Foleni ndefu bado zinashuhudiwa kwenye ofisi ya Pasipoti jumba la Nyayo House

  Рет қаралды 7,834

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Licha ya vitisho vya waziri wa usalama Kithure Kindiki kuhusu utepetevu wa maafisa wa idara ya uhamiaji, maelfu ya wananchi bado wanahangaika kupata paspoti zao. Baadhi ya watu wanalazimika kwenda kila siku katika jumba la nyayo kutafuta hati za usafiri huku baadhi wakisema wamesubiri mwaka mzima. Ben kirui alizungumza na baadhi ya wakenya ambao wamekosa nafasi za kazi kwa kutopata paspoti kwa wakati unaofaa.

Пікірлер: 36
@stefanogizzler
@stefanogizzler Жыл бұрын
Huge Shame to Kindiki and others, just mere empty tough talk, Ramifications of extreme corruption in the country. Bure kabisa. Our leaders are useless to the core.
@selinakitoli825
@selinakitoli825 Жыл бұрын
I went in uhurus time only 3 weeks I got Myne throw post office haki nairobi wachie jeshi it will do better work
@MCLaboo11
@MCLaboo11 Жыл бұрын
Welcome to Kenya where kuomoka lazima uende Ng'ambo but serikali inasema zii hatutoki Kenya🤭🙈Acha ibaki story🙌🙆‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
@felistuswanjiku6174
@felistuswanjiku6174 Жыл бұрын
Customer care officers are the most barriers
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
I appreciate Mim in 10 days to like 15 nilikua na PP ya mine na sio tafadhali
@zion4102
@zion4102 Жыл бұрын
Ulitoa hongo
@lovvy854
@lovvy854 Жыл бұрын
@@zion4102 sikutoa hongo but ile kujuwana pia ilini boost na hio ni PP ya 3 kunipata in two weeks connection muimu
@khadidjabettahar4700
@khadidjabettahar4700 Жыл бұрын
Sijui kama Mr president anaona hizi story aki nilikosa kazi majuu cos ya passport Hawa ni mashetani wenye wako office wamekosa mapembe tu na mkia
@lucykinyanjui6334
@lucykinyanjui6334 Жыл бұрын
Ndio kenya economy iko chini kazi ya tu ni wakule
@mr.innovator3470
@mr.innovator3470 Жыл бұрын
Consequences of voting in "hustler".
@ronadechesko6678
@ronadechesko6678 Жыл бұрын
What do you expect kama kindiki aki ongea na saprano, 😂😂 toeni za macho uone ama ita Maliza mwaka
@benardoenga2876
@benardoenga2876 Жыл бұрын
Kindiki hakuna KAZI unafanya kuongea ndio mingi kuliko action bro
@daudidaudi964
@daudidaudi964 Жыл бұрын
Kazi ni kazi
@jef996
@jef996 Жыл бұрын
Mine I renewed in 2020 till now it's not yet ready 😭.why are they doing this? Kama kweli kuna Mungu mbinguni ,atuchagulie viongozi wanaojali .He is a God of justice.
@hannahnjau9832
@hannahnjau9832 Жыл бұрын
Sahii nasikia lazima utoe Pesa eti ndio passport itoke haraka this is so frustrating
@doricecyprian7246
@doricecyprian7246 Жыл бұрын
Kumeendaje kweli
@lucykinyanjui6334
@lucykinyanjui6334 Жыл бұрын
Hawa ndio ukopata wanchapwa ka kasia kukula pesa ya watu
@judyoduo9476
@judyoduo9476 Жыл бұрын
Nasikia ukichota 20k inatoka same day
@lucykinyanjui6334
@lucykinyanjui6334 Жыл бұрын
Wote wasimamishwe wamekula.pesa maskini mingi sana
@jamesgathaiya6450
@jamesgathaiya6450 Жыл бұрын
Nyayo inafaa kuchomwa tufungue office ingine hii ile machozi wa kenya wamelia haki
@khadidjabettahar4700
@khadidjabettahar4700 Жыл бұрын
Kenyan government wameshindwa hata kutoa passport if possible twende hata Uganda bwoo corruption corruption corruption wameshindwa na kazi
@English-SomaliTranslationHub
@English-SomaliTranslationHub Жыл бұрын
Why don't make in 5 different counties (cities) instead of that congestion in Nairobi?
@lucykinyanjui6334
@lucykinyanjui6334 Жыл бұрын
Umbwa za watu
@cassandraakinyi3399
@cassandraakinyi3399 Жыл бұрын
Hustler Nation
@vivakenya2549
@vivakenya2549 Жыл бұрын
Serikali ya ujinga
@cassandraakinyi3399
@cassandraakinyi3399 Жыл бұрын
Kabisa
@erickjuma7643
@erickjuma7643 Жыл бұрын
At this rate, what's the fate of those applying in other towns like Mombasa, Kisumu and Nakuru given that all printing takes place in this building?
@erickmunge4758
@erickmunge4758 Жыл бұрын
Funny thing is that those places get them earlier
@AndrewNgethe-ne9jd
@AndrewNgethe-ne9jd Жыл бұрын
Renew mine 11/08/22 up to now have not got it!!!!!!!!
@ellyvujeri
@ellyvujeri Жыл бұрын
You can't tell me that Kindiki and Ruto are not aware that 10k can print your passport in a weeks time
@hannahnjau9832
@hannahnjau9832 Жыл бұрын
Sahii nasikia lazima utoe Pesa eti ndio passport itoke haraka this is so frustrating
Citizen Nipashe | 7th February 2025
31:34
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
Mahakama yasema Kenya Kwanza haina wabunge wengi zaidi
3:06
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Immigration department on spot over passport injustices
5:35
KTN News Kenya
Рет қаралды 56 М.
Young Lionel Messi Was Actually INSANE
14:20
VSP7 FOOTBALL
Рет қаралды 462 М.
Body of child disappears from mortuary in Nakuru
3:32
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 603
Tasnia ya habari nchini inaomboleza Mambo Mbotela
3:22
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 2,3 М.
President Ruto warns drug traffickers in Isiolo
2:39
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 193
Interior CS Kithure Kindiki makes an impromptu visit to Nyayo House
5:26
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН