Nahitaji kujiunga na shirika naomba muongozo naanzia wapi niko kibaha
@willbertherbazil421215 күн бұрын
Habari mimi nimekuwa nikivutiwa sana na umoja huu tafadhali naanzia wapi kuwapata ili na mimi nijiunge na umoja wa floresta Tanzania
@salimahmedabdallah4987Ай бұрын
Hello Ndugu, naomba number zenu za mawasiliano mimi ni mkulima mdogo kutoka mombasa kenya nimependa aina ya Saanen mliyo nayo.
@MedronundersonMkuyu2 ай бұрын
Nyanya ndugu angu mahindi yana pambana yenyewe
@JohnMwangi-z1o4 ай бұрын
Wao
@omarikhalfani84284 ай бұрын
Namba zako
@JeremiahSiriwa4 ай бұрын
Muhimu
@EstherGodfrey-hv5jp6 ай бұрын
🎉 hongera Floresta
@Esthernyondo-t2n8 ай бұрын
thanks
@BnyMangi11 ай бұрын
Naomba na mm niwe miongoni wa kikundi
@BnyMangi11 ай бұрын
Napenda sana ufugaji
@GeofreyGwae Жыл бұрын
Mpo wapi
@graceipokela Жыл бұрын
Unapatikana wapi naitaji kama unauza
@florestatanzania4419 Жыл бұрын
Anapatikana, Siha mkoani Kilimanjaro
@marthagasper915 Жыл бұрын
This is very great congratulations Mreri and Floresta Team
@maymwageni5978 Жыл бұрын
Naomba namba yako ya simu
@maymwageni5978 Жыл бұрын
Unapatikana wapi dada mzuri?
@maymwageni5978 Жыл бұрын
Naomba kujua Bei a mbuzi
@massawelu3804 Жыл бұрын
Hongera sana Abby, Mungu akutunze. Na wengene wajitahidi kwa hilo. Yote yanawezekana
@elijahpatty4057 Жыл бұрын
Hii ndio maana ya super woman. Hongera Abigael..
@dafrozasamagwa4764 Жыл бұрын
Hongera sana Abigael, wewe ni mwanamke wa nguvu
@mfinangaexaud3492 Жыл бұрын
Wanawake mmeishika dunia kwa kweli....wanaume tunaparangana huko na huko lakini mama anajua nakula nini na watoto wanakula nini...sauti ya mwanamke isikilizweee
@sungwasinda2035 Жыл бұрын
Sisi wanaume Tunaungana na wanawake kusherekea siku juu yao..
@martinmahu68 Жыл бұрын
Mr . Blasio my classmet hongera kwa kazi nzr
@ankoharunacomputers9709 Жыл бұрын
Nmeipenda sana... Mnapatikana wapi Mr.. utaratibu mzima wa upatikanaji wa mbuzi ukoje...
@judithmakange83022 жыл бұрын
Kuwakumbuka wahitaji ni jambo jema sana, Mungu ameahidi mibaraka, keep going Floresta
@haihatimsuya51352 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, mwenyezi mongo awajalie moyo huo huo wa kugusa wenye uhitaji
@dafrozasamagwa47642 жыл бұрын
Hongereni Floresta kwa kazi nzuri
@florestatanzania44192 жыл бұрын
Asante sana
@massawelu38042 жыл бұрын
Kwa pamoja, tutarejesha theluji ya mlima Kilimanjaro!
@florestatanzania44192 жыл бұрын
Asante sana
@selemanmsuya89212 жыл бұрын
Unatumiaje mchanganyiko huu kwenye nyanya????
@frankmbamba53992 жыл бұрын
Somo lipo vizuri ila ningependa kujua kwa zao kama nyanya unatumia vipi Mchanganyiko huo na ikipendeza zaidi njia za kibiologia za kumvutia kipepeo (pheromones) wa huyu mdudu Asante
@chonghoswe62552 жыл бұрын
Chumv y kurmbr hamjaekea
@chonghoswe62552 жыл бұрын
Safii dadaa
@jan67032 жыл бұрын
Somo kama hili mnazuia ku download kwa nini?
@zakariandisha43102 жыл бұрын
Somo limekaa vizuri. Kwenye nyanya inatumikaje?
@florestatanzania44192 жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa somo
@brotherlee42652 жыл бұрын
Hongera sana. Nina maswali mawili ambayo ni: 1. Kwa wastani mbuzi hao wanatoa lita ngapi kwa siku endapo watafugwa kwa kukamilishiwa mahitaji yao? 2. Mbuzi hao wanaweza kuhimili hàli ya joto na "high humidity" na bado wakatoa maziwa mengi?
@mwanatz59802 жыл бұрын
Asante mtoto mzuri.
@mwanatz59802 жыл бұрын
Hongera Mama
@marthagasper9152 жыл бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri
@Shepochannel8502 жыл бұрын
Wow! Great video so amazing and motivating
@nicodemusqoryo5862 жыл бұрын
Ppl
@hassangauday62722 жыл бұрын
Nahitaji mbuzi wa kisasa
@tabithamkazeni73852 жыл бұрын
Impressive
@ambrosmathias5882 жыл бұрын
Good work Floresta Tanzania
@ngendochacha50742 жыл бұрын
Healing the land and its people in action. Kazi ya mikono yako Mungu huwa anaibariki siku zote ikiwa itafanyika kwa bidii na maarifa. Mungu ametupatia maarifa na ameweka roho ya bidii ndani yetu, tunazo sababu za msingi kabisa za kutunza na kuhifadhi mazingira yetu. Anza sasa!
@richardmhina95372 жыл бұрын
Tunashukuru Abigael kwa kutupatia elimu hii nzuri. Mungu akubariki katika masomo yako, ufanikiwe sana ukaelimishe jamii kubwa zaidi
@dafrozasamagwa47642 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@leonardrevelian47332 жыл бұрын
No mama naipataje
@bestrabbits62082 жыл бұрын
Hongereni sana mradi mzuri huu , mnapatikana wapi?
@florestatanzania44192 жыл бұрын
Shirika linafanya kazi mkoa wa Kilimanjaro. Ofisi zipo Moshi jengo la NSSF ghorofa ya 9