FRANK SHAGEMBE VS ASEHMALE WELLEM. FULL FIGHT. SUPER DOM MASAKI. 26/12/2024.

  Рет қаралды 20,310

UKC TV

UKC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 38
@RahimMatambala-w7r
@RahimMatambala-w7r 13 күн бұрын
Kacheza vizur japo raund mbili za mwisho kaharib pambano lakin kama shegembe angeendelea kupigana pasipo hof au kuambiwa akumbatie basi K.o ilikuwepo kwa Asemale william
@UKCTV
@UKCTV 13 күн бұрын
Kweli kabisaa
@RashidiJamrogo
@RashidiJamrogo 3 күн бұрын
Hiyo ngumi haijamkuta acheni unafiki
@teminomsafi1832
@teminomsafi1832 19 күн бұрын
Wasenge nyie mnatufanya vipofu au atujui ngumi mafala kabisa,,
@emanuelstanley1710
@emanuelstanley1710 Күн бұрын
Mtangazani imekuaje tena eeeeeeeeee msje mkamweka tena tumechoka kusikia eeeeeeeeeeeeeeee
@sixytntongambele3038
@sixytntongambele3038 17 күн бұрын
MAMAE WE SHAGEMBE SO POA UTULIVU KAMA MAJI KWENYE MTUNGI UMETISHA SANA
@HypebeastCentralzone-qs1es
@HypebeastCentralzone-qs1es 11 күн бұрын
Jamaa kala kichapo sema tumembeba
@McAdamsChiry
@McAdamsChiry 20 күн бұрын
Usenge mtupu asa ndo nn... tunaonekana wabongo hatujui ngumi ila tunabebana na ni km vile tumemuotea ila hatumuwezi... km kweli Frank anajiamin alitakiwa ampige mwanzo mwisho sio kumkubatia mpk refa anamkata point
@hassannassoro5542
@hassannassoro5542 18 күн бұрын
M .bongo kaotea 😂 huyo mwamba sio poa.🤣 Sema nn Safi 2 kaonesha jitiada zake
@AllyAbdall-s2g
@AllyAbdall-s2g 14 күн бұрын
Ngumikupigana kukumbatiana namkeo apo kaz kaz jifue kwamalanyingne apo ujachezangumi nzur wala nn wanaokusifia wakat umekosea awana mema na ww
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 18 күн бұрын
Mbongo apate usimamizi mzuri atafika mbali
@UKCTV
@UKCTV 17 күн бұрын
Yupo fresh, atafika mbali sanaa
@Jacksonbulkard-u8u
@Jacksonbulkard-u8u 14 күн бұрын
Asamele ni bora
@mohamedwaziri-fl3re
@mohamedwaziri-fl3re 24 күн бұрын
Asemale Bado hatumuwez kabxaa,
@JofuMadini-rv6kc
@JofuMadini-rv6kc 24 күн бұрын
Kwa muonekano wako ila tunaozijua ngumi asemalhe anapofika safi sana
@martingeofreyabson222
@martingeofreyabson222 24 күн бұрын
Mbona kapigwa au hujaona kalamba sakafu wabongo bana hamn uzalendo
@delapitoresavage3746
@delapitoresavage3746 23 күн бұрын
Home boy pumzi ilikata mwisho akaamua kubambia tu ila yuko vizuri sana aongeze pumzi tu
@UKCTV
@UKCTV 23 күн бұрын
Hongera kwa kuona mazuri ya bondia wetu wa nyumbani Tanzania, hongera kwa kusapoti na kupongeza vya kwetu
@ItsFrankKAPANDE
@ItsFrankKAPANDE 18 күн бұрын
@@UKCTV vya kwetu sawa, ila uwezo ndo mdogo tutakua tunapongeza ujinga imagine siku tunampa pambano mtu tunae mletea uzalendo na Ryan garcia au davis, si tutakuja kusababisha vifo?
@jacobenjamin-jb5300
@jacobenjamin-jb5300 20 күн бұрын
Hakuna bondia hapo unakumbatia asilimia 90 kumi unapigwa alafu eti anapewa ushindi na majaji wote tuwe na aibu dunia inaangali unashusha weredi wenu wa uamuzi na heshima ya mchezo wenyewe kisa tumbebe wa nyumbani mnaboa!!!!!!!!!
@41Company-g5d
@41Company-g5d 20 күн бұрын
Commentator hawapeani nafasi ya kuzungumza., mmoja anapayuka bila kuendana na momentum ya mwenziwe
@DaudiHussein-y3r
@DaudiHussein-y3r 21 күн бұрын
Tanzanian deserve to be winner........ congrats
@AbdulraufRajab
@AbdulraufRajab 19 күн бұрын
Endelea kutetea usenge wa watanzania....ndio maana boxing industry inaendelea Kufa kwa kuleta uzalendo wa kisenge huu....hamna Ali chofanya mtizii
@NassirAbdinaasir
@NassirAbdinaasir 22 күн бұрын
Tuwege na aibu jmni sasa ndo kupigana gni huko km Yuko geto n goma lake
@AbdulraufRajab
@AbdulraufRajab 19 күн бұрын
Mtangazaji anasupport ujinga....watanzania akili fupi kabisa
@NassirAbdinaasir
@NassirAbdinaasir 22 күн бұрын
Pumbavu kbsa huyo mbongo n majaji nanyi mmezingua kinyama yni den mnataka kua mabingwa kwa upuuzi huu
@HappyFrenk
@HappyFrenk 20 күн бұрын
Hakuna bondia hapo
@KhalidHoza
@KhalidHoza 23 күн бұрын
Mtanzania hamna ktu
@ShabaniMlipuka
@ShabaniMlipuka 17 күн бұрын
aongeze umakini
@UKCTV
@UKCTV 17 күн бұрын
Kweli kabisaa
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 23 күн бұрын
Ilikua gumu kweli sikama Kwa kiduku na kidunda frank haja pingwa hata alama Hana kiduku na kidunda walifura Sura Yan walipigika
@IddyDaruweshi-jv1fu
@IddyDaruweshi-jv1fu 20 күн бұрын
NI UKWELI KABISA AMEJIITA IDDY😂😂😂 WALE WALIFURAA USO
@RamadhanKhalifa-c6p
@RamadhanKhalifa-c6p 20 күн бұрын
Vvvvvv vvvvvv vvv.v vvvvvv vvvvvv vvvvvv. Bv vvvvvv VC vvv vv. Vv. V v vvv. Vvv v. Vvvvvv vvvvvv v. V. V vvvv. Vv. Vv vvv v vv. Vv vv vvvvvv. Vv vv. Vv vvvvvvvvvvvv v v. Vvvvvvvvv v vvvvv vvvvvv v v. Vvvvvv. Vvvvvvvvvvvvvv vvvvvv. Vv. Vv. Vvvvvvvvv vvvvvv VC vvvvvv vvv vvv vv. Dvvv vvvvv VC v CMB v bv vvvvvv vvvvvv vvvvvvvvvvvv
@AbdulraufRajab
@AbdulraufRajab 19 күн бұрын
Unasupport usenge​@@IddyDaruweshi-jv1fu
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 19 күн бұрын
Aibu tupu
@saidabdus9014
@saidabdus9014 24 күн бұрын
Half huyu mtangazaji wa mpira mme mleta huku wanini? Anamizuka ya kishamba san
@FatimaFati-pu4lb
@FatimaFati-pu4lb 23 күн бұрын
Frank amezengua kushika shika kambe ww si bondia
FULL FIGHT: FRANK SHAGEMBE VS ASEMAHLE WELLEM
26:05
Mafia Online Tv
Рет қаралды 82 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
FULL FIGHT: SALIM MTANGO VS AZEEZ LATEEF
25:21
Mafia Online Tv
Рет қаралды 10 М.
PAMBANO KAMILI: IBRAH CLASS  v  SIMON NGOMA
53:50
Azam TV
Рет қаралды 228 М.