FRED VUNJABEI BAADA YA KUSHINDA TUZO/UCHAWI ANAOTUMIA KWENYE BIASHARA ZAKE/HAKUNA MCHAWI ANAYETESEKA

  Рет қаралды 56,906

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Kumekuwa na tetesi nyingi kuwa mfanyabiashara mkubwa Fred Vunjabei anadaiwa Kutumia Uchawi kwenye biashara zake mpaka kupelekea kupewa jina La mkinga Mchawi amejibu suala hilo.

Пікірлер: 115
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
I really admire this guy,🤝👌🏿❤🇹🇿🇨🇭
@davisnitu890
@davisnitu890 3 жыл бұрын
Fred ni mtu makin na Anaongea logic, I'm appreciate u brother
@chrissinyinza1172
@chrissinyinza1172 3 жыл бұрын
Uyu ginimbi wetu anabusara sana ongera sana fred👏
@neemanyove3151
@neemanyove3151 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣 ginimbi
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 3 жыл бұрын
Don't disrespect ginimbi u fool.
@ahz6907
@ahz6907 3 жыл бұрын
Huwa nachukiaga hilo swali wanalomuulizaga fredy kuhusu uchawi. Ni ajabu sana. Hawa wanahabari wa tz. Nimependa fredy alivyojibu.
@mbuyutztz6131
@mbuyutztz6131 3 жыл бұрын
Vunjabei anabusara sana
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Fredy tengeneza kitabu cha somo la biashara..... Maaana una ujuzi sana vunja bei these is genius Mr
@geazisanga7400
@geazisanga7400 3 жыл бұрын
tajiri kachukua tuzo nicwe chawa kweli........uchebe noma
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 3 жыл бұрын
Mm nampenda Sana vunjabai...more love 4rm kenya 🇰🇪
@juxjemc5768
@juxjemc5768 3 жыл бұрын
Mm mtu kama ana pess halaf hana ndoa baas namuona haman kitu kwa sababu sasa hv matajir wakubwa hawaoi sijui tatzo lipo wap
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 жыл бұрын
Hawatak kuwekewa wivu... Wa enjoy wanacho jisikia Akimtak mtu yoyote a nampata.. Ao nini
@juxjemc5768
@juxjemc5768 3 жыл бұрын
@@husnamfuko6136 umalaya una mwish
@salmaahumansalmaathuman5190
@salmaahumansalmaathuman5190 3 жыл бұрын
Duh hyo bonge km pipa la chibuku sjui hyo sut keshonewa buza🤣🤣🤣🤣
@jumahyusuf5524
@jumahyusuf5524 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
🤔
@zeddybass6672
@zeddybass6672 3 жыл бұрын
Piga kelele kwa wakinga😂😂😂
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Weuweeeeeee tupo wakina sangaaaaaaa
@zeddybass6672
@zeddybass6672 3 жыл бұрын
@@ghostelmendez7206 pamoja sana mambelo 🔥🔥🔥
@spreadlove2119
@spreadlove2119 3 жыл бұрын
We carrymastory muhoji na huyo bonge mwenye koti la blue basi na wee 😍
@zainabwage4658
@zainabwage4658 3 жыл бұрын
😂😂
@joshuajacobs8852
@joshuajacobs8852 3 жыл бұрын
😂😂jamaaa ana chungulia ile mbaya
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 3 жыл бұрын
Una nini lakini wewe😂😂😂
@emanuelmoshama3899
@emanuelmoshama3899 3 жыл бұрын
😀😀😀uyo ndo too much money mwenyewe
@upendotarimo9324
@upendotarimo9324 3 жыл бұрын
Ha ha haaaaa mbavu zangu
@petermsulah6264
@petermsulah6264 3 жыл бұрын
hahahaha bonge amevaa nn
@greatestdaniel7865
@greatestdaniel7865 3 жыл бұрын
Hivi ndio vitu ninavyo penda kuviona hata mb hainiumi
@josephndilwa3830
@josephndilwa3830 3 жыл бұрын
huyu jmaa ametoka familia ya biashara, babake mpambanaji sana mzee sisi kwa sisi. wanaomjua basi huwez shangaa huyu kuwa na pesa
@abdially212
@abdially212 3 жыл бұрын
Wabongo hamkawii kusema jamaa freemason
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 3 жыл бұрын
Huyo mnono ungemwoji bwana mtangazaji 😀😀😀
@azenathnyaway2328
@azenathnyaway2328 3 жыл бұрын
most upcoming vinesiti man wah yaan haka kazungu pia ni noma kukatamka
@mafiosoismail7475
@mafiosoismail7475 3 жыл бұрын
Fred akivua kofia anaonekana mkubwa kuliko hata bonge 😂😂😂😂
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Daah huyo kaka bonge
@boniphaceog1020
@boniphaceog1020 3 жыл бұрын
I need Young people with the skills to work and manage them to come and help us and one day be interviewed like fred vunja bei with his team
@zuhairomar8038
@zuhairomar8038 3 жыл бұрын
Uchawi ni kujituma nimekuelewa broo#Mr one! 👊👊
@azibossladykenny2455
@azibossladykenny2455 3 жыл бұрын
Jamanii yule big kule nyuma kwani vip nimemtizam tuu yey nimecheka mpaka basii, 😂😂🤣🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Mi Zaid yako nimecheka mpk bas
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Watu wanapambana kwa jasho
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Kabisa mchawi halafu maskini rooo
@pendoelias4822
@pendoelias4822 3 жыл бұрын
Huyu Kaka anajituma Sana na anajibu kiufasaha Sana hongera kwako Fred
@jumabidery5051
@jumabidery5051 3 жыл бұрын
Bonge kanipa raha saana jamani
@highthemetv7857
@highthemetv7857 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jmiyf6mJiLCNgtU 👆👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga usifungue hii video😨 Tazama jinsi Kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera 😭😭
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Bora mfanye ivyoivyo muwaoji kabla awajafa wakifa mtasema utajiri wa kafara
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Tiba ya kizazi na dawa ya chango kwa kina Mama kzbin.info/www/bejne/e3mYhaOEhbR9mpI
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Tiba ya nguvu za kiume kzbin.info/www/bejne/jYaTe56vbsZniJo
@calvinamon4125
@calvinamon4125 3 жыл бұрын
Wakinga nawaona?
@masilingimbilinyi5589
@masilingimbilinyi5589 3 жыл бұрын
Woyooooo
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Mvuto wa kupendwa na watu kzbin.info/www/bejne/qJWlc32ngbZrfac
@kgs95
@kgs95 2 жыл бұрын
Fred vunja bei
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
Jmn bonge shikamooo waaaah
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 жыл бұрын
Uchebe acha shobo
@faridaahamed4090
@faridaahamed4090 3 жыл бұрын
mbna mawivu saana vijanaa acheni ushamba nendeni nyie basii tatizo wa tatizo baadhi ya wabongo 2na roho za kichawiii
@faridaahamed4090
@faridaahamed4090 3 жыл бұрын
mbn mnamkosoa kwani amekosea wp ?basii nenda ww kwa vunjabei mtabaki majungu yy mambo yanamuendea huo ni ushamba,tatizo huo ni ushamba wa life ndomaana mnaroho za kimaskini mpongeze alipofikia sio kupost ushamba
@faridaahamed4090
@faridaahamed4090 3 жыл бұрын
@Florah Samuel roho imekuuma kumuona uchebe ypo navunjabei hyo niroho ya kimaskini acha ushamba
@faridaahamed4090
@faridaahamed4090 3 жыл бұрын
@Florah Samuel sametime mkiona roho zinawauma kwaajili ya maisha yawa2 kunywa suma ya panya ,nashangaa roho zinawauma kumuona uchebe ypo navunja bei 🤣🤣🤣🤣
@neemakaluwa1841
@neemakaluwa1841 3 жыл бұрын
@@faridaahamed4090 Me kiukwel sijaona ubaya aloongea Uchebe.
@rahmahabibu4727
@rahmahabibu4727 3 жыл бұрын
Ivi huyu bonge alikuwa hajui kma na yey anachukuliwa na camera au 😂😂😂😂😂 Kaachia domo kma kapu 😂
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 3 жыл бұрын
Hahhahahaha
@aliabeid8613
@aliabeid8613 3 жыл бұрын
Vunjabei tunaomba na Zanzibar zifike huduma zako
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 3 жыл бұрын
hahhahaha
@nusalim3389
@nusalim3389 3 жыл бұрын
Bonge ukiachia yupo nyuma Ila Cha ajabu anamsikiza fredy kwa mbele ,hapo talented Ni bonge hiyo tuzo ilifaa iwe yake tu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kabangaonline4523
@kabangaonline4523 3 жыл бұрын
Mtani wangu sura kama yangu ngoja NAMI ntafte pesa
@deusnzeran4752
@deusnzeran4752 3 жыл бұрын
Hii ni Safi watanzania kuwa mabilionea hata hayati alisema hilo
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Uchawi wa Biashara kzbin.info/www/bejne/d4TWZHqdqM6aoNk
@dggxxxxfgff3876
@dggxxxxfgff3876 3 жыл бұрын
Haiwezekani nife bila kua na pesa😀😀kila nikiona uyudada nacanganyikiwa
@nusalim3389
@nusalim3389 3 жыл бұрын
Kumuacha bonge kakaa nyuma mda wote na kumfuata uchebe Ni zarau !
@mosimba467
@mosimba467 3 жыл бұрын
Mbona kibakuli anafrahia sana
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 3 жыл бұрын
Bonge analegeza mdomo jmn😅😅😅😅😅😅😅
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
Uchebe kapendeza jmn
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Uchebe anazidi kuwa mcharo balaa dah😋😋
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Hahahahahahaha
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Yupo na tajir kwnn asipendez na hana stress km zamn
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Abar zenu ndgu zangu naomba nikukarbishen katika masomo yetu yanayohusu tiba za maradhi mbali mbali kila Alhamisi bila malipo yoyote karbuun mjifunze ingia KZbin andika sir Binladen 786 ili mjifunze
@hassanchauluwa7308
@hassanchauluwa7308 3 жыл бұрын
Uchebe msenge 😁😁😁tajiri kachukua tunzo
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Kwann yy asiwe chawa
@samsonisaack5145
@samsonisaack5145 3 жыл бұрын
Nakukubali Sana Big Vunja bei
@RobbyDejan1234
@RobbyDejan1234 3 жыл бұрын
Umedeserve kuchukua hiyo kitu bro.
@dominickmkungile5287
@dominickmkungile5287 2 жыл бұрын
Namkubali huyu jamaa.
@sanimoclassic1917
@sanimoclassic1917 3 жыл бұрын
Huwa namkubali sana huyu jamaa Fred Vunja bei
@dshazarajabu9950
@dshazarajabu9950 3 жыл бұрын
Nakuona bongeee
@bahatisanga7545
@bahatisanga7545 2 жыл бұрын
Safi Sana bro
@faridaessa7844
@faridaessa7844 3 жыл бұрын
Hongera kaka
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 3 жыл бұрын
Anavyokunja sura sasa
@yasristeven1135
@yasristeven1135 3 жыл бұрын
Chawaaaz
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
Freemason
@davidedward3089
@davidedward3089 3 жыл бұрын
Hahahaha utakufa na wivu mbwa 😂😂😂
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 жыл бұрын
Wewe pia si uingie uko umshide vuja bei
@sponsor7882
@sponsor7882 3 жыл бұрын
@@magynzioka1122 naogopa Dhambi
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 3 жыл бұрын
Mtangazaji amemsahauu bongee
@francowilly5049
@francowilly5049 2 жыл бұрын
❤️
@kmotivation1130
@kmotivation1130 3 жыл бұрын
Bonge Lina hema hatar
@aishasaid6700
@aishasaid6700 3 жыл бұрын
Napenda anavoongea
@godfreyleka5839
@godfreyleka5839 3 жыл бұрын
Akili kubwa
@rukiayusuph4019
@rukiayusuph4019 3 жыл бұрын
Too much money hoyeee
@elizanafasi6960
@elizanafasi6960 3 жыл бұрын
Hongera sana
@elizanafasi6960
@elizanafasi6960 3 жыл бұрын
Boss
@khadijabuberwa3362
@khadijabuberwa3362 3 жыл бұрын
Ex
@kevinmoses9170
@kevinmoses9170 3 жыл бұрын
Uchebe my guy
@wahidamusin613
@wahidamusin613 3 жыл бұрын
Kitu ambacho nakishanga sana ni wanaumme kujipendekeza kwa mwanaumme mwenzao sana ndio maana mashonga wamekua wengi taifa hili wanaumme kutwa kuwanganda wanaumme wenzao
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 ай бұрын
Wewe ulitaka aende kwenye biashara na WA awake au
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 ай бұрын
Aende na wadada mumuchune pochi
@sabitinaeastafrica5822
@sabitinaeastafrica5822 3 жыл бұрын
Mashallah ferd
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 75 МЛН
HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII
5:08
Chief_Godlove
Рет қаралды 90 М.