Thank you love you to daddy I am from Kenya but now I watch you from Qatar 🙏🙏
@magrethwillson2021Ай бұрын
Namshukuru Mungu kunipa kibari cha kuuona mwanga wa Siku ya leo 🎉Hakika Neno lako ni taa ya miguu yangu na watoto wangu, fungua fahamu zetu, ktk jina la Yesu Ameen🇦🇪🇦🇪🙏🙏
@user-kw6bv9qp4eАй бұрын
🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa bwana❤
@kezairene9333Ай бұрын
Lucky is my mother to. Have a daughter like me amen 🙏 PT this is very powerful kuona vijana wakikusanyika kumtumikia Mungu ohhh God thank you for bringing this man of God into our lives 🙌🙌🙌🙌🙌
@alistidesstide-vv8hiАй бұрын
Neno la mungu ni taa ya miguu yetu, Mungu na afanye miujiza tena na tena kwenye Maisha yangu
@Riziki254Ай бұрын
Amen
@AlphonceJofreyАй бұрын
Mungu anipe hii taa inisngazie maishan maishan niwe nao mwanga wa Mungu milele Amen
@nancymuturi629Ай бұрын
Ooo miracle worker
@LydiaGeorge-ui9jhАй бұрын
Nimeona ukuu wako Mungu Kwa neno lako ,
@SalomeLucas-pk1umАй бұрын
Ee Mungu nahitaji msamaha wako ili niweze kupokesa Muujiza wangu leo