Pd Kamugisha Awasili DSM/Vicheko vyatawala Parokia ya Kilongawima/Karama aliyo nayo siyo ya kawaida.

  Рет қаралды 39,209

Breez Online Tv

Breez Online Tv

Күн бұрын

Tarehe 01 November 2021 Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu katoliki la Dar Es Salaam Mhasham Henry Mchamungu Aliongoza Ibada ya Uzinduzi wa Wiki mbili za Neema katika Parokia ya Mtakatifu kizito Kilongawima Mbezi Jijini Dar Es salaam Ambapo alimpongeza Paroko wa Parokia hiyo Padre Mukandala kwa maandalizi mazuri ya kuwalisha neno la Mungu waamini wa Parokia yake kwa kuwakusanya zaidi ya Mapadre 15 kutoka majimbo mbalimbali ya Tanzania ambao ndio watakaotoa Mafunzo kwa waamini hao.
Semina hiyo ya wiki mbili za Neema imeanza kurindima tarehe 02/11/2021 katika viwanja vya Parokia hiyo na Miongoni mwa Mapadre ambao wamekuwa wa kwanza kabisa kutoa mafundisho ni Padre Novatus Mbaula kutoka Msimbazi Centre Dar es salaam huku akifuatiwa na Padre Faustine Kamugisha kutoka Parokia ya Minziro jimbo katoliki la Bukoba.
Waamini wengi waliofika katika Siku ya kwanza ya mafundisho hayo wengi wao wameonekana kujawa na Tabasamu mwanana mara baada ya Wakufunzi hao kuwalisha Chakula cha kiroho huku wengi wao wakieleza kuwa, ni wazi wale ambao hawajashiriki wanakosa mengi ikiwemo faraja ya kweli ambayo inawarudisha katika imani dhabiti pamoja na kuimarika zaidi ndani ya Ubatizo wao.
pata nafasi ya kutazama video hii na kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatilia Mubashara.
#BreezOnlineTv​​​​​​​​​​​​​ #Kilongawima
Breez Online Tv
S.L.P 38655
Dar Es Salaam Tanzania
Phone No: +255 756494796
Barua pepe: izackbreez11@gmail.com
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: breez online Tv
Facebook Link: / breez-online. .
Instagram:Breez Online Tv

Пікірлер: 38
@ceciliamasawe7566
@ceciliamasawe7566 2 жыл бұрын
Tunabarikiwa Sana na mahubiri yako Mungu akubariki! Karibu sana parokia ya Mt Gaudes Makoka
@amedeusmushi1357
@amedeusmushi1357 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba padre nimependa iyo kuvuruga kiota hakuna kulea tuu
@benedictodaud7769
@benedictodaud7769 Жыл бұрын
Tyk.baba kamgisha.napenda sana mafundisho yako.mungu akubariki sana.Napenda siku moja uje parokian kwetu,dsm parokia ya mt,marther mikocheni (b)
@neemasonje3992
@neemasonje3992 2 жыл бұрын
Asante baba, kwa mafundisho mazuri
@ghatimakonge9383
@ghatimakonge9383 2 жыл бұрын
Nakupenda kwa MOYO wa dhati ❤️ father kamgisha karibu Parokia ya Mt Rafael malaika mkuu nyamongo utupe vitu adimu vilivyomo Ktk Ubongo wako.🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🔥🔥
@csato9415
@csato9415 2 жыл бұрын
Ni kweli fr. Kamugisha ana mafundisho yanayojenga kiimani. Nadhani ili aje inabidi apate mwaliko kutoka kwenu.
@dorothtobias8053
@dorothtobias8053 2 жыл бұрын
FT KAMUGISHA! Nayaelewa Sana Mahubiri yako. Tafadhali fanya makongamano mikoani! Kwani wakristo wa ROMA wanakosa vitu Kama Hivyo. Ndo maana Wanatangatanga kwenye madhehebu Mengine.
@NiyomugenziAime-gc3hx
@NiyomugenziAime-gc3hx 11 ай бұрын
Fundi wa mafunzo,Fundi wa faraja, Fundi wa ufafanuzi Padre Kamgisha Mungu Azidi Kukubariki na Kukulinda
@saulokahwa8194
@saulokahwa8194 9 ай бұрын
Tunabarikiwa na mafundisho yako baba ubarikiwe sana
@anneduncan4836
@anneduncan4836 2 жыл бұрын
Napenda sana mafundisho yako yananipa nguvu na faraja mno nimesikitika. Sikujua kama ulikuja Dar nisingekosa
@gidionmibaluro7085
@gidionmibaluro7085 8 ай бұрын
kwakweli tunazid kubalikiwa.......Mungu azid kushusha neema yake
@gracewambui5529
@gracewambui5529 2 жыл бұрын
God bless his servant,Fr Kamusinga
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 11 ай бұрын
Baba Mungu akubariki kwa mahubiri. Yako Mungu Skype maisha marefu
@janemakarious9461
@janemakarious9461 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki Padre Kamgisha
@pricilamedard2436
@pricilamedard2436 9 ай бұрын
Asante Sana baba ubarikiwe
@julianacellestine801
@julianacellestine801 2 жыл бұрын
Asante father neno lako lenye kujenga ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni akubariki sanaaa
@jaqualineobuchi2256
@jaqualineobuchi2256 2 жыл бұрын
Asante padri mungu azidi kukubariki kwa kazi yako njema.
@victorbambo1217
@victorbambo1217 2 жыл бұрын
p
@victorbambo1217
@victorbambo1217 2 жыл бұрын
pppp
@victorbambo1217
@victorbambo1217 2 жыл бұрын
p
@upendoeliudi5196
@upendoeliudi5196 2 жыл бұрын
Aminaa barikiwa sana father
@evalinembithe4437
@evalinembithe4437 2 жыл бұрын
Sr evaline from Kenya barikiwa sana
@gracefeldinandi838
@gracefeldinandi838 2 жыл бұрын
Father tunaomba uje kenya kitengera st Monica chach utupe mafundisho yako baba nimbakeisao muno
@liberatusmpaka3847
@liberatusmpaka3847 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba
@agneselias924
@agneselias924 2 жыл бұрын
maisha
@mkudembeteni7667
@mkudembeteni7667 2 жыл бұрын
Wakati ujao mtakapo jaaliwa kumketa Father Kamugisha Mtupe taarifa rasmi tuna shauku kubwa Sana ya kumuona huyu mtumishi
@magrethcolestine2880
@magrethcolestine2880 2 жыл бұрын
Kazi yetu kubwa ni kumwombea Mungu ampe nguvu, ulinzi,hamu ya kuendelea kumtumikia maana kazi yake inazaa matunda Sana
@stepheniddahmyamba7929
@stepheniddahmyamba7929 2 жыл бұрын
Sure
@michaelvincentmhagama337
@michaelvincentmhagama337 2 жыл бұрын
Ee Yesu nikumbuke.
@EdinaMashongole
@EdinaMashongole 7 ай бұрын
Nimekulewa vuruga kiota.mbavu zangu jamani
@Antelius-ew6it
@Antelius-ew6it Жыл бұрын
Baba hurumia mbavu za watu jamani
@kyaro5945
@kyaro5945 2 жыл бұрын
Vuruga kiota
@mucoluckyjob-love3784
@mucoluckyjob-love3784 2 жыл бұрын
huu padri anakipaji kbs yani wa padri wote wangekua kama huu watuwengi wangekua nahamu yakwenda kanisani 😁 kwasababu hiyo mifano yake kama anaisomaka wapi
@jacobshao1260
@jacobshao1260 2 жыл бұрын
Amina
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 2 жыл бұрын
Vuruga kiota
@victorbambo1217
@victorbambo1217 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Mungu akuongeze baraka na Mungu akutie nguvu utukumbe Wakristu wa.ZANZIBAR uje ututembelee ikikupendeza,Tunakupenda sana ,Father Kamugisha.Eee Yesu unikumbuke
@christineisaack5264
@christineisaack5264 2 жыл бұрын
mungu akubariki sana baba kwa mafundisho yako mazuri
@dionisiamhombwe8859
@dionisiamhombwe8859 2 жыл бұрын
Asante Sana Baba kwa tafakari hii. Mungu akubariki.
How do Cats Eat Watermelon? 🍉
00:21
One More
Рет қаралды 13 МЛН
NONDO ZA Pd Dkt. KAMUGISHA KWA WANAHIJA SUKAMAHELA SINGIDA
44:43
PRECIOUS BLOOD TV
Рет қаралды 9 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27
Padre Dkt Kamugisha: Mafundisho Hija Nyakijooga: Asiyepoteza Haokoti
1:00:15
ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..
1:07:10
TAMBUA NEEMA ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
25:33
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 20 М.