Fid Q Feat Ben Pol - Bendera Ya chuma (Official Audio)

  Рет қаралды 66,083

Fid Q

Fid Q

Күн бұрын

#FidQ #BenderaYaChuma #BenPol #SlideDigital
Naitwa Farid
Kwa maana mi ni wa pekee na wa aina yake
Huu ujasiri na utajiri wa mashairi wa tafsiri zake
Jasiri ka usiogope kuumia, ukiwa na noti utumia
Kina kinduta, kina pochi wakazia
Tajiri wa mashairi mi sio hodari wa kurap tu
Mi sio msanii nafanya hii kwa ajili ya watu
Nina uso wa mbuzi na ninapewa front page
Na daily kwenye news sina skendo yoyote
(wapi, wa.wapi)
Wapi niliwakosea?
Wapi mie siku-play fair?
Sikuzaliwa niwe kamili, nilizaliwa niwe real yeah
Na udhaifu hauna dili, kwani strong naji-feel here
Nadhifu kiakili, street smart, brush and spear
Nipo ili nife maisha sio mchezo wa uoga, mjomba
Unataka nshibe hakikisha haukombi mboga,
bomba
Nipake tope nijikombe kombe mafuta
Uniponde unizonge kutwa
Nikonde mnyonge wa kutupwa
Kwa mgongo wa chupa nipake nisijepauka
Ntaibuka tu kama vumbi dongo likija kukauka
Mi nateleza, nakosea
Naanguka, napotea
Najifunza kuendelea
Nainuka natembea
Nateleza, nakosea
Naanguka, napotea
Najifunza kuendelea
Nainuka natembea
Bendela ya chuma, inapepea
Bendela ya chuma
Bendela ya chuma, inapepea
Bendela ya chuma
Nachunga hasira isiniumize ili maumivu yasintishe
Hawaishi hila wenye wivu, wanazingira nisipite
Dua haziishii angani, ua linazaa bustani
Bahati haina ahadi, ikihitaji hutua ndani
Sihofii kudondoka sababu mi 'na mabawa
Wanaofikiria ntachoka, wanaogopa Ngosha ana
power
Cheusi ni mzawa, Cheusi hana dawa ya kutoka
Pagawa ukitosa, kosa kunawa kabla haijatosha
Kivipi uniache wakati mziki upo na mie?
Kwake nina mapenzi ya mswaki
Sitaki mwingine achangie
Masika bila mbu, sio gharika bila Nuhu
Shida nazo kila mtu, chakarika uje unafuu
Hekima ni kukosa excuse
Kukosa excuse unapo-lose
Na pia ukishinda usiji-boost usiji-boo siamini
makuuzi
Hekima ni kukosa excuse
Kukosa excuse unapo-lose
Mi nateleza, nakosea
Naanguka, napotea
Najifunza kuendelea
Nainuka natembea
Nateleza, nakosea
Naanguka, napotea
Najifunza kuendelea
Nainuka natembea
Bendela ya chuma, inapepea
Bendela ya chuma, inapepea
Bendela ya chuma, inapepea
Bendela ya chuma
Nafanya nakaa kama yule MC wa Kenya
Ukisikia pah jua haikupangwa ufe mapema
Sikuiti shujaa kwa kufanye kile unachofanya
Ntakuita mjinga ukiwa ukishindwa wakati
chawezekana
Dunia ni kubwa pia ni ndogo ka tukiungana, ki utu
uzima
Na mlima haupandwi kwa kuutazama
Ningekuwa kisiwa maisha yangekuwa ufukweni
Huu upeo nimetunukiwa na Mungu wangu basi
nipokeeni
Inatosha?
Wanasema hapana, dondosha
Na tena wanaochana hawajiiti conscious
Ni Ngoshious!
FID Q Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by Fid Q
Follow Fid Q on
Twitter: / fidq
Facebook: / fidhop
Instagram: / therealfidq
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 89
@Eagles_tech
@Eagles_tech 9 ай бұрын
Beat by Nisher rip king👑
@moejaymusic9261
@moejaymusic9261 5 жыл бұрын
Hatimaye umetukumbusha tena hii ngoma....weka like ya chuma hapa 🙏❤💜
@boniphacekamuli9241
@boniphacekamuli9241 5 жыл бұрын
Mambo
@moejaymusic9261
@moejaymusic9261 5 жыл бұрын
@@boniphacekamuli9241 safi
@bandorajr
@bandorajr 9 ай бұрын
RIP Nisher asante kwa Mdundo huu
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 9 ай бұрын
Aliyekuja baada ya kucklza interview Fq kusu kfo cha Nisher
@fittyblack2549
@fittyblack2549 5 жыл бұрын
Wanao enjoy mziki hawa-comment kwa kuomba like,,,,, #mzikimnene KING..
@paulgawa5095
@paulgawa5095 5 жыл бұрын
Punch lines zako bruh sijui huwa unaandikia wapi🤔🤔🤔anyway waite watt wadogo wote wanaojifanya kuchana uwape somo labda wanaweza saidika 🎭🎭
@lwazimujuni5023
@lwazimujuni5023 3 жыл бұрын
Hii nyimbo lakin guys Hamuoni au?? Mbb inabusara mpk inakera
@moudrickmouh3569
@moudrickmouh3569 9 ай бұрын
Ninapokua napitia magum huwa narudi hapa mara kadhaa..hii ngoma inaishi kwenye hustle zngu za kila siku✊🏆..
@imaboyclassicseven4735
@imaboyclassicseven4735 5 жыл бұрын
Wa kwanzaa naomba like
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 3 жыл бұрын
Sishangai ubora wa fid kwakuwa hata akizungumza tnajua yupo na content mingi kwa header
@rodneymwambungu5118
@rodneymwambungu5118 4 жыл бұрын
Nasikilizia mara nyingi wakati mwingi najiuliza Fid q anaelewa mistari yake Kama mimi
@tumainimasha9591
@tumainimasha9591 3 жыл бұрын
Military mind💪
@richardpaul6709
@richardpaul6709 3 жыл бұрын
Ukifa tutasema jamaa alikua anajua sana
@digonzakeimbe8435
@digonzakeimbe8435 Жыл бұрын
2ko Pamo1 Mwingine 2023? Like hapa..
@taaborafm
@taaborafm 4 ай бұрын
sema ben pol ni muuaji wa kimya kimya ni the best r&b musician in east afric
@denismasele4130
@denismasele4130 Ай бұрын
Hii ni zaid ya mapigo ni beat beats beating 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@ahmednassor7877
@ahmednassor7877 3 жыл бұрын
Ukitaka kushiba usikombe mboga jamaa noma
@ahmednassor7877
@ahmednassor7877 3 жыл бұрын
Namlima hupandi kwakuutazama
@thechairman.1215
@thechairman.1215 2 жыл бұрын
Piga like kama umefikiahwa hapa na Kaa la moto Kwa Ile status yake 2022.
@allysuleiman6254
@allysuleiman6254 5 жыл бұрын
king wa hip hop tz miaka 100000000000 kubali kataaaa na ukibisha we jeur ila huo ndo ukwel,nateleza naanguka napotea najifunza #Bendera chuma inapepea# wanaochana wanajifanya cosha muite#NGOSHA
@larsonlarson8537
@larsonlarson8537 5 жыл бұрын
Swa kabisa
@lukasmathiusdsudi1510
@lukasmathiusdsudi1510 3 жыл бұрын
Nitafuata nyayo zako bro
@southpole1378
@southpole1378 2 ай бұрын
“Sikuiti shujaa kwa kufanye kile unachofanya Ntakuita mjinga ukiwa ukishindwa wakati Chawezekana” 🙆🏿‍♂️🔥
@shatoxtv
@shatoxtv 3 жыл бұрын
Here on 2021
@MrusiMweusi
@MrusiMweusi Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@masanjamarimi5655
@masanjamarimi5655 Жыл бұрын
Kwa mzee devi
@DigonzaKeimbe-uq1bx
@DigonzaKeimbe-uq1bx Жыл бұрын
2023 Tukutane Hapa..
@elsonyohana8535
@elsonyohana8535 5 жыл бұрын
another banger
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 14 сағат бұрын
nan yupo anaiskiliza ii ngoma 2024
@nicholasmutembei2539
@nicholasmutembei2539 4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 18 сағат бұрын
2024-10 kula madini mdomdo❤
@GsmMrsoft
@GsmMrsoft 5 жыл бұрын
Ntakuita mjijnga kwa kushindwa wakati...
@mkapaliberatus3636
@mkapaliberatus3636 5 жыл бұрын
Fid q,ben pol hawa jamaa wanajua sana bendela inapepea hiyoooooooo
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 5 жыл бұрын
Usipotikisa kichwa weeeee mchawi 🔥
@genesbkimariokimario7357
@genesbkimariokimario7357 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 nakubaliana na comment yako
@johnsilima6789
@johnsilima6789 4 жыл бұрын
Paul Mgoli kwel
@lucasricky7307
@lucasricky7307 5 жыл бұрын
PRIDE OF BONGO HIPPOP
@directorimmah_vfx3043
@directorimmah_vfx3043 Ай бұрын
2024 nipo naskiliza ngoma sound ii
@rhymesintellectualchief
@rhymesintellectualchief 2 жыл бұрын
Naifagilia Sana hii Ngoma....keep on vibing bro. More shine and more blessings...🔥🔥💯
@7mc794
@7mc794 5 жыл бұрын
Bendera ya chuma qaliii
@dutchballaka3422
@dutchballaka3422 5 жыл бұрын
Ukitaka kushiba usikombe mboga
@eliasgembe934
@eliasgembe934 5 жыл бұрын
Fd q umeuaa ngoma kam mambele mbele hinaga kukosea salut
@markjuliusdaud8005
@markjuliusdaud8005 5 жыл бұрын
2019bdo naskiliza.
@beninternationaltv3136
@beninternationaltv3136 5 жыл бұрын
Wakwanza like kama unakubali hii ngoma
@paulgawa5095
@paulgawa5095 5 жыл бұрын
Hulaliiii🤣🤣🤣
@hyprotz2170
@hyprotz2170 3 жыл бұрын
More credit to u legend
@ahmednassor7877
@ahmednassor7877 3 жыл бұрын
Eti masika bila mpuuu
@RamadhanJuma-k7h
@RamadhanJuma-k7h 2 ай бұрын
Nakubali fareed qubanda
@kissykennysmatt
@kissykennysmatt 5 жыл бұрын
♥️🇰🇪
@oceankid4336
@oceankid4336 5 жыл бұрын
Nice
@alenalex9948
@alenalex9948 5 жыл бұрын
Nice song
@athumannuru3648
@athumannuru3648 5 жыл бұрын
Nice bendera chumaa
@duniayakijani7868
@duniayakijani7868 4 жыл бұрын
Chuma kikali, beni kauwa korasi
@triphonechamy3198
@triphonechamy3198 5 жыл бұрын
Wapi nilikosea... Wapi Niplay fair.. "
@swazimwenga8310
@swazimwenga8310 2 жыл бұрын
Hii ngoma
@emedipatrice9992
@emedipatrice9992 Жыл бұрын
2023🔥🔥🔥
@goldsilver7797
@goldsilver7797 2 жыл бұрын
Ngosha
@november16vlog67
@november16vlog67 5 жыл бұрын
Bendera ya chuma wa 7
@OfficialKiliPaul
@OfficialKiliPaul 5 жыл бұрын
Hii ngoma si ulishaitoa kitambo man,vipi tena umerepost,run out of ideas nini?
@tumainimasha9591
@tumainimasha9591 3 жыл бұрын
Usishangaea hii ngoma ikishi miaka mingi kukushinda kaka
@josephatmanouver7167
@josephatmanouver7167 5 жыл бұрын
free Fid
@richardngendakumana2871
@richardngendakumana2871 5 жыл бұрын
Mwenyeeewe huyo m🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Jastus100
@Jastus100 5 жыл бұрын
🔥💯
@nasrihanya9067
@nasrihanya9067 5 жыл бұрын
We ndo uliyebak kwasasa japo kwenye CNA ya ngwea ulifutunshwa mistar na kutunga tena
@jailossanga5054
@jailossanga5054 5 жыл бұрын
Leo nimewah kudadadekee🙈🙈
@royaldangoteboy2626
@royaldangoteboy2626 5 жыл бұрын
Nice
@abdallambaru8009
@abdallambaru8009 5 жыл бұрын
🔥🔥
@aust-eazyaustine3083
@aust-eazyaustine3083 5 жыл бұрын
Noma sana Hii.
@bantononemmasy7862
@bantononemmasy7862 5 жыл бұрын
Mkuu hizondo bt unatakiwakupita bb bt zakibongo zinakupwaya bb
@kisstv6921
@kisstv6921 5 жыл бұрын
unakaa kama MC wa Kenya, hahahah unamaanisha Erick Omondi alivyosimamisha nani yake .....
@michaelipius2660
@michaelipius2660 5 жыл бұрын
Brother Tz 🔥🔥🔥
@yasinamiri7649
@yasinamiri7649 4 жыл бұрын
Eshima
@alenabelkinoni6571
@alenabelkinoni6571 5 жыл бұрын
Duu hataree sana
@GsmMrsoft
@GsmMrsoft 5 жыл бұрын
Seen
@saidjuma9782
@saidjuma9782 5 жыл бұрын
Bonge la Dude 🔥🔥🔥🔥
@chrisog2498
@chrisog2498 3 жыл бұрын
FD ,4 vr
@khadijambuya794
@khadijambuya794 5 жыл бұрын
Team ben pol lake zenu
@frankedward8643
@frankedward8643 5 жыл бұрын
Haindondoki kamwe
@deejaydreamer2743
@deejaydreamer2743 5 жыл бұрын
number 4
@guccij3549
@guccij3549 5 жыл бұрын
Nomaaa
@starmindon9228
@starmindon9228 5 жыл бұрын
Gang
@genesbkimariokimario7357
@genesbkimariokimario7357 5 жыл бұрын
Brother mungu akujalie uendelee kuwepo kwenye huu ulimwengu ww ni sawa na mgodi bado una madini mengi ya kutema
@RamsohLatinho
@RamsohLatinho 5 жыл бұрын
Rapper mwenye maneno KUNTU yasiopata KUTU.....MUCH RESPECT FROM #NyaturuLegend Always.
@boyjopar8717
@boyjopar8717 5 жыл бұрын
Hapo wanao chana hawajiiti Conshaz ni Ngosha? Au sija kusikia vizur!🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We sio mtu mzur hata kidogo
@kingmayatz9999
@kingmayatz9999 5 жыл бұрын
Ivi Mziki kama huu c utacikilizwa apa bongo tu,biti yenyew ya kiandaground
@erastomushi8048
@erastomushi8048 4 жыл бұрын
Mzik wako mtamu broo ukiwa na njaa kwa mzik wa fareed lazma ushi bee
Darassa Ft. Ben Pol - Sikati Tamaa (Official Video)
4:22
Darassa
Рет қаралды 779 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 53 МЛН
EXCLUSIVE: FID Q: SITAKI UTAJIRI MIMI/ HELA SIO KITU NATAFUTA
29:00
Fid Q - Mwanamalundi (Official Audio)
3:27
Fid Q
Рет қаралды 75 М.
The Incredible (feat. Izzo Bizness, Chidi Beenz, Stereo Singasinga) (Remix)
5:17
One The Incredible - Topic
Рет қаралды 75 М.
MAPYA, MWIJAKU AFICHUA UCHAFU WOTE, DIAMOND NA P DIDY, KALIWA
10:05
Best Of FID Q Compilation
53:17
Fid Q
Рет қаралды 41 М.
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Dizasta Vina
Рет қаралды 234 М.
One, Nikki Mbishi, Stereo Feat Fid Q - Classic
4:42
zwwasost
Рет қаралды 202 М.
Fid Q - PROPAGANDA (Official Audio)
4:08
Fid Q
Рет қаралды 243 М.
PLANET BONGO - DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA FID Q
10:50
WAZO TV
Рет қаралды 278 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН