Fid Q feat Mex Cortez & Lord Eyez - SIMBA

  Рет қаралды 36,315

Fid Q

Fid Q

Күн бұрын

Blessings relatives..

Пікірлер: 451
@StarGwanta
@StarGwanta 5 ай бұрын
Mex yupo kwenye top 5 ya Fd na amefanya naye kaz 🔥🔥🔥🔥🙌🙌 gonga like kwa mex
@mikemawala5175
@mikemawala5175 5 ай бұрын
Nmeona watu wengi hapa wame comment katika mtazamo wa ku judge nani kamfunika mwingine.. Ila kiuhalisia wale ni watu watatu tofauti na kila mmoja ana mtindo wake wa ku deliver ujumbe wake na kila mmoja ana heshima na mchango katika tasnia nzima ya hiphop.. Nadhani tungezingatia katika message zaidi. Wote wangekuwa na style moja sidhani kama wimbo ungekuwa mtamu. Hiphop haiko kimasindano nanhata wao walipowaza kufanya wimbo wa pamoja siamini mioyoni mwao walikuwa na hisia za kufunikana bali LOVE, UNITY AND RESPECT. Fid na Lord washafanya ngoma nyingi pamoja na upendo umedumishwa. Tubakie kwenye hivyo vitu vitatu nlivovitaja hapo juu... Blessings 🙏🙏
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 4 ай бұрын
mashabiki wasiojielewa ndio huwa wanahukumu nani kamfunika mwingine. lakini jamaa wote kila mtu ame- deliver kimpango wake na ngoma ni kali sana.
@swagaton-ke
@swagaton-ke 5 ай бұрын
Wapi like za Mex Cortez hapa young lunya hafiki this dude is at another level ukiacha khaligraph Jones this is the next big east Africa kwa hip hop 💥💥💥
@HamisiHamisi-xo2uo
@HamisiHamisi-xo2uo 5 ай бұрын
Sasa kwani lazima muweke ubishani hapa au ndio lazima ili mtu umuone mkali umtaje lunya
@Morgansoultz
@Morgansoultz 5 ай бұрын
Young lunya wa nin tena hizi level😅
@nsangalufujoel5242
@nsangalufujoel5242 5 ай бұрын
KJ hamuwezi Mex mzee, jamaa ni shida
@IvanKihwelo
@IvanKihwelo 5 ай бұрын
Mnafananisha Sana adi mnaharibu game ya hip hop bongo sio lazima kufananisha ndo awe rapper mkali Kama rapper mkali we support kazi zake mna wasema wakali amuwa support Ila mnao sema ma rapper wabovu ndo wan mashabiki wengi
@Adimin254
@Adimin254 5 ай бұрын
😂​@@Morgansoultz
@paulerick6141
@paulerick6141 5 ай бұрын
Nimependa Mawazo ya Lord eyez - focusing on current country situations - most def 💯💯
@Jukwaa-7
@Jukwaa-7 5 ай бұрын
Kabisa
@victormaina6407
@victormaina6407 5 күн бұрын
​@@Jukwaa-7kwamba Pastor tonny na maombii yaliyo Jaa ujuzi
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 5 ай бұрын
Nako 2 nako. Fid q. Mex kitu moja Kali sana imetoka hakuna mambo ya nani kakalisha wote wametisha 🔥🔥
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 5 ай бұрын
Chemistry ya Ngosha na Eyez bado ni sunami
@ShedrackLawrence-u3p
@ShedrackLawrence-u3p 5 ай бұрын
Yeah man! Nakubaliana na wewe
@Voiceofpeopleotz
@Voiceofpeopleotz Ай бұрын
Huyu mexcortez media zinasubiri nini kumpeleka mbali akawakilishe nchi asee🎉🎉
@Azizi_Texeas
@Azizi_Texeas 5 ай бұрын
Real hip hop is not on the radio, this is hip hop itself, sir
@malimanyanja562
@malimanyanja562 5 ай бұрын
Lord kafanya vizuri,kwenye froo akuna alicho andika kipya ningefurahi sana apo mwisho angekaa msukuma mjanja aisee
@joshuadaniel8382
@joshuadaniel8382 5 ай бұрын
Kaka mkubwa umetupiga sijui ki hispaniola🙌🏻🔥🔥🔥🔥fiidq mtu mbaya kabisa🐐👏🏻🫂
@Loismo
@Loismo 5 ай бұрын
🔥🔥🔥 #MexCortez kama alitaka kukalisha WAKULUNGWA #Simba #Terror ⚡️🔥⚡️✊🏿
@darhustler
@darhustler 5 ай бұрын
Kila napotaka comment nahisi is not enough lakini kwa hii its enough. UCHAWA UMEKUA RASMI BRO!!! Shouts to mex cortez ila mbuzi ni mzee baba ngosha.
@bensonkariuki5843
@bensonkariuki5843 5 ай бұрын
Fid q the only best raper in Kenya🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS 5 ай бұрын
"You win some, you lose some hivo ndivo uendaga, na sio kila ninacho kilenga nina nia ya kukipata..🔥🇰🇪
@richadshirima656
@richadshirima656 3 ай бұрын
🔥 🔥 asiye kujua hakuthamini n anae kujuaa aku amini na amna bifu
@kilimax396
@kilimax396 3 ай бұрын
QUOTE OF THE DAY GREAT! "WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA, TZ INGAANGAMIA KWA KUKOSA TAARIFA"
@kaisijamaldini2358
@kaisijamaldini2358 5 ай бұрын
Tulimisi sana hizi.mambo.big up mex cortez
@neckaphotostudio728
@neckaphotostudio728 5 ай бұрын
Asiyekosea hajawahi kujaribu jambo jipya.... Eyoooo fid
@GudgudInformer
@GudgudInformer 5 ай бұрын
Asiyekosea hajawahi kujaribu Jambo jipya
@SAYUKI513
@SAYUKI513 5 ай бұрын
​@@GudgudInformerYes
@NoelChambo
@NoelChambo 3 ай бұрын
Tuseme ukweli tu, lord eyez kafunikwa
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 ай бұрын
lordy iziiiii wouhf ni 🔥🔥🔥
@erqmusic5973
@erqmusic5973 5 ай бұрын
For real Man 👞 ❤
@Msela-bi_tozzy.
@Msela-bi_tozzy. 5 ай бұрын
Pesa haibadili mikono tu inabadili natabia✌✌
@johnrichard5482
@johnrichard5482 5 ай бұрын
Niishie kusema "HAPPY BIRTHDAY TO YOU #FID_Q BIG UP ✊✊✊ Kwa Washereheshaji #MEXCORTEZ & #LORD_EYEZ 🎤🎵💣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sznj7285
@sznj7285 12 күн бұрын
Haaaaaa even flat earthers wananisphere ? 🔥🔥🔥
@hagailema5366
@hagailema5366 5 ай бұрын
Pastor Tony na maono yaliyojaa maujuzi/ Na si ndo zetu kuwakilisha na siyo jana au juzi/ 🔥🔥
@emmanuelsamson5158
@emmanuelsamson5158 5 ай бұрын
Fid and King Eyez..... I'm sorry to mention that, Kijana Mex kawapania sana humu. The good thing about his verse amerap vizuri Kiswahili kuliko Kiingereza acha na wordplays amefanya mwishoni... The guy is good nazidi kuona Hip Hop ipo mikono salama. Best line "Nikijitoa ufahamu usiombe ninyanyuke".
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 5 ай бұрын
Hajaongea issues
@samkatondo9464
@samkatondo9464 5 ай бұрын
Real classic. ! Tanzania 🇹🇿 to the world. Swahili nations...
@yassinuddi
@yassinuddi 5 ай бұрын
Content-wise, Fidq and Lord ni wanoma 🔥🔥. Fidq kagusia maisha ya kuhustle mtaani ambayo yana majungu na chuki na bado inahitajika kupambana kwa nguvu ile ile. Lord Eyez…kaua sana, kwa kuzungumzia siasa na maisha ya mtaani, akakebehi tabia ya uchawa, akazungumzia namna nchi za magharibi zinaingilia maswala ya kitaifa
@makejaffar8119
@makejaffar8119 5 ай бұрын
Deeeeeng!!! Wueh Geniuses met now its massacre in our brains 🧠🧠 Mex man!!!🙄🙄🙄🙄🙄 My boyfrend Lod Ize🤣🤣🤣💪🥰🥰 Babaa Fareed we love you From Kenya💪🥰🥰🥰
@petersimon2115
@petersimon2115 5 ай бұрын
Happy Birthday Fid Q,,, Mex kasema ni sawa na pusha aliyetaka ajinyonge hafu avute😂
@EinsteinFromEastern-vh6lo
@EinsteinFromEastern-vh6lo 5 ай бұрын
Aisee huyu Cortez ana njaa kama yule One mwenzake na Nikki 🥶
@nassoSchneiderlin
@nassoSchneiderlin 5 ай бұрын
ILA WANANGU LEO MMENIFURAHISHA 🎉🎉NGOSHAAAAAAAA
@eliamushi1678
@eliamushi1678 5 ай бұрын
Sio kila ninachokilenga nina nia ya kukipata..💥
@IssaMoh-yn2zi
@IssaMoh-yn2zi 5 ай бұрын
Masterpiece....🔥🔥🔥 1. Mex 2. Fid 3. Lody Eyez
@MartinPatrick-g6c
@MartinPatrick-g6c 5 ай бұрын
Master ni master tuu fid q the pachi line zako ni zamoto broh
@DanielPeter-vh9rj
@DanielPeter-vh9rj 5 ай бұрын
Mex is another level and this is hip hop yeah real hip-hop is not on a radio
@Dickcheney-b1h
@Dickcheney-b1h 5 ай бұрын
JAMANI huyu mzee mbuzi ni noma sana more blessings to big bro 👑🙌
@shabanbuchu2130
@shabanbuchu2130 5 ай бұрын
Lord eyes always brings the best in Fid q
@The_Mad_Philosopher
@The_Mad_Philosopher 5 ай бұрын
Hip hop........NGOSHA🔥🔥🔥🔥. Alafu unamfananisha na mtt mdg anayepiga kelele kwny beat kwa kujicfia cfia tu😂😂
@japhsam_simulator
@japhsam_simulator 5 ай бұрын
hii ndio real hip truck ss sio hao ndugu zenu sifa nying af wakipewa vennue maiti
@saidseyyid1750
@saidseyyid1750 5 ай бұрын
1: mex Cortez 2: fid q 3: lord eyez 🔥
@emanuelkisanga3429
@emanuelkisanga3429 5 ай бұрын
vice versa is true...lord ndo kakimbiza....achana na kuangalia kingereza angalia content mzee, lord katema mistari ya kiharakati sana very deep.....hyo mex anabwabwaja tu...nothing significant there.
@saidseyyid1750
@saidseyyid1750 5 ай бұрын
@@emanuelkisanga3429 hicho kingereza ndicho chenye huelewi na mex Cortez ameongea bars tupu so ni muhimu kujua lugha zote mbili
@EinsteinFromEastern-vh6lo
@EinsteinFromEastern-vh6lo 5 ай бұрын
-Tajiri anazikusanya tu Kila siku -Masikini analia hajaona mchana hajaona.usiku mzee mbuzi 🔥
@emmanueljuma5851
@emmanueljuma5851 5 ай бұрын
Kaka una jimbo lako mwanza gombea chukua jimbo. GOAT GOAT GOAT the real Mbuzi
@RapperTyger-vv1vt
@RapperTyger-vv1vt 5 ай бұрын
Kumamamakeee hii beat kapiga Dr dree au niaje 😂😂😂😂 au na mim naangamia kwa kukosa maarifa na taarifa njema kama wesenge wa Tanzania 😂😂😂😂 hiii ni nyoko sana wakuuu
@yombokasonga8161
@yombokasonga8161 5 ай бұрын
Hii bit kweli nilevo nyingine kabisa
@SuleimanMasankala
@SuleimanMasankala 5 ай бұрын
Oyaaaaaaaa beat ya Dunia ya kwanzaaaaa huku kwetu imekuja kama zali na wana wameishinayo kiroho safi ngosha is something else wallahi
@Nyangembinde
@Nyangembinde 5 ай бұрын
Cortez you got magnificent talent. Style ya viwango vya juu sana . Keep it up 👍
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 5 ай бұрын
Hahaha manimendra kapita fresh sanaa dadeki mnoma uyu mwamba..🙌🙌🙌🙌🙌🔥
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 5 ай бұрын
Uyu fiq sio poa kabisa Asiekosea ajawahi jaribu jambo jimpya
@cooljoethecoolboy
@cooljoethecoolboy 5 ай бұрын
Oya mlikua wapi kuandika na kudondosha goma kama hili nyie wakali ... Gaddam it
@jayfarsaga4935
@jayfarsaga4935 5 ай бұрын
Angeia na vina humu 🔥😁😁
@djhdscratchmaster4110
@djhdscratchmaster4110 4 ай бұрын
Cha kwanza hii beat ni dope sana aiseee🙌🙌 after that "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, Tanzania wanahangaika kwa kukosa taarifa, "
@kijokombao5345
@kijokombao5345 5 ай бұрын
Oya Lord eyes ameamua kuua kabisa🙌🏽
@nevillekalinganevo_2512
@nevillekalinganevo_2512 5 ай бұрын
Bars on bars . Mex came to eat #255totheworld #OldNgoshaBack🔥🔥🔥
@JoxeOdejr-ou4ds
@JoxeOdejr-ou4ds 5 ай бұрын
Fid q mnyamaaaaaaaaaa MWANZA MWANZA KUBALI SANA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 5 ай бұрын
Sacramental criss crisswell the price of change pusha aliye waza kujinyonga kisha avuteeee ngosha on the prime ...... Tanzania inaangamia machawa waanzushe mutaala... Real definition of hip hop chimbo . .....
@fredvikotta2095
@fredvikotta2095 5 ай бұрын
Bonge la ngoma….ngosha mkaliiiii na anatishaaaaa
@MpuyaMayunga
@MpuyaMayunga 5 ай бұрын
Mex umetisha ngosha hujawahi kuotea naomba umkuze Mex ni msanii moja mkubwa Sana lkn kama hawajamfahamu
@tumainmasuki7110
@tumainmasuki7110 5 ай бұрын
Hi Ngoma ni kwere 🔥🔥 Kila mtu kauwa kinyamaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@chungalumo863
@chungalumo863 5 ай бұрын
There is something missing in this song and that's King Kong "Chid chichiii..." Mtoto wa Ilala. Ngoma imesima mazee
@shaburnbarkar5902
@shaburnbarkar5902 5 ай бұрын
Wana hawali madawa kama chichi chid Benz hapo ni +vibes 2
@SuleimanMasankala
@SuleimanMasankala 5 ай бұрын
Sahihi anahitajika humu
@dakeeog585
@dakeeog585 5 ай бұрын
Oya LORD EYEZ kafanya huu wimbo niurudie huyu CORTEZ ni mzuri ila hata yeye hajui anachana kuhusu Nini HIP HOP is real Life na vyote kaviimba LORD
@DONY-kz
@DONY-kz 5 ай бұрын
This one deserved onyly 2 guys Fid q there last guy you added for friendship 😊😊😊
@fedlob4
@fedlob4 5 ай бұрын
🎉 fid q the goat 🐐
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 5 ай бұрын
Duh wazee mbona mmepanic sana iyo ni hiphop atari sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj 5 ай бұрын
So finally big brotherz gave this boy a gig. Respecr
@hamisibakari342
@hamisibakari342 5 ай бұрын
Huu ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Mendeslyrics-u8x
@Mendeslyrics-u8x 5 ай бұрын
Mex aisee tunakuomba ukaze sana upindue huyu mbuzi anatuchefua san mashabk wa hiphop
@MustaphaChimbalanga
@MustaphaChimbalanga 5 ай бұрын
Lord Eyes 🔥🔥🔥🙌
@lwidikoedward8115
@lwidikoedward8115 5 ай бұрын
“Hata Flat earthers wanani SPHERE”🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire bar!
@mrswagz100
@mrswagz100 5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fire bro. Best bar, it flew above many heads
@lwidikoedward8115
@lwidikoedward8115 5 ай бұрын
@@mrswagz100 NI HATARII.. kuna line ingine ya "Manzi ya Tanga, Afu Na MUHEZA"👑👑 levels ni zingine
@mrswagz100
@mrswagz100 5 ай бұрын
@@lwidikoedward8115 i feel you 🔥🔥🔥🔥
@saluuhans
@saluuhans 5 ай бұрын
#Fid_Q is fire 🔥
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 5 ай бұрын
Hili dundo litakuja pigwa Simba day mwaka ujao😂😂😂🙌
@abditech14
@abditech14 5 ай бұрын
Bongo hip-hop ni Yako fid maana hili dude ni nouma🙌🙌
@ndoxmafia
@ndoxmafia 5 ай бұрын
Kitaaolojia mitaa inaelewa 🙌🙌💥
@chachasagara1985
@chachasagara1985 5 ай бұрын
Combo ya Ngosha na Isaac ni #Full ile laana Cortez ni Matatizoo👑💯💯
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 ай бұрын
wamektana magaid wa rapp big up sana 🦾🦾🔥🔥🔥🔥
@hamzamsafiri3418
@hamzamsafiri3418 5 ай бұрын
Jamani jamani hapa hii sio amapiano rudieni hii kitu mrudi shule💣💣
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 5 ай бұрын
Fareed Qbanda unatisha sana🎉🎉🎉🎉nyota 3 zimekutana
@amanintevi8249
@amanintevi8249 5 ай бұрын
Oya we Mex sio mtanzania wazee 😂🔥
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 5 ай бұрын
Daaah nilikuwa nimemisi sanaaaa fid Akifanya kwa hasira kama kapigwa kofi na prifunk majani nomaaa
@mimibusarachibu
@mimibusarachibu 5 ай бұрын
Hii hatariii sana, hivyo vijijimbo vyenu vya Young Lunya hamna kitu, humu anazama na hatoki
@IvanKihwelo
@IvanKihwelo 5 ай бұрын
Kuanzia flow mbaka mistari ni fire🔥🔥🔥💥💥
@victorpetermasebo822
@victorpetermasebo822 5 ай бұрын
From 265🇲🇼🇹🇿 Mex nimkali ,ngosha the don mnyama
@innocentkimweri2183
@innocentkimweri2183 5 ай бұрын
Lordeyes now amekua preacher real preacher and we happy for dat 🥶
@dicksongeorge6354
@dicksongeorge6354 5 ай бұрын
for those who didn't know mex cortez, go and listen to his songs for me these are my favorite songs:barbender 4-6, holy flow, let it burn, barcode vii, god did freestyle, alabama ft nasty c and manimendra this guy is the best rapper for me
@saluuhans
@saluuhans 5 ай бұрын
Asie kosea ajawahi jaribu jambo jipya #hiphop
@michaelollinga1397
@michaelollinga1397 5 ай бұрын
Depth 🎉🙌🙌
@AlfoncAndreq
@AlfoncAndreq 5 ай бұрын
Honger bro ngoma kal sn,🎉 like zake apa🎉
@Mtamaduni14
@Mtamaduni14 5 ай бұрын
Justice has been served kwenye hilo beat🔥
@mcbartonkesh3664
@mcbartonkesh3664 5 ай бұрын
Watching from Kasulu to Kigoma ❤❤❤
@nicokamily1749
@nicokamily1749 5 ай бұрын
Wazee hii ni noma, thanks for food for thought
@mosesdavid-vm5hk
@mosesdavid-vm5hk 5 ай бұрын
Mex🙌🔥🔥🔥🔥
@kasongokusova1905
@kasongokusova1905 5 ай бұрын
Mamamamaeeeeee bonge la dude yule kondoo mwambie aje ashike hii kama anaweza
@juanmbise3200
@juanmbise3200 5 ай бұрын
Masterpiece 🔥🔥 hey Kings
@georgekarazewilbroad6571
@georgekarazewilbroad6571 5 ай бұрын
wazeee wa cake Tuko Realy na Hizi Barz ,anaekujua hakuamini na Hamna beef
@JeronimoSimon65
@JeronimoSimon65 5 ай бұрын
Terrroooooor Lord Eyes 🙌🙌
@emmanuelnkwabi8610
@emmanuelnkwabi8610 5 ай бұрын
Ngosha bonge la jiwe mzee mbuzi
@NICKSONMWAMAHONJE
@NICKSONMWAMAHONJE 5 ай бұрын
Wale tuliomsikiliza fid zaidi wote 👍
@husseiniddy3040
@husseiniddy3040 5 ай бұрын
This is HIP HOP. Big up Mex umeua kinoma🔥
@silamnyama1642
@silamnyama1642 5 ай бұрын
Wametisha sana hawa wana.sion mahind sare sare
@Arapmisemo
@Arapmisemo 5 ай бұрын
Fid q , spits the truth , Awakens a boy child 💯
@ladhahalisi
@ladhahalisi 5 ай бұрын
"Mi wa dunia, even flat earthers wananisifia (sphere)" - Mex 🔥🔥🔥
@MariamuMwalongo
@MariamuMwalongo 5 ай бұрын
💥💥💣
@fredrickkakila9392
@fredrickkakila9392 5 ай бұрын
@stonestz8815
@stonestz8815 5 ай бұрын
Mex ❤
@jasintakazimoto8994
@jasintakazimoto8994 5 ай бұрын
Wimbo wa taifa 🔥🔥
@michaelmfinanga997
@michaelmfinanga997 5 ай бұрын
Goma kali sna, nilimis sana hi HIPHOP, Nmempata Lord eyes wa Nako 2 Nako, Fid wa professional, Mex umetisha San.
Fid Q feat Mex Cortez & Lord Eyez - SIMBA (lyric Video)
4:47
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Fid Q Ampandisha Stamina | Imepigwa Free style battle Uspime
23:57
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 122 М.
Neno
4:31
Fid Q
Рет қаралды 30 М.
Fid Q x Saida Karoli - Kiberiti (Official Music Video)
7:34
Tribulation
11:27
Dizasta Vina - Topic
Рет қаралды 45 М.
Fid Q feat Gifted - Glory (Lyric Video )
2:56
Fid Q
Рет қаралды 61 М.