01/03/2024 nimeusikiliza tena Baada ya kuondoka RAIS MSTAAFU (MZEE WA RUKHSA) DR ALI HASSAN MWINYI. Mwenyezi Mungu ampe kauli thabiti
@christopherlyatinga304910 ай бұрын
Hata mim
@lameckjonnh462210 ай бұрын
Aiseee nikadhan ni me pekee yangu nimesikiliza
@ramadhaniamiri80033 жыл бұрын
Nanyi mnaoshika chepe kumfukia mwenzenu ipo siku nanyi mtafukiwa ikifika zam yeni aahaa msisite msiogope atarri sanaa mroma
@saidiscaba52004 жыл бұрын
wangapi tumerudia zaidi ya x2
@simonmuriithi16713 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gXKseYt9adCdaaM
@ferouzmasoud47413 жыл бұрын
Nmelud Tena baada ya kumpoteza Raisi wetu Magufuri,Daaha inauma Sanaaa 😭😭
@jaytheboy23933 жыл бұрын
😭
@ferouzmasoud47413 жыл бұрын
@@jaytheboy2393 🙏💔🇹🇿😭
@janepopular8893 жыл бұрын
😭😭😭
@ramzanqarim49773 жыл бұрын
Big up kaka ferooz..kutoka 254
@hemednassor23623 жыл бұрын
Dah Big Up ROMA kaja kuchafua kila kitu aiseee😂😂😂😂😂😂😂😂
@juliusfungo27543 жыл бұрын
Miezi saba niliisikia hii nyimbo kwa mkapa leo tena da!
@ramadhanimnyambika80034 жыл бұрын
Huyu ndo ferouz ninaemjuwa mim hatari sana# r.i.p muheshimiwa benjamin william mkapa
@dhahajongo90494 жыл бұрын
ni kwel kbsa
@charasiwaverse21404 жыл бұрын
Khakika ukisemacho
@robertkipkorir11354 жыл бұрын
Ferooz,We rudi kwenye game bro,naona uwezo wa sauti uko nayo bado,unaniumiza Sana kama shabiki .Tafadhali soma hii comment.
@bockernyarusahi36553 жыл бұрын
Huyu jamaa inatakiwa aimbe nyimbo za hisia,ampate producer kama wa hili beat
@VictoriaMahewa3 ай бұрын
Duuh maisha kama umeme ukikata imeisha, r.i.p muliotangulia by pima
@wardamody33654 жыл бұрын
Ferooz broo kipaji kipo we need you to be back like b4 ngoma limetisha npe like kama unakumbuka enzi zake na prof jay
@erckchristopher1493 жыл бұрын
Aisee inaum san kumupotez rais wet jamen
@ismailothman29173 жыл бұрын
Minasema mziki nibahati au nyota kwani Luna ferooz na 20 Pasent Hawa ndowasanihii bola Tanzania anayenikuli kama kweli gongs like
@vailethfunga2683 жыл бұрын
Nawapenda sn hawa Wana kiukwel
@wardamody33653 жыл бұрын
@@vailethfunga268 ama vp
@shebastar35343 жыл бұрын
Haki Frooz n mwalim wa game y mziki
@magrethjulius779610 ай бұрын
Rest in peace nyerere,mkapa mwinyi my Presidents😢😢😢
@willymtnmsafi88754 жыл бұрын
Mkali ferooz ,mziki wenye ujumbe kila wakati,Roma nae ni Moto kubwa kila time
@issackchalahani12354 жыл бұрын
KIONGOZI HAWA Watu ni wana Fasihi, kazi yake imefanyika kihakika.
@br.luckieafrica92332 жыл бұрын
Nampenda xaaaana ferooz . Nope like ille tuone wangapi tunapenda Swahili meaningful music
@idarousomar13 жыл бұрын
Kwa ambao hatukupata bahati ya kuusikia wakati ukitoka basi tunadhani ni maalum kwa Hayat Magufuli big up ferooz...kwa heri magufuli
@rebeccandenga52923 жыл бұрын
Mimi pia nimejua wa magufuli aisee
@idarousomar13 жыл бұрын
@@rebeccandenga5292 kabisa yaani
@salumkitam69604 жыл бұрын
Huyu ndoo ferooz ninayemjua sasa Rudi kwenye nyimbo zako za kulalamika na zenye ujumbe na kukubali mwamba.
@zawadishabani10343 жыл бұрын
Ferouz Ferouz Ferouz rudi brother kwenye game unajua kuimba aisee
@iddikhatibu99624 жыл бұрын
Daaah( r i p ) hii ngoma itadumu sana ferooz unakwama wapi brooh ni hakiyako enzi za Mkapa alikupga gari kwa wanao ufuatilia mziki wanajua
@williammatonya2284 жыл бұрын
Jeep Cherokee
@shebastar35344 жыл бұрын
Yuajua sana tuu👌👌👌
@allyalzakwani83303 жыл бұрын
Starehe na madawa ya kulevya ndio sbb weng wanapotea kweny game..
@knyndsknyds86873 жыл бұрын
Dah!wimbo utaishi ktk kila kipindi kigum utakuwa ukitumika
@lazarojr89234 жыл бұрын
Ferooz umetukumbusha enzi za kamanda na DAZNUNDA RIP Mkapa
@benezethkapongwa31113 жыл бұрын
Hii nyimbo alimuimbia Mkapa lakini imetouch hadi kwa Magufuli...big up Ferooz
@leemabibaphotography80533 жыл бұрын
Ukwel ferooz umeimba vizur sana kaka 😭😭😭😭😭 watanzania tunalia baba yetu ayupo
@hdmakunda20373 жыл бұрын
Daaaa inaumiza sanaa ili goma ferouz uko vizuli
@thomasapolinary34533 жыл бұрын
Kuna mahali inafikia unashindwaaa kuvumilia japo mwanaume anavumiliaaa daaah!!!
@nasrihussen40673 жыл бұрын
Nalia kutoka moyoni hiiiii! Magufuli nakuchumea na ubanii hiiiii!
@jacobmwakalukwa82243 жыл бұрын
Jaman kama umeikubali hii nyimbo gonga like
@ramzanqarim49773 жыл бұрын
Jamani ferooz apate support ..aendeleze kipaji chake .kama uko pamoja nami gonga like.
@dikdiktoursandtravel82883 жыл бұрын
Condolences from Kenya R.I.P Mr President Dr. Magufuli
@simonmuriithi16713 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gXKseYt9adCdaaM
@enginierthalion-kid49984 жыл бұрын
Ghai ghai ghai! 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭..... Ferooz rudi rudi kwa game tafadhali.... Nakupenda mimo peke yangu!.... Hii ngoma na sauti yako, yaniliza walai....... Mungu akkweze kipaji chako zaidi ya enzi za kamanda, nikusaidieje, starehe nk.
@ibotv90822 жыл бұрын
Feroos unajuwa ww na Roma NDo kauwa umo daah weka like kama inakosha
@shehamkwawa2203 жыл бұрын
Duh Roma nimtu mwengine bwana anatafuna na kupuliza muda huo huo
@chakaboy00193 жыл бұрын
Mmmmh hii ngoma ilikuwepo toka zaman sema ulifichwa maana kifo tuuu ngoma iyo mmmmmh nnamshaka itakuwa mzee alishatutoka Sena ikawa siri na inawezekana hawa jamaa wailijua sema sio kesi all in all jamaa wametsha Magufuli apumxike kwa amani inshaallah
@emmanuelsamuellupiga76303 жыл бұрын
Hii iliimbwa kwa mkapa kaka
@emmanuelsamuellupiga76303 жыл бұрын
Ina miezj kazaa
@ejtjr26474 жыл бұрын
Ferooz umetukumbusha enzi zako jombaa, well done.
@dennischeyo13024 жыл бұрын
Mwenye music wake amerudi Wanangu wa Mbeya City oyeeee
@katemboally37573 жыл бұрын
Kazi nzuri hongereni
@jimmynyalus63294 жыл бұрын
Naikubali kwasababu inamlenga MTU aliopoteza maisha ya dunian ujamtaja
@wastaraponda97043 жыл бұрын
Burundi 🇧🇮 tumeumia sana kumpoteza kiongozi wa haki 🙌
R I P Joseph pombe magufuri 😭😭😭 moyo wangu unaumia sana sana sana sana
@johnsylivester41453 жыл бұрын
huyu mwamba ni nabii ujue
@dennischeyo13023 жыл бұрын
Kabisa
@jastinngui44223 жыл бұрын
Nyiee Jamaaa ni shidaaa mnajuaaa Hadi mnakelaaaaa
@canalemilyemily6713 жыл бұрын
Hii nyimbo nimeirudia mara kumi hadi nikitembea naisikia kila kona 😘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hamisikijangwa44763 жыл бұрын
Ferooz uko wp bro mbona kipaji bado kipo ngoma kali sanaaaaaa
@sheledeshele10483 жыл бұрын
Nimeirudia Mara zaidi ya kumi,imefanya nimkumbuke rafiki yake aliyetangulia mbele za haki,😭😭😭😭
@lapozzydone52034 жыл бұрын
Ferooz unajua Sana wallahi ww ni mwanamziki Bora sio bora mwanamziki..Hongera Kazi nzuri..Nyimbo imenigusa kwakweli.
@edgarbakuza18384 жыл бұрын
We missed you Ferooz, thanks for coming back.
@daudamos28204 жыл бұрын
Feruzz umenikumbusha wema wangu umeniponza.rudi feruzz Tunakupenda sana
@daudnkune48014 жыл бұрын
Mmejitahidi Sana kwenye huu wimbo. Roma mistari yake inafikirisha, huzunisha na kufarahisha piaa ni Aina ya msanii anaefiti maeneo mengi sanaa
@abdulrahmanchengodee41624 жыл бұрын
Ferooz we love you Kaka from Kenya 🇰🇪 respect nyimbo imenisisimua Hadi mjengoni wamefurahi🔥👌
@fredbichwa57964 жыл бұрын
Broo we fund sana fanya mziki wako ule ule ndo mziki tunao utaka kama barua,starehe utazid fka mbali broo we n king wa ujumbe tz
@rachelthomson72213 жыл бұрын
Ferooz!! Yaani huyu mwamba ni balaa, hii sauti ni kipaji , aisee, Mshukuru Mungu Sana bro.
@bernardchibwana94114 жыл бұрын
Daaaahh hiii ngoma balaaaa!!!, imefunika zoteee za majonxi, we ndio ninae kufahamu toka enzi za Kamanda, uwezo unao sana Rudi brooooooo!!!😢😢😢
@makongoronyerere25954 жыл бұрын
Kabisa
@omarysalum69474 жыл бұрын
Good blessings you kaka mungu amlaze pema rais wetu kipenzi chetu
@wallsound_defefender2 жыл бұрын
Yoh guys, let's make Ferooz work with one six.... Their vocals are on fire, alafu prof Jay wakue futured Kwa hio collabo na Roma, stamina
@chachamwita65353 жыл бұрын
Ngoma kali sana wamekutana wote mafundi
@dozzatv83673 жыл бұрын
Kazi nzuri Roma pia cc Kenya twaoboleza MAGUFULI #baddozza
@griffinalusa55974 жыл бұрын
ubunifu wa kiwango kingine. Hongera Roma na Ferooz.pongezi tena sanaaaaa
@makuzaeliud70363 жыл бұрын
From bukoba now Mungu amlaze mahali panapo staili.
@elvisoscar99123 жыл бұрын
Wape hi lwamishenye
@amanimoses1214 жыл бұрын
Ferooz mm huwa nasema anaye jua anajua2, piga moyo konde kwa magum unayopitia, rudi tumekumis, good voice
@kiranjamkuu25344 жыл бұрын
Hii beat kama ile nyimbo ya best Naso Tuma ..nani mwingne kaelewaa ila ngoma kali sanaa..🙌🙌🙌🙌🙏🙏
@johnnyabuto14604 жыл бұрын
Roma undisputed rapper
@kinglongoiofficial85534 жыл бұрын
Kweli kabisa ila mkuu na omba sapoti yako kwa kusubscribe chaneli yangu
@jumamashariki58814 жыл бұрын
Sikio la mziki unalo,,
@abuubakar3743 жыл бұрын
Bado upo vzr ferooz rudi kwenye gemu
@LisseManSimba-zs9yi2 ай бұрын
Legendary song and legendary artistes
@mosesleonard5364 жыл бұрын
One love from congo,nakutambuwa san bro Ferooz,unakipaji kweli,Mungu akutane nawew urudi kwenye game ,tunakuhitaji san kwa game
@bmpondamussa36244 жыл бұрын
Ferooz ngoma umeitendea rudi na makeke yako ya long time haki bro big up for Roma
@dsquareakilimali79654 жыл бұрын
Walaaaahi Hii ngomaaaa nilikuwa sijaisikiliza ni full kunifanya niumie haija base inainda kwa nani ila imenifanya nikumbuke nyumbani love that legendary
@respikiusbrighton77134 жыл бұрын
Kijana unajua kweli ila pole sana maana mzee alikufanyia mazuri Rest In Peace mzee Mkapa😢😢😢
@ismailallymgaya30993 жыл бұрын
Daah Roma hakosagi maneno
@bernardchibwana94114 жыл бұрын
Ferooz 😭😭😭😭we ndio fundi wa hixi kazi.
@fredymjindoseverine12803 жыл бұрын
Nyimbo ya zaman hii bn angalien ametoa lin
@faizaahamd20524 жыл бұрын
💕❤💕💕💕 bonge la Ngoma Hongera sana brother ferooz
@sumahtanzania49914 жыл бұрын
💓💓💓❤❤❤❤❤mashalah dua tumuombee rais wetu william Benjamin mkapa ❤❤❤❤
@luckysonwhite50383 жыл бұрын
Baada ya yy tujiulize atafuata nani....❤️❤️❤️❤️
@spencerbaraza90413 жыл бұрын
Sauti ya Ferooz yanifanya nakumbuka utotoni
@princetilas474 жыл бұрын
Ferooz unaweza sana usi2fanyie ivo kukaa kimya
@mcsam2544 жыл бұрын
Huyu ndo ferooz tunayemtamani...bado upo kwenye ramani kaka
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Ndo amesha lala huyu hamki hata mumshikie bunduki Kizazi sana roma Vipi kuhusu wajumbe dondosha dude roma ft stamina wajumbe Kizazi sana
@geraldamon17684 жыл бұрын
Dah huya jamaa hatar sana ferooz achia kichupa boy
@zacharia-m9u7 ай бұрын
Jamaa anakipaji sio Siri sidhani kama hizi zama zitajirudia tena
@aliboikerfitness17944 жыл бұрын
Ushairi fumbo fumbua,Roma umepasua kichwa ...maneno mazito.Ferooz chorus aneitendea haki
@ibrackibrahim69094 жыл бұрын
Dah! #Roma bwana hawezikosa kuhacha kaneno bwana kachoko choko. Nakupenda sana bro yaani napendaga kila siku utowe
@welnelsingino96084 жыл бұрын
Big up ferooz umetisha Roma mkali wangu
@shabaleysfamily51363 жыл бұрын
Roma inajuwa... Ikikifo kuma siri nyuma.
@thomasmario9503 жыл бұрын
Roma mungu akubariki sana ukogo makini sana
@zanzitv23153 жыл бұрын
Mocco apewe like zake kwa beat kali ya uzuni
@mrishosalum7994 жыл бұрын
Duh! Hawa mafundi hatari sana.Bonge la ngoma na ujumbe umefika.R.I.P Mzeee wetu, mpendwa wetu, Sisi tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi na kazi ya mola haina makosa
@kidoh_tz4 жыл бұрын
Kaka mi mpaka sasa sijaona anae fanana na wewe fundi kakah ferooz
@samsonanthony72364 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥radha tamu ya home tuliimix ferooz. Roma 2memzoea but ferooz tulikumix
@TimilaiSekadodo-nk6md10 ай бұрын
Noma
@barakageoffreykavoikavoi42023 жыл бұрын
Ferooz,Roma...nyote ni wakali
@BhaiMwadidu4 жыл бұрын
Wale vijana wa kupiga chepe,tukumbukane kwa like
@bahatikimaro44004 жыл бұрын
Amini mwamba
@mbagatvonline31214 жыл бұрын
Bro dah ase hii ngoma Mimi sijui nisemeje ila kiukweli bro mungu akuinue zaid
@fredbichwa57964 жыл бұрын
Nafas bado ipo tena kubwa sana akuna wakuweza kuihimili zaid ya wewe mwenyew tunataka mziki wako ule ule wa enz za daz nundaz
@deogratiusdominick88823 жыл бұрын
Bonge LA ngoma jamaaaa,,,,, hiiii ngoma ni ya miaka yote
@charasiwaverse21404 жыл бұрын
Hii ndio sauti yako farooz na Hizi ndio njia zako alizitumia tunda kwakufosi lakini ww ndio unyeipatia