Mungu mwenye namna nyingi najiambatanisha na ibada hii uponyaji Kwaajil ya mama angu, Kila kinachooumiza moyo wangu kikapone Kwa Jina la Yesu, 🙏 ameeeen
@evalynependo38249 ай бұрын
Mungu mwenye namna nyingi nakuhitaji katika maisha yangu ukafanye mambo yangu kwa namna zako Ee Bwana ♥❤❤
@wemawestern19719 ай бұрын
Mungu uwe wa namna nyingi kwangu kwenye Kila kitu changu Amen
@SilasKarithi-e6p2 ай бұрын
Amen Hallelujah servant of God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 from Nairobi Kenya
@GodblessMrema-y9t2 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU azidi kubarika KARAMA yako Pastor tony✨🌟
@JohnsonSichulaАй бұрын
Jamani pasta tony ntakupatawapi angalaunije kuhuzulia mafundisho yakoatawikimojatu
@victoriambise1904 ай бұрын
Kuna mahali nilikuwa nakosea..nimeelewa na Mungu anisaidie kubadilika..nione matokeo
@BarakaWardah2 ай бұрын
Ni Barack nchini Rwanda nasaidiwa sana na neno la mungu kupita kwako
@DaudMasasi3 ай бұрын
Mungu akuongeze zaidi. Nami nigundua maeneo niliyokuwa nakwama. Asante sana
@ruthryoba36956 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tuko pamoja huko Tunduma. Bwana akutunze na mafuta ya Bwana yazidi kumiminiika juu yako.
@laizerrichard71059 ай бұрын
Shalom online family live kutoka viwanja vya ottu mbeya
@wemasichone7 ай бұрын
Ameeeeeeeeen 🙌,I connect myself to this service.Our God of many ways 🎉🙌
@wemawestern19719 ай бұрын
Lazima niwe juu tu kwenye Kila kitu changu Mungu tuongoze Amina
@magrethwillson20219 ай бұрын
Ameen Ameen Somo letu ni Mungu Mwenye Namna nyingi🙏🙏
@AgnesKalu-f3b9 ай бұрын
Amen, I connect my self to this service
@tamaraibrahim80919 ай бұрын
Hallelujah 🙏🙌
@prbarakatv9889 ай бұрын
Mungu mwenye Namna Nyingi, Yes ana namna nyingi 💪🏻💪🏻🙏
@steveAmon-ru4di8 ай бұрын
NIMEBARIKIWA NA MAFUNDISHO HAYA NAMI NITAMTUMAINIA BWANA KATIKA MAPITO YANGU,AMINA
@prbarakatv9889 ай бұрын
KUABUDU KWENYE KANISA LA KIPENTEKOSTE HAIMAANISHI UMEOKOKA‼️
@YusuphHamiss-f9t5 ай бұрын
Nimeelewa SoMo pastor
@merrykisu8 ай бұрын
Mungu akubari kwa mafundisho mazuri yakunibadirisha
@EvelnLaison5 ай бұрын
MUNGU akuinue zaidi na zaidi
@clemenciagabriel-i8x9 ай бұрын
Pastor ninakuelewa sanaaa nanipokea sana nakucheka pia nacheka sana
@abubakarimlalwe8 ай бұрын
Ameen ameen huwa nabarikiwa saana nikikusikiliza pastor
@pili-be4kn5 ай бұрын
YESU naomba uniangaze
@shedrackMgonja-ht5rt9 ай бұрын
Amen amen 🙏🙏
@AnethIddy4 ай бұрын
Mungu akulinde
@mbezijosia1976 ай бұрын
barikiwa mno mtumishi
@anithamassawe4015 ай бұрын
Alieniambia anapajua😢 powerful message
@jastinnkya9 ай бұрын
Amin sana mtumishi wa mungu akubariki sana
@merrykisu8 ай бұрын
Mungu anisaidie
@angelinahmwabili56659 ай бұрын
Mungu niponye hasira zimenilemea
@BenadictoMazua6 ай бұрын
AMINAAAAA
@Mutheueunice-u6v9 ай бұрын
Ameen
@Adraidamgaya5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@JacquelineJoseph-ou9nd9 ай бұрын
Amen and Amen
@ChinaTzTradingCompany9 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏
@felisterphilemon18525 ай бұрын
mungu ni alpha na omega chochote kinachotaka kuchukua nafasi ya kuwa alpha kisipate na nafasi zaidi nuru yako isiishie kwenye macho