Nyimbo Kali Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tumeipokea kwa hamu kubwa, mtupe like kama mmependa nyimbo hii
@abbasallysaidy5442 Жыл бұрын
Huyu Jamaa ukisema umsikilize sana unaweza ukijikuta unakuwa Mpinzani ghafla au Mwanaharakati... A pure Talent, GENIUS...🫡🫡🫡
@nassoroshakiru7094 Жыл бұрын
kabisa kabisa yan unaweza jikuta hutamani kuskia kuhus chamantawalq
@immasudi8332 Жыл бұрын
Umesahau kuwa na hasira kwa walio madarakan
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Siyo thambi kuwa
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Bora atuammshe watanzania ujinga ututoke
@justinbara6783 Жыл бұрын
Mm mwenyewe kupitia huu wimbo natamani Sana kuwa mwanaharakati
@vema_tv Жыл бұрын
Waliorudia huu wimbo zaidi yà mara moja, Gonga like please 😊
@albinusnyaiyo2614 Жыл бұрын
Wengne tumeuchkuwa ndo ringtone
@jovinpaul6937 Жыл бұрын
Kweli ujumbe wa kutosha
@immamwerr9202 Жыл бұрын
Kumbe wewe mara mbili tuu??
@calvinsosthenes6133 Жыл бұрын
Nimerudia Mara tano
@rizikipantaleo547 Жыл бұрын
Sio mara mbili tu me nimerudia zaid ya mara tano
@amisiba751 Жыл бұрын
Waliorudia wimbo huu mwaka 2024 tujuane kwa likes hapa
@KalilimehboobKhan9 ай бұрын
Npo hapa
@alfredfrance83559 ай бұрын
🎉
@ibrahimsabri9437Ай бұрын
Me
@abdulhamisi1937 Жыл бұрын
Kaka wewe ni kioo cha jamii mzalendo unatufariji sisi watz wenye maisha ya kila kukicha kheri y Jana mwenyezi Mungu akupe nguvu uzidi kutetea wanyonge amiin.
@chobalikosimon6459 Жыл бұрын
kama umeupenda huu wimbo kama mimi basi nipe maua yangu 🤝
@handasonshaban8248 Жыл бұрын
Bitanakwangu
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
💐🌸🌷
@MartherKeneth-zt1ge Жыл бұрын
🌸🌸🌸
@GeorgeMtei Жыл бұрын
🎉❤🎉🎉
@itilimadc Жыл бұрын
Nachagua Andazi
@musajacob334 Жыл бұрын
Anaechelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele ila anachapwa wa myuma na ndie anaepiga kelele ,,What a line✊🙌
@jacobmwandenga3364 Жыл бұрын
Aiseeee ni nondo kuliko
@juliethnicholaus8299 Жыл бұрын
Atali
@churagambe3312 Жыл бұрын
Kwamba ujaelewa
@hashimhassan4812 Жыл бұрын
Ng`ombe wa mbele ndo nani na wanyuma ndo nani?
@edgarkazimiry4091 Жыл бұрын
@@hashimhassan4812 ng'ombe wa mbele Ni viungozi wasiio waadlifu na ng'ombe wa nyuma Ni wananchi
@noelynjelekela5406 Жыл бұрын
Roma kaka unajua sana tunakutegemea bila ww hatuwezi toboa
@zephkivungi8090 Жыл бұрын
Siwezi kutosha huu wimbo. Wangapi wameusikiza mara nyingi kama mimi? Naukumbuka Zimbabwe ila huu ni next level 🎉🎉🎉🎉🎉
@ashakhaliky4772 Жыл бұрын
Wallah machozi yananitoka .ukweli hata usikilize mara mbl bado utahitji kuusikiliza. sna cha kusema Roma na kundi lako Allah awajalie afya ktk kaz zenu👏
@amarnam501610 ай бұрын
🤝👏👏
@michaelmsinda4920 Жыл бұрын
Nakukubali mwamba,kwa huu wimbo sina la kusema,uko na kipaji sana,shabiki wako mkubwa kutoka Kenya🇰🇪
@bakarihassani-ss3qx Жыл бұрын
Nitajie mstari mmoja ulio ukubali Sana.
@michaelmsinda4920 Жыл бұрын
@@bakarihassani-ss3qx Sasa sijui nianzie wapi kifuani nimebeba mengi 🥺na sitotenda haki nisiposema hiki sipendi hiki napenda kile sitaki mambo ya kishenzi Na ukisema hawatufai wanakuumiza wee mpole yani wanaangua papai kwa kutumia gogole wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo jeshi gani mpaka leo mmeshindwa kumjua kigogo? Mkiongelea kutekwa eti tunarudia agenda,hamjibu mnakwepa mbona mama anarudia kilemba?🤷 Nchi gani raia akihoji mnasema anakosoa na akikosoa anatukana serikali hii sio poa! Haya basi tuseme mko sawa na mna nia nzuri na sisi eeeh 😌mbona vyuma vimekaza alafu mama anaificha grisi? Mara mkapandisha tozo kampeni mkaona hatuwaungi si tulihoji mkajibu kwa dharau tuhamie burundi Tatizo mkiapishwa tu mnawaza uchaguzi ujao,hamuwazi njia mbadala kumlinda mkulima na mazao Yani bongo kikubwa uzima tu 😣 Sasa mnatuambia tujiajiri mbona nyinyi hamkujiajiri ok nikupe bodaboda yangu kisha wee unipe uwaziri?Nikukabidhi vyeti vyangu hangaika navyo mwezi mmoja niko pale nakungoja uje tuongee lugha moja! Mimi sio CCM sio Chadema,hili niliweke wazi ila ukieka CCM na Andazi nitachagua Andazi,simwamini mtawala na mpinzani simsadiki maana wanaendelea kukatika huku Dj kauzima muziki Na inaiuma kuona msomi wa degree tatu mnashindwa kumpa ajira sasa anauza nyanya Karatu,Sasa sijui mtaniua nikimshikia mama shiringi maana hata inyeshe mvua mnasema naupiga mwingi 🤔 Na namkubali na nitamng'ata sikio kama hajui wanaomkosoa ndo wanampenda wanaomsifia ndo maadui,ili wapate teuzi ndo wanamlamba miguu wakimpamba hawamsaidii amri jeshi mkuu Hivi hamjasikia tetesi kuwa rimoti iko msoga?Sukuma geni imedoda,magogoni imenoga Tatu ndani ya track moja,wamekalia kigoda Ngolo kante anampa Mbappe cross anafunga Pogba😁 Hii nchi ina wenye nchi ,wala nchi na wananchi,na kuendelea kuwachagua ni kuenda na mchanga kwenye beach,kuwajaribu na wapinzani na watawala si wameshapata? Ugoro umewaingia puani sasa ona wanapiga chafya! Wanatumia dollar kubaki kongo za Dollar watawafunga watapora wataua watahonga vijora Karatasi tunaibiwa za kura kwenye sanduku,kwa hiyo mnatuonyesha ziwa huku mmeziziba chuchu??? Dini gani mchungaji akitaka gari twamchangia,muumini akitaka gari twamuombea twamsalia,mchungaji tusimpe pesa tumuombee na yeye pia,tukae pale tusubiri miujiza ya wagalatia😂 Wabunge wengi mlishinda kwa hisani ya mwendazake,mkipatacho muende chato mkumbuke hata ndugu zake,,,, jimbo hili haliendelei coz mmemchagua mpinzani,haya sasa mmeshinda kote fauluni huo mtihani Wa Basata msikie hili msije fungia huu wimbo , Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo Ushauliza kwa nini bega liko karibu na kwapa?Usiondoke baki hapa usikie vesi inayofuata!!!!!! Yanga na Simba ni wapinzani ila sio kwamba hawapatani,maji yanayotoka mto msimbazi ndo yanayojaza jangwani!!! Na sio utani msipojifunza hapa ndo basi tena aliyesema aongezewe muda bungeni ameaga mapema,wakamlisha asali kwa kisu akalamba akamwaga wino,tangulia na dereva barua utaikuta chamwino
@zulayfasalumu701 Жыл бұрын
Hii inchii ina wala nchi na wenyee nchii 👂 noma saanaa 🤔
@ayubujnnko6157 Жыл бұрын
@@zulayfasalumu701 😂nnchi ina wananchi wenye nnchi na walannchi
@sharifumuya1979 Жыл бұрын
anarudia kiremba
@mubackprince7095 Жыл бұрын
Waliorudia wimbo huu zaidi ya mara 3 tujuane nipeni like zangu
@Joetweve-dt9kh Жыл бұрын
Sio mara tatu me ni siku nzima nauplay
@GeorgeMtei Жыл бұрын
Sio mara tatu nimerudi mara 50
@lazaromshamu3521 Жыл бұрын
kwa mara ya kwanza nausikiliza huu wimbo,nimeurudia zaidi ya mara 10, VIVA ROMA chukua maua yako dadeki,you are the in AFRICA
@MtiliPyson-wd5mp Жыл бұрын
Nyimbo umeuwa sana hii kaka na umeiyongelea hali alisi ya maisha tunayoyaishi watanzania wotee yan🙏🏿🙏🏿🙏🏿 VIVA ROMA
@jamesmelkiadesmpinika6337 Жыл бұрын
Yaan nikisikiliza Hii nyimbo..... Nakuvuta picha Hali ilivyo Tz basi TU Roma Umri mrefu ViVa....!!! Mungu akujalie Afya njema Mwanaharakati✅
@erickgulayi2089 Жыл бұрын
Huu wimbo una kila kitu ambacho watanzania tunahitaji, basi kama unakubaliana na Mimi basi nipeni Maua yangu pia👏👏😂
@csato9415 Жыл бұрын
🌺🌺🌻🌻🌼🌼🌷🌷
@ibrahimkimtiy965 Жыл бұрын
🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌲🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐🌷💐💐🌷💐💐💐💐💐🌺🌺
@mretamreta8058 Жыл бұрын
Hatari sana huu wimbo bonge la shairi
@matrixTV. Жыл бұрын
Yamoto sana
@zakiasepetu7628 Жыл бұрын
🎀🎊🎉💎🇹🇿
@victorjaoko3862 Жыл бұрын
Ukisikia popote wimbo huu ukipigwa simama kwa heshima ukiisha endelea na safari yako.
@fadhilijuma3196 Жыл бұрын
TULIWAONA MARAPA LEO WAPO BUNGENI ROMA NI 💥💪💪💪💪💪
@elidabill2970 Жыл бұрын
Salut
@Mambo1000yaMama Жыл бұрын
Wakwanza nipenii like zangu Roma oooooyeeee
@mkechiivo5332 Жыл бұрын
Kwa wimbo huu nina imani kabisa huwezi rudi bongo leo wala kesho big up roma viva romaa
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Tunakupenda Roma wewe ni mkombozi wa fikra za wengi Tanzania ❤❤ Mungu akulinde nakuona mtu mkubwa sana Tanzania soon❤
@hassanomary9825 Жыл бұрын
Si utani
@ArafaAbdulrahaman Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭nalia kwa uchingu wa maneno mazuri ya huu wimbo jamani hiki kichwa hapana ngoja tu nikupe may Yako🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@thadeusmahendeka4466 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kupata nafasi ya kusikiliza majestic writings of ROMA. Huyu mwamba ni pure talented hipHop artist..Kazi yake itaishi milele Daima, vizazi na vizazi. Tanzania yangu Mwenyezi Mungu atusaidie, tuna mtihani mkubwa sana kuijenga nchi yetu.
@hassanhussein5749 Жыл бұрын
respect man👍👍👍👍😥😥😥😱 big up best rapper of TZ
@ibrahimsalim8368 Жыл бұрын
viva roma
@hamisomaryrajabu4129 Жыл бұрын
Ujyuuwu
@hamisomaryrajabu4129 Жыл бұрын
Hhehuwu
@hamisomaryrajabu4129 Жыл бұрын
@@hassanhussein5749 huuyyrdy
@japhetsahani7121 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana wenye ujumbe mzito wenye mpangilio wa mashairi hongera sanah unastairi tunzo ya usanii Bora Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@djnickzie9743 Жыл бұрын
Maneno makubwa yamo kwenye track huu,Wimbo huu umekubalika nchini Kenya 🇰🇪
@iddishelton Жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥💥💥💯🎶🎵message recieved to those who think the own our live ...,Bomboclat politicians..even here in kenya we are 😭😭😭 more than you brothers .,wapi likes za kenya please
@GilbertMungai-t2w9 ай бұрын
😢😢😢❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@GodwithusSr Жыл бұрын
Roma supporters gonga like twende ,Nasio utani ukishindwa kujifunza hapa ndo bas tena😢.....nipeni maua yangu niyanuse ningali Hai ....amen tutaonana tenaa roma tutaonana tena
@eliudmandike6839 Жыл бұрын
Nipeni like zangu
@hilarydamasi4307 Жыл бұрын
huyu ndo Roma tunayemjua sasa
@allanmwakibinga959 Жыл бұрын
You killed it bruh
@GodwithusSr Жыл бұрын
@@allanmwakibinga959 thanks 🙏🏻
@lynucelutta1471 Жыл бұрын
Aise like you romaaaaaa
@gladnesskamana8706 Жыл бұрын
Hatari sana, nyimbo iko poa sana nimeisikiliza zaidi ya mara 6, mistari imetulia na message delivered. Hongera sana Mkatoliki, KEEP IT UP.
@ibrackibrahim6909 Жыл бұрын
Roma Bwana 😂😁😁😁😁 Mungu akuhongezee miaka yakuishi🔥🔥🔥🔥🔥🌟🌟🌟🌟🌟
@MaryamMakalani-l1q Жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo tunazo zitaka kama unamkubali Roma na nyimbo zake kama Mimi nipeni maua yangu🔥🔥🔥🙌
@akidajulius1581 Жыл бұрын
🎉🎉🎉
@Handitv123 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@lungoznyamaume5802 Жыл бұрын
Wanatumia guvu kubwa kwenye mambo madogo💥💥👊namkubali mia mia kaka Roma💪from Mombsa 🇰🇪
@mosesmuhasa4380 Жыл бұрын
vipi mkuu Roma Asante kwa kazi💪💪 Naamini mi ndo wakwanza ku coment, gonga like kama unamkubali Roma 💯 ✅✅I'm from congo🇨🇩🇨🇩
@mosesmuhasa4380 Жыл бұрын
ok
@youngyusuph8667Ай бұрын
Daaaah! Noma iyo ndo tanzania yetu
@KibakiKibaki-jm2ni Жыл бұрын
Huu ndiyo wimbo wa taifa sasa achana na ule wa Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote
@patricksoko1279 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄
@nuruelymmary9683 Жыл бұрын
🤣🤣 hiii imeenda
@zuleyvendor6577 Жыл бұрын
Kwa kweli sio uongo 😂😂😂😂
@CardealInacioMuaquia-rt6kn Жыл бұрын
Kabisaaaaaaa
@GeorgeMtei Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@allymakallo4137 Жыл бұрын
Hii ngoma inaweza kuandikwa na watu wenye level ya juu kabisa ya kifikra ROMA I salute you bro🕴️
@daudiothumani Жыл бұрын
Roma,danrodi
@amoji126 Жыл бұрын
Ngoma hii mtu yoyote anaweza kuiandika maana hamna line hata moja ambayo haijawahi kusikika kabla ya hii ngoma, lines zote zipo mtaani. Kungekuwa na lines mpya ndio ingekuwa exceptional siyo.
Kiswahili ndio lugha ya taifa katika bara letu la Africa na ni jukumu langu keendeza lugha hii pale Sudan Kusini 🇸🇸 number one Roma/Rostam fan . Nakupa maua yako Roma Mkatoliki 🌹 ✊
@hamisharuna3382 Жыл бұрын
Karibu bongo
@hymerpozgalayz Жыл бұрын
To those listening this song in 2098....ROMA was a pure talent from God.
@ellyjulius165 Жыл бұрын
Legendary comment😢
@theone1621 Жыл бұрын
RIP Roma
@richardmbasha1411 Жыл бұрын
Huyu ndio wewe sasa, yaani ni🔥🔥🔥🔥👌
@ramadhanidyamwale4302 Жыл бұрын
I give this capt 100 likes
@DJELULI Жыл бұрын
umetisha
@abdulabubakar1247 Жыл бұрын
Huu wimbo nimeurudia mara 8 ngoma hatareeee big up my brother umeumiza kichwa sana #nipeni maua yangu.
@furahahappe Жыл бұрын
Roma 🔥🔥🔥 vitu vya kweli vyote ulivyosema! Anayechelewesha msafara 😢😢! Chukua maua yako Roma 🌹💐🌺🍁🪸🥀🪷🌹🌷🌺🌺🌸🌸🍁🍁🪷🪷🌺🌺🌸🌸
@fredmabeta5914 Жыл бұрын
"Anayechelesha msafara siku zote ni ngombe wa mbele ila anachapwa wa nyuma na ndiye anayepiga kelele"....deep 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀 maua yako hayo yanuse
@bonifaceferdinand566 Жыл бұрын
Roma wewe ndiyo msanii pekee unaewasemea wanyonge,waoga,na wasiotambua haki zao,Roma mungu akupe maisha marefu uendelee kumsea mnyonge,Roma yote uliyoimba ni ya kweli100%
@paresamaseko5422 Жыл бұрын
sio mwanamuziki huyo ni kibaraka. hakuna msanii anaendelea kwa kukosoa siasa
@egmsage4115 Жыл бұрын
@@paresamaseko5422 sio kila msanii anawaza maendeleo unayowaza wewe wengine hawahitaji hayo maendeleo coz wanayo tyr
@esterivan3452 Жыл бұрын
Na Ney wa Mitego pia
@mankambise2000 Жыл бұрын
@@paresamaseko5422 Loh! Maendeleo gani sasa
@Tesovibez Жыл бұрын
Roma doesn't Disappoint....Much love from Uganda
@rahimkimaro2929 Жыл бұрын
Omwana omuwuludde. Ebu muimbie nahuyu Kaguta😅
@emmanuelboniphace958 Жыл бұрын
Rimoti ipo msoga
@NiyonzimaYvettetupnbipya-ku6xt Жыл бұрын
Kbs🥰🥰🥰 big up San
@Mambo1000yaMama Жыл бұрын
Huyu ndio Roma tunae mjua sisi
@machindafadhili3186 Жыл бұрын
Kabla ya kulala hadi niusikilize huu wimbo. Roma chukuwa mauwa yako ndugu yangu. 🎉🎉🎉🎉
@ummysalmah280 Жыл бұрын
Duuuuuuu huyu jamaa ni noma sana..huu ndio aina ya mziki ambao ulianzia marekani na waafrika weusi..vivaaa romaa vivaaaa..king climax II KUTOKA TURKISH
@innocentfocus9217 Жыл бұрын
Hii nchi ina wananchi, wenye nchi na wala nchi🙌🙌
@Mr_sawa Жыл бұрын
Kiukweli mwenye kujifunza kupitia wimbo huu atafaidika sana hasa sisi ambao tuliojifanya eti hatuna neno ila shukrani sana ROMA kwa huu ushauri 🥹😭😭🔥 we love you from 🇺🇸
@williamouma8263 Жыл бұрын
Roma ni Mwamba ajab ,East and Central Africa ajawai tokea mwanamuziki kama Roma.Pokea flowers Bingwa
@officialhonreal3419 Жыл бұрын
U never disappoint Roma.....Kama unamkubali Roma kwa asimia 100 gonga like hapa♥️🙏
@khadijahamisi2174 Жыл бұрын
Naisi Roma ana moyo mzuri na upendo xana nchi yetu tunakupenda Roma
@WitnessMaruru-oi7xq Жыл бұрын
Nakupa maua Yako🎉Roma,umeelimisha,umekosoa,umeburudisha hakika wewe ni mwanafasihi mwenye sifa zote,unaijua kazi yako
@etipatraders6784 Жыл бұрын
Mziki wa kweli utaishi kizazi hadi kizazi.....huyu ni NABIII WA MZIKI....ubarikiwe roma!!!!!
@marklekasango9300 Жыл бұрын
MTANZANIA MZWA UYU JAMAA 🇹🇿 hii ngoma ikipigwa tunatakiwa kusimama wote Tanzania. Akili mingi sana Roma, ata mm nitakula andazi. Come back home mwamba.
@joelmbise2189 Жыл бұрын
L
@eliasanga9526 Жыл бұрын
daaah mwamb anajua sana yani✊💌
@denismalya8379 Жыл бұрын
Kweli kabisa ata mm nitakula andazi
@Shockiingfacts Жыл бұрын
L
@missclementsemizigimisscle7458 Жыл бұрын
😂
@abdijuma2954 Жыл бұрын
Huu wimbo unatuhusu ata sisi wakenya 🇰🇪🇰🇪viva roma umegusa panapostahili❣️
@PapaTheKingKenya Жыл бұрын
Kabisa me naachia yangu kama hii next week
@abdijuma2954 Жыл бұрын
😂😂tunaisubiri
@humphreykagwi5096 Жыл бұрын
Hii ni Kali, 🇰🇪🇰🇪 tumeikubali!
@UmmyTemba Жыл бұрын
Waliorudia huu wimbo zaidi ya mara mbili.. tujuane.
@dGaming-x1f Жыл бұрын
This guy is phenomenal,..very different from other artists,..mtetezi wa wanyonge. Big love from Kenya 🇰🇪
@dGaming-x1f Жыл бұрын
❤
@frankbundi7713 Жыл бұрын
So much love from 254 ❤
@bowattanga Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ExposingNewWorldorderAgenda Жыл бұрын
Freedom fighters hongera Roma Kenya tunapenda nyimbo zako..aamsha waafrika waamuke wamelala mno
@heamztabib Жыл бұрын
The real definition of 'KIOO CHA JAMII',.....maua yako chukua VivaRoma✍️💯
@godfreymselle2122 Жыл бұрын
Wamemchokoza beeeeeaaaaa 🙌
@karimkassam571 Жыл бұрын
Hamna kitu humo nimesikiliza ndo hayohayo...kila. Siku...
@mattyamissi4094 Жыл бұрын
Huu ni wimbo Na nusu, Love from DrCongo, Uvira town #Matty Amissi
@assedkandaga5473 Жыл бұрын
Wimbo mpya wa taifa...!! Thanks Roma mkatoliki 🙏🙏
@Masaki_001 Жыл бұрын
Roma bora aitwe baba wa mziki bora milele.... GOD BLESS ROMA FOREVER ❤
@patricknamangoa6468 Жыл бұрын
This is what is called immortal music. It's full of social, economic and political contents. VIVA ROMA THE KING OF TANZANIAN HIP HOP!
@xadygenious414 Жыл бұрын
Plus military aspects
@johnjoycemalusu4886 Жыл бұрын
Creativity iliyopo humu ni ya hali ya juu sana, . Nimependa kisauti fulani cha amen amen , chakumuombea mchungaji asubiri miujiza ya walagalathia
@alhandharcoutinho2617 Жыл бұрын
VIVA ROMA VIVA 💪 hata wakitoa nyimbo 10 kila mwaka Roma toa moja tu sisi inatutosha
@ananiasimon7992 Жыл бұрын
Haya watu igongeni like hii comment mpaka Samia aione ikulu maana hii ngoma lazima aisikilize
@GemaShayo-hf6wf Жыл бұрын
To my daughter listening to this song when you grow up, know that your father gave Roma his flowers when he was alive.
@brunokimaro1053 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iGibcqmVqs51rsk
@shijangosha7509 Жыл бұрын
Eewe mw/mungu mpe nguvu huyu jamaa ktka pipaji ulichompa kwa hajiri ya kutusemea natumain ujumbe unafika kwa lengwa mungu akubarik kaka tunakukumbuka daima
@soudyruge9858 Жыл бұрын
Kwakweli tulimiss hizi kazi ahsante Mr Roma tulikuwa tushachoka na habari za JEJE 😁😁 Respect bro 🙌🙌🙌🙌
@sabinusdominic5063 Жыл бұрын
Kazi nzuri mwamba izi ndio mambo tunataka
@sirialemmy37 Жыл бұрын
Daaaaaa, A real man. God bless ya sanaa aisee
@mijakitwiku5464 Жыл бұрын
Kaka unajuaa sana ivi una jua kuwa kuna kitu ndani yako ambacho mungu kakiweka ndani yako ambacho kinaweza kuikomboa hii nchi kutoka katika hili Giza zito tulilo nalo
@chrisjonas1537 Жыл бұрын
He deserves his flowers! Kaka uko vizuri sana verse yako moja ni kama kitabu. The flow, bars, themes. You are on common, Lupe Fiasco level bro. Uko vizuri
@allyzegele1373 Жыл бұрын
Nakuamini ROMA kwa kujilipua auogopagi.🔥🔥🇿🇦
@chumkhamis8924 Жыл бұрын
Haya Mambo tuliyamiss big Up Mwamba.. STAY BLESSED ROMA.. LISTING FROM ZURICH SWITZERLAND 🇨🇭
@rahimunuru4032 Жыл бұрын
dah kka ukwer jamaa anajua na anajua ten bora urudi kak tuungane wakikusumbua ten roubd hii tuwapake virainishi tuwashikishe ukutaaa
@chumkhamis8924 Жыл бұрын
Jamaa anajua mpaka anakera😂 ..poa Boy safari tupo pamoja hawawezi kuzingua, One love nunda Rahim Nuru ❤.Home sweet home
@attugeorge9366 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥♥️
@chumkhamis8924 Жыл бұрын
Attu George... Yani mzigo umechana Mikeka.. Mzigo uko fire🔥🔥🔥salam from Zurich 🇨🇭one love Nunda
@saumually9499 Жыл бұрын
Nimesikiliza mpka nikasikiliza Tena Mungu akupe umri mrefu bro ROMA 🙏
@planbmauwezo4853 Жыл бұрын
Big up Roma kwakusema ukwel mungu akupe umri mlefu tuyajue mengi ila tunaonew san tz
@kingsika8138 Жыл бұрын
Hii nyimbo inafaa hata kuwa yataifa 😊 #vivaroma Nipeni namm maua yangu ☺️
@BALOZIWAGHETTO Жыл бұрын
Hii ifike 1M views within one week itakuwa unyama sana,,,,Wapi likes za Roma basi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@brianbrayoo1590 Жыл бұрын
This is Real Hip Hop, ndugu zangu wabongo mnaojiita Wana-Hip Hop ukimtoa Ney Wa Mitego hatujaona facts kama hizi zaidi ya Vina vya Kujigamba na Kujiita ma'King...Roma is Real Hip Hop Artist of all the Time In TZ..
@josephfrances1447 Жыл бұрын
Daaah....! Mzee umetuona tunavyoteseka Huku kwetu Hali bado sana... mwenda zake kaenda na vyake.. inshallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@phanymusic9900 Жыл бұрын
HII NDIO MAANA YA MSANII ACHANA NA HAWA WAIMBA MAPIANO PUMBAFU SANA, Ishi sana brother, we na Ney ndo sauti ya Tanzania ilio baki 🇹🇿
@felisterwilson9259 Жыл бұрын
na Ney wa Mitego
@BenedictSulle-ju9if Жыл бұрын
Big up Roma the pride of Tanzania ngoma imesheheni mistari mizuri sana ambayo inamgusha kila Mtanzania Mzalendo note Ngolo Kante anampa Mbabe cross anafunga Pogba mm nataka niimbe verse tunakumissss mwana rudi njoo utusemee
@sheckyjunior7546 Жыл бұрын
Kakakakakaa umetisha kaka ngoma iko moto sana, hongera sana mwamba, nakupa maua yako bro 🌹
@chigiriwamkaomoto-w9d Жыл бұрын
From Kenya Malindi ((kilifi county) umekubalika kaka
@KUIA_NEWS Жыл бұрын
"Kichwa bila akili ni mzigo kwa shingo"-much love from the country with no talented artists,Kenya!
@biaishaallybiaishaally4784 Жыл бұрын
Tanzania kuna watu wana akili sanaaaaa Roma popote ulipo drink soda nakuja kulipa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@williamnyenyembe8968 Жыл бұрын
Tukimpoteza huyu msanii bac ❤❤❤
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
True
@RaynaFarisitz Жыл бұрын
Tunakupenda roma ludi nyumbani roma...rimoti ipo msogaa congrats 👏 kibao kikali from uk 🇬🇧
@StanleyMhongole Жыл бұрын
Bonge la ngomaaa aseee daaaah huyu jamaaa ni genius 🙏
@godyfrayshemmbago9995 Жыл бұрын
Duh mungu akupe maisha marefu Roma,, nyimbo hii itaishi milele na milele
@abdallahsalumu9282 Жыл бұрын
Ngoma ipo poa sana bigap roma
@yassinimasimba7819 Жыл бұрын
Hii ngoma imetumia akili nyingi kuandikwa maana ina mashairi makali misamiati mikali lazima uisikilize mara nyingi uweze kuielewa hongera sana kaka VIVA ROMA
@DevothaMahelela Жыл бұрын
Daah huu ni binge la wimbo Maua yako chukua
@hansonie1553 Жыл бұрын
Huu wimbo kwa nini umeisha? We need million songs like this For this Generation #VIVAROMA
@alextanzania Жыл бұрын
Na we toa yako
@omarybakari1681 Жыл бұрын
@@alextanzania povu
@hansonie1553 Жыл бұрын
@@alextanzania hujanielewa mkuu! I mean wasanii wetu waandike nyimbo educative Kama hizi....
Nimeusikiliza huu Wimbo zaidi ya mara tano dah huyu jamaa ni genius sana
@sulleymernmannarah7930 Жыл бұрын
I always Salute you my BROH ,, ROMA MKATOLIKI 🔥🔥 4rom 254 Kenya.. big up mwamba..!!! umeweza
@Olivanamfukwe Жыл бұрын
Nakukibali
@sossyforreal814 Жыл бұрын
Hii ngoma imeandikwa kwa kipindi cha miaka 8, yaani tangu mwaka 2015. Dah Tanzania mwanamuziki ni mmoja tu. Long Live Roma. Mtanzania mzalendo mwenye kuipenda nchi yake.
@iwishtv7907 Жыл бұрын
Dizasta vina
@RechoAhule-qb8zr Жыл бұрын
@@iwishtv7907 hamnakitu
@barakaephraim5481 Жыл бұрын
Mungu akulinde daimaaa mr Roma
@davidngenda924 Жыл бұрын
Na true boy, one nation🤝🏼😃😃😃
@Oldskulgemini9991 Жыл бұрын
@@iwishtv7907 Hana ushawishi kwa jamii anaushawishi kwa masela tu😂
@dumabagame3901 Жыл бұрын
Nimerudia hii nyimbo Mara 104 gonga like twende Sawa VIVA ROMA
@bakarihassani-ss3qx Жыл бұрын
Goma Kali Sana brooo..nitajie mstari gani umeondoka nao Kama funzo broo?
@jacksonmwangi5305 Жыл бұрын
"Jimbo hili haliendelei coz limemchangua mpizani" Listening from Kenya 🇰🇪 and what Roma is talking about is also happening here. Anyway have your flowers;🌹 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@foodbasiccourt2028 Жыл бұрын
Whole afroca myfriend
@sashaman3862 Жыл бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@jacksonmwangi5305 Жыл бұрын
@@foodbasiccourt2028 True 100%
@feliciakapama4727 Жыл бұрын
He deserves more than 10 million views ila hatumpi kipaumbele Tunasikiliza umbea na mapenzi
@felicianfrancis989513 күн бұрын
Mtafute Abiudi mpige tena wimbo. Ana sauti flan hiv amizing