Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe play.google.co...
Пікірлер: 100
@homeandaway28116 ай бұрын
Pole Kamureen kwa msiba mkubwa, Mungu aendelee kukutia nguvu ,upambane kufanya kazi, kulea watoto na maisha yaendelee. MUNGU HATOKUACHA , that much I know.
@irenekamugisha6 ай бұрын
Amen dear
@drpriscaantony78256 ай бұрын
Dah pole kamureen Mwenyez akufanyie wepesi
@noelmarapachi18085 ай бұрын
Pole Irene kwa msiba, Welcome back, Mungu wa Mbinguni Akutie nguvu na usimame tena, Hata kupungukia
@trophistadickson4855 ай бұрын
Pole sana Irene. Mi mdau wako toka Mbeya. MUNGU bsba azidi kukutia nguvu na kukuimarisha.
@rosetasuleiman67996 ай бұрын
A definition of a strong woman, that is Irene
@zayanazayana55185 ай бұрын
Pole sana Irene kwa msiba, ndio hali ya dunia, Mungu akupe subra, aliotangulia Mungu amuweke mahali pema peponi Amiin
@sophrinaassey33306 ай бұрын
I am so excited to see you back Irene. Keep strong, keep going.... Yeye mwenyewe anesema"Sitakupungukia wala sitakuacha kamwe."😊
@m___ck7996 ай бұрын
Pole sana 😢 I am glad to see you back stronger. God be with you 🙏
@chidiomari.656 ай бұрын
Pole sana , welcome back. Nimeshindwa sisemeje lkn uyo mwalimu ni balaaaa nimemuelewa sana dah, much love from Finland 🇫🇮
@shainawilliam1035 ай бұрын
NAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YAKO ,BE STRONG .
@jacquelinerobert3726 ай бұрын
Pole sana kamureen Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu, na kukupa faraja kazi yako ni njema sana
@ndayushimiyerungarunga87125 ай бұрын
Pole sana dada Yangu Mungu Akupe uvumilivu Mukubwa sana 💔💔💔
@friminershayo53256 ай бұрын
RIP Irene husband...God love him so much...In God we trust 🙏 Amen Amen.. Your so strong and active...welcome back ...I was so surprised were have you been!!!?For such a long time... So sorry strong 💪 woman ...God will open you another door very soon 🙏
@pulikisia79636 ай бұрын
Welcome back dear,Mungu azidi kukutia nguvu.🙏🏿
@giftprudence5 ай бұрын
Nimefurahi kukuona tena,pole Kwa pito zitoo, mwenyezi Mungu akuimarishe wewe na familia yako. All the best lovely Maureen ❤
@user-jn6ec7qv5p6 ай бұрын
Poleee sana ireen wangu Mungu ni mkubwa sana wallah pole sana ireen Mungu azid kukutia nguvu kipenz nakupenda
@ByamunguBatumana-ff9de4zx6p6 ай бұрын
Pole Sana kbs irene mungu akutiye nguvu kbs tunakupenda sana
@jamilaathumani54815 ай бұрын
Pole dear Irene kwachangamoto..ni mim nikupendae Sana jamila
@priscillahmushi44756 ай бұрын
Am so happy to see your smile Mungu mi wetu wote
@awatifalghanim11065 ай бұрын
Pole sana sana
@sophiasophia97136 ай бұрын
Welcome back❤❤❤ Kungwi yuko vizuri sana
@user-hr8rn1om8e5 ай бұрын
Pole sana dada Kamureen kwa kuondokewa na mumeo kipenzi, Mungu wetu mwema akufariji ja kukuimarisha. Na sidi pia tunakuombea.
@mwanamkeshujaabongoflavama71805 ай бұрын
Pole sana
@tumainichanya32685 ай бұрын
Nimefurahi kukuona ukiwa Bado mwenye nguvu, Mungu azidi kujitetea kipekee nakupenda Sana da Iren
@redmioman43716 ай бұрын
Pole sana kwa msiba kipenzi chetu
@gabrielzanzes5 ай бұрын
pole sana dada kwa msiba. Mungu wa mbinguni akupe nguvu na faraja tele. The Lord is always faithful.
@hamisaali81036 ай бұрын
Pole kipenzi mungu akupe ujasiri zaid na zaid
@hellenmroso67866 ай бұрын
Pole sana Irene. Mungu wetu ni mkuu
@officialcandleboy69235 ай бұрын
Masha'allah our sister is 🔙, pole Kwanza kwa msiba Dada yetu kipenzi
@asteriaalex29956 ай бұрын
Asante kwa nondo mama Kamandwa
@vulstanandrea5236 ай бұрын
Back to back Dada Kamreen❤ tupo pamoja
@raphaelagaitani75905 ай бұрын
Pole sana dada ireen Mungu aendelee kukutia nguvu usimame kama mwanamke shujaa in Jesus name
@chunanachu25296 ай бұрын
Pole kwa matatizo mungu azidi kukutia nguvu....
@atomphoton50006 ай бұрын
Pole sana na msiba wa mume wako ukipona na ukiwa tayari kupata mwenza wa maisha yako, hatua ikifika unahitaji mume tena wa maisha yako jua nipo kwa ajili yako na sitaicheza nafasi utakayo nipatia
@irenekamugisha6 ай бұрын
😂😂😂 daah nimekusamehe Bure kabisa
@Sharifa_Fashion_216 ай бұрын
😂😂😂jamn watu hebu tulieni kwanza
@agnessvicent65915 ай бұрын
Aaah lahaula lakuwata dunia simama nishuke jaman wajaaa😂😂😂
@einsteinmboje47306 ай бұрын
Glad To Have U Back Queen
@user-gt9mw8is5z5 ай бұрын
Pole kipenzi changu Nakupenda dada Irene you are so strong sis Mungu akutunze ❤
@awadhisarai43316 ай бұрын
Pole sana, Mungu atakupa mwenyewe kher na wewe
@khadijarashidy93046 ай бұрын
Pole sana Irene mungu aendelee kukusimamia
@peninashungu66336 ай бұрын
Pole kwa msiba my dear, mungu akutie nguvu
@damariszuckschwert94896 ай бұрын
Karibu tena dear. Hug dear. Pole sana na Mungu azidi kukuimarisha.
@gracekagoma32316 ай бұрын
Pole sana dada.Life continues
@tabithamboya81916 ай бұрын
Pole sana na Mungu aendelee kukutia nguvu
@user-ku8lh7wl8v5 ай бұрын
Kwanza pole San kamureeen kwakumpoteza mumewe 😭😭😭😭ila welcome back mungu akusaidia ktk safari hii mana sio rahisi 😭😭
@rachelmcharo39345 ай бұрын
Tabasam lako , nafurahi kuwa unaendeleaje
@LadyveenOfficial6 ай бұрын
Pole, Mungu aendelee kukutia nguvu . Welcome back
@tusekonga30306 ай бұрын
Welcome back Kamureen❤
@irenekamugisha6 ай бұрын
❤❤
@barakakamuhabwa29136 ай бұрын
Pole Sana. Lakini ww bado ni mrembo usijali shem watakuja wengine
@queenmilan20246 ай бұрын
pole sana my dear. uko very strong. welcome back
@homeandaway28116 ай бұрын
Yani kweli Mungu huwapa mitihani migumu zaidi wale askari wake walio strong, Kamureen is a VERY STRONG WOMAN , Mungu hatomuacha, amempa jaribu atamsimamisha.Tumuombee Mungu aendelee kumtia nguvu.
@robbyissack85756 ай бұрын
Nimempenda bure huyu mama
@joshuanjau34296 ай бұрын
Poleeee dada na hongera kwa ukomavu kiakiliiii🙏
@jamilaathumani54815 ай бұрын
Pole da Irene..vip lafiki yang Irene ambaye na wewe pia nilafiki ako alikupa pole na salam zangu?? Kuwa Nina mtoto wa wifi angu mnafanana kama mpo pacha vile..alikuonyesha picha zake?..Kwa jina ni jamila shabiki yako rafiki wa irene ambae na wewe pia nirafiki yako
@HawaAhmed-yj8wo5 ай бұрын
Asanteni sana, naomba namba ya huyo mama mshauri.
@salamamohamed8435 ай бұрын
Pole Irene,ila duuuh kungwi yupo vizuri
@zainabunajema1915 ай бұрын
Pole sn kpnz, ❤ nakupenda mno
@user-eg8vz4cm2n5 ай бұрын
Pole sana, dear kwa kuondokewa
@noorrajpar39286 ай бұрын
Pole dada kwa kufiwa 😢
@chakubanga56565 ай бұрын
Pole na karibu kutufunza tena
@dayana5513story6 ай бұрын
Welcome back Irene pole sis,uyu aunty umeongea ya moyoni mwangu God bless you 💖
@nurukinyemi36766 ай бұрын
Pole sana my dear !mungu akutie nguvu
@felisterjoshuamollel39305 ай бұрын
😢Pole sanaa Da irine Mungu akutie nguvu
@kagoyemwambal90616 ай бұрын
Asantee lla wanawake waongo..lkn wanaume wamezid..uwongo tena uwongo Wawa kuua kabisa mana kaa
@khurlainashly56866 ай бұрын
Pole sana aise mama jasiri ❤
@shanimbaruku20716 ай бұрын
😢Pole sana kipenzi dah
@lainessmwombeki79196 ай бұрын
Welcome back. Hugs hugs hugs
@joakimlotho61176 ай бұрын
pole sanaa irene
@rhobywerema69965 ай бұрын
Pole sana irene
@dikodikson5596 ай бұрын
Pole kwa msiba
@hadidjaissa91545 ай бұрын
Mungu ananjia zake
@user-nn7uf1mr7x6 ай бұрын
Nilikumiss sanaaa
@happynescostat74206 ай бұрын
Pole sana nimelia na wewe MUNGU akupe nguvu
@delinevamwakapasa69485 ай бұрын
Hongera Sana mamaangu
@gerraldgready80516 ай бұрын
Pole sana dada angu
@hadidjaissa91545 ай бұрын
❤pole my dada
@salamakitule-38566 ай бұрын
Pole sana dear
@TheAfricanmusica6 ай бұрын
Pole sanaa
@priscarichard97195 ай бұрын
Courageous woman 🥰
@aminanamoyo836 ай бұрын
Pole mpendwa ❤
@sadayakubu36786 ай бұрын
My love sister ❤ nipo darasan hapa
@samiaselemani50945 ай бұрын
Madam wangu wa Civics au namfananisha
@KailimaMihiko-fn8mn5 ай бұрын
Hujamfananisha ni madam Kamandwa, wewe ni Samia Selemani nakukumbuka sana mwanangu
@auntiemylee31576 ай бұрын
Pole
@user-nu9wl6ez5d5 ай бұрын
MUNGU bado atabaki kua ni MUNGU, mshukuru kwa kila jambo yote na mapenzi yake