SAIDI CHINO ATAMBA KUSHINDA UBINGWA WA IBA
7:31
HII NDIO KNOCKOUT YA MAMA UBINGWA WA WBC,
13:34
DULLA MBABE SISITIZA ITUMIKE BUSARA
8:07
Пікірлер
@newfacie
@newfacie Күн бұрын
Kaz kaz
@TatianaEzekiel-h6i
@TatianaEzekiel-h6i 3 күн бұрын
jessica amecheza vizuri sana angekuwa hana mazoezi hii mechi asingemaliza umejitahid
@UKCTV
@UKCTV 3 күн бұрын
Kweli kabisa
@shariffIddi-nv3sk
@shariffIddi-nv3sk 3 күн бұрын
Hbr
@UKCTV
@UKCTV 3 күн бұрын
Nzuri
@shariffIddi-nv3sk
@shariffIddi-nv3sk 3 күн бұрын
He'll
@ashraphsalum1586
@ashraphsalum1586 3 күн бұрын
Mbona video yenyewe umeikata inaonekana nusu na huoneshi raundi???Hio sio FULL FIGHT bhana...
@UKCTV
@UKCTV 3 күн бұрын
Haijakatwa ndugu ipo full fight
@ramadhanhaji55
@ramadhanhaji55 3 күн бұрын
Mechi huwa zinaoneshwa channel gani
@kenedysamwel9863
@kenedysamwel9863 3 күн бұрын
Ni sahihi anachosema DIMOSO
@ochubusness395
@ochubusness395 4 күн бұрын
Jesca amejitahidi huyu mwanadada ni mgumu
@UKCTV
@UKCTV 4 күн бұрын
Amejitahidi sana, huyu ni bondia hatari
@muddyzanga7476
@muddyzanga7476 4 күн бұрын
jaman mna huwakika uyo ni mwanamke
@SarahAlex-d5k
@SarahAlex-d5k 4 күн бұрын
Ellen simwaka Lazima tukupige
@julianashauri1803
@julianashauri1803 4 күн бұрын
Huyu apewe sara alex
@UKCTV
@UKCTV 4 күн бұрын
Saraha amalizi raundi kwa huyu, yupo fit sana ana akili sana ananguvu na speed, pia anakupiga utakavyokuja, kwa uchezaji wake sarah, jinsi ninavyomjua, hapa kwa huyu hamalizi sababu sarah, anatumia sana nguvu kuliko akili
@OmaryCyrily-we3zi
@OmaryCyrily-we3zi 4 күн бұрын
hongeren UKC TV kazi nzuri 🙏👍
@UKCTV
@UKCTV 4 күн бұрын
Ahsante ndugu
@greysonmbembelakarateka5842
@greysonmbembelakarateka5842 5 күн бұрын
Uyu mmalawi noma, Hakupoa, raundi zote alikuwa moto
@UKCTV
@UKCTV 4 күн бұрын
Sana
@KingMakasi
@KingMakasi 5 күн бұрын
Kapigwa kialali wa kwetu aongeze juhudi
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 5 күн бұрын
Mabondia wa kike wamalawi ni wakali kuliko kaka zao.Lkn hongera kwa champion mfinanga Amekaza mwanzo mwisho
@UKCTV
@UKCTV 5 күн бұрын
Saana tena sana
@elastomwakipesile7731
@elastomwakipesile7731 4 күн бұрын
Kaka zao mazoezi hawapendi ila ulevitu
@matatamwaipopo-rp4vz
@matatamwaipopo-rp4vz 5 күн бұрын
Mmalawi ni hatari
@erickmalindi4652
@erickmalindi4652 5 күн бұрын
Kazi nzuri UKC TV
@UKCTV
@UKCTV 5 күн бұрын
Ahsante ndugu yangu
@MuniniAdrien
@MuniniAdrien 6 күн бұрын
Salmin kiboko ya kimario
@wysonwsaidi4862
@wysonwsaidi4862 6 күн бұрын
Bring it Ellen
@Nokuthula2011
@Nokuthula2011 6 күн бұрын
You go Ellen, you got this girl ---bring it to SA🥊🥊🥊🥊🥊
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 7 күн бұрын
boxing
@BONDIA949
@BONDIA949 7 күн бұрын
Safi champion
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 7 күн бұрын
Kuna mtu aliitisha press, akaaanza kutambilisha shangazi zake, mama zake wadogo,wajomba zake wote alienda nao kwenye press hiyo mara kushoto kwangu amekaa mke wngu , mara akasema narud rasmi kwenye kazi yngu, mara boss ameniongezea mshahara mkubwa , baada ya ile press kukawa ziiiiiii had leo cjui nn kinnaendelea ishaapita miezi sasa
@UKCTV
@UKCTV 7 күн бұрын
Siikumbuki hiyo ndugu yangu
@mussaissa4447
@mussaissa4447 7 күн бұрын
Nilimic saana ngumi Sasa ni wakat wa burudan Kwa cc wapenz wa punch
@PaulCharles-ox9pg
@PaulCharles-ox9pg 7 күн бұрын
Kazi kazi nakubali
@AhmadSalimu
@AhmadSalimu 7 күн бұрын
Kila la kher side, fanya kweli.
@shabanimara5449
@shabanimara5449 7 күн бұрын
Chino kapende kwenye vazi
@NasraAbdallah-k8r
@NasraAbdallah-k8r 8 күн бұрын
Alafu ao walio vaa mawani ayaja wapendeza
@newfacie
@newfacie 8 күн бұрын
🚱🚱
@newfacie
@newfacie 8 күн бұрын
🚯🚯
@Kassimumohamedi
@Kassimumohamedi 8 күн бұрын
Uwakika members
@sidearsenal666
@sidearsenal666 9 күн бұрын
Fala sana huyu jamaa ww ibra ana matatizo umempima amebadili dini inakuhusu nini
@phlavianluoga7705
@phlavianluoga7705 9 күн бұрын
Hongera sana
@Daniel-g2f6v
@Daniel-g2f6v 11 күн бұрын
Ndio kashasababisha sasa Haki haiangalii nani atakufa njaa isipokua atatenda haki ilo la kwanza 2 umesema bakhresa akae na serikali hapana sio serikali ila akae na mwamakula cause mwamba kashinda KESI off course Mimi hili jambo limeniuma cause AZAM ni mdau namba Moja katika ngumu lkini hayupo juu ya Sheria.
@newfacie
@newfacie 11 күн бұрын
UKCTV pata kilichobora 🌎
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 11 күн бұрын
Kabisaaa
@CoachMtoto
@CoachMtoto 11 күн бұрын
Mahakama inawatu wenye akili mabondia tuiulize Azam kwanza pas na kumshambulia mwamakula ila asiseme Tanzania mzima bondia mwenye akili ni yy Ina maana wengine machiz au
@YukoMchawi
@YukoMchawi 12 күн бұрын
DAWA YA DENI ULIPE. '' NGUMI SIO CCM WALA CHADEMA'' ACHENI KUKIFANYA AZAM''' INAWAUMA MLIFANYA NGUMI YENU'' HASA MABONDIA WA DA DAR'' MANALIALIA XANA
@YukoMchawi
@YukoMchawi 12 күн бұрын
HAKI ITENDEKE'' SIO KUMTISHIA MWAMAKULA'' SISI KAZI YE2 YA MIKONO'' KESI YAO ''' NGUMI SIO AZAM '''' KWANI WAO NANI. ''
@UKCTV
@UKCTV 12 күн бұрын
@yukoMchawi ukowapi siku hizi, mbona kimya sana
@AbdulMsafiri-s6c
@AbdulMsafiri-s6c 12 күн бұрын
We MTANGAZAJI Kwan hujion unamatatizo hiiii sio taaluma yako kk unazingua kinom
@CoachMtoto
@CoachMtoto 11 күн бұрын
Hapo kajambia Maj ya moto
@EddyKatamba
@EddyKatamba 12 күн бұрын
Big up mwamakula
@manenolugome934
@manenolugome934 12 күн бұрын
Hasa ccm nao wakisema umeiba idea yao 😅😅
@CoachMtoto
@CoachMtoto 11 күн бұрын
@@manenolugome934 atawalipa
@allymwachipanga2486
@allymwachipanga2486 12 күн бұрын
Hahaha ha nimefurahi leo
@sashaman3862
@sashaman3862 12 күн бұрын
Yan Leo huyu mtangazaji kaingia chakike.maana yeye ni team ibra na team nacoz
@sportsarena5732
@sportsarena5732 12 күн бұрын
Uyu jamaaa ana akil Sana dadek
@OmaryCyrily-we3zi
@OmaryCyrily-we3zi 12 күн бұрын
😂😂😂
@Ram8193K
@Ram8193K 12 күн бұрын
Changeni pesa ili mumlipe jamaa anayekidai hiko chombo cha habari 😂😂😂
@Spotitimes
@Spotitimes 13 күн бұрын
Wewe unacheza mchezo upate nini mavi kama siyo pesa boya wewe
@Spotitimes
@Spotitimes 13 күн бұрын
Namba moja ya wapi wewe mjinga wewe.
@Spotitimes
@Spotitimes 13 күн бұрын
Kitoto kininga Sana hiki kinatumika vibaya chenyewe kimeshindwa kudai haki yake wamelifanyisha documentary kimezulumiwa kininga Sana kifala hiki.
@Spotitimes
@Spotitimes 13 күн бұрын
Amosi wewe ni shujaa wa boxing tena ndiye aliye fanya hao wanao taka kuonekana waonekane kwaajili yako