiri kujihusisha na uvutaji wa madawa ya kulevya aina ya bangi, huku akiipinga vikali umivi wa kujihusisha na ubwiaji wa unga.
Katika mahojiano maaluj na Kipindi cha Mpaka Home nyumbani kwake Sinza jijini Dar baada bya kuvamiwa usiku mnene, Ferooz alisema: "Nilikonda kwan sababu ya mawazo ya kufulia na kushuka kimuziki, watun wakasema navuta madawa ya kulevya, ukweli ni kwamba....," unajua Ferooz alifunguka yapi mazito? twen'zetu...
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

Пікірлер: 291
@sbizzowakunyumba4532
@sbizzowakunyumba4532 3 жыл бұрын
Dahhh nimeumia sana kusikia huna mtoto huna mke wala Mpenzi jamani dahhh kama nawe umeumia gonga like
@sarafinasarafina3144
@sarafinasarafina3144 4 жыл бұрын
Ferrouz We love you so much come back to the GAME ss umetusahau we love your music tunakukubali
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 6 жыл бұрын
nakupenda sana ferooz hasa nyimbo zako za zamani, wewe. ulikuwa ni msanii bora sana na nyimbo zako zilikuwa na maana, sio hawa wauza sura na watafuta kiki wa siku hizi nyimbo siku moja imeisha chuja, huwezi amini nikisikiliza nyimbo yako ya starehe.yaani naiona mpya sichoki kuisikiliza, jipange rudi kwenye game Mungu atakusaidia, maishani kukosea ni jambo la kawaida na hasa ukitambua makosa yako bado muda unao wa kujipanga upya.
@shariffaabdalla2170
@shariffaabdalla2170 2 жыл бұрын
Nakumbuka tokea 2010 nahisi kuzisikia nyimbo zake kama ileee ya ukwimwi Yupo ivo ivooo hajabadilikaa Mashallah Hajazeka bado yuko fresh
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 6 жыл бұрын
Madawa atumii anavyoonekana.wanamzushia kumuharibia maisha lakini ujachelewa nikutie moyo songa mbele usiogope mungu atakuinua tena kazana jipe moyo usikate tamaa mungu anaweza
@georgedinda7400
@georgedinda7400 2 жыл бұрын
Huku kenya huyu bwana tunamkubali kwa kweli aisee, kazi yake yaoneka kwa hakika.
@nurloy510
@nurloy510 6 жыл бұрын
I love you uuuu ferouz nitafute nita kubusti kipenzi
@mosesmwananje7384
@mosesmwananje7384 5 жыл бұрын
Nitoe mimi hata mimi naimba haha
@meshackbenjamin667
@meshackbenjamin667 5 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@kasimqessy9327
@kasimqessy9327 5 жыл бұрын
NURU MWANGE mm nawezaaa
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 6 жыл бұрын
Usiogope. Songa mbele maisha yanabadilika kuishi geto nimaisha tu omba mungu pambana bado ujachelewa usiogope kaka kunakupanda na.kushuka jipe moyo wa kusikiliza watu songa mbele
@edwardkasubi1495
@edwardkasubi1495 6 жыл бұрын
Atukuzwe mungu daima arise and shine Yeap kuna kupanda na kushuka
@Amishjuma
@Amishjuma 6 жыл бұрын
Ferooz big up bro you can still make it life is full of ups and down dnt give up chaĺlenges modify life ... ferooz binadamu nilazima mitihani na Mola hawezi kukupa mtihani ambao huwezani kwani yy nimkarimu...
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 6 жыл бұрын
Amishjuma exactly
@OctavianiRongino
@OctavianiRongino Ай бұрын
Aojamaa dazi nunda tunawapenda sana wakizunguka nchi nzima watajaza kwenye shoo zao ila wafanye mazoezi ya viungo watapendeza afia zao hasa Daz baba ana mwonekano wabangi ila wakizunguka nchi nzima watatajilika watu Wana nia ya kuwaona
@WandeMagembe-qs2fc
@WandeMagembe-qs2fc 2 ай бұрын
Kaka ucjly kaza roho mke mwema utapewa n Mungu kaka nakupenda sana ingia ulingoni nakuaminia tuliza akili ipo cku utapata mke mwema wa kukuthamini jinsi ulivyo pia nakuombea mji ulio mwemaaa kwenye usanii nakuaminia kura zangu ziko kwako achia ngoma weweee
@roselineojwang6176
@roselineojwang6176 6 жыл бұрын
Farooze ujachelewa, people learn through mistakes, just focus like never before your voice is amazing. You will make it this time . Be blessed
@husnakisungu5095
@husnakisungu5095 4 жыл бұрын
Nakupenda nakumbuka Sana nyimbo yako ya wema wangu umeniponza
@mwanashazinga9538
@mwanashazinga9538 6 жыл бұрын
zidisha elimu my bro feronz na mungu yupamoja nawe
@hadija846
@hadija846 6 жыл бұрын
Mwimbaji mzuri sana😘🎉🎊💖💝
@paschalfrancis7674
@paschalfrancis7674 6 жыл бұрын
penda sana bro angu mungu awe nawe daima
@mutumbamicheal1451
@mutumbamicheal1451 2 жыл бұрын
Love u Ferooz, I pray u come back big
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027 3 жыл бұрын
Pole sana Ferooz kwa hayo yote ulioyapitia. Lakini ni bora utafute bint moja atakaekusaidia kunyoosha maisha yako. Kinauma sana kutokuwa na watoto wala mke ukiwa na miaka hizo. Namkubali sana Ferooz. Ni msani kubwa sana yeye
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 6 жыл бұрын
Ferous songa mbele upo vizuri sana
@hakikaoman5925
@hakikaoman5925 6 жыл бұрын
uskate tamaa mungu yupo muombe mungu atakuitika tena .amiini
@MufaridjitchirimwamiAugustin
@MufaridjitchirimwamiAugustin Ай бұрын
Namupenda sana ferooz sana natamani kumuona
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 6 жыл бұрын
Mungu atakusaidia tu mwaya usikate tamaa ni kweli umekonda sana
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 3 ай бұрын
Pamoja sana
@mushqafei6034
@mushqafei6034 6 жыл бұрын
mbna uko juu unaweza baba
@fatumatunu2208
@fatumatunu2208 6 жыл бұрын
Mungu hufukarisha tenahuenuwa omba mungu mm kutoka Kenya nakupenda frz
@mariamoman7593
@mariamoman7593 6 жыл бұрын
hata ungea yake iko poa hatumii madawa jaman binadam tunajua kuzush ya MTU bila uhakika
@evaristmandilindi6147
@evaristmandilindi6147 6 жыл бұрын
safi sana ferooz kibabe ka mm
@levinakiluga3023
@levinakiluga3023 Жыл бұрын
Unaakili sana feroz
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 2 жыл бұрын
kaka mungu alikupa kipaji tufanye nini uludi kama zamani tunapenda nyimbozako zazamani mimi siko mu tanzania lakini nakupenda sana natamani usimame de 🇾🇪🇨🇻🇰🇳
@halimaramadhani1135
@halimaramadhani1135 6 жыл бұрын
songa mbe mungu yupo toa nywele izo kaka yangu pia andaa tamasha mpenzi tujilushe
@mosesjnr8436
@mosesjnr8436 6 жыл бұрын
Huyu Ferooz n stress tu znamsumbua ila jamaa anaongea kiutu uzima sana , Kipindi kizuri sana sema Presenter huyu n miyeyusho tu ...
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 6 жыл бұрын
Inasikitisha sana daaah maana huyu Ferooz aliutoa sana mziki wa bongo na nyimbo zake zilikuwa na mafunzo sana daah
@fatumatunu2208
@fatumatunu2208 6 жыл бұрын
Usikate tamaa tumaini lingaliko mungu anajibu lako mm mkenya twakupenda ferooziii
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 6 жыл бұрын
Stareh mlizipenda Ila mwishowake mbaya na kweli ferooz wew jaman saivi ungekuta unamke na watoto maskin lkin for now kweli itakuwa ngumu Kwa Hali iyo na usawa wa magu huu sidhan
@silverrichard2975
@silverrichard2975 6 жыл бұрын
Yeah
@prayzoodmaraboy796
@prayzoodmaraboy796 6 жыл бұрын
Wewe ndo diamond wazamani
@duahamud1377
@duahamud1377 6 жыл бұрын
wasanii wa bongo hawapendan na tabia yao wengi ukiwaona pamoja ujue wote wako vzr kiuchum na waweza sema ni marafiki.mabest zake wapo wa zaman na wako vzr tu kiuchum lkn wapo kima😏😏.Tabia mbaya hii tuwe wachamungu na tupendane ukweli wakupendana sio kinafiki.ferooz sio mtu wa kuhangaika kulingana na marafik zake wengi wako sawa tu tupendane jamanii❤️
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Pigana my bro utafika kwa nguvu za ALLAH
@bajunihilali95
@bajunihilali95 6 жыл бұрын
Mungu akubariki urudi kwa game
@mudrikilitoine9945
@mudrikilitoine9945 6 жыл бұрын
Iko powaaaaaaaaaa sanaaaaaaa
@dullahmfaume3350
@dullahmfaume3350 6 жыл бұрын
Ongea vzr mtangazaji
@charlesrachier5444
@charlesrachier5444 6 жыл бұрын
Kutoka ujerumani mkenya dogo rudia mahewa nakumbuka nilipokua bado naishi kenya ngoma poa
@prayzoodmaraboy796
@prayzoodmaraboy796 6 жыл бұрын
Nakukubari feruz
@alibell5246
@alibell5246 3 жыл бұрын
Feroooz nyimbo zako nzur zinaelimisha jamii nazpenda sana
@othumanmaulid7406
@othumanmaulid7406 6 жыл бұрын
Pole kwa kuzushiwa
@mariamsuleiman7159
@mariamsuleiman7159 6 жыл бұрын
penda sana fferozi
@hawatognolasuleiman7832
@hawatognolasuleiman7832 6 жыл бұрын
Mariam Suleiman .vipi dà ni hawa
@zuhuraally171
@zuhuraally171 6 жыл бұрын
Mungu atakusaidia
@lifestarkoech759
@lifestarkoech759 6 жыл бұрын
Mtafute professor Jay bro akube kazi c lazima uimbe hadi useeni
@ramah16
@ramah16 6 жыл бұрын
Ferooz nakutambua sana sauti yako iko sawa
@billgatezebedayo2287
@billgatezebedayo2287 6 жыл бұрын
Du powa sana
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Mtangazaji amelewa
@bkm1048
@bkm1048 6 жыл бұрын
ferooz songa mbele natarajia kazi kubwa kutoka kwako unaweza nakuamini
@leonardmtemi9125
@leonardmtemi9125 4 жыл бұрын
Ulinatujaaaa sanaaa nyandebheeee hahahaaaa
@johnmuna7428
@johnmuna7428 2 жыл бұрын
Nhana ghete o nyanda oyo we na tujaa
@moseskayan3705
@moseskayan3705 6 жыл бұрын
Safi sana bro mràdi ujitambue .lakini we omba mungu
@user-ik3ey9cs9e
@user-ik3ey9cs9e 6 жыл бұрын
Pole sanaa.
@nightrobert6669
@nightrobert6669 6 жыл бұрын
Mazwali gani hayo wemtangazani,uliza maswali yenye akili
@habsammussa8176
@habsammussa8176 Жыл бұрын
Mtangazaj hana talent kabisaaaa
@mussatendeli6909
@mussatendeli6909 6 жыл бұрын
hata siamin kama huyu ndo yule ferooz Wa starehe
@mashadaudi8862
@mashadaudi8862 5 жыл бұрын
kaka umetuangusha bado tu nakupenda sana buana ludi utupe ladha kaka maneno ya wat yasikuangushe 😢
@starvstargsoldear6388
@starvstargsoldear6388 6 жыл бұрын
ila bro mkweli sana katika maisha yako
@hamiduissa6599
@hamiduissa6599 6 жыл бұрын
pambana Broo ndo life hakuna kurudi nyumaa you are gentroman
@frolaglibaty809
@frolaglibaty809 6 жыл бұрын
Felzi nitafte nita kubust
@aishaasumany561
@aishaasumany561 3 жыл бұрын
Feruz njoo unioe Mimi basi tuyajenge
@kibeginiblue7188
@kibeginiblue7188 3 жыл бұрын
Ungekuwa ungefuga vidread
@francismjatatv5483
@francismjatatv5483 6 жыл бұрын
noma xana
@levinakiluga3023
@levinakiluga3023 Жыл бұрын
😂 nyinyi niwambea sana muwe mnaomba namba za simu ili kuomba appointment khaaaaa! Mtapigwa siku moja
@mussayusuphu5436
@mussayusuphu5436 6 жыл бұрын
Love ferooz
@mohamedtabir7713
@mohamedtabir7713 6 жыл бұрын
nampenda sana ferooz
@elizabethcharles4902
@elizabethcharles4902 2 жыл бұрын
Mi namtaka jaman
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Pole sana bro usijali utachanganya tu
@JosephatSivirike
@JosephatSivirike 4 жыл бұрын
Huyu bingwa yuko hai ama alitangulia mbele ya haki??? Nauliza kutoka Kenya
@fatmat6883
@fatmat6883 6 жыл бұрын
Jamani brighton wacha kumuuliza ya undani.
@nurumasunga6079
@nurumasunga6079 5 жыл бұрын
Mtangazaji bado sana
@Lahyzeecrucial
@Lahyzeecrucial 6 жыл бұрын
Mtangazaji uko poa sana big up to you bro✌✌✌
@lusekelomwasanga2815
@lusekelomwasanga2815 6 жыл бұрын
mtangazaji mlevi balaaaa aisee maswali hayana ata mukshe mukshe ulevi mbaya chek chekin uyu jamaaa dah hapa global hamna hahaha ebwana eeeh
@kennethsamwely1810
@kennethsamwely1810 6 жыл бұрын
nimefurahi sana kumsikia feroon live
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 жыл бұрын
mtangazaji miyeyusho
@fatherjaytz
@fatherjaytz 5 жыл бұрын
Unahoji vipi wew mbna hujui
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 6 жыл бұрын
Brighton badilisha style ya kuzungumza unatia mbwembwe hadi unakera jaribu kufanya km Calvin Shayo... Ferooz kaza buti life lina mengi ww bado mkali na mashabiki zako still tupo na wewe
@barakasophereth4896
@barakasophereth4896 6 жыл бұрын
Hatumii hiyo siyo sauti YA kutumia Dawa.
@mdunungumbaa635
@mdunungumbaa635 6 жыл бұрын
Nina namba ya ferouz anaetaka anicheki 0762580922 nimpe
@mdunungumbaa635
@mdunungumbaa635 6 жыл бұрын
mtangazaji uko poa,achana na maneno ya watu,watu wanao sema haujui kazi wala sio wana habari,cjui mtu unawezaje kujua ubovu wa gari na spea inayotakiwa wakati hata garage haukujui.watanzania tupunguze ujuaji tuwaachie wenye taaluma zao wafanye kazi,mtu ni mpika maandazi ila anakosoa kama amesomea habari
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 жыл бұрын
@@mdunungumbaa635 , iandike hapa hiyo namba yake, uku ulaya wana mmisi
@newkhamza1339
@newkhamza1339 6 жыл бұрын
tunakupenda ferooz
@robertmaginga6132
@robertmaginga6132 5 жыл бұрын
Mtangazaji kama vile mlevi sijui nikutathimije yani we sio mtangazaji unaboa bro.
@basagabernad4253
@basagabernad4253 6 жыл бұрын
Huyu Mtangazaji hafai na hajui kufanya interview... Yaani kipindi hakivutii,hajui kuuliza maswali,Anaropoka ropoka tu.... GLOBAL TAFUTENI MTU MWINGINE
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 6 жыл бұрын
Basaga Bernad wamrudishe Calvin Shayo huyu dogo hawezi
@basagabernad4253
@basagabernad4253 6 жыл бұрын
+Sakina Ndoile Na pale Global Nzima Calvin Shayo ndio baba yao. Yule anajua anachokifanya ndiyo maana wanamtumia saana ktk matukio ya live 'Kuripoti habari za Live' Halafu sijuwi kwanini Global hawasikilizi wala kufanyia kazi maoni ya wafuatiliaji wao...ambao ni sisi... Ili kipindi kivutie ni lazima Watangazaji wawe ni wenye kujiongeza na kujua nini kifanyike.
@swagazerotv9320
@swagazerotv9320 6 жыл бұрын
Ddda huyu mtangazaji anaboa
@basagabernad4253
@basagabernad4253 6 жыл бұрын
+swaga Zero tv Saaaaaaaana
@zondomkali2205
@zondomkali2205 6 жыл бұрын
Basaga Bernad.mimi ni mtangazaji nadhani ntawasaidia wana globo.wanitafute 0752454400
@fatmat6883
@fatmat6883 6 жыл бұрын
Ya usijidharau ulivyo kaa simple tu dunia ni mapito.
@saidikagimba5947
@saidikagimba5947 4 жыл бұрын
Daaa feruz umeyumba kaza tena baba
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 2 жыл бұрын
Uwimbo hauwezi kushindanidhwa ata sisi majilani tunatamani kumu ona Aki imba tena tuna muomba de utupe namba ya simu yako tu sa idiyane 🇨🇷🇨🇷🇨🇻
@allypaschalwakosawa2776
@allypaschalwakosawa2776 6 жыл бұрын
pamoja sana feroz nakuku balisana
@Rahmamatengo6114
@Rahmamatengo6114 6 жыл бұрын
Sauti yako inalipa bana tunakupenda bado rudi ufanye kazi na miss nyimbo zako zaukweli
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 6 жыл бұрын
Usiombe mambo yawe magumu halafu asili yako ni dsm..huna kijiji cha kukimbilia ukalime.mmmmh!
@calvinpaul9141
@calvinpaul9141 6 жыл бұрын
NICHOLAUS MBILINYI Atar sana unaeza jnyonga
@user-rd7jt1vi5x
@user-rd7jt1vi5x 5 жыл бұрын
Kher yangu nimezaliwa kijijn aisee jiji likinishinda tu nafungasha mzigo yangu narudi kijijini
@mariamsuleiman7159
@mariamsuleiman7159 6 жыл бұрын
nakaza roho
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 6 жыл бұрын
Wema wangu umeniponza bonge la nyimbo
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 6 жыл бұрын
Bariki Arastus sasa machungu ya dunia anayaonja
@mawesebaby5560
@mawesebaby5560 6 жыл бұрын
Tumekumis brooo Rudi kwenye game
@arafaiddy8962
@arafaiddy8962 6 жыл бұрын
sawa fresh tu
@alvinechacha7191
@alvinechacha7191 6 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mapesaking9321
@mapesaking9321 6 жыл бұрын
Arafa Iddy nakunli sn
@jairosmanase5977
@jairosmanase5977 6 жыл бұрын
kweli
@nyambopastory7661
@nyambopastory7661 3 жыл бұрын
Acheni kumuhalibi bana bangi anayovuta ikowapi sasa mnaandika ili watu waendelee kumjadili vibaya
@mishisaidi8696
@mishisaidi8696 6 жыл бұрын
saluti kwako Ferooz inapendeza
@mustafakijuso2356
@mustafakijuso2356 6 жыл бұрын
Safi ferooz unaweza
@jumahalifa1898
@jumahalifa1898 2 жыл бұрын
Kipindi kina elim vijana tutumieni ujana vizuri mana siku hazigandi mwamba nimfano mzuri
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 3 ай бұрын
We mwandishi angalia vitu vya kuhoji
@bonnysure1082
@bonnysure1082 6 жыл бұрын
wew Jama unazinguwa ujue mbona Maswali ya madem2 pengine hata ww ujaoaacha hizo😂😂😂
@sylviemugeni1887
@sylviemugeni1887 2 жыл бұрын
hujachelewa kaka tunaomba namba za Simu
@peterngaramila8218
@peterngaramila8218 5 жыл бұрын
Global TV mtangazaji wenu hajui kuhoji
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Mtangazaji ulisikia shilawadu Nini Kwamba anauza samaki mmeenda kumuona kazi nzuri
@fatmakiruwasha1752
@fatmakiruwasha1752 6 жыл бұрын
Binadamu tumeshindikana Yani hatutakiani mema kabisa
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 33 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 41 МЛН
FAMILIA TATA :[1] MKOJANI, NGOMA NAGWA, OCHU KIOTA, TUMAIN ABDALAH
24:55
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН