Irene na wewe una hekima sana siku moja na wewe uwe guest tukusikie
@aliethmashauri84999 ай бұрын
Miss you salome hope nimefurahi kukusikia, nimemiss proud wife sana,❤ nilitoka kwa ajili ya changamoto za masomo😢😢
@tumainichanya32689 ай бұрын
Hapana dada Iren kuolewa hakunibadilishi Mimi kuwa mtoto wa wazazi wangu ,Ila kuhusu chochote kitakachohitajika kimaandishi tulichozalisha na mwenza wangu kitaandikwa Kwa jina la mume wangu sababu tumepata nikiwa kwenye himaya yake lakini kuhusu jina langu jamani ni utambulisho wangu kwamba Mimi ni mtoto wa wazazi wangu ndoa imenikuta mikononi mwa wazazi wangu so ndoa ni ngeni wazazi ndo wenyeji wangu ,nami naenda kuwa mwenyeji wa watoto wangu so jina litabaki vile alivyonikuta
@tumainichanya32689 ай бұрын
Mmeongea majengo kweli ,ukweli kabisa ili kurejesha heshima ya ndoa ni tujaze kutaka kujua unapoeleweshwa elewa kuwa unapendwa na unaeeleza eleza Kwa maana ya kumjenga unaempenda hii ikiwa wote watazingatia itakaa sawa
@linnetmbotto72129 ай бұрын
Mimi sikubadilisha Jina kwa sababu za “Identity” ingawa Ninaona ni vyema kwa mwanamke kubadilisha ubini na kuwa na ubini wa ambao ni ubini wa watoto wake. Kwa Ujumla familia moja inakuwa na ubini mmoja, ili kutokuonyesha utengano kwenye familia. Ila kwa upande wangu hata ubini wa baba yangu doesn’t matter as much as my own name, nilitaka kubaki na Jina langu la kuzaliwa na sio mke wa flani au mama flani au Mrs Flani. Kwangu mimi kuwa mimi ni jambo kubwa sana, ni identity yangu, kiini cha mimi kuwa mtu. Kwahiyo sikutaka Jina langu lipotee na mume wangu hatuwa na shida ya kuchukua Jina la ubini wake, ila bado ninalifikiria pengine nitabadilisha huko baadae na kukubali kuwa Identified kwa kuanza na Mume wangu.
@irenekamugisha9 ай бұрын
Well said👌
@atomphoton50008 ай бұрын
Huyo mwamba kauzu sana alieenda kulala nje ukweni akamacha mke kwao. Aisee hii ni mbaya sana.
@irenekamugisha8 ай бұрын
😂😂😂
@KichereTheDataScientist9 ай бұрын
Obrigado irene and counselor
@toyikudratullah14668 ай бұрын
Iyi mada kiufupi nikuwa : kuna nafasi kwawapenda nao inabidi kipindi uko namwenzio kila kitu fikra zako ziwe kwamwenzio na pia kuwa wabunifu nakuweka isia zenu kipindi mpo pamoja nakushirikiyana ila kwa watu wainje tuusiyane((kijinsi)) nasio kinjisiya) ayo yote tumepita huku nakule ila point nikuwa marriage nikuishi namwenza wako kwa hali ya ubinadamu na hofu y mungu iwepo.
@toyikudratullah14668 ай бұрын
From burundi kubwa zaidi hofu ya mungu kupenda kupenda kweli heshima popote utakuwepo utakapo kuwa ione ahadi yamwenzio utaishi vyema.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@NickolathaRwelamila9 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@omarsalum40529 ай бұрын
❤
@tumainichanya32689 ай бұрын
Iren napenda vipindi vyako na naumia Sana nisipokuona
@abdallasaid55939 ай бұрын
Hakuna mume hupenda kutoka kutoka lkni itategemea na mke nyumbani amani ipo😂😂