Kweli kabisa, kila mwenye kusubiri yupo pamoja nae, Allah atupe subra na Imani……Insh’Allah!!!!
@gilliardgodfriend574510 күн бұрын
Mimi nimeipokea kwa ukubwa sana ❤❤ Mungu azidi kutuletea watu kama wewe wanaotukumbusha ni yeye tuu mwanza mpaka mwisho alikuweko na atakuweko
@abdinoorkamau974510 күн бұрын
Masha.Allah may Allah akupe umri mrefu insha.Allah..❤🙏
@mrishojumaamrisho321210 күн бұрын
Nzuri sana hii
@zuwenarajab69510 күн бұрын
"Sallallahu alayhi wa sallam” Allah akuafu na ugua pole sana brother! Allah akujaalie maisha yenye kher na barka tele. Asante sana, hasa hapo kwa watoto ndio ngoma nzito. Yaaani wanabomoa fikra za watoto sana. Allah atuongezee vizazi vyetu na uzao wa vizazi vyetu kwani hali inatisha san.
@shaabanramadhan677010 күн бұрын
Maashaallah topic nzuri sana
@sharifahabsi50047 күн бұрын
Pamoja kaka
@aysherkabby593710 күн бұрын
Ya’Allah!!! Insh’Allah tupe mwisho mwema, tuondolee majaribu, tupunguzie maradhi, na utulinde….. Aamin Yaarab!! InshAllah 🤲🏼
@tigris_19210 күн бұрын
Amina
@djsma25510 күн бұрын
Amin
@cdeegwau5519 күн бұрын
Ameen Ameen..!
@magezahassan122410 күн бұрын
Hbd Big bro more life ishi saana
@djsma25510 күн бұрын
Amin assnte
@abdullmakame14410 күн бұрын
Big Up. DJ SMAA
@ringicnation372210 күн бұрын
Good advice
@denislramadhani785710 күн бұрын
Asnt sana sma kwa maneno haya media nyingi zimekuwa zimejikiti sana kwenye mambo yao bila kukumbuka kuwa yupo alie juu ya yoote .. Mungu na awabariki nyote
@fadhilngalanda752010 күн бұрын
tunatanguliza duah zetu kwa Mola wetu aliyetukuka akujaalie kila lenye kheri kwenye maisha yako happy birthday to you @Dj sma
@djsma25510 күн бұрын
Amin kwa sote
@claudepaluku184210 күн бұрын
happy birthday to you DJ Snake 🎉🎉🎉🥪🥪
@abeidbarros16866 күн бұрын
Happy birthday icon🎉
@aysherkabby593710 күн бұрын
Happy Birthday DJ Smaa!!! Long life,Healthy and Happiness…. Insh’Allah!!! 🎂🎁🎉🎂
@djsma25510 күн бұрын
Asante
@Safi070110 күн бұрын
Happy birthday, dear 🎉🎉🎉🎉🎉
@kingsolomoni-xp3dv9 күн бұрын
Leo ni yakwako na kesho ni yakwako
@KilomboiNguma9 күн бұрын
Asante San dj sma fuse podcast
@lodricophd72810 күн бұрын
Dj smah 🥹🥹🙏🏻
@assateke719910 күн бұрын
Age with grace brother in faith 🙏... May Allah grant anything good he bestowed for you here and hereafter. Happy birthday 🎂
@djsma25510 күн бұрын
Amin kwa sote
@ismailvuai30357 күн бұрын
habari ndugu nataka kukukapa ushauri mdogo pale ambapo unasimulia simulizi unapotaja maneno ya mwenyezimungu ikiwa QURAAN Au HADITHI jaribu kuondosha music ambao upo nyuma wakati wa kusimulia kwa sabab hicho si kitu kizuri kwa maadili ya uislamu wetu kazi njema
@djsma2556 күн бұрын
🙏
@WILLY_SKY110 күн бұрын
Happy birthday Dj Sma
@kingsolomoni-xp3dv9 күн бұрын
Mungu anataka watu watafute kwaeababu ipo
@Karimchembela6 күн бұрын
Hujitambui wewe hiyo ahad tangu kwa Adam na Hawa lazima utafute kwa tabu na mwanamk atazaa kwa uchungu
@kalizabongo25510 күн бұрын
Hakika, maisha ni kupambana kila siku kwa juhudi na nidhamu, huku tukiamini kwamba riziki ya halali tayari imeandikwa na Mungu. Kazi yetu ni kutafuta kwa bidii, kwa uaminifu, na kwa subira, tukijua kwamba Mwenyezi Mungu haachi juhudi za mja wake zikipotea bure. Funguo ya mafanikio ni kuendelea kupambana bila kukata tamaa.
@sa3dasa3da8710 күн бұрын
Mfano mzuri wa allah atakachopanga hakuna wa kupangua,ni hivi juzi wale waliovamiwa mume akatummbukizwa kwenye shimo afie huko na mke kwenye shimo lingine afie huko na mtt wakaondoka nae wasijue cha kumfanya,hivi ninavyoandika sahii wote wameokolewa wapo pamoja hakuna aliekufa
@HUMAID_FITNESS5 күн бұрын
Nahisi kuchanganyikiwa 😅 Dj kuhutubia na sio kurusha watu majoka
@harrsmgaya814110 күн бұрын
@DJsmaa Naomba uluhusu na wageni wenye mtazamo na mindset kama yako !! Ina tu faa sana ..ombi please .#mdau wa SNS📌
@djsma25510 күн бұрын
Hamna shida, nikisha anda setup nitkuwa napokea wachangiaji
@allahisone63866 күн бұрын
@@djsma255❤❤
@kingsolomoni-xp3dv9 күн бұрын
😂😂😂 riziki anatoa MUNGU ila usilale sasa kama anatoa, alafu nimetoka kutafuta utoaji wake hapo unausikaje UTOAJI WA MUNGU UPO KIIMANI NA UPATIKANAJI UPO KIMATENDO kwaiyo ukitenda ndio umepata haiusishi riziki hapo
@kingsolomoni-xp3dv9 күн бұрын
Andiko ulilo lisoma kwenye mathayo hujawai kuligeuza upande wa pili usinge wasomea watu wako hilo neno linauwa Kweli ww unaweza mwambia mwanao asiisumbukie kesho yake mfano akatolea ndege hivi ni kweli ndege hulishwa mm naona ndege huangaika kutafuta chakula Chao