MAGEMBE AWATAJA WALIONYUMA YAKE KUMBE HAWA NDIO WANAOMPA NGUVU "KANISA LANGU KAMA NYUMBU TU"

  Рет қаралды 22,049

COSTA TV

COSTA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 109
@emmanuelmaneno
@emmanuelmaneno 2 күн бұрын
Hongera sana kwa kazi takatifu nakufuatilia nipo China. Barikiwa sana Mtumishi.
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya 2 күн бұрын
Bro
@YustoChaula
@YustoChaula 2 күн бұрын
Namuona Mzee sahwi ,Mungu ambariki kwa kumtia Moyo Mzee.
@DitrickyMtegwa
@DitrickyMtegwa 2 күн бұрын
Amen 🙏 Mtumishi wa MUNGU Hapo tuko pa Moja tena
@AmbweneMwakyundu
@AmbweneMwakyundu 2 күн бұрын
Mungu akupe nguvu ya kulihubiri neno mataifa wamjue YESU,epuka injili yenye vijembe Mzee utapaa sana!
@JoelJotham-f5o
@JoelJotham-f5o 2 күн бұрын
TAG isonge mbele na Gospel campaign isonge mbele.
@yohanaGabriel-bt2jc
@yohanaGabriel-bt2jc 2 күн бұрын
Nikuelewa
@HellenDaudi-rt8ol
@HellenDaudi-rt8ol 2 күн бұрын
Mungu awabariki sana Baba tunawapenda,hatupendi migogoro ila Neno la Mungu ni muhimu maishani mwetu tunaomba accounts bc Baba
@leonardliberath2664
@leonardliberath2664 2 күн бұрын
Nenda katika KZbin channel yake
@ErickWankuru
@ErickWankuru 2 күн бұрын
Amina baba. Kazi ya Mungu isonge mbele
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 күн бұрын
Asante yesu unaesimama na watu wako
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 2 күн бұрын
Hii game ni noma sana, Hizi taasisi ukisikiliza kwa makini utaona kuna ibada ya Mungu ila ukisikiliza kwa makini sana utaiona Biashara ndani yake. Mawazo yangu yaheshimiwe
@hosealutangilo5058
@hosealutangilo5058 2 күн бұрын
Ni kweli mawazo yako tunayaheshimu, ila makanisa hayajengwi na malaika...Hulazimishwi kutoa sadaka ikiwa nafsini mwako unahisi unaibiwa!
@emanuelnjiku7354
@emanuelnjiku7354 2 күн бұрын
Kunatafauti ya kumjua yesu na kumsikia yesu ukiwa humjui na ukiwa unamsikia yesu utaona kunabiashara lakini pia ukikosea kumchagua yesu lazima uibiwe maana ndaniyake wapo ambao wamekaa katika namna ya kristo na kumbe sio kwahiyo lazima wakufanye wwe biashara ila ukiongozwa na Roho akakupeleka sehem sahihi ata vyote toa kwa bwana ujipatie uzima kwa mali za udhalim maana unakuja wakati fedha hazitotumika
@pendosailo1989
@pendosailo1989 Күн бұрын
Kabisa....
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv Күн бұрын
@@emanuelnjiku7354 kwa heshima kabisa jina YESU huandikwa kwa herufi kubwa, naheshim mawazo yako na ww jifunze kuheshim ya wengine, unajuaje kama mtu hamjui Yesu.? Ivi kisa cha huyo mchungaji kung'atuka umekifatilia vizuri??? Ivi umesikiliza maneno yake kwenye hii clip vizuri??? Kumjua Mungu kunaanzia ndani ya mtu kwanza kabla ya kushawishiwa....
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 күн бұрын
Bwana yesu usinipite unapowagusa wengine usinipite
@judithmwamakula6535
@judithmwamakula6535 2 күн бұрын
Amen. Mungu ni mkuu sana
@bartonlesilwa2153
@bartonlesilwa2153 2 күн бұрын
Amen pastor
@richdsr3517
@richdsr3517 2 күн бұрын
Hili KANISA LITAKWENDA MBALI, WENGI TUTACHANGIA maana hakuna shaka hii siyo biashara
@GraceDatho
@GraceDatho Күн бұрын
Baba ubarikiwe sana kwa uamusho wa kanisal
@mwlswaiw.joseph5351
@mwlswaiw.joseph5351 Күн бұрын
Mzee WANGU nakutabiria ushindi, MAANA UNAYO MABAWA YA KURUKA Sina mashaka na YESU WAKO.
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 2 күн бұрын
Nipo omani nakufatilia sanaa mtumishi Mungu wetu mwaminifu
@DavidKilusu-p4d
@DavidKilusu-p4d 2 күн бұрын
Sasa nimeziona, Mungu awabariki sana.
@AyubuHeshima
@AyubuHeshima 2 күн бұрын
Amina Mungu awe pamoja nanyi
@GIDIONNGONDYA
@GIDIONNGONDYA 2 күн бұрын
Mungu . Akubariki
@BenardPaul-t4x
@BenardPaul-t4x 13 сағат бұрын
Baba tupo nyuma yako kiongozi mkuu yesu kristo namajeshi yake yakiwabere kushinda nilazima
@joakimkasian1899
@joakimkasian1899 2 күн бұрын
Pastor MUNGU akubaliki sana
@mosesmsimbe5756
@mosesmsimbe5756 Күн бұрын
Barikiwa sana
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 2 күн бұрын
Barikiwaaaaaa Bishop
@chachamturi259
@chachamturi259 2 күн бұрын
Safisansmzee chapakazi maana tag imelala waaaamshe uwaelekezenjia barikiwamno
@emmanuelrweikiza6117
@emmanuelrweikiza6117 2 күн бұрын
Tunabarikiwa na huduma yenu COSTA TV ila muwe makini na uandishi wa vichwa vya habari hasa zinazohusu Mungu na watu wa Mungu.
@EmmaroseJoseph
@EmmaroseJoseph Күн бұрын
Uamsho uamsho uamsho❤❤❤
@EricTrillz
@EricTrillz 2 күн бұрын
Ole wake afanyaye kazi ya Mungu kwa ulegevu.
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 2 күн бұрын
Good work. 🇿🇦
@asifiwedeus4122
@asifiwedeus4122 2 күн бұрын
Kanisa liko wapi jamani
@YupoMartin
@YupoMartin 2 күн бұрын
Zambia tunabalikiwa
@lupamwakabenga1716
@lupamwakabenga1716 2 күн бұрын
Amina,,,from Chingola
@pastoremmanuelmwabulambo8260
@pastoremmanuelmwabulambo8260 2 күн бұрын
Aminaaa Tupo pamoja Baba
@willmjuma5354
@willmjuma5354 Күн бұрын
Now God hath given you a space and you will flourish
@swedywamba5535
@swedywamba5535 2 күн бұрын
Mimi ni muislam but nakufatlia sana mzee magembe afu mbona umefanana na trump?
@elishamsomba6770
@elishamsomba6770 17 сағат бұрын
Idadi hiyo je ni nje ya watu waliohesabiwa tayari kama wakristo duniani au ni wale wale
@Shalom803
@Shalom803 2 күн бұрын
Mzee Magembe naomba account ili nichangie gospel campaign❤
@makarabekakassim9967
@makarabekakassim9967 Күн бұрын
Utaibiwa wewe!!
@MinzaKazungu
@MinzaKazungu 12 сағат бұрын
​@@makarabekakassim9967heri kumtolea bwana utalipwa mema, kuliko kumtolea Malaya
@mosesmligo9614
@mosesmligo9614 2 күн бұрын
Ukimfukuza kaz kinyozi Kwa Saloon yako Umefukuza na wateja.
@martinoyugi421
@martinoyugi421 2 күн бұрын
Omba Mungu akupe waombezi watakao omba na wewe.
@binmarshal8226
@binmarshal8226 2 күн бұрын
Najua wapo wanao pingana lkn niseme sio vzr kukosoa Kkanisa lazamani mtandaoni lkn pia viongozi wake hawapo tyar kukosolewa ndani ya kanisa na mambo ya kukoselewa ni yale yasiyo mpendeza Mungu, hata kanisani emergine ni wakati wa sunday school unakosoa jambo la kanisa au taasisi mch anaonyesha kukerwa.nalo lkn ukisifia tuu wewe ni rafiki na makofi utapigiwa,huo ni udini kama dini nyingine ambao wanaonekana hawana Mungu na ni upagani. Watu ukiwaziba mdomo kanisani watausema uovu huo nje na kwa kuwa Mungu hapendi uovu wapo sahihi. Liturgia kibao kujilimbikizia mali michango mingi kanisani inaelekezwa kwa maendeleo ya mch kuliko hata ya kanisa, sisemi wasipewe ila utaratibu unaotumika sio.mzr unafanya wachngaji wawe wapenda pesa. Sikuu ya wwk kumtegemeza mch, Cas kumtegemeza mch. Cmf kumtegemeza mch, watoto kumtegemeza mch jamani huyu mtoto huyu ana hela anaipata wapi kama sio kumtweza mzazi Utaratibu huu unafanya taasisi iwe na wachungaji pesa kwao ndo kipaumbele lkn wachungaji wa maaskofu wa huko nyuma waliiona pesa kwao ni anasa, unampa mch pesa enzi hizo anaikataa kabisa unaomba umsindikize kidogo ukiwa umembebea bible una iweka pesa ndani yake, lkn sio leo, japo umkini sio wote napia naamini bado wapo wachungaji kama kale ile wapo.
@nicodemuskaje7668
@nicodemuskaje7668 Күн бұрын
Kwa hiyo Magembe hatiki pesa? Hizo za kuwategemeza watumishi zipo kibiblia. Lakini pia wachungaji wengi wanafanya kaxi hii ya mungu 100% ya muda wao. Wana watoto wanafamilia. So kuwategemeza ni jambo zuri tuuu. Na pia waumini hutoa kulingana na aluchobarikiwa na Mungu. Mtu halazimishwi. Nalipenda kanisa la T.A.G kwakweli ni kati ya makanisa ya Kipentekoste lenye mifumo imara ya kiuendeshaji. Sasa hawa wengine wanataka kila kitu wajimilikishe badala ya kupiga injili ya Yesu. Wanaanza sijui kujing'atua mara hivi. Magembe alipewa uinjilist wa kitaifa na Uongozi wa Kanisa. Ameifanya kazi ya injili kwa ufanisi mkubwa sasa amemruhusu Shetani na kumrubuni na kuanzisha Ministry church. Mungu amsaidie na huko atapata pesa nyingi na wafuasi wengi kuliko alipokuwa kwemye injili halisi ya Kristo.
@RaphaelMichael-yx7xf
@RaphaelMichael-yx7xf Күн бұрын
Kanisa lipo wapi
@JohnMusagizibert
@JohnMusagizibert 2 күн бұрын
Mchungaji akaunti namba hatuzioni by mwita edward toka tarime
@Prophete_lutumba
@Prophete_lutumba 2 күн бұрын
God is in total control
@skylevelmedia7581
@skylevelmedia7581 2 күн бұрын
Amen baba
@PaschalJoseph-w2d
@PaschalJoseph-w2d 2 күн бұрын
13:36 mtumishi tupo pamoja tutachangia
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 2 күн бұрын
Mzee atuoni acount
@DavidKilusu-p4d
@DavidKilusu-p4d 2 күн бұрын
Hizo namba hazionekani kwenye screen. Tafadhali ziwekwe basi tuzione.
@florafrancis1598
@florafrancis1598 6 минут бұрын
Hili ndilo kanisa la kweli..full utakatifu
@novatv5575
@novatv5575 2 күн бұрын
SIO kweli kabisa limeanza siku nyingi chini ya mwanao
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 күн бұрын
Siyo na mwanae mwanzilishi wa kanisa siku zote ni YESU KRISTO
@OttoChiduo
@OttoChiduo 2 күн бұрын
Safi sana
@EdesiaEdesiaerick
@EdesiaEdesiaerick 2 күн бұрын
Tunabarikiwa sana mko wapi jamani
@allychavala9979
@allychavala9979 2 күн бұрын
Hahahah Sasa mwanangu utajifanya umeshinda nakupa Hela upige nazo picha badae utaridisha 😂😂😂
@Jonas-t9h
@Jonas-t9h Күн бұрын
Mzee kauwasha moto
@MussaDotto-s9t
@MussaDotto-s9t 2 күн бұрын
Watu kama MAGEMBE hawazaliwi mara kwa mara.
@AhadiMatenga
@AhadiMatenga 2 күн бұрын
Tokea afrika kusini ninatuma salamu zangu na maombi ya kumtiya nguvu mtumishi wa Mungu baba Moses Maghembe, ninaomba nichange pesa zaujenzi na ninaomba address na details zote
@agustinmassawe9559
@agustinmassawe9559 2 күн бұрын
kanisa liko wapi tafadhali
@joycemapunda9915
@joycemapunda9915 2 күн бұрын
Uje ufanye uamsho Arusha tunakuhitaji
@kennedysalanomashairi7187
@kennedysalanomashairi7187 2 күн бұрын
Kuhama TAG haikuwa hekima. Mwanzo umri hauruhusu , pili Wengi watakuwa wakuhamia hili Kanisa jipya , Tatu Vijana wanajifunza visivyo kutoka kwa mzee ambaye amehishimika kwa Miaka. Sikitiko.
@annaemkwama3350
@annaemkwama3350 2 күн бұрын
Kiroboto 😂😅
@binmarshal8226
@binmarshal8226 2 күн бұрын
Jamani tunaomba tujue hyo huduma mpya mzee magembe ipo wapi na tupe acc no tuchangie ujenzi
@TimotheoAlbart
@TimotheoAlbart 16 сағат бұрын
Nenda baba washa
@jacklinejosiah978
@jacklinejosiah978 2 күн бұрын
No. Hatuoni
@hellen9056
@hellen9056 2 күн бұрын
Watumishi wa Mungu mko wapi watakatifu
@martinoyugi421
@martinoyugi421 2 күн бұрын
Tafadhali usiongee tena kuhusu mahali ambapo ulitoka,sasa omba kushinda vile ulikuwa ukiomba.
@EdesiaEdesiaerick
@EdesiaEdesiaerick 2 күн бұрын
Mko wapi wapendwa
@elishamayeka5460
@elishamayeka5460 2 күн бұрын
MZEE MUNGU YUKO PAMOJA NAWE NASI TUPO NYUMA YAKO TUNAKUTAKIA KILA LA HERI
@DottoKomanya-e3c
@DottoKomanya-e3c 2 күн бұрын
Baba tuko naww mpaka mwisho wa dahali
@FellaMbogela
@FellaMbogela 2 күн бұрын
AMENI
@PoulMononi
@PoulMononi 2 күн бұрын
Kabra ya anguko kwanza uta ngulia kibri!!
@camillangowi
@camillangowi 2 күн бұрын
PASTA MAGHEMBE TUNAKUPENDA "UTAKUFA VIBAYA WEWE MSEMO HUU UNAKUMBUKWA NA KILA MMOJA
@ZachariaSandu
@ZachariaSandu Күн бұрын
Ww unajua utakufaje usihukum kifo Cha mwenzio nyny ndio mnaokatusha tamaa watu
@mohamedmkumbwa
@mohamedmkumbwa 2 күн бұрын
Hili kanisa linaitwaje??
@joshuamhagama4311
@joshuamhagama4311 2 күн бұрын
Tupeni namba za simu na benki
@AhadiMatenga
@AhadiMatenga 2 күн бұрын
Baba Mchungaji,tokea afika kusini mimi naomba number zako
@PastorySikanda
@PastorySikanda Күн бұрын
Tunaomba Account
@nicodemuskaje7668
@nicodemuskaje7668 Күн бұрын
Tatizo la huyu Mzee ni kutaka kumiliki kanisa lake binafsi. T.A.G ni taasisi siyo hawa manabii wanaokula pesa za waumini na kumiliki ufahali mkubwa. Mzee kaamua ajing'atue baada ya kupata umaarufu na anaanzisha kanisa ili amrithishe mtoto wake. Sadaka hakuna wa kuhoji zimekwenda wapi. Muwe makini na watu hawa. Ameshindwa nini kuendeleza uamsho akiwa TAG , je TAG hawataki mahubiri ya uamsho?. Fungukeni akili
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee Күн бұрын
Mwacheni aende kwanini kumjadili wakati kaacha mali za TAG bila mgogoro?
@kulwafundi8938
@kulwafundi8938 2 күн бұрын
Amen
@PGM20179
@PGM20179 2 күн бұрын
Hii ni aibu sana. Miaka 50 TAG mzee ulikuwa hujajenga ni kwamba uliona utapoteza. Leo hii Ministry yako unataka miezi 3 ya ujenzi.
@HellenDaudi-rt8ol
@HellenDaudi-rt8ol 2 күн бұрын
Hata kunyamaza ni ibada Mungu, akupe hekima
@yohanaGabriel-bt2jc
@yohanaGabriel-bt2jc 2 күн бұрын
Sapoti kazi ya MUNGU siyo kusema vibaya kanisa
@PolycapySilayo-g9w
@PolycapySilayo-g9w 2 күн бұрын
We PGM20179 / huko majumba sita alikowaachia magari shule na jengo kubwa la ibada alijenga bibi ako? Magembe ni moses kulola wetu hana tamaa na pesa bali kazi ya MUNGU,yaani roho ya kulula ipo ndani yake ,kama eliya,ubarikiwe Baba magembe.
@martinoyugi421
@martinoyugi421 2 күн бұрын
Wacha kuingilia mtumishi muombe,hi ni kazi ya mungu si ya mtumishi Magembe
@PGM20179
@PGM20179 2 күн бұрын
@PolycapySilayo-g9w Hahahahahaha ndio kauli za washirika wa Magembe eti bibi yako😂😂. Kwani moses kulola alifanikiwa wapi? Mbona TAG aliyoikimbia inastawi kuliko ile yake ambayo kila siku migogoro na migawanyika kwa ajili ya vyeo? Mlikoenda sio salama braza. Mmeyumba hiyo ni Ministry kama zilivyo za kina mwamposa, hata mjaeje humo mmeyumbaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
@FemidaMaila
@FemidaMaila 2 күн бұрын
Amen
@HellenDaudi-rt8ol
@HellenDaudi-rt8ol 2 күн бұрын
Amen
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
MCHUNGAJI WA TAWI LA MOSES MAGEMBE AFUNGUKA
11:03
NY TV
Рет қаралды 28 М.
Mch Moses Magembe - MISINGI YA UPENTEKOSTE | IBADA YA MWAKA MPYA 2025
3:01:43
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 15 М.
KWA SHARI AU SHUKRANI? UTAKAVYOANZA MWAKA NDIVYO UTAKAVYOUMALIZA
15:19
SK Media Online TV
Рет қаралды 4,2 М.