Mwenyezi mungu azidi kukutumza na kukujalia afya njema na aibariki kazi ya mikono yako kwa ajili yako na familia yako kiumla, unatufumdishi vitu vingi vizuri sana vyenye umubimi mkubwa sana kwenye maisha yetu binafsi napenda kufuatilia sana vipindi vyako,,,na uzuri vipindi vyako vinajenga kila mtu hasa yule mtu ambaye anajitambua kiakili ila kwa wale ambao hawataki au hawatarijii kuishi au kuja kuishi maisha ya ndoa hivi vipindi haviwahusu,,,,binafsi yangu nazidi kukuombea sana dada angu mwenyezi mungu awe pamoja nawe daima kwaajili wewe ni mmoja wapo wa watu wanaosaidia sana jamii kwa mambo mengi hasa kwa mada unazotuandalia na kutupatia sisi wadau binafsi nafaidika sana na kipindi hiki. GOD BLESS YOU.
@AminaAhmed-gb8oy9 ай бұрын
Ubarikiwe dada irene
@dayana5513story9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@joycekajivo9159 ай бұрын
Mbarikiwe kwa kipindi kizuri cha Maarifa ya mahusiano
@WitnessLalah7 ай бұрын
God bless you
@ameermuna1779 ай бұрын
❤❤❤
@eliateacher32419 ай бұрын
Leo Mimi WA Kwanza hapa sns
@winfridamwigilwa21078 ай бұрын
Hakika nimejifunza kitu.
@MussaFoum-l7v9 ай бұрын
Hollo Irene
@jofreyulaya98429 ай бұрын
Deo Lubala......... aliwahi kumlea Mbarikiwa Mwakipesile...na leo nimekuja nimwone vizuri 😮😮😮 kumbe weweeee