Waziri Mahmoud Th. KOMBO, hongera sana sana kwa kazi nzuri unayofanya, wewe ni Waziri wa watu na sote tunakupenda sana. Mwenyezi Mungu akupe afya njema na akubariki na kazi hiyo nzuri unayofanya.👍🤲🤲🤲
@sukhailluqman93859 күн бұрын
Tr
@hamiduramadhan60799 күн бұрын
tanzania tunahitaji viongozi kama hawa hongera sana muheshimiwa yaani nakuona upo na furaha sana kukutana na mzanzibar mwenzio
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Sana tu wala si uwongo maana jamaa yangu huyo yupo vizuri sana nchini Somalia Mjini Mogadishu kuliko vile tunavyosikia huku na kudanganyana. Mke wake mmoja Mdogo ni Mdogo wake Mhe. Waziri wa Mambo ya Nje wa Somalia na wa pili ni Mjukuu wa Chief mwengine wa Kabila mojawapo kubwa hapo. Yeye ni Mfalme kuliko Wafalme waliopo huko na maisha yake mazuri sana. Mwenyeezi Mungu amzidishie na amuondoshee Hasada na Husda. Amin.
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Sana sana Nimefurahi kuonana nae jamaa yangu Mpemba!!!
@mohamedibrahim72366 күн бұрын
@@mahmoudkombo5912mimi niko mogadisho na sio vile watu wana dhania watu wa bongo karibuni ni kama second home
@nadirmahfoudh18127 күн бұрын
Interview nzuri sana na pia nimefurahi sana kumuona ndugu yetu H E. Mahmoud Thabit Kombo. Hongera sana, kazi nzuri mno unayofanywa.
@universitylink9 күн бұрын
Asalaam aleykum mashaallah.Niko Hargeysa hongereni sana ni Mtanzania pia..Na watoto wangu wote wanazungumza kiswahili vizuri sana na mke wangu pia ninemfundisha na alikuwa Tanzania kwa miaka sita amejua kiswahili vizuri
@AhmedZahor9 күн бұрын
Naikumbuka Hargesa nilipo kua nakwenda Busaso
@universitylink9 күн бұрын
Safi sana
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Safi sana namie ni mtu wa Muungano na natamani sana Umoja wa huko kwenu Hargeysa uwe pamoja na Mogadishu for One Strong Country kama United Republic of Tanzania.
@universitylink7 күн бұрын
Mtu wa muungano unakusidia ZANZIBAR NA TANGANYIKA AU MTU WA MUUNGANO KATIKA MKOA WA DODOMA. YEAH TUNATAMANI WAUNGANE ILA NI NGUMU SANA NORTH NA SOUTH KUWA PAMOJA THOUGH WATU WA KASKAZINI WANAKUJA HUKO KUFANYA KAZI PIA MPAKA SASA
@fatumatandika62209 күн бұрын
Hongera sana Mhe.Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa ucheshi wako uko vizuri sana
@feisalomarakayesu8 күн бұрын
Hongera waziri uraia pacha ni muhimu
@TALLUBOY8 күн бұрын
wapemba kwa kuzaana siyo mchezo conglatulation broh we are together
@eddieeddie27558 күн бұрын
Congratulation
@mohamedibrahim72366 күн бұрын
karibuni kwa somalia we are one peopls
@tellackyabdul93124 күн бұрын
Mashaallah ana wototo 10 Mashaallah❤ أسأل الله أن ييسر له أموره
@jumahamad37239 күн бұрын
Ndugu yangu Allah akuzidishie afya njema ww na familia yako Mpemba mwezako wa kiuyu nakuja ukouko Mogadishu kukutembelaea
@FahadAbubakari-y3f9 күн бұрын
Hongera sana mheshimiwa
@SaidIssa-tq3yv9 күн бұрын
Asante ustadh mahmoud , greetings from kibokoni unguja,
@hassandinhoosmail63789 күн бұрын
Masha'Allah. Baraka'Allahu fiikum. Seedi. Allah akupe umri mrefu na afya njema insha'Allah.🙏👍
Niseme tu Allah amekupa kipaji cha kuongoza na InshaAllah iko siku utaiyongoza zanzibar
@rwekazamugasha64488 күн бұрын
Maisha ni popote ila ijishulishe na siasa ,ila tafuta riziki ya watoto 😊
@FuadMohamed-k7o6 күн бұрын
Tanzanians , Somalia is your country. You are most welcome. ❤❤❤❤
@RoanCorporation7 күн бұрын
Waziri Kombo ny machine! popote unakwenda anapeleka juu bandera za nchi yetu !!
@mwanamutemi9 күн бұрын
MaaaashaAllah Kipindi hichi natumai kitanisaidia kuelezea tatizo LA DHULMA ya Kijana wa shemeji yangu ambae ADHULUMIKA HAKI YA BABAKE MZAZI ZANZIBAR SABABU TU YA UTAMBULISHO. Si vyema kuweka hizo habari hapa lakini ningepata direct contact ya Mh Thabit Kombo nitamueleza kwa urefu.
@kamandaraster78997 күн бұрын
Uyo..balozi..mzanzibar.ama.vp😊
@ahmedalbalooshi85189 күн бұрын
Kuna kuhamia kwa mapenzi au kutaka mwenyewe,na kuhamia kukimbia mauwaji au mateso.
@SalumMohammed-r8n8 күн бұрын
Nimependa sana hii
@mohdmohd84288 күн бұрын
Ukimtenga ndugu yako atatafuta mbadala na akijipata utajuwa, leo mpemba yupo marekani kenya somalia🎉
@yasminally10157 күн бұрын
Asallam maalequ Maashallah Maashallah Maashallah Allahadulilah Allahadulilah Allah hjelp you Ishaallaha Ishaallaha ❤🎉🎉🎉
@eastafricaqualitychickenfa99169 күн бұрын
So kwa wapemba ni sheriya ya Mungu aliyo waekea waisllam au Waumini wa Dini ya kiisllam
@labunaabouna61229 күн бұрын
Safi somchezo mashallah
@kismayojubba51076 күн бұрын
There is a Tanzanian tribe in southern region of lower Jubba along river Jubba they are called mshinguli in tanzania they are called zigua they came from Tanzania they live so many villages and towns in some areas they the majority
@HabiibAlly-dd4ww7 күн бұрын
Mtangazaji umeihodhi story Haivutii
@husseinally49329 күн бұрын
Tumekuzoea kukuona mara kwa ila siku hizi umekua adimu sana muheshmiwa hongera sana bado tunakupenda sana
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Shukran sana sana
@saidaly82018 күн бұрын
Huyo ni hamis mzanzibar kawasalit wenzake Bada kupat Kaz ya african airways
@RamlaKawambwa8 күн бұрын
Jamaa anaongea kama sheikh abuu iddi muhammad iddi
@shabanihugo83329 күн бұрын
Leta watoto nyumbani Tz
@ahmedalbalooshi85189 күн бұрын
"Rabsha"au MAUWAJI KWA MAKUSUDI KULINDA UTAWALA WA CCM
@ndimimaskati36419 күн бұрын
Hakuna Hagi maalum, watu wote ni sawa na kuwa na HAKI sawa.
@mohamedibrahim72366 күн бұрын
kwa mogadisho wana ishi upande gani
@abdullahihussein68368 күн бұрын
Tupeni nchi yetu kwanza tupumuwe ,hizo hadhi maalum baadaye
@kyaro59459 күн бұрын
nduhu yangu jitahidi watoto wapate pass za tz. pls pls
@ibrahimsheha2159 күн бұрын
Yanini paspot ya Tanzania
@AhmedZahor9 күн бұрын
@@ibrahimsheha215 Shekhe wangu inamana sana ila ukiwa na neema huijui umuhimu wake mpk ikutoke
@janerouhassanjanerou79339 күн бұрын
Passport za kisomali zina nguvu kiasi hata wakitaka kwenda nchi za nje kujiripua ni rahisi
@mashakabundala99559 күн бұрын
Wewe achaa unaweza kulinganisha passport ya Tz na somali acha basii
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Watapata tu hao tayari kila kitu!
@homeboybeyondtheborders49358 күн бұрын
Kwa nn diaspora anatoka ughaibuni kwa kurudishwa[deportation] akifika Tanzania anafungwa...wakati yeye hata lengo ni kurudisha nyumbani.the case should be considered for those who had gone overseas for economic opportunities.
@mohamedmuuse4447 күн бұрын
🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
@rayyanibra40769 күн бұрын
Wana diaspora tupo wengi dunia mzima kila pembe ya dunia tupo wapemba ndio usiseme sisi wengine tupo Belgium tuna wake na watt mimi mwenyewe nina watt 4 na bado ndio kwanza na zaaa huu ndio urithi wetu
@AhmedGalab-eh2pc7 күн бұрын
His
@Noorein-ws8wk9 күн бұрын
Abdulkhaliq❤
@AthumaniAbeid9 күн бұрын
Okay
@oscarezekiel18269 күн бұрын
Watu wanahitaji urai pacha kama wenzetu wengine wa East African,kitu gani kinachofanya muwakoseshe haki hio,hadhi maalumu haina maana yoyote ni geresha tu.
@ndimimaskati36419 күн бұрын
Hakuna Hagi maalum, watu wote ni sawa na kuwa na HAKI sawa.Tanzania man sheria mbaya,watu wanaruhusiwa kuwa na Uraia pacha kama mataifa yaloyoendelea.
@AdamDaudy-e6u9 күн бұрын
Kuoa wake wanne siyo upemba bali ni Uislamu kwa mwenye sifa ya Uadilifu
@khamisjuma29478 күн бұрын
Ni jumla ya ule ubaguzi wao walozoea ndio maana akasema wapemba ila hatujali muache tu
@SabihaibrahimRajabu3 күн бұрын
Muheshimiwa humpi nafasi kake
@MaxamedCaliaadan-ch7iv9 күн бұрын
Nawapongeza sana kwa maongezi lakini wengine tume choka kuishi hapa somali tunahitaji pospot ya Tanzania na watoto wetu
@ahmedalbalooshi85189 күн бұрын
Kutokana na mazingira magumu,wengi walioko nje wanawasaidia watu wao nje ya miamala ya kisheria
@stephennyagonde6378 күн бұрын
He is among the worse foreign afairs minister this country has experienced!
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Absolutely!!!
@ModaxMedia8 күн бұрын
Balozi fursa za kiuchumi ni zipi hapo somalia?
@mahmoudkombo59127 күн бұрын
Zipo nyingi sana. Wasiliana na BALOZI wao aliyepo hapa Tanzania au Sheikh Khamis mwenyewe. Kama utahitajia namba zao nitafute kwa namba hiyo hapo juu kwenye reply ya kabla.
@AhmedZahor5 күн бұрын
@@mahmoudkombo5912 Shekh Mahmoud huo mswada wa hadhi maalum lini utapelekwa Bungeni mbona ishakua siku nyingi halimalizi
@mohammedalichannel72937 күн бұрын
Watanzania wako somalia wafukuzwa hao wanatufunga uko tanzania na wako kwetu free.
@abdullaali81028 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/fpS5i2qhgrONgZY Afrika & Faransa
@KamalKamal-m3r7 күн бұрын
Interview nzuri ila kelele zinaskika kama baharini mko
@moa41229 күн бұрын
Hadhi maalum kwa wanaotaka sisi tunataka uraia pacha ili tupate fursa ya kuchukuwa passpoti za kigeni
Yote hayo wanataka watu wajiandikishe kama diaspora wacheze na data kwenye uchaguzi
@ndimimaskati36419 күн бұрын
KATIBA MPYA ni mihimu, katiba ya Ccm haiwakilishi wananchi.
@AmourAbdalla-r6h9 күн бұрын
Sisi tunata uraiya pacha
@njemamehuna98219 күн бұрын
Mheshimiwa hii wizara umefit sana,sio kama yule😅😅
@mselemtumc73448 күн бұрын
kwa waislm wanaruhusiwa Kuoa wake 4 sion wapemba
@alinasor85539 күн бұрын
Mh jecha mchokozi
@njemamehuna98219 күн бұрын
Waziri una akili sana
@robertraymond40856 күн бұрын
Sasa ndio tunaongea lugha moja kati yetu wana Diaspora na viongozi waliopewa kazi hii , tuyamalize jamanieeee mda ushapita ni wakati wa kuachia waziiiii milango ya wana Diaspora sisi ni wazaliwa , tumetokea hukohuko sheli sheli la nazi na dagaa tonge twalijua vyemaaa tunaumia kuona nchi za wenzetu wakifaidia na umuhimu Diaspora wao ... Zanzibar/Tanzania time is NOW lets do this and be DONE for good
@kyaro59459 күн бұрын
wap Somalia😂😂
@khamisjuma29478 күн бұрын
Huyo ni mpemba mjanja sio wa unguja kazi yenu fitna