Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe play.google.co...
Пікірлер: 43
@homeandaway28116 ай бұрын
Nimefuhia kumuona Kamureen akicheka, God bless you, Pilipili, for bringing that smile back on our sister's face ❤
@irenekamugisha6 ай бұрын
❤
@elizabethmtenzi9706 ай бұрын
@@irenekamugisha,Take heart Mungu aendelee kukufunika!
@noelmarapachi18086 ай бұрын
Yaani nafurahi sana kukuona Irene unacheka mpaka mbavu zinavunjika😂, im so happy for you Irene, Mungu wa Mbinguni aendelee kukuimarisha, yeye Hatokuacha wala Hatakupungukia endelea kumtumaini yeye.
@ashaidd29126 ай бұрын
Irene sana umecheka hadi raha mungu akuongoze❤❤❤
@sophiasophia97136 ай бұрын
Ahsante MC kwa kumchekesha Irene❤
@mwanamkeshujaabongoflavama71806 ай бұрын
Nime kupenda mtangazaji ❤❤❤❤ great interview 😊
@winnieamanya6656 ай бұрын
❤❤napenda vile mjungaji anajielewa na kujiamini🥰💕
@bintalmasi23936 ай бұрын
Irene Hongera, mc ameongea vizuri hapo kwenye ushauri wa ndoa. Ukimpata Fiona Nkya ana somo zuri kwa mabinti
@irenekamugisha6 ай бұрын
Nitamtafuta
@braggadachu17236 ай бұрын
Broo hayuko sawa😢 pole kaka toa hilo breach
@hopechidera5 ай бұрын
Bleach not breach...
@Yness-vh4yy6 ай бұрын
Mimi nilijuwa tuu walikuwa hawaendani
@michelinemapendo66526 ай бұрын
Muchungajiiii Kaela rangi kichwaniiiiu😢😢😢khaaaaa
@Yness-vh4yy6 ай бұрын
Huyu ni amechanganyikiwa!
@user-yv7xg4em4s6 ай бұрын
Mchngaji hizo nywele kweli
@JumaMohammed-ch1sm6 ай бұрын
Tuletee na dr elie v d waminian da irene
@fauziasultanikilewa76026 ай бұрын
Mc pilipili ana ng'ong'o😂😂
@sekikigosi82656 ай бұрын
Nakumbuka kwenye ndoa yao aliapa kuwa atakuwa na mkewe wkt wa raha tu sio shida na raha na watumishi mbalimbali wakasema arudie kile kiapo hakipo sawa lkn hakuwasikiliza.
@BrightonGetrudaCharles6 ай бұрын
njeleka saivi ni second master mkonze secondary
@aminakazogolo22296 ай бұрын
Nimependa hii interview😂😂😂😂
@fredrickmaziku19525 ай бұрын
good
@cmoshi70146 ай бұрын
HIVYO VYOMBO NDIO VINAWATENDA SASA. KWANZA UNAMKOSOA MUNGU. TUMEUMBWA KWA SURA NA MFANO WA MUNGU HAKUNA MTU MBAYA DUNIANI. NDIO MAANA YANAWAKUTA YA KUWAKUTA.
@israeluronu99586 ай бұрын
Pilipili jmn, sasaa kwann unapenda kuzungumzia mahusiano yako sana. Bora ungenyamaza tuu jmn. Halafu huyu Mena sialisemaga hataeza kumuacha mume wake hata akimfumania. Nn tatizo sasa
@LyidiaSilayo6 ай бұрын
Dada erena kamugisha naomba kukuliza padre faustin kamugisha ni kaka yaka nijibu please.
@irenekamugisha6 ай бұрын
Hapana mpendwa
@sulleyally50406 ай бұрын
Uliongea sana ww wakati stamina ndoa yake ilivyovunjika ss hv zamu yako kaka hiyo ndio ndoa
@jeremiahcharles60276 ай бұрын
Mtumishi anaweka rangi kwenye nywele🤐🤐🤐🤐
@michelinemapendo66526 ай бұрын
Khaaaaa😢
@RachelMligwa5 ай бұрын
Hizo nywele hazijalupendeza pilipili
@zuwenasalim27946 ай бұрын
Mc pilipili uwe unatulia bas kwa int,
@nyandichearts6 ай бұрын
Pepo mchugaji😢
@Yness-vh4yy6 ай бұрын
Mc kachanganikiwa na kaweka nywele yellow
@gracemil97146 ай бұрын
Hiyo rangi haijakupendeza
@musokedios81626 ай бұрын
Mchungaji tena,dunia ina mambo hii
@kokusimandyamukama65376 ай бұрын
Ila nyie mbona kama hajiamini
@hopechidera5 ай бұрын
Mbona anajielewa tu jaman na kujiamini...
@ramermohamedy43446 ай бұрын
Mwanaume unaongea km choko
@Yness-vh4yy6 ай бұрын
anaongea sana
@judithkatabaro32946 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂eti mtoto hana akili imrbakia tatu tu kifikia zero😂😂😂