Рет қаралды 51
Floresta Tanzania
Floresta Tanzania inawakaribisha wananchi wote kushiki katika zoezi la upandaji miti mkoani Kilamanjaro kuanzia tarehe 1/11/2022 mpaka tarehe 30/11/2022, wakiwa na malengo ya kuotesha takribani miti 700,000