Huyu father Ana kipaji Cha ajabu kweli, Mungu azidi kumtia nguvu
@GeoffreyBMapunda-ix1ql5 ай бұрын
Tunaomba vindi vyake virushwe mbashara katika Tumaini TV na mahubili yenu pia maana kuna vindi vingi Sana vizuri lakini hivyo pia ni vizuri zaidi Tumsifu Yetu Kristo
@dominicblass43194 ай бұрын
Pia naunga hoja kwamba vipindi vyake virushwe ktk tv Tumaini
@sofiarugoye79294 ай бұрын
Naunga mkono hoja,virushwe kwenye TV,huku inasitasita nasikiliza kwa shida